Ukweli kuhusu forex trading | Amrisaly alivyobadili maisha kupitia biashara hii
Вставка
- Опубліковано 6 бер 2024
- Amri IFX, kijana wa Kitanzania aliyebadilisha maisha yake kupitia HELA za Mtandaoni, AFUNGUKA jinsi alivyoanza hadi kufanikiwa! #Forex #CreptoCurrency #Money #podcast
Tazama full interview hapa uweze kujifunza mambo kibao ya kuweza kutengeneza pesa mtandaoni!
Subscribe, Like, Comment & Share! - Розваги
One thing about any money is how you monitoring your money and keep it consistent not to loose but increase it. We call it success
Nimependa The Way Anavyojibu Kwa Utulivu Na Anaelezea Vizuri Sana Yaani Mtu Unamuelewa BIG SANA 🙌💪💪
Always you talk smart and truth @amrisaly, big man amri
Very clear responses from a very hardworking guy
Mpaka niomoke na forex inshallah
Clear 🤞🏿
Appreciate
Kufunza watu namna yakufanya biashara ya forest ndio inawalipa(couching)..kitu kikubwa huwa wana elimu na uzoefu wakuweza kuingiza pesa kwa muendelezo ila sio pesa nyingi kama mnavyodhani.. pesa nyingi huwa wanakuja kuzipata kwenye classes za kufundisha watu.
😁😁😁
Forex easy kikubwa knowledge patient na discipline una win
Realest 🐐@amrisaly
This man he is true trust him nimetok nae chuo kimoja nakumbuka mambo mengi tuliyokuwa tunasaidiana ila AMRISAY yale maisha ya chuo basi tu 😂😂😂INTELLIGENCE FX.
Check our channel for free forex training
there is no easy money, invest in skills is key 🔥🔥
Patience
Tje Goat himself 🔥🔥🔥
Psychology ( emotions), Good prediction of the markert na Good risk taker ( RM) yako kwenye game ndo itafanya forex iwe ngumu au rahisi kwako. It's very tough game kama huna roho nyepesi ❤
ata uwe kwenye game 20 years bado forex itakua ngumu tu, forex sio skill ya kusomea ni gambling
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kuma la mbwa @@geoffreyengatkinson
you got to have a do or die mentality to make it out in the forex markets kijana ni muda sasa wa ku badilisha mitazamo yetu ya kiuchumii nakuipa nafasi hali ya utandawazi kutufanyia kazi na kutufungulia milango ya mafanikio God bless TZ traders
KABISA
🙏
Seen
Jamaa yupo real sana
Good
Kaka amrisaly shkuran sana
I love the information and analysis you put out here, How do I invest in a profitable crypto market?
As a beginner, it's essential for you to have a mentor that is verified by finra and SEC to keep you accountable. I'm guided by a widely known crypto consultant.
She is Miss.Vozili Liam
WOW!!! You know her too? I'm also a proud beneficiary of her platform.
this is serious, never knew miss vozili is now this well known thought i was the only one enjoying this amazing talent.
The fact that I got to learn and earn from her program is everything to me think about it, it's a win-win for both ways.
Intelligence FX 💯
Good😊
nmependa hii speech
Kwa mbali sana anafanana na Patrick Kanumba.
Podcast nzuri Lakin I wish Tupate Host anaejua Forex Hata Kidogo Tyu
sure kabisa, kama host wa south Africa wanajua kabisa wanachouliza
@@IMANWILLIAM-bl2ui yeah ni professional trader kuhojiwa na Mtu hajui Hata candlestick ni nn Kidogo Sio sawa
🤣🤣🤣🤣@@alamanomsungu9556
wanaojua forex ni hedge funds anaything apart from that ni gambling na haina uhusiano na forex
Me naijua vizuri tuh tena kiundani 🙂🫶🏽
🎉🎉🎉
Mtu anaye jua forex vizuri naomba anifundishe please niondokane na huu UMASKINI even if itachukuwa miaka 3 but cha msingi nisome kwanza coz Consistency is the key 🙏🏿
Nenda intelligence fx
kijana inaweza kukuchukua miaka hata mitano😂😂😂
Check our channel for free forex training
Karibu...nipo hapa
Kweli??!!
Iko poa sana 👏
Check our channel for free forex training
Intelligence fx ni 💥💥
My mentor
What is her name's I search on his platform
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Huyo ndo Amr bwanaa 🔥
Check our channel for free forex training
Naomba utupatie mawasiliano ya mwamba
Amrsaly na Ahmed frm Nigeria nawaeleaa Sana hawa vijana 🎉
mfatilie na kojo forex from naija pia... u wont regret
🎉🎉🎉🎉
Tunaomba atupe sehm sahihi ya kupt maalif pia app tunayowez kutumia
Kuna kitu chaitwa, Binance 🔥
Inshallah
Kama hauna kazi husi-trade forex,tafuka kazi huku ukijifunza forex,ukishakuwa masta acha kazi kafanye forex
Yap meeen
Forex ni skills to make money not a JOB
@@jifunzeforextrading forex sio skill ni gambling, infact ukiwa retail hautrade hata fx market haipo kwenu
Unakosea sana
@@sirbussongo4490 hahaha shida nn
AMRISALY kaongea vizuri na uhalisia wa forex
YAAP
Forex siy biashara rahisi kam gisi watu wanavyozani ,inawez ikachukuw hata myaka 2 had 5 ili uw successful forex trader
Exactly Ndio Maana Jamaa Kaelezea Vizuri Sana Na Kausema Kwamba Hata Yeye Huwa Hamshiwishi Mtu Ku-join Ila Ukiwa Tayari Basi Sharti Uwe Tayari Kujifunza Yaani Jipe Muda 💯📌📌
Nikitaka kukutana na amri niongee nae what should I actually do
brother ameiva, noma sana
Ndo ukapigwe huko.
