Nimeangalia video nyingi zinazoelezea Bitcoin na Blockchain lakini hii ndio ya kwanza kuielewa kwa %100. Thanks Brother Endelea kututoa ushamba. Afrika tupo nyuma sana!
Video kama Hii ambayo inaweza kuchange maisha wa watanzania wengi af unakuta ina views 720 tu ila video za kina harmorapa na amberlulu ndio ukakuta zina views 500K ila umechambua vizuri sana katika level za juu sana na umeeleweka sana unafaa kuwa financial advisor..Hongera sanaa kaka Bongo zozo,Naomba video zinging nzuri kama hizi!
Nice video, It is really helpful to us traders, Investing in crypto is the best and fastest way of making money, but only few understood the secret of crypto currency.
Mrs. Evelyn remains my number one broker for life, I invested $1200 with her and I was credited $6500 in a 3days interval. Mrs. Evelyn is a teacher not only a broker.
I have heard a lot of good news about this lady called Mrs. Evelyn, how is helping people to increase their financial status in a twinkle of an eye, I think I'm gonna give it a try.
I've tried this some time ago but it wasn't successful, but I do get positive news about how it has elevate people financially. Please how do I invest with crypto currency? legit platform, please
Hili Darasa Ningehitaji Kulipa Fedha Nyingi Sana Ila ,Nakushukuru Sana BONGOZOZO Kwa Kutupa Darasa Hili Bure Kabisa La Cryptocurrency Tena Kwa Lugha Rahisi Ya Kiswahili..Mungu Akubariki Sana🙏🏻
ajabu! ! ! ! Wmān isku dayay in aan maalgashado, wmān ku shubay bahut lagad ah stock, kiều qaar ka mid ah sạn loo kội 'cryptocurrencies', lakini wanaifanya kuwa muhimu ah ma tên. Waan ka gehansih laha ifa aad la gashikeyga sikaga ku sida loo soo-noqosho oo maal-gashikeyga ah.
Jihadharini na hitaji la kifedha la kufanya go'aamo wax ku ool ah waa lama huraan. Ikiwa aan aan ku kiyotya talo talo ah, waa in aad higalmo ka raadsato lataliye ektokan, Bi. Oprah Winfrey.
Umeilezea vzur nimejitahidi sana kuzifatilia youtube maelezo yake kutoka kwa wataalam wengine lakini kwako nimepata uwelewa zaidi umtumia mifano mepesi na mizuri kuweka wepesi wa mtu kuelewa Big up ntajiatahidi kukufatilia zaidi kwenye vipindi vyako vingine juu ya BITCOIN ili nasi tuwe mawakala wa kuwatoa watu ushamba
Nashukuru Kwa kutupa elimu... Napenda kufaham kiundani nipo najifunza kupitia account yako na naomba uendelee kutoa tutorial zingine Za muendelezo ili tuweze kuifaham zaid
Mbali na kununua bitcoin je kwa wale watakaohitaji kufanya mining ni vitu gani vya kuzingatia wakati was kumini bitcoin na namna ya kulink wallet yako na mining browser
Barikiwa sana nimejifunza.. I'm getting the clarity. This year baada ya kupata understanding ya kueleweka ntawekeza kidogo nione Growth yake (naiacha ikue hata miaka 5+😂) Asante kwa ushauri.. nitawekeza pesa ambayo niko tayari ku_risk
Bongo zozo tunajaribu kufanya huo uwekezaji lakini mwisho wa siku tunaingia chaka na kuanza kujutia , kwani tunatumia hela kubwa mwisho tuna ambulia sifuri Naona mwongozo mzuri na namna ya kubadilisha dollar
Blockchain ni cryptography techniques inayo fanywa na computer kuchanganya code herufi na number 256, namba hizo zinaitwa HASH, hizo hash ndio Bitcoin, ETH na coin nyinginezo nyingi, ukitaka kujua zaidi kuhusu Bitcoin jifunze Blockchain ni nini hapo ndio utajua Bitcoin
Asante kwa kutufunua akili wa Tanzania. Swali langu ni Je. Unaweza kuaza au kununua Beticoin. UKIWA NCH YOYOTE TU NAWAKATI WEWE NI MTANZANIA? Yaani namaanisha hata kama utaondoka inch ile na ukarudi Tanzania unaweza endelea nayo tu ile ile ambayo uliazisha ukiwa nchi nyingine?
