Meja Kunta - MAMU (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 1 лют 2025
- #MejaKunta #Mamu #SlideDigital
MEJA KUNTA SONGS OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/mejakunta
Follow Meja Kunta on
/ mejakuntaofficial
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
22 MARCH 2024...STILL BEST OF BEST OF MEJA KUNTA💥
Kama unaangalia nyimbo hii 2024 gonga like hapa
Kutoka ufaransa nasikiliza singeli najivunia kuwa Mtanzania ♥️ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Big up kazi nzuri
Umamu 2024 hii ndio flavour kamili ya singeli #meja power
Hii nyimbo inanikumbusha kipindi nipo tz dah kweli miaka inasonga naipenda hatali
Kaka nakuelewa vzur sana kaka😋😋😋😋🙋🏻♂🙋🏻♂🙋🏻♂
kwa kweli nilikuwa simjui,ila nimekujua baada ya kifo feki
kwa kuwa unaimba vizur Mimi kuanzia Leo ni shabiki wako.safiiiiiiiiiiiiiii.
Mungu akukumbuke fundi wetu😢😢😢😢😢
Gonga like kama unaangalia hii nyimbo 2025🎉❤️❤️
Nimerud kuona kaziba pengo kias ganii😂😂😂 meja bwana
Sijawahi kupenda ngoma za kihuni hii ya kwanza
Wanaoiangalia hii ngoma mpaka leo like hapa
Meja karibuni na kwetu Rwanda unatixha jamani
Walio kuja bahada ya kusikia kunta mzm bado gonga like twende sawa😭😭😭😭😭😭😭😭
Rip
VP ujambo
@@selinalangu5045 meja
Meja mahit kila mwaka lzm atoe jiwee haswaa oya 2024 still mamu tunamsikiliza
Sipendagi miziki ya visingeli ila hapa nimenyoosha mkono , one love bro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma sana❤
UMEJITAIDI KWA VIDEO 🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏nakwambia kaza buti tu 👏👏👏👏👏
Mohammed Shaban poa sana
Meja ana andika sana 🔥🔥🔥🔥 2024 tupo live
Aaah mi sio mpnz wa hiz song ila meja kunta we ni fuuuuundiiiiiiiiiii....unajua mzee baba...
@team meja kunta
Hatari sana hii sengeli si sengeli mdundiko sio mdundiko vanga si vanga nilikua nishaacha sikiliza nyimbo za hivi sema mamu imenirudusha,safi sana Meja piga kazi
Nakupenda sana Meja Kunta, endelea kuhit kijana
Jamani napenda hi nyimbo ❤❤❤
Jimbo pambe sana bonge la song ww mkali wao
Mashaallah meja Punta nimependa hii nyimbo nakukubali
Mimi sio mpenz wa singeli kabisa, ila nimesikiliza huu wimbo wako nimeona mabadiliko makubwa kwenye aina hii ya uimbaji umeleta changes bigup wimbo mzuri unaelimisha pia
Meja kumbe anamwanya
😍😍Umejua kunikosha jaman Ww ngoma tamu sanaa big up😜😜
Heeee Mzee baba wewe ni machine hatari
Kali sana yaani Konki fire 🔥🔥❤️ pambana baba ... Sisi kina dogo twaja. muziki wa singeli
Ndo nyumbani
Mamu
Big up sanaaaaaah
Basi tuu vingoma vya humu vinanifurahishaga!
Nimekuja kuona nyimbo zake baada ya kuskia amekufa
Sichok kuskiza huu winbo,,, mashair mazur
Dah saf sana Mwanangu sauti unayo na unaitendea haki sambamba na kipaji chako NAKUONA MBALI sana aisee ongeza juhudi zaid support zetu kwako 100% mzee
Mashairi yamesimama hatari..., beat sasaaa, ni kurudia tu nyimbo
Meja kunta ana sauti nzr balaaa. Ni firee
Yaani hapa Meja umemaliza
Hakika umejua kuomba msamaha wa dhat kabisa ngoja mamuuu nirud kama unataka nirudi gongaaa like za kutosha hapaaa Ila usirudie Tena makosaa mume Wangu
Maryam Kyando kaomba adi uruma jamani rudi tu mke
😃 we chiz ujue
Steven urio Official narud hakika kajutia makosa sana kwel Mume Wangu kachakaaa ngoja nikamng`arishe
Omar Matuta uchiz Wangu nini imeandikwa samehe7×70 ndio kajua kosa acha nimsamehe
Maryam Kyando oya dogo pambana yaelaa yote
We noma sana meja kunta
Video is Very Gooooood nilichokiwaza ndicho kilichokuwaaa Hongera 😍🤗🔥🔥
James Delicious umetisha kinoma noma
Naipenda sana hii nyimbo ❤❤❤❤
Hatari Sana umenikumbusha mbali sana
Kweli Wolper alienda HAPA, pombe mbaya
"A talented soul"we r proud of you mejakunta, big up bro,much love from Kenya👍👍👍👍👍👍
Tulio mjua meja kunta baada ya kifo tujuane apa 👇👇kwa like
P
Upo vizur😍😍sauti MashaAllah
Hongera kwake kwa aliyepiga biti hii
singeli ya kwanza kupendwa namimi haswaaaaaaaaa
Sawa
Hey bro uko vzr
Daaah kaka angu siamin macho yangu kama aupo duniani
Sijawah kupenda mziki wa singeli but this one is incredible!!👏🏾👏🏾
We are the same
kama unaangalia nyimbo hii 2025 like hapa
Kama ulikuja huku baada ya kuskia kifo cha kunta afu yupo hai bado gonga like twende sote ila kiki mbaya Sana 😂😂😂😥😥😥😥😥😥
Meja chanzo cha mm kupenda singeli💞💞💞.,
Kila mmoja aende kwa mamuu wake akaombee msamaha 😀😀😀now 2020 like twende sawa
Dah umekuaa Sana lazma mamuu akurudiee
Tisha sana mwanang tunatarajia makubwa zaid ya haya tunaka kuwa elimisha km singel si mzk wa kihuni bal ni mzk wa kila sampuli... Jah bless dam yang
Wanao ombwa msamaha wote kama mm na meja kuntu jamani tutafutane
Kazi kubwa sana,, Shout out to the Big Boss #Dozeeeeee
Love you meja kunta
hongera
Nuru hujambo?
