diamond kk una maaadui wengi had wanasiasa hvyo kuwa makin bhna .......wanaokuonea wivu n wengi sana we n mti wenye matunda hvy kila mtyu hukuchukia ww hata yesu alisalitiwa na walewale marafiki hvy kuwa makin
+Binacr Makeja eti timu Tembo juu nyie mbona mnapenda kumpa kiba sifa zakijinga wakati hakuna cha maana alicho kiimba yaan hata huyo kiba aimbe vipi hawezi kumfikia Diamond kwa sasa mondi yuko juu nyie endeleeni kumpa sifa zakijinga kiba sisi huku tunasema ZILIPENDWA safi sanaaaaa team wasafi
Ukizungumzia ushindani ktk mziki na mziki ni biashara hapa ndo jibu huja.. Napenda ushindani huu.. Yaani jiwe baada ya jiwe kubwa ni kuwa mashabiki wanapata kitu wanapenda.. I like it.. Seduce me ya Ally kiba ni kali kwa level zake na Zilipendwa ya WCB ni kali kwa level zake.. Sema naona vitu vya msingi sana katika biashara hii ya muziki.. Ni kuwa biashara inataka ubunifu wa hali ya juu sana.. Ndo kitu naona kinafanywa na hawa WCB.. Hakuna hata shabiki aliyetegemea kama watatoa nyimbo ya dizaini hii...#NAPENDA NINACHOKIONA#USHINDANI UWE WA KULETA MAFANIKIO NA POSITIVE IMPACTS NA SI MATUSI NA KUKUZA MATABAKA.. #WATU WAKESHE STUDIO USIKU KUCHA SISI TUBURUDIKE NA WAO WAINGIZE PESA... NA SI MATUSI.. Shout out ot you Ali Kiba and WCB crew Keep grindin and keep moving guys.... M OUT.......! +255762759........7
Nna imani mungu atazidi kuwapa ubunifu zaidi Ili sisi mashabiki tuzidi kuongeza nguvu ya kunyanyua Chama letu WCB kwa mikono miwili Bila kinyongo hii iko moto
yan hii imewashika watu pabaya yan Hadi wanasiasa walijipanga kuiuwa Lakin wap kilicho pangwa na Mungu binadam hata mfanyaje mtafeli to WCB is my team congrats to you broo Diamond
Grace Ngoyi WCB.mmeharibu ngoma yenu imevuja.mngesubiri kwanza hii ya Ali asingepata viwers hao.nyie ndio mmempa ushindi.hii imetokea kukuangausha wewe.walikua wanatafuta jinsi ya kukuangasha.imeonekana kama wewe mgomvi.why kiba katoa nawe utoe.unajifanga mjuaji.ndio maana.sikwangoma hii ya Ali kupata viewrs hao.unapenda sifa.kujifanya unahuruuma.unajaza watu46.wanini.haikusaidii chochote.utasaidia wangapi.uliowasaidia wanatosha.sasa basi fanya maisha yako.mwisho.nikufirisika.unaonekana mista misifa.lkn kweli siumeyaona
I'm here once again 2023✔️, A lot has happened and changing but honestly I really miss the vibes of old wasafi ,ooh maa men konde boy😭,mavoko😭,vanny boe 😭, quuen 😭 .. the era is coming to an end ❗,, thank you platinumz for the gifts of vanny boe and konde boy always make people enjoying,, really the street will never forget your beautiful heart for the music industry of Tanzania and Africa thank you again again and again,for those who watching this bung in 2050 this guys was phenomenal genius on their Prime's🔥🔥🙌 and now is our legends 🔥💪
aaaaaaaa jamani WCB si kwa ubunifu kama huo, msanii lazima uoneshe ubunifu katika kazi yako ya fasihi, aisee kiukweli mnanifanya nijisikie vizuri na kutojuta kwanini nikawashabikia, BIG UP, wcb ila mavoko umenichekesha sana
diamond don't loose hope watanzania wenu wanakuonea wivu. kina wema ni wivu hii song ni kali. huweziicompare na seduce me. uko juu . wale wenzako wanakuonea wivu lakini watu hapo chini wanakufeel zaidi. wakitaka waweke kura east africa uone vile utamwacha na gap. uko juu bwana
Nikweri wampiye huwo niwivu wadakupfa nawivu wajitibishe mapema mana hata wakiongeya nini hatokata tama kaka diamond songa bere were ni wasahhhhhaaaaaaffffiii ilket you music🎤🎼🎹🎶 so muche
Tanzanian boys. Aiyayayi... You win. You've got me drunk with your music. Such talent. It's not forced. Wamezaliwa nayo. Kipawa yani. From rose muhando harmonise, as lay etc. Just incredible talent
One of my favorite music, the tone, the melody, the beats, the pitch, the rhythm, the tempo, the harmony, the message, the delivery language, the play and show all make every one fall in love with this wonderful production from Diamond Platnumz
Aisee, WCB tupeni pozi pande ya pili jmn, mbona tumekubali kuwa nyie ni madoni wa Magu land, sema waandishi tu wanakuza, tunaomba poo Mondi. Penda sana WCB, ngoma kali mno
Mpaka saiv najiuliza maswali kwann seduce ya alikiba imeshika trending sana mitandaon wakati zilipendwa ndo the best one..hahah big up diamond you rock the world.
