VIDEO YA MAKONDA ALIVYOCHARUANA na HUYU DADA ''HAUONGEI na MCHUMBA WAKO HAPA, UNAFANYA DHARAU?''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 99

  • @MfaumeIbrahim
    @MfaumeIbrahim 4 місяці тому +23

    Mzee simamia KAZI za taifa mungu atakulipa watanzania wengi sio wazalendo

  • @AzaeliMbise
    @AzaeliMbise 3 місяці тому +18

    Makonda apo unaenda vizuri.nitakua na imani na wewe sasa asante mungu akulinde

  • @AllberthaIgango
    @AllberthaIgango Місяць тому +1

    Mh wakupe karata ya manunuzi na jisi walivyotumiwa 24:44

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 3 місяці тому +4

    MH.RAIS HUYU MWAMBA ATUMIKIA KAZI YA UKUU WA MIKOA ASIZIDI MWAKA MMOJA KWA MKOA MMOJA...KILA MWAKA AWE ANAHAISHIWA MKOA MWINGINE ILI AINYOOSHE NCHI.💪💪

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 4 місяці тому +14

    Tunahitaji Makonda wengine angalau 10 tu naamini nchi hii itakuwa vizuri. Hongera sana mheshimiwa Makonda kwani kazi unayofanya ni kubwa sana. Ni vema na watendaji wengine waige mfano huu kwani nchi hii inaibiwa sana!

  • @TimotheoMartin-v5u
    @TimotheoMartin-v5u 3 місяці тому +2

    Tunaomba ndugu Makonda ajje namkoa kigoma

  • @ProsisterTemba
    @ProsisterTemba 3 місяці тому +3

    Makonda pokea mauwa yakoo kaka uko vizurii ....I wish Rais wetu 2030❤

  • @Renatus-fk5lr
    @Renatus-fk5lr 3 місяці тому +1

    Makonda ivi wewe mbona unaubongo wa hayati Mzee wetu magufuli ungekuwa unaungwa mkono taifa lisingelia na umasikini

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 2 місяці тому +1

    mama anatoa pesa kwaajili ya maendeleo Lakin wanaokula ni watumishi wapuuzi, 😢

  • @EnerikaMgaya
    @EnerikaMgaya 3 місяці тому +2

    Mungu akulinde mheshimiwa uaminifu ni kitu kizuri na uongo unagharama yake

  • @EpafraZabron-tw2gy
    @EpafraZabron-tw2gy 14 днів тому

    Kwakweli stairy hii ni nzuri kukomesha wanaotumia mamlaka vibaya ni unavyofanya mhe.makonda wajifunze kupitia mikutano yako

  • @happyfrancis9809
    @happyfrancis9809 3 місяці тому +2

    Nakutabiria utakuja kuwa rais wajamuhuri ya muungano wa tanzania naamin ilo kipenzi cha wengiii nchi hiii itanyooka sanaaa mungu akutunze ili litimie❤

    • @brunidamadege3747
      @brunidamadege3747 3 місяці тому

      Bwana Yesu atende namsubiri Raisi ajaye kwenye wakati aliomsaza.

  • @craudiadominicus6995
    @craudiadominicus6995 3 місяці тому +1

    Hakika ni Mungu amekuchagua mkuu wa mkoa,YEREMIA:1;5, Nakuombea Mungu akutunze mpaka utimize kusudi lake.lSAYA:54;17, ubarikiwe sana baba.

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 3 місяці тому +1

    Mh mkuu wa mkoa mwenyezi mungu akupe umri.mrefu.wewe ni mtu wa mwenyezi mungu napia ni mtu wawatu.yaani upo vzr kwa haki na kiswahili kizuri.Aiwezekani hajitambui mara sita mara nane mara 18.wanafuja pesa.Hakii waongo.hapo kasema kulipa bill sasa anasema kuingiza umeme.ushuru😳sasa ni ushuru au mafuta😳

  • @N.T.KDigitalCreation
    @N.T.KDigitalCreation Місяць тому

    Udhalilishaji kwa wafanyakazi wa umma, hii ingefanyika kwenye mkutano wa ndani, hizi nikujitafutia sifa.

