For I know the plans I have for you,” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future." This verse comes from Jeremiah 29:11 awww ❤🎉 this song is sooo nice 👍 I just find myself here almost all the time
Sauti ya kwanza na ya pili zimenikosha ... kiitikio na mashairi ni balaaaaa ...mko vizuri ... ****nami nitawarudisha.....👌👌 Ila mtu ukishapenda wimbo utapenda kila kitu aiseee ...
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
Bwana asema mawazo ninayowawazia nyinyi ni mawazo ya Amanii Wala co ya mabaya.....❣️ Akiiii sichokii kusikilaliza hii nyimbo munguh awabariki vijana wa yesu
Kazi nzur sana , lakn tujiulize ss vp nyimbo zetu tunazozitunga baada ya miaka 20 au 30 zitakuwa na ubora kama za hawa wazee wetu wa enzi ,nimpongeze bwana mmoja abaitwa shaneri komba ,nyimbo zake zitadumu kama za mzee mgandu , pia R I P mwalimu sasita naye alikuwa bora sana
Angelic voices!!!! Sichoki kamwe kuuskiza wimbo huu mzuri sana,,,,, twapenda uimbaji wenu kwa sana na siku moja yaani mimi hutamani niwaskize mkiimba kwa karibu👏👏hongera nduguzanguni watanzania
@@lawrencesilas3050 Mwaliko huo naungoja kwa sana......Lakini itabidi kwanza nijifunze kiswahili sanifu 😅 Mwendelee kumshukuru Mungu kwa nyimbo na sauti nzuri......Mungu awazidishie baraka zake
Wow, wow, wow, wow Mapendo,,,,,,, sichoki kuskiliza huu wimbo,,, mbarikiwe sana, ongezen na zingine na nawashaur muwe na Albam yenu kabisaaa,, keeep it guy's Kristo,,,,,,,
Wow! Simply incredible. Please give us more of this. My heart is touched,blessed,and eyes teary. Jesus i love you,thank you for loving me so much each second of my life!
A year later and am still in love with this song. It reminds me that a year ago, i was battling mental health/depression, but Jesus made my story beautiful. Thank you for always reminding me how Jesus has better plans for me everyday despite being a sinner. I still love you guys.
Ameen. Huu wimbo nimerudia maradufu💥💯🔥🔥. Huyu sauti ya mashauri umetishaaa. Pumzi ya kutosha. Bass hatarii. Mpo vizuri. Mungu awariki kwa utume kwani nimebarikiwa.🙏
Yaan huyu kaka ana pumzi hatari na bado anadai ha ha haaa wakati mwenzangu na mm hadi jasho limenitoka kwa kweli glory to God hakika Mungu ana vyombo vya sifa
Tunashukulu sana warim wetu kwa kutuijilisha kwa wimbo huo( bwana asema uliotungwa na baba waimani John mgandu, mungu ailaze loho yake mahari pema/ na mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa Amani/ Amina.
Kazi nzuri sana... Hongera sana Rajo Production kwa ubunifu katika kueneza neno la Mungu kwa njia ya uimbaji... Talanta tulizopewa zinapotumika Mungu anahimidiwa na wanadamu tunapata baraka... Keep it up Mwl. Ray Ufunguo👏🏿👏🏿👏🏿
Mungu azidi kuwainua rajoprodaction naitwa aleluya kutoka kibosho umbwe parokia ya umbwe naomba mtoe albam mpo vizuri. Izosauti kama mapdre au mafrater hivi au mashemasi
Rajoproduction nawafutiliaga sana ni Mimi Tibeti au Aleluya kutoka kibosho umbwe kombo sokoni ( parokia ya utukufu wamsalaba ubwe ) 0652528673 napenda sana kwaya mungu awabariki
kwakweli mumenigusa sana pia nimejifunza jambo kuwa umoja ni nguvu mwenyezi mungu awajazie hazina zenu mbinguni na hapa mbinguni kaka swai pambana nilijua ni kinanda tu uko vizuri sana kaka mkubwa
Dominika ya kuimba huu wimbo inapokaribia moyo wangu hutamani kuendelea kuuimba hata baada ya Dominika hiyo kupita. Sasa mmenipatia mahala pa kuupata kila nitapohitaji. Ahsanteni sana wimbo mzuri mmeuimba kwa sauti za unyenyekevu kabisa zenye kubariki..