John Beneth mashabiki naona labda wavivu wa kujitoa tunaishi kwa mazoea wakati zile fani page zao wenzetu wapo bize kuhamasisana waje UA-cam ebu tukaze buti maana hawa watu hawawezi kutupita sisi tukaze
TWO REASONS: 1.First, Ali kiba has not released a song for a long time. He created a demand for his songs. Consequently, his fans developed that insatiable thirst for his songs. Some views also came from WCB fans who were curious. Fans wa WCB wamezoea new songs every month so hawana ile mbiyo ya kutazama a new release. 2. Secondly, Diamond alifanya blunder kuattack kiba kwa ile rap song ya FRESH. Big blunder. He created an opportunity for Kiba to market Seduce Me. Kiba seized the opportunity and released Seduce Me at the time when things were heated between himself and Diamond. Understand that Diamond is a big star, probably the biggest TZ has ever produced. Therefore, when he shifts his attention to another star such as Kiba then the status of that star is elevated. Show less
Team wcb sio wa mchezo mchezo😆 nilifikiri mtaisahau Zilipendwa kwa sababu ya Halleluja, nikaogopa wale vipusa watatufikia na kutupita, Kumbe ndio mmeongeza kasi 👏👏👏👏 tmewaacha mbaliiiii nawanajikongoja polepole 😂😂😂😂 ukiwa Wasafi raha sana Sihami ngo'oooooo gonga like if you fill the Some!
I am a Sierra Leonean-West Africa, I love to speak Kiswahili lang. In Tanzania, Emmonize is my best artist and in Uganda, Jose Cemelion is my best artist especially in one of his songs he featured Melody. I love all East African artists that sings in Kiswahili and Niigala languages. I love to visit Tanzania, Uganda and Kenya.
It's November 23. I just found this music video. I'm 64 year old white American who thinks Diamond is one of the greatest entertainers in the world today. I have no idea what they are singing, but I had a smile on my face from beginning to end.
Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni hakika nyimbo za #WCB kila inayotoka ipo vizuri sijawahi ona wametoa nyimbo zilizochini ya kiwango pia Producer Eyolaiza pamoja na Director wapo makini sana ndio maana kila nyimbo lazima itoke vyema, kama Producer au Director angebolonga nani ambaye angependa nyimbo za #WCB? Hongereni Kaka Uko juuu! Duuu Ni balaaaaaaaaa!!
Ally Rajab ndio ni ujinga na watakuja kufa na ujinga wao tatizo Tz tupo hivi mtu akiwa chini wote wanampenda na kumpandisha ila akiwa juu wanatamani kumshusha ila hapa wamefeli
Congrts the winning Team #WCB, more creativity, different Vocals and sounds, danceable song, listenable, Harmonize sio Kwa kumalizia huko bro kama ulizaliwa enzi za Lessi Wanyika.
They mean all good things pasted were loved by but now are normal, and they tried to show some of those things or affairs in actions as u see some actions in their movements like the way they dressed, their hairs, listen TBT(Those Back in Days) radios and so many others related
i am from colombia and i think it’s well known that african music is widely worshipped here in the caribbean coast. i recently discovered this tune and i gotta say it’s addictive. even though i don’t understand what they’re saying, i can’t get this melody out of my head. i wish i could dance to this the way we, colombians, dance to it as if it were what we call here a “champeta”.
