NASORO FX: Mkali wa Forex Trading afunguka SIRI ya Mchezo ili ufanikiwe kama yeye
Вставка
- Опубліковано 19 лис 2023
- Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
whatsapp.com/channel/0029Va84...
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
Huyu jamaa nilimfahamu 2017 anajuwa sana hiziii mambo halafu hana kelele asante sana sky kwa kutuletea huyu kijana tunaomba umualike tena kaka
Forex ni biashara kama biashara nyingine sema sisi watanzania tukishindwa kufanya vitu tunawachukia wale wenye uwezo wa kufanya na wanafanya. Kuna watu wengi tu mtaani wanaopiga biashara hii kama huyu jamaa na hawasemi na maisha yanaenda.Tukubali kujifunza.
Kama ndo unaanza kwenye forex pata elimi sahihi piga demo za kutosha ukiona upo vizur fund live account upime emotion na saikolojia Yako ukiona upo consistent unapata profit,najua mitaji Kwa TZ n challenge nenda nunua prop firm ukishapass zile challenge,ukawa funded pale ndo utaanza kuona utamu wa forex nunua hata account ya $100000
The industry needs 0% skills😂😂😂 100% discipline
kwa mfano prop firm ipi kaka
acha uongo kama huna hiyo skill ni zamu pia ni bure
@@afrodinova
@@updatediq2203 FTMO
@@afrodinova 0% imekubadilishia maisha kiasi gani through trading?
Huyu jamaa akiongea na sura yake tofauti yani😂😂😂 ina namkubari sana mpe salamu zake nasoro
Cyprus 🇨🇾 ✊
Asante sana sns ikitu nilikua Siijui yani
Safi Nassoro👍
mambo yetu haya! tuko pamoj jeshi! 🎉
Nimefanya Hii forex kuanzia 2009 ,nilikua nafanya Forex,na stock market but nimeacha nimejikita na US stock market na Crypto …i love it and you can make a lots of money but also you can loose lots of money .Hii game unatakiwa on top of game .
US stock market Mimi pia nafanya ni less stressful.
Ipoje hii
Uko na Link yake tafadhali?
Hii ni kazi ni ya kiroho.ukiona Mtu anajitangaza bado yuko stage ya chini.wanao ijua hii vizuri wame connect vizuri na hawaongei maana kuna siri ya mafanikio ktk biashara yoyote baina ya mwanadamu na Mungu kama hujaconnect .presha inakuhusu
Ukiona biashara yoyote mtu anapromote au anafundisha means hapati faida Bali wewe NI biashara😂😂😂😂
SNS natamani mngefanya mahojiano na team ya intelligence Fx ❤
Tatzo la hii mishe huwa wapo kimya sanaaa hasa wale wanaojuwa
trading in the zone by mark douglas
Hawa wenyew wanaishi kwa pesa za kuchangisha watu wapate mafunzo
Na nilitamani kuskia unamuuliza kuhusu elimu kwasababu huyu alishapitia uwalimu katika chuo cha UTC kipo Dar
Forex is life, lazima uwe na elimu nzur kuhusu soko
Hapo me nakarbia kununua Range mje mnipokee airport soon natoka china.Price action ndio kila kitu kwenye forex.
Hongera kama ni kweli ilakama unadanganya unajidanganya mwenyewe
@@deuskazimil8721 Epuka matapeli mtu anaepata faida forex hawez kuuza mabot au kutaka vidola $50 vya watu au sjui account management. Wanaopata faida wapo kimya wanapiga ela hao mtaji wao ni wewe. Forex ni biashara kama biashara zingine lazima ukubali hasara na faida.