Barikiweni sana kwa Kazi nzuri, bila shaka mlifanya kama marafiki tuu, lakini tambueni neno la Mungu haliludi bure. Mmewabariki wengi mimi ni mmojawao, endeleeni kutumia karama zenu vyema kila msikiapo Sauti yenye kuwatuma kutenda hayo bila ubishi.
Binafsi ninashangazwa na hizo thumbs down 2. Loh! Wimbo sio tu umewasilishwa vizuri bali uimbaji uko bora sana na roho ya uinjilishaji inatia uhai kwa wote waitazamao hii video. Msikate tamaa RAJO!
@@rajopro jitahudini muweke translation ya kiingereza itapendeza kwa wale hawajui kiswahili kuelewa na kuinjilishwa...na hao ndio wanaodislike video maana hawaelewi kinachoongelewa
The more time goes #RAJO PRODUCTIONS become more talented and producing good work with full of skills may the almighty God integrates your skills and knowledge. Amen 😚😚😚 I like it
Amina, Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya uinjilishaji mnayoifanya. Nafarijika sana kila nisikiapo wimbo huu. Mliimba vizuri saana na kwa utulivu mkubwa. Asante sana
I will translate for you.Lord says the thought I have for you are thoughts of peace and not of bad plans.You will call me and I will listen to you and I will restore all that is lost...
Umri wa nyimbo ilipotungwa (1995) ni umri wa mtu mkubwa kabisa kwa sasa lakini wameutendea haki kama unakubaliana na mimi like hii comment
Iiiiiiiiiiiiijjjijjjjjjjjijjj
im
Mmmmmj
Ijmmi
Mijjk
Napenda kweli mungu anatuwazia mema
Huu wimbo sichoki kuuskiliza,kaka zangu mmeimba powa kweli ujumbe ndousiseme.mngekuwa hamjaowa ningeomba Mungu mpk aniskilize mojawapo anioe
Omba nawe utapata
@@josephlango5591 Amina
This is the song that got me in touch with gospel music from Kenya. Melodious voices from all the four guys.Keep it up brothers in Christ
Safi sana dah yaaaaani mmenikosha sana
Good voices kaka zangu ongera
Kazi nzuri sana,kila siku nausikiliza. Big up,kazi iendelee.
Kweli nmeipenda hii mmbarikiwe Sana ndugu
Mnanifariji sana
Mungu awabariki
Maorganist ...safi sana
This song makes me feel like I have no worry in Jesus since his plans for us are those of peace... 🙏🙏🙏
For I know the plans I have for you,” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future." This verse comes from Jeremiah 29:11
awww ❤🎉 this song is sooo nice 👍 I just find myself here almost all the time
Wherever you are John Mgandu Mungu akupumzishe kwa amani..your songs still hit since 1995 up-to-date
Wimbo wenye kuniweka katika tafakari ya upendo wa Mungu kwa kwetu. Mbarikiwe sana
I like how ray ufunguo anavyoimba mungu ambariki kwa kweli❤❤❤❤❤
Be blessed.
Naipenda katoriki zaid kupitia ray ufunguo imbaaa jamooon mpaka uzeekee I wish nkuoneee .
Sauti ya kwanza na ya pili zimenikosha ... kiitikio na mashairi ni balaaaaa ...mko vizuri ...
****nami nitawarudisha.....👌👌
Ila mtu ukishapenda wimbo utapenda kila kitu aiseee ...
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
SALUTE!!!!!