They are singing and making fun of historical development of life in Tanzania-everything they do they have fashioned back in the 1970s including their clad. It is even funnier if you could understand the words, enjoy!
You don't understand a word but still get goosebumps. That's how you understand it's great. And it's very simple... our origin is identical, our histories remain identical, our development is intertwined....our cultures mirror each other. We are way overdue for a Federal Republic of Africa... with a single language preferably Swahili, a single currency, a single market and a single DESTINY. We were taught to be different. We never felt that way. We are only as different as we are similar...
Thank you pal We really were meant to be one nation But anyways I really love my swahili origin and the fact that #WCBartists work hard to unite East Africans through their good music and to announce swahili culture to the world Thank you once again Much ❤ from 🇹🇿
That last part from mbosso,lava lava and most precisely Diamond Platinumz is so sweet.......Simu za dole gumba,zilipendwa,Johari na Kanumba Zilipendwa.....so vibing and sweetly sang.
Ednah Kudzai Matamba they are recalling the early days.. They love that last days so they are praising early times how people used to love the Dem days.. Zilipendwa means they were loved
This man is new Michael Jackson from Africa I love this song into my bones congratulations guys we welcome you in United States of America.$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$
Diamond is the chirs brown of africa can't deny his talent hate all you want but it's true keep doing your thing diamond, I lo ve you, wcb all the time
I am Happy I got tagged into this chat thanks Diamond Platnumz and Harmonise the same people who done kwa ngwaru I know the words to all your songs I listen to god bless well done yuhhhhj💙
From Namibia, this is the only song I've played many times in my life.. I can't get enough of it.. Let me drop my dogo Swahili here. Namushukuru Mungu kwakutupa Diamond😂😂
Queen darleen utanimaliza ak😺.. teeena na madada wenye jina wacheni visa, unaitwa ukale dinner mnakwenda tisa, nywele za kichina, pochi za kuazima zilipendwa😂😂😂......August 2019 still fire
Zilipengwa!!! Music unites ❤❤❤The African connection is in our blood. Much love and respect to my fellow Africans all over the world❤ #Suriname in the house 😇
Love from India.. it’s 12:45 AM and I am listening to this song.. I worked in Tanzania for 2 years and I just love swahili songs... and the most important, Tanzanians are so polite .
This song will never lose taste❤ any Kenyan in the building 2024❤❤❤
😂😂😂❤
@@khamismussa3070 still in 2024❤🔥❤🔥❤🔥
Nko nko apa nairobi
Here
Wah aki hii wimbo is always great. Kama uko huku April 2024 piga like. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tupo pamoja 🎉.
I'm listening from DRC Congo 🇨🇩
Tuko
Dangote dangote huu wimbo kwangu mm ni wimbo wakarne
Here at june
July 2024❤😅
mimi kwanza nitacomment ata kabla sijaiwatch kwasababu nina uhakika wcb are the best... #zilipendwa...let me watch now in a repeat mode.
Janet Karanja na wew kumbe uko huku
Geoffery Kariuki nitakosa ajy huku hehe
yesssssssss baby 👧
Janet Karanja
Janet Karanja You'r smart
Hawa wote walikua wasanii wa diamond
diamond kk una maaadui wengi had wanasiasa hvyo kuwa makin bhna .......wanaokuonea wivu n wengi sana we n mti wenye matunda hvy kila mtyu hukuchukia ww hata yesu alisalitiwa na walewale marafiki hvy kuwa makin
Kama kichwa kinaumw njoo wcb Panadol zautosha
Nkikuita Plutnumz nahs kma nkushusha thamani acha nkuit SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.. nothing like u brther....
wakimbize ile mbaaaaya na mwaka huu watakoma hiyo ndiyo wcb
Yakub Said
erick omondi ametoa remix ya zilipendwa
nmeipat
Yakub Said jaman angalie tunamkaribia kiba tuongeze juhudi
I miss the Diamond Platnumz & Harmonize duo
That was a strong duo😪
Sameee
100%
True..now Harmonize is still doing good
My favorite song Until now 2023🔥
I wish mngerudi tena na kuungana kama ivi mfanye makuu zaidi 🔥🔥🔥
Aisee mimi ni mjapani na huku kwetyu neti haishiki ila hawa jamaa ni creative Ile mbaya. .Lazima nijifunze kiswahili Saivi ....pamoja sana WCB.
