Asante sana kwamaneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu sikuzote Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu ya utume ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu yote amina
I got them HABARI ZA YESU [Wajulisheni habari, wajulisheni wote, wajulisheni habari za Yesu ziwafikie Habari za Mungu wetu, habari za utukufu, i, habari za Yesu wote ziwafikie] x2 1. Waambieni ya kwamba kwa Yesu, kuna Baraka, wasihangaike wajee kwa Yesu awabariki. 2. Waambieni ya kwamba kwa Yesu, kuna faraja, wasihangaike wajee kwa Yesu awafariji 3. Waambieni ya kwamba kwake kuna uponyaji, wasihangaike wajee kwa Yesu, wote wapone 4. Waambieni ya kwamba Duniani na mbunguni, Yesu ndiye mtawala wa vyote milele yote
Kwa wale hawana habari alama ya mnyama iko karibu kuwekwa na ndio Sunday law,italazimishwa kote duniani yule yeyote atafanya Ibada hio siku atakua ameshapokea alama ya mnyama,nawasihi wote muanze kufanya ibada zenu sabatu na msome bibilia
Safi sana vijana wa Yesu. Nimepnda ubunifu wa mazingira ambapo mnataka neno la Yesu lifike. Next time ifikishe kwa wale Tour guides wa mlima Kilimanjaro na madhali zake, mtaona matokeo yake hata internationally. Utalii na kupata dawa (Injili)
Mungu awabariki ninyi nyote mlioimba kumfikishia mwenyezi mungu ujumbe ..kuanzia sasa naanza kuimba kwaya..maana mandiko matakatifu yanasema amwimbiye bwana naye husari mara mbili
Winnie Avit ni kweli lakini wanasema utii ni bora maana unakuta unatoa mawazo wengine wanasema tuwaachie viongozi sio wote wameishaona kazi za rajo lakini wako vizuri sana
Very nice words inside that song ❤❤❤ without Jesus we are all nothing 💯💯💯💞💞✔️✔️,
mpigaji kinanda upo vzuri brother,
Mungu awabariki waimbaji wt kwa kweli napenda sana
Organist hongera sana kwa kuchezea batani ipasavyo
Amen 🙏🙏🙏
Hii imeenda hii imeenda
Wote wanaopenda RC like tujuane
Kama kawa rc
Asant
sa
Nyiye watu mungu awatunze maana mnaweza kunikosha
Kama umeikubali safu ya gereji wapo vizuri tupia like hapa
Ray Ufunguo uko juu kaka, nakumbuka kipindi ukiwa Umbwe parishi nilipenda kusali ibada uliyopiga kinanda mkuu....
Simone hao majamaa in Nouma hatari
@@thomasdeo9309 kweli bro
Sauti tamu..Mungu Awabariki
@@poulinmwikali2900 kbsaaaa
ooh wajulisheni habari za yesu ziwafikie
Wajulisheni habari ya yesu wote iwafikie..ujumbe mzuri sana..Hao vijana wa gereji mko juu tu sana.
we are proud to accept the responsibility kuwajulisha watu wote HABARI ZA YESU.Be Blessed!
Asante sana kwamaneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu sikuzote Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu ya utume ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu yote amina
Asante sana
hongereni sana
Asanteni sana.Wimbo umenisisimua mno. Nashidwa hata namna ya kusema.Mbarikiwe sana.
wapi like za mafundi gereji
Hata mm sijaona Mafundi gereg jaman
Been snging this song all day.
Who has the lyrics please.
To make max noise.😀😀😀
I got them
HABARI ZA YESU
[Wajulisheni habari, wajulisheni wote, wajulisheni habari za Yesu ziwafikie
Habari za Mungu wetu, habari za utukufu, i, habari za Yesu wote ziwafikie] x2
1. Waambieni ya kwamba kwa Yesu, kuna Baraka, wasihangaike wajee kwa Yesu awabariki.
2. Waambieni ya kwamba kwa Yesu, kuna faraja, wasihangaike wajee kwa Yesu awafariji
3. Waambieni ya kwamba kwake kuna uponyaji, wasihangaike wajee kwa Yesu, wote wapone
4. Waambieni ya kwamba Duniani na mbunguni, Yesu ndiye mtawala wa vyote milele yote
Here in Kenya we live for Tanzanian's Catholic songs. Dont stop! Proudly Catholic. Proud neighbors!