😂😂
Forex ni mentor ukiwa lucky kumpata mzuri, mwaka tu basics unapata ila experience ndo changamoto mziki unaweza fika hata miaka 5 hadi 10 kujifunza😂
Kabisa kaka
Hakuna ukionq hivyo una nidhamu kama unaweza kuamka asubui mapaka jioni huko kwenye meza na pc pamoja na mtandao Wala haichukui muda kaka
Hello Sky Mambo Vp, Nimependa Sana Interview Yako Na Nasoro Hakika Limekuwa Ya Kuvutia Kwa Kwl Lakini Pande Tuh Kukumbushia Kuwa FOREX SIO MCHEZO NI BIASHARA INAYOJITEGEMEA, Ukisema Ni Mchezo Tunakuwa Unatoa Bado Mwongozo Ambao Sio Sahihi Ndg.
Tni mchezo .. maana operator behind it ndowana run soko indirect kupitia policy zao Hali zao za uchumi nk, .. it's something can be played
Adante sana brother sky kutuletea huyu mwamba. Nilipita kwenye training yake 2019. Niliona account yake1 anahold orders mwaka na kitu
Duuh
biashara hii ni ngumu sana ,haina uhalisia,unaweza weka hela yako yote ikapotea,haina tofauti na kamali,tatizo la vijana wakiambiwa kuna mafanikio makubwa wanaamini kama wanavyoamini kuwa unaweza kupata mafanikio kwa kubet..,hawa wote wanaopromote ukipoteza wao wanagawio lao ndo maana muda wote wanashawishi watu kujiunga..,
Sio kwel mkuu fanya research vzur kabla ya kuongea 😅
Says someone with zero Trading knowledge.
na hapo una access ya internet unaongea upumbavu hivi...
😅😅😅😅😅 unajua nini.. knowledge is power
Asante sana kaka sky kwa kutuletea kijana huyu anaijuwa hii biashara nje na ndani na unaambiwa ukijifunza kwake na ukashindwa kuelewa basiii tafuta jembe ukalime
Forex sio kwa ajili ya wale wanajii ta Genius but wale waliamua ku dedicate muda wao kujifunza
Tatizo la awa madogo wanaacha kufanya trading na kunikita kunufaika na vikozi vya kuwafundisha wengine
Huko sahihi kabisa wengi hawapati profit kwenye market wanapata kwa wanaowafundisha
Huyuuuuuu yupo kwenye hii industry muda mrefu na anacosistency sana mpaka leo kijana wa Tanga huyu kipindi hicho anajiita Chollo001 alwatan😅
Ngoja nimfollow mwamba mwenzangu huyoo anatumia jina gani instar
Huyuuu jamaaa anashambaaaa kubwa handeniiii nilimuona mwaka 2022
Wanapata hela kwenye fx wanawekeza kwenye maisha yakawaida namaisha yanaendelea
Hiii naijua tangu 2016.
Ausio
MTFE makes life better😁😁😁, I'll never forget.
Mo dewiji. Bakhresa na hata aliko dangotee Wana fanya forex ndugu.
Ukiona business inakuambia leta mtu utapata commission % flani .......kimbia kabisa but forex is real ni wewe mwenyewe
Jamaa anajuwa sana hlf hana mbwembwe za mitandao. Anajuwa price action kama kazaliwa nayoo😂. Anapata hizo dili kwasbb ni muaminifu na amenyooka sana huyu dogo. Yupo MTU 1 anamjuwea anasema dogo anapenda kuwekeza kweny ardhi half ni msiri sana😂 unaweza ukakutana nae hlf anakuwa mpole kama hajui kitu
Kama jux
Binance wamepigwa faini ya Mabilion. Huwezi kuweka hela kwa mtu usiyemjua wala mkataba.
Biashara yoyote ina faida ukiifanya kwa uaminifu.
Biashara yoyote ukiweka tamaa utapigwa tuu
Inabidi sky utuwekee kipindi speacial kwa trader wavute kina elikana Clinton wapo wengi
Sahihi... Hasa BEN
Sky Hawa wanaojiita forex trader watakuharibia channel Wana wengi matapeli uku Kenya tunawamulika Sanaa wanadanganya kua wanapiga hela ila wanatapeli watu tu .kua makini nao
Matatizo ya kenya msolve mkiwa kenya.. ya huku mtuachie, scammers are in every walks of life.