+Binacr Makeja eti timu Tembo juu nyie mbona mnapenda kumpa kiba sifa zakijinga wakati hakuna cha maana alicho kiimba yaan hata huyo kiba aimbe vipi hawezi kumfikia Diamond kwa sasa mondi yuko juu nyie endeleeni kumpa sifa zakijinga kiba sisi huku tunasema ZILIPENDWA safi sanaaaaa team wasafi
hahaha umetisha kinoma
+Mariam Lugoye Nyimbo ni mbovu kazi kutaja majina ya watu
👏
Ukizungumzia ushindani ktk mziki na mziki ni biashara hapa ndo jibu huja.. Napenda ushindani huu.. Yaani jiwe baada ya jiwe kubwa ni kuwa mashabiki wanapata kitu wanapenda.. I like it.. Seduce me ya Ally kiba ni kali kwa level zake na Zilipendwa ya WCB ni kali kwa level zake.. Sema naona vitu vya msingi sana katika biashara hii ya muziki.. Ni kuwa biashara inataka ubunifu wa hali ya juu sana.. Ndo kitu naona kinafanywa na hawa WCB.. Hakuna hata shabiki aliyetegemea kama watatoa nyimbo ya dizaini hii...#NAPENDA NINACHOKIONA#USHINDANI UWE WA KULETA MAFANIKIO NA POSITIVE IMPACTS NA SI MATUSI NA KUKUZA MATABAKA.. #WATU WAKESHE STUDIO USIKU KUCHA SISI TUBURUDIKE NA WAO WAINGIZE PESA... NA SI MATUSI..
Shout out ot you Ali Kiba and WCB crew Keep grindin and keep moving guys....
M OUT.......! +255762759........7
Hiyo ndio kitu inatakiwa bro
Prince Naahjum Alsina, 👊
Prince Naahjum Alsina ur right
Prince Naahjum Alsina umesema la maaana
well said
Nna imani mungu atazidi kuwapa ubunifu zaidi Ili sisi mashabiki tuzidi kuongeza nguvu ya kunyanyua Chama letu WCB kwa mikono miwili Bila kinyongo hii iko moto
Mwishoe huu wimbo umekua zama za kale 2024 tuko na new song . Aweeeee🎉
Yaaan naipenda WCB kuliko hata ninavyompenda bwana angu aisee mmeuwa WCB 4 life kipusaaaa ni zilipendwaa
Ni hatari
priyanka noves duu
priyanka noves nakupenda buree
duh
mwaaah kwa kuwapenda
yan hii imewashika watu pabaya yan Hadi wanasiasa walijipanga kuiuwa Lakin wap kilicho pangwa na Mungu binadam hata mfanyaje mtafeli to WCB is my team congrats to you broo Diamond
Ngoma kari saana
Kizito Kasulamo ndaniiiiiiiiiiii
inabd yule jamaa akapmwe mkojo..
Kirico pangwa namungu hakuna naye weza gupanguwa Maduro mupo mume yiwona hiyo ZIRIPENDWA
Silva Platnumz umesema nirudiye guhangaria nazidi kuyiwona zuri zayidi paka nimeyiceza inagoma zurisana
Nani Anakubali kama iyi Wimbo itafikisha 10M in one week ❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯 WCB for life
mmi
Mimi🙋
Grace Ngoyi kwel kabxa
Grace Ngoyi WCB.mmeharibu ngoma yenu imevuja.mngesubiri kwanza hii ya Ali asingepata viwers hao.nyie ndio mmempa ushindi.hii imetokea kukuangausha wewe.walikua wanatafuta jinsi ya kukuangasha.imeonekana kama wewe mgomvi.why kiba katoa nawe utoe.unajifanga mjuaji.ndio maana.sikwangoma hii ya Ali kupata viewrs hao.unapenda sifa.kujifanya unahuruuma.unajaza watu46.wanini.haikusaidii chochote.utasaidia wangapi.uliowasaidia wanatosha.sasa basi fanya maisha yako.mwisho.nikufirisika.unaonekana mista misifa.lkn kweli siumeyaona
