Tukio la Kubakwa/kulawitiwa kwa Binti wa Dar kwamfanya MCHUNGAJI HANANJA kusema haya, aongea Makubwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @maryamsaleh4787
    @maryamsaleh4787 2 місяці тому +3

    Ni hakika baba lolote kwenye maisha linaweza kutokea ukijaliwa ufahamu hata wa kubeba zege basi shukuru sana kwa muumba sababu wapo wengi wamejikatia tamaa haya maisha ukiwa na akili ya kuwaza kesho yako tu basi umebarikiwa neema niishie kusema lolote kwenye maisha linaweza kutokea tutiane moyo na tukumbushane ukuu wa mungu Asante 🤚

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 Місяць тому +1

    Nakuelewa sana mtumishi Mungu akutunze najifunza mengi sana kupitia wewe ( umri wa ujinga wanajilea wenyewe) mungu atusaidie 🙏

  • @linashayo2068
    @linashayo2068 2 місяці тому +6

    Sauti ndogo sana, from Amsterdam nawapata vizuri.

  • @Tanganyika-w5p
    @Tanganyika-w5p 2 місяці тому +8

    Madini mengi kutoka kwa Mchungaji

  • @petronyereresaliboko4047
    @petronyereresaliboko4047 2 місяці тому +4

    Mzee ana busara sana nipo🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Aloyce-l6s
    @Aloyce-l6s 2 місяці тому

    Safi sana hananja umenifundisha sana god blees👋

  • @nelsongodbless192
    @nelsongodbless192 2 місяці тому +1

    Nakubali sns

  • @AISHAHUSSENI-m9i
    @AISHAHUSSENI-m9i Місяць тому

    Mchungaji unapenda ndumu Babu yangu

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 Місяць тому

    Ahsant mch hananja Kwa kutupatia madini safi

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 2 місяці тому +1

    Leo sauti imekuwa chini sana

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 місяці тому +1

    Sauti ndogo nawatizama kutoka 🇬🇧

  • @The_mediator255
    @The_mediator255 2 місяці тому +1

    Bagamoyo , msata ,kigoma ,singida ,songea na tunduru ,namtumbo , Kuna maeneo makubwa sana

  • @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz
    @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz 2 місяці тому

    Mchungaji mbona afya kama amepungua sana au anaumwa? Maana kisukari ni changamoto sana kwa watu wengi sana.

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 місяці тому +1

    Mbona Sauti Ndogo Kama Ndio Mko Kwenye Uzinduzi Wa Chanel

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 2 місяці тому +1

    Unakimbia

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 місяці тому

    Sasa Mchj, mama kakasirika, lkn kaagiza watu kawarubuni wakambake msichana anaingilia unyumba wake. Hapa sheria inasemaje ikiwa kweli askari huyo kafanya deal hiyo. Na angekufa nani ashitakiwe daa inauma kweli. Shetani kazini tu. Pooole!

  • @AlbertMbuta
    @AlbertMbuta Місяць тому

    Huyu Ana madini nyie hamjajua

  • @ReyzDon
    @ReyzDon 2 місяці тому

    Kangalie move inaitwa Baba oliva ina mafunzo makubwa Sana kwenye jamii

  • @athumanijonathanofficial4709
    @athumanijonathanofficial4709 2 місяці тому

    Mzee wetu hazina la taifa hananja

  • @MohamedAhmada-ie7ke
    @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому +1

    SNS mbona kuna habari nyingi kua Hezbollah imeshambulia Israel kwenye media nyingi mbaka aljazeer hebu tukhabarisheni

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 2 місяці тому

      Yaan aache kufuatilia vitu vinavyotea kwenye jamii yake akimbilie huko hezbollah unakotaka kusikiliza ili iweje sasa

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому

      @@WiselightOfficial kwanza wakike wakiume ili nijue nakujibu vip

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 2 місяці тому

      We utakuwa ni masalia ya kiarabu ndo maana huna uchungu kabisa na dada yetu

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 місяці тому

    Yani Unafunga Safar Kwenda Kumuoji Mtu Na Vifaa Vyako Feki Avina Sauti Kabisa

  • @rainohazard2453
    @rainohazard2453 2 місяці тому

    Saut mnafeli

    • @febochannel4964
      @febochannel4964 2 місяці тому +1

      Yaan watu wakikosea kidg tu wamekuwa wanafeli tena

    • @OmanHubi-q5x
      @OmanHubi-q5x 2 місяці тому

      Oya sio leo tu mm nilijua cm langu mda mwengn 😂

  • @mauridejuma
    @mauridejuma 2 місяці тому

    ajawai kuniangusha