Bwana asema mawazo ninayowawazia nyinyi ni mawazo ya Amanii Wala co ya mabaya.....❣️ Akiiii sichokii kusikilaliza hii nyimbo munguh awabariki vijana wa yesu
Kazi nzur sana , lakn tujiulize ss vp nyimbo zetu tunazozitunga baada ya miaka 20 au 30 zitakuwa na ubora kama za hawa wazee wetu wa enzi ,nimpongeze bwana mmoja abaitwa shaneri komba ,nyimbo zake zitadumu kama za mzee mgandu , pia R I P mwalimu sasita naye alikuwa bora sana
Naomba tubarikini kwa wimbo mwingine tafadhali
Nawapenda sana tumtukuze mungu daima amiinaa
Angelic voices!!!! Sichoki kamwe kuuskiza wimbo huu mzuri sana,,,,, twapenda uimbaji wenu kwa sana na siku moja yaani mimi hutamani niwaskize mkiimba kwa karibu👏👏hongera nduguzanguni watanzania
Usijal soon tutaku invite
@@lawrencesilas3050 Mwaliko huo naungoja kwa sana......Lakini itabidi kwanza nijifunze kiswahili sanifu 😅 Mwendelee kumshukuru Mungu kwa nyimbo na sauti nzuri......Mungu awazidishie baraka zake
Usijal shall teach you proper swahil
Mko vizuri hongereni kwa mziki mzuri
Mabogo in action congrats,injili isonge mbele...fid vibes 👌🔥
This is my best bible verse Jeremiah 29;11 ever,God bless you all
I like it, it always rings in my mind like an alarm
Mob love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰
Be blessed my dear sister
Wow, wow, wow, wow
Mapendo,,,,,,, sichoki kuskiliza huu wimbo,,, mbarikiwe sana, ongezen na zingine na nawashaur muwe na Albam yenu kabisaaa,, keeep it guy's
Kristo,,,,,,,
Wow! Simply incredible.
Please give us more of this.
My heart is touched,blessed,and eyes teary.
Jesus i love you,thank you for loving me so much each second of my life!
nawapenda na sauti zenu kweli mnanipa motisha ya kuishi maisha kikatoliki.mungu awe pamoja nanyi ndugu zangu
Big up sanaaaa
Hogeleni sana kwa kuzingatia maadili babu j
Proud to be a Catholic
Ningeweza kuhamia huku singefikiria mara mbili katu!
Rajo productions is just super 👌 and 🙌
Asnteni sana,nimebarikiwa mno
Hongeren sana watumishi
A year later and am still in love with this song.
It reminds me that a year ago, i was battling mental health/depression, but Jesus made my story beautiful.
Thank you for always reminding me how Jesus has better plans for me everyday despite being a sinner. I still love you guys.
Be Blessed Angie
@@rajopro mw
@@rajopro mw
Ameen. Huu wimbo nimerudia maradufu💥💯🔥🔥. Huyu sauti ya mashauri umetishaaa. Pumzi ya kutosha. Bass hatarii.
Mpo vizuri. Mungu awariki kwa utume kwani nimebarikiwa.🙏
Amina Dada yetu
Yaan huyu kaka ana pumzi hatari na bado anadai ha ha haaa wakati mwenzangu na mm hadi jasho limenitoka kwa kweli glory to God hakika Mungu ana vyombo vya sifa
Safi Sana kaka zangu
Mbarikiwe sana mmeimba vizuri,,, Mungu awazidishie nimeipenda
Bravo RAJO'S PRODUCTION👏
Mawazo ninayowawazia ni mawazo ya amani, asante Muumbaji wetu kwa vipaji vya vijana hawa
Tunashukulu sana warim wetu kwa kutuijilisha kwa wimbo huo( bwana asema uliotungwa na baba waimani John mgandu, mungu ailaze loho yake mahari pema/ na mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa Amani/ Amina.
Amina
Depuis Kinshasa que j'ai écouté cette belle mélodie. Que Dieu vous bénisse abondamment.
