Wafungwe maisha hao kwa kuwasamehe ilitaliwa death sentence kama China hata dini zinapinga ufisadi na rushwa hovyo kabisa hao viongozi wa Arusha piga spana wote
Oya upo nyuma Sana ndiyo tabia ya kukopi hiyo hii clip tulishaiona to miezi miwili iliyopita wewe unaweka Leo unataka tusikie Nini hapo kuwa makini wewe
Makondaa ❤ 2 mpee nchi nzimaaa mama akili malizaa ...? Matajiri waa ARUSHA WENYEE AKILI DUNIA ❤😢
Mama huu ni ujambazi. Mkeka wa mkurugenzi arusha pleaseeeee😢😢😢😢😢😂😂😂😂
We hujui hii tasnia kitu outdated ndio unarusha Leo hamna kazi hapa
clip ya mwezi unairusha leo?
mbn upo nyuma sana
Ayaaaaah!!!!! mkeka umechanika!
Uko vizuri kijana
Nikisemaa Arushaa matsjiri wamakampuni wanaa akili nakosea au jazaaa
Wizi wa Control number tunaijua vzr huyu mzee kapigwa kiakili sababu yeye analipia kabla ya kuangalia jina la kampuni
Mzee upo makini sana control number za mchongo zipo nyingi sana
Wafungwe maisha hao kwa kuwasamehe ilitaliwa death sentence kama China hata dini zinapinga ufisadi na rushwa hovyo kabisa hao viongozi wa Arusha piga spana wote
Mzee anaongea kwa hisia kwelikweli
Oya upo nyuma Sana ndiyo tabia ya kukopi hiyo hii clip tulishaiona to miezi miwili iliyopita wewe unaweka Leo unataka tusikie Nini hapo kuwa makini wewe
Rais Samia tunakuomba huyu makonda umtafutie wizara yake awe wazili kbs huyo ni mzalendo wa kweli kbs mpe wizara yake
Siku zote mfanyabiashara anayo akili kuliko mfanyakazi wa serkalini
😂 I am wondering who the official documents are addressed to...is it to "Mr Kaburu" ? !
Makonda njo tusaidie mwanza
Hii nch nihatr kiukwel
@youtube this channel headline is misleading viewers. Wewe rekebisha kazi yako wacha upumbavu ya kupotosha anwani.
😅