Rais Samia, unafanya kosa kubwa kwamba hadi sasa hujapongeza uchaguzi ulivyofanywa CHADEMA. Kosa kubwa hujampongeza mshindi kwenye uchaguzi ule. Kama mManzania nasema wazi nasikitishwa sana na ukimya wako. Hujasikia, hukitakii CHADEMA, hupendi demokrasia, una chuki na Lissu, umetaharuki, umepatwa na lipi?

Wazee wengine ni shida