Mimi binafsi naomba namba ya simu ya huyo jamaa alie imba mashairi
Nice song guys 🙏🙏
good job guys may GOD CONTINUE blessing ur talents
Amina wakristo wenzangu napenda sana ndini yangu Mungu anitie nguvu asiniingie shetani kukanusha ukatorikiwangu🎉🎉🎉🎉
Amina sana Mungu wapiganie wanao wa katoliki wazidi kutukuza baba
Wooh mungu awabariki sana uinjilishaji mwema
Wow. Sauti zuri. Mungu awabariki na awalinde. Mawazo Bwana awatuwazia ni ya Amani. Swahi nakumbuka ukitufunza huku Kenya miaka Mingi. Barikiweni Sana.
Daaaaa nimejikuta nikifurahia hongereni Sana mpo vzr
Aliye imba shairi kamtendea haki mtunzi. Itz very fantastic
Kazi nzuri sana... Hongera sana Rajo Production kwa ubunifu katika kueneza neno la Mungu kwa njia ya uimbaji... Talanta tulizopewa zinapotumika Mungu anahimidiwa na wanadamu tunapata baraka... Keep it up Mwl. Ray Ufunguo👏🏿👏🏿👏🏿
Asante sana Arnold
Greetings in the Lord from Kinshasa, DR Congo. Sounds like male angels singing!!! Formidable!!!
Mko vizuri wazee
Very attractive
Wala sio mabaya. Nanyi mtaniita, nami nitawasilikiza nami nitawarudisha.... Wako vizuri mno.
Wimbo wa katikati misa ya kumuaga ya Mazishi Magufuli
Mungu azidi kuwainua rajoprodaction naitwa aleluya kutoka kibosho umbwe parokia ya umbwe naomba mtoe albam mpo vizuri. Izosauti kama mapdre au mafrater hivi au mashemasi
Rajoproduction nawafutiliaga sana ni Mimi Tibeti au Aleluya kutoka kibosho umbwe kombo sokoni ( parokia ya utukufu wamsalaba ubwe ) 0652528673 napenda sana kwaya mungu awabariki
Ndugu zangu, kweli mumenibariki kabisa. Mungu baba yetu awakumbuke kupitia kipaji hiki. Claude / Bukavu-DRC
Hongereni Mapacha wanne Utulivu 100% na ujumbe safi actually its in good memory of our lenged Composers
I like the song hongera wanachoir
Congratulations brothers
kwakweli mumenigusa sana pia nimejifunza jambo kuwa umoja ni nguvu mwenyezi mungu awajazie hazina zenu mbinguni na hapa mbinguni kaka swai pambana nilijua ni kinanda tu uko vizuri sana kaka mkubwa
Dominika ya kuimba huu wimbo inapokaribia moyo wangu hutamani kuendelea kuuimba hata baada ya Dominika hiyo kupita. Sasa mmenipatia mahala pa kuupata kila nitapohitaji. Ahsanteni sana wimbo mzuri mmeuimba kwa sauti za unyenyekevu kabisa zenye kubariki..
Barikiweni sana kwa Kazi nzuri, bila shaka mlifanya kama marafiki tuu, lakini tambueni neno la Mungu haliludi bure. Mmewabariki wengi mimi ni mmojawao, endeleeni kutumia karama zenu vyema kila msikiapo Sauti yenye kuwatuma kutenda hayo bila ubishi.
Hakika sichoki kusikiliza huu wimbo barikiwa sana
Miaka mingi kwenu ili mzidi kufanya kazi yake zaidi na zaidi Mungu awabariki sana
Nice song still here on July 13 2021
Nabarikiwa sanaa
Barikiweni vijana hawa leo nimebarikiwa kwa kazi yenu
nzuri sana hongera
Binafsi ninashangazwa na hizo thumbs down 2. Loh! Wimbo sio tu umewasilishwa vizuri bali uimbaji uko bora sana na roho ya uinjilishaji inatia uhai kwa wote waitazamao hii video.
Msikate tamaa RAJO!
Neno kama hili la nguvu kutoka kwa mtu kama wewe linatia moyo sana kaka. Tunamshukuru Mungu.
Hao watu wa 👎 huwa wapo tu.