Kama unahitaji mafunzo haya ya jinsi ya kununua na kuuza hizi sarafu za kigitali bitcoin au crypto currency kwa ujumla nicheki kwa kupiga simu namba 0715954808 Au watsup namba 0620438553
Bongo zozo mpole na mvumilivu sana hauna hasira tunakupenda sana tz
Nimeangalia video nyingi zinazoelezea Bitcoin na Blockchain lakini hii ndio ya kwanza kuielewa kwa %100.
Thanks Brother Endelea kututoa ushamba. Afrika tupo nyuma sana!
sio africa, sema wewe
Video kama Hii ambayo inaweza kuchange maisha wa watanzania wengi af unakuta ina views 720 tu ila video za kina harmorapa na amberlulu ndio ukakuta zina views 500K ila umechambua vizuri sana katika level za juu sana na umeeleweka sana unafaa kuwa financial advisor..Hongera sanaa kaka Bongo zozo,Naomba video zinging nzuri kama hizi!
Ndio mkuu video kubwa sana hii kwa vijana wanao jitambua
Kibongo bongo bado haijaanza au
Namna ya kujiunga adimin tadhazali
Mwamba nimesoma kwa uchungu hi comment yako,,,, nashukuru sana nimeshanza kusoma vitabu vinavyohusu bitcoin
@@canisiusclemencemkuyu6505 nielekeze ni vitabu gani hivyo mkuu...tafdhali
Darasa zuri Mungu akubariki kwa upendo ulio nao Bongo Zozo
Congrats brother Zozo,,,, tupe elimu tujikwamue aisee,,, God bless you
Tunafundisha cryptocurrency kwa shilling 20000 10k mwanzo 10k ukishajua karibu 🤗
@@leocadia8795 nipe namba yako kaka
Binance ninini kaka et
Jamaa nimempenda Bure anafundisha criticaly bila misemo migumu mifano inayoaks anachosema
Nimejifunza kitu. Asante sana. Pamoja. Heradius
Asante sana kwa elimu nzuri
Tunashukuru sana bongozozo umenifungua baadhi ya vitu big xana
Much love from Kenya
God bless swahilo yk iko vzr sn
Asante sana Nick
Shukrani kiongozi 🙏🏾
Nice video,
It is really helpful to us traders,
Investing in crypto is the best and fastest way of making money, but only few understood the secret of crypto currency.
Yes crypto currency is very profitable especially with the current increase in value, but I still don't understand how this whole thing works.
Mrs. Evelyn remains my number one broker for life, I invested $1200 with her and I was credited $6500 in a 3days interval. Mrs. Evelyn is a teacher not only a broker.
I have heard a lot of good news about this lady called Mrs. Evelyn, how is helping people to increase their financial status in a twinkle of an eye, I think I'm gonna give it a try.
I've tried this some time ago but it wasn't successful, but I do get positive news about how it has elevate people financially.
Please how do I invest with crypto currency?
legit platform, please
Wow, she is indeed a nice broker and a good teacher, a beautiful creature too hehe. Just invested $500 with her.
Thank you sir,we appreciate for this
Blessed 🤝🙏
Asante Bongo Zozooo, tumeondoa ushamba wa Bitcoin
Bwana Bongo Zozo shukrani kwako kwa somo hili zuri na muhimu. Tafadhali tusaidie kutoa maelezo ya jinsi ya kujiunga au kuwekeza kwa njia ya Bitcoin.
daaah bongo zozo asante kwa kunifunza mm nilikuwa nasikiaga tuu
Ahsante sana kwakutupatia elimu hii Bongo zozo
👆👆👆👆
Dm here for guidance and learn more about crypto currency investment.
Ahsante sana
Much from Kenya
Shukrani kwa elimu uliotoa,pia tayari Tanzania imesharuhusu criptocurrency.
oohh that's nice
Pamoja sana jembeee upo vzr brother isichoke kutuelimisha wabongo tunakutegemea big up sana & be blessed
One love brother
I'm really interested for sure
Hili Darasa Ningehitaji Kulipa Fedha Nyingi Sana Ila ,Nakushukuru Sana BONGOZOZO Kwa Kutupa Darasa Hili Bure Kabisa La Cryptocurrency Tena Kwa Lugha Rahisi Ya Kiswahili..Mungu Akubariki Sana🙏🏻
Naomba unifunze vizuri
hii video itaishi.
bongozozo utaishi.