  • @RugaKambuga
    @RugaKambuga 6 днів тому

    Uyo mkuu wa shule amepiga hela ya kodi yetu,nashauri afukuzwe kazi sio kuhamishwa,zingatia ilo mh makonda,atumbuliwe.
    Uyo mwl ni mwizi wa pesa ya uma ivo inabidi alipe iyo pesa alafu afukuzwe

  • @mrishoathumani-wx7gq
    @mrishoathumani-wx7gq Місяць тому

    Makonda ni bosi anayefuatilia kwa weledi kazi za serikali.Watu wezi ndiyo hawataki viongozi wa namna hiyo

  • @JumaAwamu
    @JumaAwamu 3 місяці тому +1

    Anko oooooo chukuw kiti uwe raisiiiiii nimefulahiiii umakiini wakooooooo

  • @AllberthaIgango
    @AllberthaIgango Місяць тому

    Sisi hatuna kazi wakati wangetupa kazi hizo tungefanya kazi vizuri tu jamani

  • @mrishoathumani-wx7gq
    @mrishoathumani-wx7gq Місяць тому

    Mh.Rais tunaomba uwabane viongozi wa mikoa wote wafanye kama makonda.kwa sababu wengine hawafanyi hivyo ndiyo maana Makonda anaonekana mbaya

  • @MustafaAlly-x7p
    @MustafaAlly-x7p Місяць тому

    Alikufa magufuri ila wakina magufuri wapo fanyakaz isiogope mtu ogopa mungu

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 Місяць тому

    Makonda mwenyewe ni mhalifu anafanya hayo kwa kuficha matukio yake,makonda na sabaya mungu awape azabu kali sana muu gue moto mpaka na mjivu yao yaungue

  • @hassann4209
    @hassann4209 2 місяці тому +1

    Makonda anafanya vizuli sana. Tunakupenda 5/5 uku🇧🇮🇧🇮

  • @MustafaAlly-x7p
    @MustafaAlly-x7p Місяць тому

    Mutoto wakwetu mwanza kanda yaziwa wakwanza kupiganiya uhuru na tukaupata natuiongoza tanganyika tukaongoza tanzania mpaka sasa hatujawah kukwama tofauti nakufa viongoz tunao na tunaeza wewe ni nyerere watatu maguri wapiri twendekazi baba

  • @RugaKambuga
    @RugaKambuga 6 днів тому

    Uyo mdada anatumia neno almost ili iweje mbona esabu haikuenda yake na ya mkuu wa shule,ivi unasubili nini rc makonda,kukaa na waujumu?

  • @MorisNtibaluhisha
    @MorisNtibaluhisha Місяць тому

    Arusha wamepata jembe wakuu wore wajifunze kwa mwamba makonda

  • @CyprianTraiphon
    @CyprianTraiphon 2 місяці тому +1

    kumbe REA sio TANESCO

  • @michaelmchilo7910
    @michaelmchilo7910 2 місяці тому +2

    Wew na magufuli mpo sambamba hongera sana makonda🎉

  • @Spartan-5A
    @Spartan-5A 3 дні тому

    Huwezi kusaini hela ya kufanya kitu halafu usahau hiyo ni ishara ya kuwepo kwa upigaji

  • @samsonimnyampala
    @samsonimnyampala 5 днів тому

    Safi sana makonda mungu akurinde na kila baya hakika atakurinda kwa kazi nzuri unayoifanya

  • @boniphacepaskal4024
    @boniphacepaskal4024 4 місяці тому +4

    Viongozi wengne mnawapa vyeo visivyo wafaa kabsa tusidharilishane majukwaani babu hatujasomeshana Kila mtu kasomeshwa kwao kwahiyo Kama unataka Kiki tunakutoa wanaingia wengne

    • @bashayabenjamin-ot7xi
      @bashayabenjamin-ot7xi 4 місяці тому

      Huna hoja

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 4 місяці тому +2

      Una uwezo wa kumtoa nani wewe acha kiongozi afanye kazi hukusomeshwa ila uibe fedha za wananch

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 4 місяці тому

      Una uwezo wa kumtoa nani wewe acha kiongozi afanye kazi hukusomeshwa ila uibe fedha za wananch

  • @CyprianTraiphon
    @CyprianTraiphon 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂.. Hii nchi upigaji ni mwingi