Hongereni kwa wimbo mzuri.
Kuna wale hawaelewi 👍na ile nyingine.. Wimbo mtamu, kazi safi
@@rajopro jitahudini muweke translation ya kiingereza itapendeza kwa wale hawajui kiswahili kuelewa na kuinjilishwa...na hao ndio wanaodislike video maana hawaelewi kinachoongelewa
@@csato9415 na hupaswi kuwalaumu maana uwezo wao wa kufikiri uko hivyo, la muhim ni kuwaombea
The more time goes #RAJO PRODUCTIONS become more talented and producing good work with full of skills may the almighty God integrates your skills and knowledge. Amen
😚😚😚 I like it
Thank you Anthony. May God Bless you.
@@rajopro Amen
Mwenyekiti wangu wa vijana lawrance uko gud
Amina, Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya uinjilishaji mnayoifanya. Nafarijika sana kila nisikiapo wimbo huu. Mliimba vizuri saana na kwa utulivu mkubwa. Asante sana
Hakika Mungu amewapa utume mzuri, mwimbieni Bwana maana ametukuka, jina lake lihimidiwe
Congratulations!!
From. Njombe.. Kibena Fabiani Mungu azidi kukutumia katika Alantah yako najivunia kuwa na kaka kama wew. Ernerster sanga
Hongera sana Mwl Tumaini Swai, Lawrence, na rafiki zenu. Mungu Amewajalia talanta kubwa. Endelea kuitumia kumwimbia Yeye.
Hongereni Mungu amesikia kilio chetu cha ugonjwa wa corona
Nafarijika sana kila nisikilizapo huu wimbo. Asanteni sana sana ndugu katika Kristu kwa kutuinjilisha. Mungu awabariki.
Miss u sr Donatha miaka 11 tangu nikuone. Nakutakia kila jema ktk utume wako. Milima haikutani binadamu hukutana ipo siku tutaonana our Champika
@@naomibenjamini2088 Asante sana.
C kwa utulivu hu nawaona vijana wa yesu mko vizuri Kwan kilakitu tukirudi kwenye upigaji kinanda mnacharaza hongereni sana 4 people
I don't know which language.... But it is very peace to hearing this song...God bless you all.... Wonderful job which you did....
I will translate for you.Lord says the thought I have for you are thoughts of peace and not of bad plans.You will call me and I will listen to you and I will restore all that is lost...
@@michellemuyama9144 Thank you brother..... God Bless you.....
Let me know this song which language....?
@@josegideon4298 this is Swahili language mostly used in Eastern part of Africa mostly in Tanzania and Kenya.
It is swahili Language, a national language for the country named Republic Union of Tanzania in East Africa.
Sauti y'a utukufu
Nyimbo nzuri sana inaubora sana
Kazi nzuri mnayoifanya kueneza injili may God bless you abundantly.
hizi ni karama adimu
Ooooow nimeipenda sana jamani. Mungu awabariki kaka zangu.
Sauti nzuri mungu awabarik
Nawapenda bure kaka zangu kwa uimbiji wenu
Namuona bro lawrence ktk ubora wake congrats to all 🌹🎉🎇👏👍
Mbarikiwe sana vijana
Amina,,mungu awabaliki
Sisemi kitu Bali mungu awabariki.
Tam sana.
Mbarikiwe wapendwa
Amina sana mate wng
Hakika Mungu awatumie ktk viwango na viwango,nimetafakar maneno mazito
Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo.... Mbarikiwe watu wa Mungu
Amina sana barikiwa
🙏
Mungu azidi kuwatumia tupate kazi zingine nzurii zaidi. Kuimba ni raha sana. Hongereni sanaa
Asante sana Bujune
Pongezi Mungu awazidishie neema ya kibali🤞
Asaenteni sana kwa kuimba vizuri.kibondo tumewakubari
Hongereeeeni sanaaaaa....mbarikiweeee...viva Roman Catholic church
Tunarekodi.......hahaha ....akhi napenda kazi yenu
Nimependa hio tokarajo