@@paolo4584 Aya endeleni kuupiga mwingi
Mtaji wa Dola 10 sio tatizo kaka kikubwa risk management ratio akili ndio mtaji
Kama unahitaji mtu akufundishe ndio utengeneze pesa acha haikufai hiyo trade
😂😂😂
Tuletee matraders wengi zaidi watu wapate kufahamu...i love forex
Forex ni hardwork,jiandae kujifunza hata miaka 3,kabla hujaanza kuona mafanikio
weka miaka 10, 3 haitoshi
Mzee fafanua vizur nn maana ya forex 😂forex is more than buying and selling currencies😂
Ukitaka ufaidike na trading lazima ujikane na ufuate trading inavyoitaji najivunia kujuwa trading kwa mtaji wangu wa usd kwa mwezi sikosi chini ya 50prcnt return
Mtaji wa USD ndio mtaji wa Tsh ngapi ndugu yangu, mbona unayumba ?
Very interesting...
However, I am always trying to think what would be the impact of AI on Forex trading.
Would we need to pay for a trainer like Nassor in the future or you just pay for an AI App and let it do everything for you in a more precise manner?
Things are moving very fast with technology!
Mind the gap!
AI doesn’t deal with forex
@@diodoruskyomya9328 That is as for NOW?!...but who can predict about tomorrow with the pace the technology has set?! Don't delude yourself mate...if it is not there yet, it's around the corner! I hope you read the news around the world from the politicians to the AI gurus about AI and the "fear" it creates!
@@diodoruskyomya9328 Someone is living in a bubble here!...I am not and out here!
Can be used period
bots zipo mzee
Trader kavaa maherenii😢
Naipata vp no yake
Embu tuweni serious..Hawa Jamaa wanakujaga kuzungumzia Forex trading ni choka mbaya tuu kama mie..hakuna kupiga hela hapa zaidi ya kupigwa hela..wanatakiwa wajikomboe wenyewe kwanza Ndo waje kwa watu. Yaani unamwangali mtu alivyo na anachosema ni Kama unataka kwenda kigoma lakini upo kwenye treni ya kwenda Mara.
Kama huna skills utapigwa tuu...watanzania wanataka hela za haraka ila kusoma hawataki. Soma sana utapata tuu hela...hela ipoooo...😂😂😂😂
Kama hauko inspired usiwavunje wenzio moyo
Wamesoma wengi na wapo bench wanasubil sub kama guede bro usikate tamaa ingali bado upo hai na elimu c kila kitu@@user-lt3iz5kb8v
Nilijua hii ni zamu ya Tanzania...hili wimbi la matrader lilianza Afrika kusini likaja kenya sasa Tanzania na hatuna bodi ya regulate forex....wanasaidiwa na platform kubwa,,mtapigwaaaa
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Duh Idea Debata usinikumbushe😂
Ebu naomb siku moja umulete Sirjef Denis
Nenda ITV ...katafute video UA-cam ... Inahusu Masoko ya Kifedha ya Dunia. Utamuona sirjeff aliitwa huko
Ingia account ya ITV .humu humu UA-cam
Ingizo jipya La Upigaji si ndio kutoka franco kaja yeye😅sio
Mbona kagoma kusema kiasi kikubwa Cha fedha alicho wahi kuingiza ..
Ili ukamkabe? Jua forex hela ipo,cha msingi ni kupambana. Kuna watu wanapiga mpk dola 1000 kwa cku
Price action ndo unatumia kwel unasafari ndefu ndogo
Price action ni how the price is moving katika soko,so kila strategy ni lazima utaitumia. Watu wengi wanajua price action ni trendline pamoja na support and resistance.
Huyu jamaa yuko vizuri nimemfatilia,hayuko shallow.
Huwa najiuliza Kwa nn mafunzo Yao wanatoza Hela nying kama kwel wanapiga pesa kweny forex
Kwasabab watu wanahitaji kusaidiwa kufundishwa na mtu hawezi kutoa mda wake bure.