Nice bro
Very helpful
OK poa tumekuelewa bongo zozo
Nice
ajabu! ! ! ! Wmān isku dayay in aan maalgashado, wmān ku shubay bahut lagad ah stock, kiều qaar ka mid ah sạn loo kội 'cryptocurrencies', lakini wanaifanya kuwa muhimu ah ma tên. Waan ka gehansih laha ifa aad la gashikeyga sikaga ku sida loo soo-noqosho oo maal-gashikeyga ah.
Jihadharini na hitaji la kifedha la kufanya go'aamo wax ku ool ah waa lama huraan. Ikiwa aan aan ku kiyotya talo talo ah, waa in aad higalmo ka raadsato lataliye ektokan, Bi. Oprah Winfrey.
Umeilezea vzur nimejitahidi sana kuzifatilia youtube maelezo yake kutoka kwa wataalam wengine lakini kwako nimepata uwelewa zaidi umtumia mifano mepesi na mizuri kuweka wepesi wa mtu kuelewa Big up ntajiatahidi kukufatilia zaidi kwenye vipindi vyako vingine juu ya BITCOIN ili nasi tuwe mawakala wa kuwatoa watu ushamba
Tony, nipo DSM kama unataka jua zaidi
Nice🤔🙌
Nashukuru Kwa kutupa elimu... Napenda kufaham kiundani nipo najifunza kupitia account yako na naomba uendelee kutoa tutorial zingine Za muendelezo ili tuweze kuifaham zaid
Njoo inbox nikueleze zaidi
Unajiungia wapi😢
Ongera sana kaka, nilikuwa naitaji kujua zaid umuhimu wa kutumia smart contract kwenye cryptocurrency (Bitcoin) na namna gani inavyofanya kazi.
Bongo zozoooooooo❤️❤️❤️
Thanks a lot Sir 👍
Nitumie Namba yako
Mwemwee mtoto mzuri mrembo sana huyo jamn
Sawa
Elimu nzuri Kwa karne ya 21
🔥🔥🔥🔥🔥✊✊
Bongo zozo mi nakukubali asee mzungu wewe uko poa
Nimeamini wew n mtanzania na watanzania dotukoivo.shukran kwamapenzi yako kwa Africa
Ahsante sana zozo
God bless you brother
Nimekupata bongo zozo
Shukran
Hello
Bongo zozo ubarikiwe sana
bonge la elimu
Mbali na kununua bitcoin je kwa wale watakaohitaji kufanya mining ni vitu gani vya kuzingatia wakati was kumini bitcoin na namna ya kulink wallet yako na mining browser
Brooo unajua
Sawa ndugu.
Somo madini tuuu.. 🥇 👏 👏 👏 👏
good
🔥 🔥 🔥
👊🏿👊🏿
Bongo zozo karibu Arusha kunajambo laki huku
Bongozozo natamani Sana hii kitu
Bit coin
Natamani kuijua na kuifanyia kazi
Njoo inbox nikueleze zaidi
Bongo zozo father naomba nisaidie namba ya
Dah kiukwel naona inaitaji elimu kubwa maana nikama natak kuelewa ila bado
me naomba uniangalizie jinsi ya kuverify account ya local bitcoin kwa vitambulisho maana naona inakataa me imenikataria
Barikiwa sana nimejifunza.. I'm getting the clarity. This year baada ya kupata understanding ya kueleweka ntawekeza kidogo nione Growth yake (naiacha ikue hata miaka 5+😂)
Asante kwa ushauri.. nitawekeza pesa ambayo niko tayari ku_risk
Nataka kujua naweza ku hold coins zingine under Btc. Coz kwa bei yake ya sasa I can't afford
❤😅😂
Naweza kununua wap hiyo bitcoin
NAOMBA NAMBA YAKO UNIPE MAELEKEZO VIZURRI
Njoo inbox tuwasiliane tafadhali
ety nilikua nazo ila mama jesca kaniibia😂
Suali langu. Bitcoin kama sarafu imetengenezwa na Satoshi nakamoto. jee blockchain huu mfumo mzima umetengenezwa na nani?