I'm here once again 2023✔️, A lot has happened and changing but honestly I really miss the vibes of old wasafi ,ooh maa men konde boy😭,mavoko😭,vanny boe 😭, quuen 😭 .. the era is coming to an end ❗,, thank you platinumz for the gifts of vanny boe and konde boy always make people enjoying,, really the street will never forget your beautiful heart for the music industry of Tanzania and Africa thank you again again and again,for those who watching this bung in 2050 this guys was phenomenal genius on their Prime's🔥🔥🙌 and now is our legends 🔥💪
This iz de meaning of love
H see BCGy? The deer switch getting1a gym into ⁹f
I miss them too,I wish they can forgive each other and continue giving us hits, life is too short not to forgive each other
❤zilizopendwa
aaaaaaaa jamani WCB si kwa ubunifu kama huo, msanii lazima uoneshe ubunifu katika kazi yako ya fasihi, aisee kiukweli mnanifanya nijisikie vizuri na kutojuta kwanini nikawashabikia, BIG UP, wcb ila mavoko umenichekesha sana
Zilipendwa😘😘😘
Zuwena natmpata wap
Zuwena wa zile nyakati❤❤
clara de blizzen penda wewe wa wcb
clara de blizzen sijapenda mondi
From USA 🇺🇸 Uganda 🇺🇬 I love you guys your very talented and handsome, you make Africa proud
To get her bro from chicago
Tanzanian not Ugandan
Vivian Abiakam same shit they are all Africa 💓💓
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@@ashleyhartford6048 no
Huu wimbo nauweka kwenye flash ili watoto wangu wauskize enzi zao........Always on top
Diamond Platnumz remains the best for music in tanzania. Tuacheni ushabiki wa kinafiki. Kwanza alivyoimba seduce me ni too underground.
Mpe tano Mr diamond wasafi record ngoma mpya Hiyo zilipendwa 👍👍👍👍👍💛💛💛💛💃💃💃🙋🙋kata mwili dah! Mpe subscribe zake
tumpe nyingi views
diamond don't loose hope watanzania wenu wanakuonea wivu. kina wema ni wivu hii song ni kali. huweziicompare na seduce me. uko juu . wale wenzako wanakuonea wivu lakini watu hapo chini wanakufeel zaidi. wakitaka waweke kura east africa uone vile utamwacha na gap. uko juu bwana
Waambie kaka
Nikkei😘😘😘😘😘
Nikweri wampiye huwo niwivu wadakupfa nawivu wajitibishe mapema mana hata wakiongeya nini hatokata tama kaka diamond songa bere were ni wasahhhhhaaaaaaffffiii ilket you music🎤🎼🎹🎶 so muche
True kabisa, nyimbo haichoshi hii
Nelbizzy music kweli wanamuonea wivu. Wanakumbuka walivyomnanga kumuita mswahili hajasoma, sasa katusua yamewashuka
Nimerudi kusikiliza hii nyimbo siku ya valentine 🤣🤣🤣 leo 2023 piga like ukiingia kuwatch picha
21/7/2023
Greetings from 254, hii ngoma ni moto sana.. Ni kama finali ya Kombe la Dunia. I can't get enough of it.