Kingine ni kama side hustle, unahisi kwanini matajiri wana biashara mbalimbali? Kwann asiridhike na chanzo kimoja cha mapato. Mfano azam kwann asitulie kwenye vyakula ? Ana diversify
Wenyewe pia wametumia nguvu nyingi sana ikiwa ni pamoja na Akili kubwa sana,Pesa nyingi sana na Muda mwingi sana mpaka kufika hapo alipo
Forex Inahitaji patient kubwa sana kinyume na Mungu alivyotuumba wanadamu Ushauri wangu Fanya biashara zingine na utafuraia sana maisha lkn si forex ni mateso ya hali ya juu sana
Maneno ya aliyeshindwa na kukata tamaa...usiwambukize wenzako ujinga
Umekata tamaa ww, jifunze unapokosea utanikumbuka
Usipotoshe watu sema mim nimeshindwa siiwez😅😅
Mbona mimi nafanya
😂😂😂😂yaani mwamba yuko chali taabani anapumlia mpira amekula za uso sana
@sns wewe ni trader wa chinichini🙂😂
Hii ni kwa Watanzania wote hiyo mchezo ni wizi tu hamna kitu eti mafanikio hapo
Wewe umejuaje kama niwizi usishutumu kitu usichokijua uliza ufundishe siokukatisha wenzako tamaa kama hutaki kujifunza siunaacha acha wajifunze wanaotaka
hujawahi kukosea kaka bigger up
😂😂😂😂😂jichanganyeee
Mi nauliza; hivi kwanini mnataka kulipwa pesa wkt ukiangalia maelezo yenu ni kwamba mnapiga pesa nyingi sana! Hii ya kwamba mtu alipie kujifunza inakuwaje hii!?
No free lunch in economy
Hakuna kitu Cha bure duniani
Ww ungeweza kufundisha bure?
Kenya watu wanalizwa sana in the name of Forex trading 😂😂
Kafuri FX
Sijui Kenyan prince
Sijui thee pluto
Sijui Nani na Nani ma scammers 😂😂😂
😂😂 Kafuri ni legit ww uyo ata ni arif wangu
Wa Nigeria wengi wamefanikiwa kwenye forex kwasababu ya juju
Kwaio wanairoga forex ili wapate pesa
scammers...wanauuza lifestyle
Naam ninahatarisha 1% kwa kila biashara. Nikiwa na akaunti ya $500 ninapata $2,500 kwa mwezi, kimkakati mwongozo wa kitaalamu hulipa sana.
Unamaanisha nini? Nimekuwa nikifanya biashara kwa muda sasa na kusema kweli ni balaa haswa forex.
Ninakubali kwa kiasi fulani, kufanya biashara kwenye soko kunaweza kuthawabisha sana, lakini hali yake changamano na ufundi hupinga mapato, tatizo ni wapi na jinsi gani tunaweza kupata wakala/meneja mzuri.
Nimekuwa nikifanya biashara kwa muda sasa, nilipoteza pesa nyingi. Nilipoteza sana kwa ishara mbalimbali zisizoaminika. Ikiwa haujali, ningependa unipendekeze mtu kwa ajili yangu?
Naam, nilijikuta nikipata mapato mara kwa mara kutokana na mfumo ulioletwa kwangu na Bi. CARITA BURIS, wakala mashuhuri kitaaluma.
Ni vizuri kuwa na mtu anayekuongoza jinsi ya kupata faida, lakini swali lazima liwe, je, anaaminika?
Ma broker wengi ni matapeli
Kama broker gani
@@tumlakimwaitumulederiv
@@tumlakimwaitumulewala hajui hawa ndo watu wanao lishwa matango pori…
😂😂😂😂😂 we jamaa bwana
Exness
Mwamba anavaa helen daah😢😢
😂😂😂
Uyu mwana aliiiba hela zangu na kusepa
Njoo whatsapp kaka nkusaidie namjua uyu
Ni kweli au nawewe unaleta unafiki2
Jamaa linajua kuchez na akili za watu hili😂😂😂
2pe link ya group la wasap nasoro