MENEJA WA MAJI AMCHEKESHA RC MAKONDA NA KUISHANGAZA DUNIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 чер 2024
  • #AdilTV

КОМЕНТАРІ • 27

  • @DidierAKILIMupimbidjumaDidier
    @DidierAKILIMupimbidjumaDidier Місяць тому +11

    Mimi namushangaaa sana Makonda AKILI kuuu sana ndugu yangu Mungu akubariki sana ndugu yangu makonda

    • @edrisalusonge4141
      @edrisalusonge4141 Місяць тому

      Hawa wakuu wa mikoa wengine sijui sio wanachama wa ccm

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 Місяць тому +4

    Ni kweli Wananchi wanaharibu Bomba ndo sababu Maji hukosekana sehemu nyingine asante

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Місяць тому +4

    Be blessed 🙏🙏 makonda,tunaomba rais asikutumbue, watanganyika tunaibiwa sana na hawa watu wa serikalini,

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 Місяць тому +6

    Kwa kweli muheshimiwa Hawa idara ya Maji Mkoa wote wa Arusha lazima wasimamiwe vizuri sanaaaa.

  • @user-lz1qj6ck3m
    @user-lz1qj6ck3m Місяць тому +1

    Makonda nakujaaa, idara ya maji ni shida ninatumia ndoo 10 Kwa wiki moja lakini bili naletewa 30 au 25

  • @gweremuhidini4204
    @gweremuhidini4204 Місяць тому +9

    Magufuli bado tunae

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Місяць тому

    Makonda Mungu azidi kukutangulia...

  • @daudimwaipaja1734
    @daudimwaipaja1734 Місяць тому +3

    Makonda hoyeee❤❤

  • @HitamiIbrahimu
    @HitamiIbrahimu Місяць тому

    Makonda nimekufwatilia sana tangu ikiwa mkuu wa mkoa wa daresalam na mpito uliopita nilikuwa sikuelewi ila kuanzia ulivokua muenez mpaka mkuuu wa mkoa wa arusha nimekuelewa sana piga kazi mkuuu

  • @nasmabanda6340
    @nasmabanda6340 Місяць тому

    NIKWELI WANAIBA MAKONDA

  • @rofacoltanzania589
    @rofacoltanzania589 Місяць тому

    The Guy is not compitent enough... Huyu injinia hayupo sawa

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Місяць тому

    Maji ya kutosha Tanzania yapo
    ila pesa za kuchimba visima na mabomba zinaliwa na wanasiasa pamoja wateule wa
    wanasiasa hao kama kina Makonda.

  • @drtobias_
    @drtobias_ Місяць тому +3

    Kuhudumia wamasai inahitaji Moyo

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Місяць тому +3

    😂😂😂Makonda Oyeeee

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 Місяць тому +3

    Magufuli katuachia mwana Mungu akupe maisha malefu

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Місяць тому +2

    Huyu meneja wa maji mbona Anaonekana mlevi wa pombe mbovu kapata Meneja kwa Uchawi au ndugu yake mkubwa kamueka umeneja???😂😂Ajui kwa siku litter gapi Anakunjwa😮😮😮

  • @alichengilangwa1361
    @alichengilangwa1361 Місяць тому

    Bana baba Hawa wanatutesa kote tu?

  • @jeshimungiki5793
    @jeshimungiki5793 Місяць тому

    Hahahaaaaa mtaalamu wa maji hajui binadamu anatakiwa anywe maji kiasi gani.. kiongozi huyo wa serikali vituko sana

  • @HitamiIbrahimu
    @HitamiIbrahimu Місяць тому

    Ipo siku utakuja kuwa rais wa jamhur yamuungano wa Tanzania utakuja kunikumbuka kwa huu utabiri wangu

  • @uziasinkamba7380
    @uziasinkamba7380 Місяць тому

    Mradi wa maji momba tarafa ya msangano wenye pesa nyingi bilion 6.7 mpakaleo nikituko wamepewa watu kuchimba mifeleji ya kufukia mipila.Mda wa mradi unaelekea kuisha.mkuu wa mkoa songwe tunaomba baba jaribu kufanya mkutano na wanainchi wa kata ya msangano na ukaguea mradi wa maji pia kuna mradi wa ujenzi wa daraja bado nikama kunashida.

  • @johnsonlweyemam7944
    @johnsonlweyemam7944 Місяць тому +2

    WASOMI VILAZA HAO WALIOWEKWA NA WAJOMBA ZAO KTK NAFASI ZAO😊