mtaani sipati sukari guru kabsaaa
Weka like kama na ww uliikubali na unaendendelea kuitazama hii chemistry
Rich Mavoko is so underrated! Such a great talent to the music industry
Wa Congo muko wapiiii. Izo nii zaa zamani saa ya wa Pépé Kalé❤
Ebwanaaa eee nimekuelewa mzee baba
Bonge la song mmelitendea haki
#Zilipendwa_wakuache_watu_na_mziki_wao
Edwin Semwenda jamaa ni mtu hatarii
Sebastian Didiet anajua sana mpaka anatamani kujishinda mwenyewe
Tanzanian boys. Aiyayayi... You win. You've got me drunk with your music. Such talent. It's not forced. Wamezaliwa nayo. Kipawa yani. From rose muhando harmonise, as lay etc. Just incredible talent
Wcb mkoapiiii,,,mbn mmeregeza kamba sasa,,,thkkshee tnaipta iyo kipusa cjui kipasu,,,naikbl team wasafi najua ttfnkshaa
unatisha mond
yes
tukaze wcb hii ngoma tuirudie maranyng kuingalia
Jmn kwa kiba kesha funga dimba kwa 1milion hajawahi tokea pambano hili nomer
land manoti nitumie bando .mzee baba
One of my favorite music, the tone, the melody, the beats, the pitch, the rhythm, the tempo, the harmony, the message, the delivery language, the play and show all make every one fall in love with this wonderful production from Diamond Platnumz
Ukitoka Tanzania nchi nyingine ya Aman ni WCB,sijut kuish ndan WCB
Jam Mrungu kweli kak pamoj san
Kweli hizo ni zama za kale, na zilipendwa
take a soda I will pay it
ni kweli kabisa achana na zile za pasua kichwa haziwezi ondoa stress zaidi ya kukuongezea mawazo
Tuko pamoja WBC 4real
nimenyoosha mikono juu wcb ni fire Bonge LA ngoma salute
NAWEPENDA BURE WCB
Ujumbe uwafikie betina nazena popote walipo
Frida Titus yes na wanajijua bila shaka, watangoja sana kwa Wcb
Nothing to say walah! you guys mmelaaniwaa Na music mamaqe.... Mond punguza speed utatuua
Nyemo Golden 😂😂😂😂
+Nelly Njeri 😀😀😀😀😀😀
Nyemo Golden 😂😂😂😂😂😂😂
Nyemo Golden hahahahahaaaaa hatari ngoma
nyemo golden... hahahahaaa
Nipo hapa 2024. Jamani mbona nyie mnapata likes, mi sipati. Angali wote tunampenda muziki mizuri "zama za zamani" 🎶🎵🎵🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Diamond platnumz ulituwaidi utatowa ngoma ft wcb nzima naleo umetowa ahsante sana towa ngoma na wewe ngoma zako zote huaga zinapendwa nakukubali
Sana tu**Diamond Diamond simba**
Mamaeeeee hapa ni zaid ya #freshremix #wcb mmeumizaaaaaaaa hatarree sana pigeni kazi mazeeee 😆😆😆😆😆😆😆💪💪💪💪💪💪💪💪🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
noma sanaaaaaaaa
Ngosha Maguzu 👏👏👏👏👏
Ngosha Maguzu 0
uwa sijutii kuwa team WCB
Yusuf Hussein yn we acha2
WANATENDEA HAKI SIPIKA ZANGU
umesomeka
Yusuf Hussein kabisaaaaaaaa umeonaeeee
ASWAAA Stirlipson Canstand
Golden East African boys Nani bado anasikiza hii ngoma 🇰🇪kenyans# anguka nayo#
Aisee, WCB tupeni pozi pande ya pili jmn, mbona tumekubali kuwa nyie ni madoni wa Magu land, sema waandishi tu wanakuza, tunaomba poo Mondi. Penda sana WCB, ngoma kali mno
huna unacho kijua ww
Anton Frumens Na bado
Kikobe Kikobe hatareee, winning team always congrats WCB
hawa jamaa ni tabu
Mpaka saiv najiuliza maswali kwann seduce ya alikiba imeshika trending sana mitandaon wakati zilipendwa ndo the best one..hahah big up diamond you rock the world.
John Beneth mashabiki naona labda wavivu wa kujitoa tunaishi kwa mazoea wakati
zile fani page zao wenzetu wapo bize kuhamasisana waje UA-cam ebu tukaze buti maana hawa watu hawawezi kutupita sisi tukaze
Pendo Hamisi ni kweli ase
TWO REASONS:
1.First, Ali kiba has not released a song for a long time. He created a demand for his songs. Consequently, his fans developed that insatiable thirst for his songs. Some views also came from WCB fans who were curious. Fans wa WCB wamezoea new songs every month so hawana ile mbiyo ya kutazama a new release.
2. Secondly, Diamond alifanya blunder kuattack kiba kwa ile rap song ya FRESH. Big blunder. He created an opportunity for Kiba to market Seduce Me. Kiba seized the opportunity and released Seduce Me at the time when things were heated between himself and Diamond. Understand that Diamond is a big star, probably the biggest TZ has ever produced. Therefore, when he shifts his attention to another star such as Kiba then the status of that star is elevated.
