Amen.... Hii ni shule nzurii sana. Biblia ni extraordinary word of God...Imejibu Kila kitu. Nakubaliana na Mch.Hananja kuwa shida yetu Leo ni wavivu wa kusoma NENO na Kumtafuta /Kumjua MUNGU kwa Mtu Binafsi
MIMI NAKUOMBA UGOMBEE URAISI WA TSNZANIA CHONDE. NA UTAKUWA NI RAISI WA MILELE KA RAISI WA CHINA. NA UTAKUJA KUACHA HISTORIA KUBWA SANA HAPA TANZANIA NA HAPA DINIANI KWA KIJUMLA MPAKA MEISHO WA HII DUNIA.WEWE MCH: WETU HANANJA NI TUNU YETU,MALAIKA EETU,NA DHAHABU NA ALMASI ILIYOJIFICHA CHINI YA ARIDHI YA MIAMBA MIGUMU YA CHUMA.
Kama unamkubali mchungaji huyu gonga like
Nakupenda baba. Truth
Mimi ni mwislamu bat na mkubali mch. Hananja sana
Instructor haron Maxwell nakubali mchungaji Hanaja Sana chombo Cha hekima..
Amen alleluia Jesus Christ bless you fathers
Amen.... Hii ni shule nzurii sana. Biblia ni extraordinary word of God...Imejibu Kila kitu. Nakubaliana na Mch.Hananja kuwa shida yetu Leo ni wavivu wa kusoma NENO na Kumtafuta /Kumjua MUNGU kwa Mtu Binafsi
Ubarikiwe sana mchungaji
Ubarikiwe sana Mtumishi
Hananja🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤝🤝🤝🙏🏻
Huyu ndiyo mchungaji MUNGU akutunze baba yetu
Amen 🙏 🙏 🙏 fathers
Amina mchungaji
Wauza maombi ni wafanyabiashara haramu katika Imani !
NAomba namba ya mchungaji
Nimekuwelewa mchungaji
NAomba cm ya mchungaji
🔥 ❤
Catholic ❤
MIMI NAKUOMBA UGOMBEE URAISI WA TSNZANIA CHONDE. NA UTAKUWA NI RAISI WA MILELE KA RAISI WA CHINA. NA UTAKUJA KUACHA HISTORIA KUBWA SANA HAPA TANZANIA NA HAPA DINIANI KWA KIJUMLA MPAKA MEISHO WA HII DUNIA.WEWE MCH: WETU HANANJA NI TUNU YETU,MALAIKA EETU,NA DHAHABU NA ALMASI ILIYOJIFICHA CHINI YA ARIDHI YA MIAMBA MIGUMU YA CHUMA.
Kama tungemuelewa huyu Mzee ujinga unaondelea sasa hivi wa kudanganywa na sijui kununua mafuta na vitambaa ungeisha kabisa
MUNGU amempa kipaji kikubwa. Biblia imo kichwani