0
00alasiri😊😊😊
Op
0
00😊9p
thanks members
hongera Sana wanakwaya Jimbo la Moshi kwa namna ya pekee nampongeza mpiga kinanda daaah it seems to be so good hongeraaaa Sana
Safi sana bwana mimi pia ni mwanakwaya sauti ya pili ( alto mpooo!!!) Jennifar from migori kenya
Kuna nyimbo inaitwa bwana bwana atatubariki siku zote za maisha yetu anaeijua
Hongereni xna wanakwaya wa mt George mungu azd kuwatia moyo mzd kututumbuiza
Nimefurahishwa na kazi yenu, mbarikiwe sana ndugu zangu
Hongereni sana
Namuona Colman Ufunguo hapo.. & Mshanga ....classmate wangu....hahaaa
Salamu sana kutoka Florida USA🇺🇸
Ray Ufunguo hata sijui nikuambie nini...ujue hamna kwaya uliyoipigia kinanda ambayo sijaiona. Mungu akujibu sawasawa na utumishi wako.
Proud of you brothers and sisters!! Big up and go ahead!!!
Amina tutawajulisha popote pale zitafika mbarikiwe sana mpiga kinanda hongera sana na Mungu azidi kukubariki na kukutumia ipasavyo
Nice
Hongera sana nikisikiliza huu wimbo napata faraja sana
wajulisheni habari ee!!!kazi nzuri sana rajo mko juu. mzidi kubarikiwa sana wanakwaya wote
huu mwimbo unanifariji mbarikiwe sa
toa tna
NIMEWAKUBALI 100℅ UJUMBE MZURI NA HASA ULIVYO ANDALIWA, SAFI SANA. HABARI ZIME ZIMENIFIKIA. THENGS!!!!!
hajawah niangusha👍👍👍
Director umenifurahisha habari za yesu kufika Garage
kabisa Alphonce
Mungu uzidi kuwapa mainjilishaji Hawa moyo wa kuinjilisha neno lako
Great plus good dancing you are really talented
safi sana
Wewe Rajo nasisi tunatamani sana kufanya kazi na wewe kazi zako ziko poa sanaaaaaaa
Mnanibalik saana
Habari, tunaendelea kuwajulisha ndugu 📗📗, wimbo mzuri Sana.
Nyimbo za kusifu
hongelen Sana nimependa Sana Jamaa WA gerej
Huu wimbo naupenda saaaaana,ni yenye nguvu saana
ndugu zangu wa faida walioweka chapa ya wema kwenye moyo wangu,ni baraka sana kukutana na nyiye...l miss everything from you brethren⚘⚘❤
rajo unatishaa babaa hongera sanaa kwa kipaji ambacho Mungu amekiweka ndani yako
Asante sana Eva. Ubarikiwe sana
Hongereni sana na Mungu azidi kuwapa ufunuo.
Hongereni sana wanakwaya wa Mt Gregory kwa kazi nzuri mnatuwakilisha vema parokia Yetu ya Kristo Mfalme Moshi
መፈሰለፐጀሀ
Ditram Mlelwa
Asanteee mungu wambinguni kwakuwaleta watu Hawa wainjilishaji kwanjia ya nyimbo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥💖💖💖💖💖
Asante sana Epifania
Utume mwema
The song is mwaaa kwanza sauti yangu alto iko poa..habari zimenifikia
Wapo vizur wanaimba vizur sana mungu awabariki wote
Nice. Song
Huyu dem ako na bibilia, ay, napenda kicheko ako nayo.. Ni mrembo zaidi. Hi wimbo ni tamu saaaaaaana!!
Safi sana, mtukuze Mungu kwa uumbaji wake
Ok mmetimiza wajibu wenu,injili imetufikia,mwenye masikio na asikiye.......
Mpiga kinanda kweli ananibariki mungu amtie nguvu
jaman nyimbo nyingi nimeangilia alizo cheza kinanda huyo kaka yupo vizur mungu akuzidishie nguvu ufanye vizur Mara mbili yake
Huyu Jamaa hatar
Sasa tafta nyimbo moja inaitwa Bwana unibadil ndo utamwelewa huyu anapga kinanda balaa
Levanjil
Oliva Tibenda hata Mimi pia namuona kwenye kwaya nyingi..mungu amzidishie Mara mia
Yaani ni noma,yupo huyu na Baraka Mashibe ni noma.