Show less
Martin Aloo true
martin umeongea ukweli kabisa
ni kitu Paaap!
nimewasomaaaa WCB mwaka huuu vipusa wafungasheeeee
😘😘😘 nimesom WCB vipusa endeleeni na tuvijimbo vyen vya sinderel freshiiii tuuuuu
Aryan Khan 4sure Vpusa Wajpange #RipSeduceMe!!
nimependa ubunifu
its 2024 but the song is still 🔥🔥
Team wcb sio wa mchezo mchezo😆 nilifikiri mtaisahau Zilipendwa kwa sababu ya Halleluja, nikaogopa wale vipusa watatufikia na kutupita, Kumbe ndio mmeongeza kasi 👏👏👏👏 tmewaacha mbaliiiii nawanajikongoja polepole 😂😂😂😂 ukiwa Wasafi raha sana Sihami ngo'oooooo gonga like if you fill the Some!
Mondi, Vani na Richi, Zilipendwa imeweza Nairobi vbaya wasee. Twaikubali shughli yenu alumu manguli. Waache wawaige tuu.
I am a Sierra Leonean-West Africa, I love to speak Kiswahili lang. In Tanzania, Emmonize is my best artist and in Uganda, Jose Cemelion is my best artist especially in one of his songs he featured Melody. I love all East African artists that sings in Kiswahili and Niigala languages. I love to visit Tanzania, Uganda and Kenya.
Qqqq
From a kenyan start with us then the rest
Welcome E.Africa
Thanks bro, am a Ugandan
Sikia hii nugu
Mpira na Pele..... emotional 😭😭😭😭😭😭
🥺🥺
kazaneni jamaniiii, we gonna over take soon. Kama wewe ni team WCB for life gonga like.
amitun
uwaze hapa ni kuview tu
Mpaka usiku mil100 tuongeze juhudi, hakuna kulala mpaka zifike Mil 100
Omary Msenguzi kitambo tu mbona
wemaxepeto
Harmonize amechukua ushindi hapa kazi tu...
Rama Omar .....voice yake iko mwaaa
Rama Omar 😂😂😂😂😂😂
Rama Omar harmo my all time artist
this guys are the best...kibongo jo🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏✌✌✌✌✌
kitu nomaaaaa, +254 wapi likes, za wcb
Rey Wanjiru 💞💚🇹🇿
Noma saaaaana
Jamani wangapi tumemmis Rich mavoco wa WCB
It's November 23. I just found this music video. I'm 64 year old white American who thinks Diamond is one of the greatest entertainers in the world today. I have no idea what they are singing, but I had a smile on my face from beginning to end.
Good on 👍👍
He is
Yeah he is, it's just a song listing lots of behaviors and acts that aren't admirable should be left in the past
Hi,i can do the translation if you dont mind.im from kenya
My husband is also Timothy but died on November7 last year
Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni hakika nyimbo za #WCB kila inayotoka ipo vizuri sijawahi ona wametoa nyimbo zilizochini ya kiwango pia Producer Eyolaiza pamoja na Director wapo makini sana ndio maana kila nyimbo lazima itoke vyema, kama Producer au Director angebolonga nani ambaye angependa nyimbo za #WCB? Hongereni Kaka Uko juuu! Duuu Ni balaaaaaaaaa!!
Director Molimoyo I dont really understand the lyrics well especially the part of Hamisa. Pleasevwoukd translate. ..thanks
I'm a Zimbabwean but I'm proud of you Diamond keep up the standard.
Wale wa 2024 mko wapi? Gonga like🎉
Mimi hapa
Wezombie
Balaa
Nimepull up once more
🎉
I love Rich Mavoko's part.....aaaaaaawww his voice is so sweet..
Tanzânia 💪💪💪🤣
Kenya na Tanzania bado marafiki na mashemeji I'm from Kenya 🇰🇪🇰🇪 njoo mtubebe tena tunawapenda sana
👐
Ahahaaa...hellen mpapale
Nakuja
Hata mie nimekupenda et
Damn! This is what we call 'class'. You're being dragged down the memory lane while enjoying the current hit. Pure genius!