Half man sijui amazing yani nivituko hiyo kitu wala haikupendezi wala haikufai
Nitajifuzaje kujuwa forex
Trading ni nzuri ila ujitoe❤
👊🏾👊🏾👽
Tc matter of time vijana wengi watajifunza fx
hi
Naam ninahatarisha 1% kwa kila biashara. Nikiwa na akaunti ya $500 ninapata $2,500 kwa mwezi, kimkakati mwongozo wa kitaalamu hulipa sana.
Imekaaa poa sana
Amr hujawahi zingua
Forex ukifanya manually utapata hasara kilaa sikuu ndo mana tunafanya automatic kwa kutumiaa robot
FOREX biashara nzur sana
Ana jiita aje kwa social media
amrisaly
Amrisaly umeongea vyema. Maarifa ndo msingi mkubwa wa kufanikiwa katika biashara hii.
It's not about get rich quick
Mbona CreptoCurrency😂😂
Fx ngumu jamani bila kufungua jicho la 3 utoboi lazima utenge muda na miaka 5 zaidi kulifungua
Hapan 6 months is enough
Check our channel for free forex training
Sio kweli unaweza tumia miaka mitano na usitoboe na unaweza kutumia miezi mitatu na ukawa professional Trader
Mwaka mmoja unatosha kua guru kwenye forex
😂😂😂 we jamaa upo serious kwel@@user-ml3zl1wi3w
Tunaomb tujue makampun na appy tunayowez kutumia pia sehm sahh ya kupt maalif
inteligence fx app
Bist of forex
We jifunze forex hata miaka laki 8 lakini kama hujaizoea pesa, narudia tena kama HUJAIZOEA PESA huwezi ku trade forex NEVAAAAAAAA
Nakubali Iddy 😂
hahhaahhaa Forex is life
Kuizoea pesa kvp
@@hermanjoshua6224 kwamba unaweza kupata na unaweza kukosa... So wenge huna. Kichwa kimetulia
Oiiiiiiiiii
Ni Kweli Kabisaa Vitu Avyosema Hasa Hapo Kwenye Kujifunza Vijana Wengine Huwa Hawataki Kujifunza Wanataka Tu Pesa Za Chap Chap Ndio Wanapigwa 😂
Madarasa ya online yapo mzee
Tunaomba utuletee liqudator kaka atupe story
utamtoa wapi yule jamaa amna anaejua sura yake!!😂😂😂... kwanza sidhan kama now yupo TZ.. anakula sana bata yule
Hadithi ya Amri IFX ni ushuhuda wa nguvu ya uchumi wa mtandaoni, jambo ambalo sisi ni wenye shauku nalo kwenye Make Your Own Destiny Podcast. Tunajadili kila kitu kuhusu pesa, biashara, na mikakati ya kufanikiwa katika enzi hii ya kidijitali. Kama ulivutiwa na hadithi ya Amri na unatafuta maarifa zaidi kuhusu uhuru wa kifedha, podcast yetu inaweza kukupa mitazamo ya thamani.
Podcast yako ipo kwenye platform zipi?
Bora ni weke mkea powabet. Maana Nina uhakika. Hawa wezi
@@daudhabona8897 weka mikeka tu mzee hii ligi huiwezi... Hakuna biashara ya Buku buku hapa
@@user-ln8fy8yj5x UA-cam @makeyourowndestiny
Ninawapataje Ili nipate elimu zaid
Kwenye swala la kwanini kufundisha kwa pesa watu wabaki na msemo kwamba "there is no such thinh as something for nothing" bas
KARIBU MINAFUNDISHA BURE KBSAA NO COST
@@jifunzeforextrading nnaijua biashara vema asante chief
@@emmanuellwinga5686 ni vyema
Wanapa pesa kwa kufundisha na sio kutrade 😂
Tangu march 2023 najifunza fx na sijaanza Kupata profit Bado nachoma akaunt
Tupo pamoja 😅
@@fan_art_ 😄fx ngumu asikwambie mtu! Sijakata tamaa..🙏
@@fan_art_Soma Sana, ingia UA-cam mtafute the inner circle trader ICT utanishukuru...Alafu achana na live account, nunua evaluation challenge kwenye prop firm.