wow wow wow. this is one of the best catholic videos I have watched. THIS IS AN AMAZING HYMN
ahsanteni sana kwa ujumbe mzuri, pia nawapenda sana
in deed a well performed art, be blessed for your wonderful evangelisation
Waoooo jamani nyimbonzurizana kwayesu kunaraha
Kwa wale hawana habari alama ya mnyama iko karibu kuwekwa na ndio Sunday law,italazimishwa kote duniani yule yeyote atafanya Ibada hio siku atakua ameshapokea alama ya mnyama,nawasihi wote muanze kufanya ibada zenu sabatu na msome bibilia
Soo nice..imetufikia hapa Nairobi
Hongeren sana wimbo uko pow sana hasa wale jamaa kma mafundi makenika pow sannnnaaaaa
Kabisa kwa Yesu kuna mengi mema, asante kwa ujumbe mzur
Waooo mnapendeza Kweli kuinjilisha habar za Yesu, nimependa sana
Mungu awabariki sana nyimbo nzuri na wapata huku 🇺🇸 💯
Hakika wako vizuri,Mungu bariki waimbaji wote wa kwaya hii. kweli injili ya bwana ijulishwe pote duniani
Bravo,good job indeed. Nimebarikiwa sana,hongereni kwa uimbaji mzuri na ubunifu wa ki pekee
Sana
Ubarikiwe sana Felister
Hongera sana brother Rajo uko powa
Safi sana vijana wa Yesu. Nimepnda ubunifu wa mazingira ambapo mnataka neno la Yesu lifike. Next time ifikishe kwa wale Tour guides wa mlima Kilimanjaro na madhali zake, mtaona matokeo yake hata internationally. Utalii na kupata dawa (Injili)
Nawaelew san
Hongereni sana kwa kazi nzuri. Hakika nabarikiwa sana na wimbo huu.
Mungu awabariki ninyi nyote mlioimba kumfikishia mwenyezi mungu ujumbe ..kuanzia sasa naanza kuimba kwaya..maana mandiko matakatifu yanasema amwimbiye bwana naye husari mara mbili
Where else can listen this song other than u tube
Wajulisheni habari za yesu wote ziwafikie.mbarikiwe sana
Amen!!
Fundi gereg piga keleleeee 🥰🥰🥰
Mbarikiwe na bwana
Nyimbo nzuri sana ongereni
Imani ya bwana i we nanyi
Nice praise from the ladies, i miss seeing this humble, un exaggerated moves. Teach other choirs to stop dancing like pagans
Kwaya hii wanaimba vizuri na wanajua wajibu wao ni upi katika kutangaza neno la Bwana.
Wimbo imekaa vzuri sana Kazi njema inatia baraka Ila hao wa gereji c mchezoooo big up..
Huyo mpiga kinanda yuko sawa,Rajo production pia.Hongereni sana.
mmeimba vizuri sana na video nzur hongereni
Lunya gosipel
Hatar Sana mabogo mungu anakuona
Wazee Wa gereji mmetisha sana....kongole kwenu ase.
Asante RAJO kwa kinanda Makini
Nawapenda mno habari za yesu zmetufkia kwa unjilishaji wenu wa uimbaji 😍😍😍💯😋
Rajo kwa kweli kazi zenu nzuri,mi sio kiongozi wa kwaya ila natamani tukirekodi tuwatumie ninyi,sasa uongozi uwa una mapenzi yake ila napenda sana
Asante Agness. Tumshukuru Mungu
Kwa kweli kila kazi yenu nikiiangalia naipenda sana mko vizuri sana kizur chajiuza
Dada Agness kwaya si ya viongozi, maamuzi ni ya wote kutaka kitu kizuri ni ninyi kuamua msiwaachie viongozi, kaeni mnie na kuamua mamoja, oky....
Winnie Avit ni kweli lakini wanasema utii ni bora maana unakuta unatoa mawazo wengine wanasema tuwaachie viongozi sio wote wameishaona kazi za rajo lakini wako vizuri sana
@@winnieavit5985 Maneno mazito
Wajulisheni ha bari za Yesu wote ziwafikie.Mmejua kunifurahisha mbarikiwe sana
Aiseeee mumeimbaaaaaa
Amina sana Mungu Mwenyezi awabariki kwa zawadi ya uinjilishaji wa nyimbo👏👏👏🙏🙏🙏
Mmmh jamani mtunzi ,waimbaji na rajo production hongereni sana mmeonesha upendo katka Kristo hongereni sana
Ubarikiwe sana Emmanuel.
Woooo pongezi sana nyimbo nzuri sana
Hongereni mungu awabariki kwa utume
Nice. Napenda Kiswahili songs sana
nathann banda shukrani
Tumtangaze kristo kwa nyimbo
Nimetumwa kuitangaza injili kwa mataifa ...!
mpangilio mzuri sana, hongera muongozaji(director)
Safi sana
WOW...... Mungu atukuzwe Milele hongereni sana Wanakwaya Mt. Gregory Mkuu
Asante sana Winnie
Nimeupenda sana huu wimbo...,haswa nikimuona mkwe wangu Aunt Inno
Mwakasege lango LA mzaliwa wa kwanza
Hongereni sana wanakwaya wa Mt.Gregory Mkuu kwa kazi nzuri
Hongereni sanaaaaaa
Tumsifu bwana wetu yesu Kristo milele na milele.proud to be a roman Catholic believer...
Jamani hii nyimbo naipenda sana Ila Luna neno slielewi wajulishe,,,,,neno linalofuata