Bongo zozo tunajaribu kufanya huo uwekezaji lakini mwisho wa siku tunaingia chaka na kuanza kujutia , kwani tunatumia hela kubwa mwisho tuna ambulia sifuri
Naona mwongozo mzuri na namna ya kubadilisha dollar
Yes nimechelewa kucheck video hii ila nimevutiwa sana please naombeni msaada wa maelezo zaidi
Maelezo ni mazuri ni vipi tunaanza hapo ndipo elimu itakuwa umetusaidia watanzania (how to start)
Blockchain ni cryptography techniques inayo fanywa na computer kuchanganya code herufi na number 256, namba hizo zinaitwa HASH, hizo hash ndio Bitcoin, ETH na coin nyinginezo nyingi, ukitaka kujua zaidi kuhusu Bitcoin jifunze Blockchain ni nini hapo ndio utajua Bitcoin
Shukrani
#bongo zozo
Haujatuonesha namna ya kutoa hela bank na kununuaa na kuuza kurudisha bank bongo zozoo
Hujaangalia basi. Localbitcoins.com.
@@BongoZozo thank you umetusaidia sanaa kwa haya maelezo yako
@@BongoZozo naitaji link ya application ya bitcoin manne
@@fatumagaturwa2121 je umeisha fanikiwa, kama bado njoo inbox nikueleze
Asante sana broh,
Kama we ni kijana na hujihusishi na mambo ya cryptocurrencies basi una hali mbaya sana kwenye future yako.
Sana jaman watu wanatia huruma
Suala la mda mabadiliko hutokea kidogokidogo
Bongozozo NATAFUTA link ya Bitcoin Ili niweze kuwekeza huko. Tafadhari naomba unipatie nifanye registration
Kaka nimefuatilia Sana hii video kwani documents inayotakiwa ni aina gani na je Kama Sina documents na passport😢
Father bongo zozo ni kiasi gani cha kuanza nacho? Ombi nikwambie weka link ili tupate app ya kweli
Nafunguaje brockchain
Kaka vipi kuhusu P I maana Bitcoin. Gharama kubwa sana kuipata kwa sasa .
Jinsi ya uchimbajii wa Bitcoin
Samahani Bitcoin Ina uhusiano gani na royal q
Inataka kufanana na kamari ya kindege (Avatar )
Bongo zozo unatusaidiaje tunaotaka kujiuna huko
Trust wallet inaweza kufanya kazi ya blockchain pia au
Hi bongo zozo tz naomba ongelea forsage utusaidie ili watu wajisajili wengi waoga sana
Hii ina tofaut na metaforce au ni same things
Nimeangalia nimependa nmevutiwa natamani kujifunza zaid.......kwenye kutafuta lazima kuwepo nakupoteza siogopi nitakuwa nimejifunza .....labda ndio nataka nijiunge rasimi naanzaje?
Njoo inbox nikueleze zaidi Abinety
Bongo zozo somo nzuri ila utaonaje kuwa bitcoin imepanda au imeshuka thamani?
Download trust wallet kutoka play store
Ndugu yangu bongo zozo nakubali na Mimi hii elimu nakubali sana
Njoo inbox nikueleze zaidi
nimependa uyo Janet nampataje jaman bongo zozo
Sasa nipo bongo cash nitapataje? Kama kubadili cash nimpaka mamtoni.
Asante kwa kutufunua akili wa Tanzania. Swali langu ni Je. Unaweza kuaza au kununua Beticoin. UKIWA NCH YOYOTE TU NAWAKATI WEWE NI MTANZANIA? Yaani namaanisha hata kama utaondoka inch ile na ukarudi Tanzania unaweza endelea nayo tu ile ile ambayo uliazisha ukiwa nchi nyingine?
Ndiyo unaweza, kwa maelezo zaidi njoo inbox tafadhali
Kama unahitaji mafunzo haya ya jinsi ya kununua na kuuza hizi sarafu za kigitali bitcoin au crypto currency kwa ujumla nicheki kwa kupiga simu namba 0715954808
Au watsup namba 0620438553
Kuna maswali ya ufafanuzi nahitaji kukuuliza naweza kupata contacts zako tafadhali
Nkoo inbox utapata kila kitu
Nataka fungua akauti baince bank ili kunganisha Royal Q niko sawa.
Kaka Bongo Zozo naomba utueleze na kuusu FOREX
Sina utaalam wa forex.
Davis,njoo inbox nikueleze zaidi kuhusu forex
@@nimrosenasser9147 nisaidie no, email au insta page yako pls
Bongozozo naomba nomba YAKo boss
Jambo jema
@@obadiangulo9825 naomba namba yako