Meja kunta utaishi miaka mingi, walimwengu wabaya kazi yao kuzusha tu mambo mabaya
Wewe jamaa noma..... Nyimbo za singeli sizielewagi ila hiii.. Uhuhu yani ina hisia. Mpaka najikuta natoka na chozi 😥😥😥
Tamuu kamaa nn!!!
Meja wauweeeeeeh 🙌🙌🙌
Meja wauweeeeeeh
Meja Kunta yuko juu kinoma
Dogo unajua saaana, hii ngoma inabamba sana huku mtaani kwetu
Safi mwanangu kaza buti umeshinda
Mwanangu hii nyimbo ulipatia kinoma inasaidia sana hii 😂 Kwenye migogoro
unatakiw uwe na moy wa hurum kam haun haot kaa na wt
Ishi sana chaliangu umeuwaaaa
Waoooh nzur sanaaaa nasauti pia imetulia hadi raha.
Mwazo nilijuwa sauti ya khadija kopo
Hili dude halijawah kuchuja 3/1/25 ila ni 🥵
nyimbo nzuri utatoka tuu sio lazima utakua kiki zakunuiwaaa ungekua karibu ningeshakutia kofi umeboa sana
Nakubl ki2 Cha meja kunta jamn ooooh Mamu kam hunaikubali bx gonga like yako wahuni wa singida
Meja kunta kingdom
Nilipata huzuni et umekufa duh!! Mara ya tano natazama video hii ,pata maisha marefu meja
mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hapana chezea mam
Buloooo apa umetishaaaa kinomaa
**"""dundo kari ile mbaya respect sana boy ...all the best ...🎤🎧📻📢📣📯🎺🎻📞🎶🎶🎶
Daniel Karisto
No coment
Mamu mungu anakuona.......kubembelezwa Kote huko lakini....labda part two ....utaelewa
Can't believe the way I love Ur music, wale tulioletwa huku baada ya kuskia kifo chake tujuane
Meja kunta hilo deni kubwa sana inabid utoe nyimbo kubwa zaidi ya hii maana umeanzia levo za juu sana SISI TUNAKUDAI
Nkupenda bure yani we kaka❤❤❤❤😘😘daaah
Amina Hassan ❤❤❤
Vile moyo huwa inaniluka nikiisikia hii nyimbo mngenionea huruma Ngoma tamu hii jamn
nlkua naisubr kwa hamuuu... big up kwako Mr mamu😂😂
Meja ni atengwe
Aiseeee ngoma kaliiiiii sanaaaaaa .Huyu jamaaaa akitulia ,he can bring changes kubwaa sanaaa kwenye singeli .
Sahihi kabisa,anajitahidi sana
You can do better
Fundii!!!! meja junta n kama #mondi
Alifarik kafufuka twende kazi Sasa like Kama mnamkubali meja kunta 👊👊👊👊
Tuungane hapa kumuombea meja alale mahal pema pepon🖑🖐 Ameen
Pumzika kwa Amani Baba 😭😭😭🙏🏻
Jamaa asaiv Kawa sitaa anasuka na nywele
29/07/2023 Still #Hit hii ngoma asante #Meja_kunta
Uko pow kaza kamba
Naipendraa sanaa safi sana kaka
Kama Bado unamkubali hii ngoma gonga like kubwa hapo👍
Mamuuu iko poah sana mirindimo ya segeree ❤❤💯
Ooh mamuuuu.oooh mamuuuu.mejakunta.love from Zanzibar.
Who's watching this in 2024
Nmeamua niirudie Leo nmestuka kifo chake kumbe hajafa
Nani mwengine yuko hapa baada ya taarifa za kifo..! Like
Team meja kunta star wangu iviii inakuajeee kuajeeeee yaniii
sipendani miziki hii Lakin huu 💯💯🔥🔥
Huu nomaa na nusu 🔥🔥💪💪
Kweli kabisa,huwa siikubali sana ila dogo anajitahidi sana
Mpambanaji sana mbunifu
bonge la ngoma hapa mjini linabamba kichizi