WAZIRI SILAA CCM WAFUKUZENI HAWA VIONGOZI MATAPELI NA WAONGO | WAMEWAPA WANANCHI MIGOGORO YA ARDHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amekitaka chama cha mapinduzi ccm kuwafukuza pamoja na kuwachukulia hatua kali wenyeviti vijiji,vitingoji na wa mitaa ambao wamewaingiza wananchi kwenye migogoro ya Ardhi.
    Silaa ameyasema hayo mbele ya Amos Makala katibu mwenezi Taifa kwenye mkutano wa hadhara wa chama cha mapinduzi wenye lengo la kusikiliza kero za wananchi katika jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @salimiddy7769
    @salimiddy7769 3 місяці тому

    Kweli kabisa Mh Waziri wa Ardhi Jerry Slaa

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 3 місяці тому +2

    Natamani siku moja nikutane na wewe uso kwa uso nikusalimie tu wewe kweli unafanya kazi ya kutukuka mungu akulinde piga kazi mkuu hakika wewe ni jembe la watanzania

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 3 місяці тому +2

    Mama hongera kwa kumchagua waziri slaa

  • @zubedadahalgould8809
    @zubedadahalgould8809 3 місяці тому +1

    Ni kweli kabisaa huko kidimu kibaha wanatuuziya mara mbili mbili na kutuleteya migogoro huko kuna huyo serialised ya mtaa anaitw Kafifi na wenziwe wote serialised za mtaa wanahujumu uchumi wanatutesa kwa kutaka hongo kila siku hii ninaomba imgikie Waziri wa Ardhi Waxiri Slaa ili aone madudu ya KIDIMU

  • @mwanaidiahmed-dt8dj
    @mwanaidiahmed-dt8dj 3 місяці тому

    Silaa oyee

  • @zubedadahalgould8809
    @zubedadahalgould8809 3 місяці тому +1

    Tunatamu uje huko KIDIMU UJE KUTUTALIAMADIDU YA HUKO

  • @simbisimbila1972
    @simbisimbila1972 2 місяці тому

    Waziri naomba kuuliza swali ivi kupewa control namba ya kulipia aridhi inachukua miezi mi ngapi kwani mimi na miezi 8 nazungushwa tu shida nini