  • @AllberthaIgango
    @AllberthaIgango Місяць тому

    Sisi wenyewe atuelewi anayeulizwa ni nani, du mh

  • @samsonimnyampala
    @samsonimnyampala 5 днів тому

    Wewe mwizi kama hao anazalilisha nani sasa kama na wewe sio mwizi

  • @AnnaKessy-yr6gs
    @AnnaKessy-yr6gs 3 місяці тому +1

    Tunataka watu kama hawa

  • @AloyceStnford
    @AloyceStnford 3 місяці тому +1

    hakuna kamaww kwenye hiinchi

  • @olivastephano2900
    @olivastephano2900 4 місяці тому +3

    Kamata wezi

  • @MuddyAmiri-f1v
    @MuddyAmiri-f1v 13 днів тому

    Namuona magufuli hakika tunakuhitaji mnooo

  • @dottoemmanuel4947
    @dottoemmanuel4947 2 місяці тому +1

    Mwizi huyo

  • @AsumaniMAtanga
    @AsumaniMAtanga 4 місяці тому +4

    🇺🇸🙋🇹🇿

  • @AsumaniMAtanga
    @AsumaniMAtanga 4 місяці тому +4

    Hello

  • @AllberthaIgango
    @AllberthaIgango Місяць тому

    Watu wengine hata hawana alama za kusoma ni haibu

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 2 місяці тому

    Huyo dada anapenda kutumia neno almost...lakin almost ina mana kua unakisia...haupo sure na taarifa hio.....so lazma ataingia kwa shida...juu anajikaanga mwenyewe 🤣

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 3 місяці тому +3

    kama unaamini dada hana shida lakini Hiyo miwani ya kuogelea ndio inamfanya dada aonekane kuwa anakiburi , gonga like hapa 😂😂😂😂😂

    • @AbudulNasibu
      @AbudulNasibu 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TimoJoseph-g5b
    @TimoJoseph-g5b 3 місяці тому +3

    Makonda njoo nahuku wizi upo mwingi sana Aisee

  • @AngelaniAbwe
    @AngelaniAbwe 3 місяці тому +1

    Mungu abariki Sana katika utumishi wake

  • @MashakaEdward-ne1ih
    @MashakaEdward-ne1ih Місяць тому

    Piga sparn hao

  • @minanielikana
    @minanielikana 2 місяці тому

    Wana inchi wooote wa incchi nzima wangekuwa na wakuu wa mikowa kama
    Makonda inchi inakuwa paladiso.
    Abalikiwe mukuuwa mukowa Makonda laaah !!!

  • @OmarO-w7g
    @OmarO-w7g 2 місяці тому

    Mweshimiwa mkuu wa mkoa kweli unafanya kazi ubarikiwe,tunaomba uingie pia kwenye ishu ya mikopo ya alimashauri hatuelewi kabisa.

  • @JoyceMochemba
    @JoyceMochemba 2 місяці тому

    Njoo mara hasa serengeti mamà turetee makonda tunababaishwa na wenyeviti wa vitongoji

  • @babyboy6310
    @babyboy6310 3 місяці тому

    RC. Tuko pamoja fanya kazi. Nchi iko pabaya uongo umezidi. watu wamekuwa waongo

  • @MustafaAlly-x7p
    @MustafaAlly-x7p Місяць тому

    Hongera makonda kwazi nzuri usimamizi muzuri ufuatiriaji wakaz zaserekari mukowa wa arusha duwa kwako mungu akupe umr murefu

  • @StevenSeperu
    @StevenSeperu Місяць тому

    🤝🤝🤝makonda mungu hakulinde kwa kazi mzuri ya kuwatetea tz💪

  • @MuhanedSusu
    @MuhanedSusu 5 днів тому

    Good lender

  • @mraeliphas9293
    @mraeliphas9293 3 місяці тому

    huyu Bashite ni mpumbavu, bado anawadhalilisha wanawake, eti ana mke mzuri, nonsense.