Usikate tamaa.mm mwaka4 ndio mavuno nayaona
ukijifunza forex unatumia demo account chief ukishajua ndo unatumia real account
Podcast ilikuwa kali sana ila adds nyingi sana try to manage brother zisiwe nyingi sana
Adds ndo zinafanya alipwe,haez kataa
Mimi na hitaji broker
Can i do forex without brokers.
No
Amrisal kaamua kuwaambia tu ukwelii no short cut
Tickmil hazingui
Forex forever
Which app is the best?
Mbona concept rahisi sana ila Bro kaielezea kigumu……?!
Izi vitu watu wanalia wanakuwa masiki hakunaga hela rahisi
hahaha anavoelezea watu watajitupa uko
Intelligence fx nina miezi7 nawafatilia mko vzuri na Mungu aendelee kuwaongoza pengine mkawa kioo cha nchi hii tano bora kwa hapa bongo mmo kwa hapa ndani namaanisha📈📉
Nashangaaa watu wanasema FOREX ngumu ila wana sahau cryptocurrencies kam BITCOIN ambayo moja ni 130M tzs na ethereum 1 ni $2,667 usd yeni kule ndo sio pw market ni high volatile yeni risk balaaaa !
bitcoin ipo kwenye sector ya forex pia ujue
Naomba msaada, km umepata faida, m nmepoteza san ela
Kila kitu ni uvumilivu
watu wa forex jifunzeni binary Option trading, Tembeleeni channel ya Tanzanian Trader
Nili tapeliwa 100000...sto sahau
ka laki tu mwanngu
podcast kali but weka hat background music kwa mbali...
Kama una taka jifunza Forex nitafute ila uwe tayari kujifunza kwa muda hakuna short cut.
UWE NA LAPTOP NA MTAJI KAMA LAKI 3.
Acha utapeli
@@alamanomsungu9556😂😂😂😂
Laki tatu kaka 😂😂😂
Dooh! ndo scammers wenyewe nyie mtu hajui alaf aje na mtaji tena? Fundisha mtu kwanza ajue ajipe miez mitatu then ndo aguswe kutafta mtaji atrade
😂😂😂ata mtu hajajua forex ni nini tayar aje na mtaji😂😂😂
What broker do u ,use bro am having difficulties with most brokers who link themselves with Tanzania, am just a currency, indicies day trader
Exness
Check our channel for free forex training
Pepperstone
how long have tou use this broker , and what experiance do you have upon good and uggly
Dont use Exness. Atleast Tickmill or Pepperstone.
mwamba anauliza maswali ambayo sio sahihi hata kidogo, kunauhitaji wa kua na host wa podcast anaejua forex au trading
Sema mtangazaji kauliza maswali marahisi kabisa ila hakuingia na kuhoji kiundanin
huezi mpata huyo mtu, forex inafanywa na hedge funds anything outside that ni utapeli
Forex is legit you people.
Ukiona kitu chochote unaambiwa uje ufundishwe means wanachofanya hakilipi ila kufundisha Ndo kuna lipa. Wamshapigwa watu kibao
Forex ngoma ingine hii baba
FOREX NI RISKY
hahhaaa usiogope komaa tu kama mjesh
IM COMING FOR MY SEAT AT THE TOP
Huyo tapeli shauri yenu alipita na dollar 100 zangu
Acha uongo wewe tutakuaminije Tako kabsa wewe acha kupotosha vijana km hujui au huelewi kalale
Amini anachokisema real traders never promote forex. They make money in silence
@@fxmeddy9567sio kweliii ni akili za kimaskini izo na uchoyo, nimeona wengi sana wanafundisha ili tutoke kwenye umaskini. baki hapo
Ni CRYptocurrency sio CREPtocurrency
Check our channel for free forex training
😊
Zingatia kuna neno CRY apo mwanzo😂😂😂
@@ezraezyofx Ndio Maana nikaweka herufi KUBWA😂
Kununua coz ako inagharimu shingapi brow na naipatake online
mil 2 chini kabisa
Jifunze kupitia video zangu bure
@@jifunzeforextrading nshafanya trading mda mrefu sana boss, nshatoka uko
😢ndo ututajie na miaka
hawa majamaa ni matapeli wakubwa,ushawahi ona wap mtu anayepiga hela hela anajitatanganza? kama anapata hela si akae kimya apige yeye na familia yake?? hawa ni matapeli mtapigiwa sana wabongo
acha ujinga kama hujui kile waongelea sema ...wivu utakusumbua ...forex inalipa wewe mdio huna elimu tafta simu
😄akili mgando mnasumbua sana....kwan matajir huwaon wanvyopiga kelel mitaan kwenye jiji hili na magari na majumba yao ya kifahari?? Au kwa sabu hawajshka vpaza sauti mnawaona tu, na au sabu hamuwajui???!!!!! Mo, bakhresa, watt zao, na mabilionea wengne huwaon na biashara zao zinavopga kelele???
Funguka bro acha kuukumbatia ufukara ukadhan umeumbiwa nao. Wenzako washapata hela na familia zao maisha yamebdlka, wanaambieni fursa za kuchkua, we unaendlea kuuona utapeli. 🚮 🚮🚮
😂@@troffie
Maswali anayo uliza dah 😢
yanashida au?
Good
🎉🎉🎉🎉