    • @TimoJoseph-g5b
      @TimoJoseph-g5b 3 місяці тому

      Pumbavuuuu nakuzalilisha kama anamwanamke mzuri wakwako mjinga kabsa mvuta bagi wewe kafie mbali uko huna Cha kusema msenge wew

  • @RahmaHussein-f2f
    @RahmaHussein-f2f 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂

  • @e11said23
    @e11said23 3 місяці тому

    Kazi yako nzuri makonda lakini majibu yako kwauyo mama umemdhalilisha sio vizuri

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 4 місяці тому

    Makonda hana Tatizo, Tatizo lipo kwa anao wagusa..kuna Ubadhirifu mwingi Makonda anaufukua kwa hiyo atatafutiwa kila aina ya Chuki ili kumfitini

  • @SophiaNdilito
    @SophiaNdilito 4 місяці тому

    Sasa Na yeye Anajieleza Sijisikia bati sjisijia mbao hapo au hayo madarasa yamejengwaa bila bati na mbao

  • @BahatiMnyeti-m2r
    @BahatiMnyeti-m2r 2 місяці тому

    Hawa wana wake wanini kwenye uongozi

  • @SaymoneKhirang
    @SaymoneKhirang 2 місяці тому

    Jmn makonda awe rais was Tanzania

  • @RajabuAmir-cl3ke
    @RajabuAmir-cl3ke 3 місяці тому

    mafundi hamuwalipi kwawati ndiomna wanaondka

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda 4 місяці тому

    Wakowengi Dana watu Kama hawo Kira wiraya nnchi hiyi Mambo ya hovyo xana hayo sii happy tuu

  • @happyfrancis9809
    @happyfrancis9809 3 місяці тому +1

    Makonda ninoma sanaaa❤❤❤

  • @ezralameck4150
    @ezralameck4150 2 місяці тому

    Mbn kama anatafta sifa kwa nguvu

  • @SapyKobelo
    @SapyKobelo Місяць тому

    Mungu akubariki sana kaka.

  • @AbeidHassan-f8n
    @AbeidHassan-f8n Місяць тому

    ,
    , nawapenda wote,

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 4 місяці тому +1

    😅😅😅😅😅

  • @RajabuAmir-cl3ke
    @RajabuAmir-cl3ke 3 місяці тому

    yani tanesco ana bei kuliko rea

  • @RashidMuhawi
    @RashidMuhawi 2 місяці тому

    Makonda nakuelewa sana

  • @HancyHancy-wn5et
    @HancyHancy-wn5et 3 місяці тому

    Makonda sijui nisemeje tu

  • @CharityBaran
    @CharityBaran 2 місяці тому

    Upo vizuri baba

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 3 місяці тому

    Acha upuuzi militia kwanza

  • @AbdullyCharles
    @AbdullyCharles 3 місяці тому

    Kaka gombania na uraisi

  • @RajabuAmir-cl3ke
    @RajabuAmir-cl3ke 3 місяці тому

    rajabu

  • @RuthMalisa-c1h
    @RuthMalisa-c1h 3 місяці тому

    BwanaYesu akufunike Makonda

  • @RozmaryAgutu-d5k
    @RozmaryAgutu-d5k 2 місяці тому

    2000

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 місяці тому

    SUPANA ZIENDELEHE PEMBE ZOTE ARUSHA 😂😂😂

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew 4 місяці тому

    Makonda alikuwa sahihi

  • @benjaminierick8274
    @benjaminierick8274 3 місяці тому

    Mungu akulinde

  • @CalmOmbreSky-iz2hj
    @CalmOmbreSky-iz2hj 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 місяці тому

    Wizi mtupu😢

  • @PhirimoniMwakalili
    @PhirimoniMwakalili 3 місяці тому

    😂aaa

  • @RozmaryAgutu-d5k
    @RozmaryAgutu-d5k 2 місяці тому +1

    Ongera bb

  • @loveness09-k
    @loveness09-k 4 місяці тому

    🙆🙆🙆🙆 21:23

  • @ChescoJohn-gc8qt
    @ChescoJohn-gc8qt 3 місяці тому

    Tunaomba Mr.rais amluhusu ndungu makonda awezekuhudumia kira mkoa mwaka mmoja mmoja make ni mtetez wa wanyonge

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 Місяць тому

    Mazuri yapi anayoyafanya huyu taperi?

  • @uzungupoint
    @uzungupoint 4 місяці тому +2

    SOIL TEST 10M😂🙌

  • @josephbosire4788
    @josephbosire4788 3 місяці тому

    Mondamano