Walio rudi tena hapa leo wagonge like hapa twende pamoja
2024❤
Tuko
Hapo sasa Diamond uko juu tu sanaa na hiyo hair style joh
Princess Sally wigi hyo😂😂😂
habari ndio hiyoo
Ys kunichunguza nala tembele kwa kipoto au mchicha
Bushmen Waukweli 😂😂😂😂😂 we unaongea nini
niujinga sana kuona watu wanaichukia wcb hawa wanaume wanatafuta pesa
Ally Rajab ndio ni ujinga na watakuja kufa na ujinga wao tatizo Tz tupo hivi mtu akiwa chini wote wanampenda na kumpandisha ila akiwa juu wanatamani kumshusha ila hapa wamefeli
umeonaeeeeeeeee
umeonaeeeeeeeee
Jamani tuache utimu Zilipendwa ni nomaaaaaaaaa!! michezo ya kibabababa duuuu!! inaniuwa sana mwenzenu
Ally Rajab nomaaaaaa
Congrts the winning Team #WCB, more creativity, different Vocals and sounds, danceable song, listenable, Harmonize sio Kwa kumalizia huko bro kama ulizaliwa enzi za Lessi Wanyika.
Nomaaaaa sana wasafi
Nomaaaaa sana wasafi
Magina Mandago
Nambie Eugenia
We miss the old wasafi days😭
A beautiful music doesn't have a time limit I always listen to music to revive my soul, listening from the U,S. and I'm a liberian your African sister
Thanks for listening
They mean all good things pasted were loved by but now are normal, and they tried to show some of those things or affairs in actions as u see some actions in their movements like the way they dressed, their hairs, listen TBT(Those Back in Days) radios and so many others related
Hmmm me to Us music is good
You in which state
Mamamamayanguuuuu bonge moja yangoma Mimi team kiba ila kwahiii umeuwaaaaaaa kariiiisanaa
Mohamed Said ukweli ndo huo tuamie huku huku
i am from colombia and i think it’s well known that african music is widely worshipped here in the caribbean coast. i recently discovered this tune and i gotta say it’s addictive. even though i don’t understand what they’re saying, i can’t get this melody out of my head. i wish i could dance to this the way we, colombians, dance to it as if it were what we call here a “champeta”.
They are singing and making fun of historical development of life in Tanzania-everything they do they have fashioned back in the 1970s including their clad. It is even funnier if you could understand the words, enjoy!
Wow thank you for loving African music 🎵🎵🎵🎶🎶🎶
On 0m
This is Kiswahili East African Language bantu language,
Lmagvsbdd
S
Sjls
Jd
Jd
Kd
JK
J
mimi sio shabiki wa izi nyimbo ila nlipenda sana wasani wetu kukaa pamoja na kufanya kazi pamoja huuu wimbo naupenda
Big up sana,'zilipendwa'
jackson edwin hatari sanaaaaaa
You don't understand a word but still get goosebumps. That's how you understand it's great. And it's very simple... our origin is identical, our histories remain identical, our development is intertwined....our cultures mirror each other. We are way overdue for a Federal Republic of Africa... with a single language preferably Swahili, a single currency, a single market and a single DESTINY. We were taught to be different. We never felt that way. We are only as different as we are similar...
Thank you pal
We really were meant to be one nation
But anyways
I really love my swahili origin and the fact that #WCBartists work hard to unite East Africans through their good music and to announce swahili culture to the world
Thank you once again
Much ❤ from 🇹🇿
jastin
Salut
God bless you
I surely have to agree, viva Algeria 123..!
Woooooow mmmeuaa funakia kipusaaa huko mwaaaah wcb for life
That last part from mbosso,lava lava and most precisely Diamond Platinumz is so sweet.......Simu za dole gumba,zilipendwa,Johari na Kanumba Zilipendwa.....so vibing and sweetly sang.
1. Million viewers Nigerians you already know East Africa is the big thing
Wcb ndio kiboko yao kiba ww una safiria nyota ya simba kama c mondi ww ugekua ushapotea kitambo san mshkuru san mondi ww
Charles Ndungu, Stop being childish. Why bringing Nigeria into this?
Hassan Mohamed ndio abar ya mjin WCB
I despperately wat this song is all abt pliz
Ednah Kudzai Matamba they are recalling the early days.. They love that last days so they are praising early times how people used to love the Dem days.. Zilipendwa means they were loved
WCB LABEL BIG UP 👊👊👊👊
Wcb kiboko lao sana penda mno hahaaa
This man is new Michael Jackson from Africa I love this song into my bones congratulations guys we welcome you in United States of America.$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$
Michael j zilipendwa..meaning Michael is past
Enzi hizo zilipenda mond na wanewe this days 🤸God pananisha hawa watu
Diamond is the chirs brown of africa can't deny his talent hate all you want but it's true keep doing your thing diamond, I lo ve you, wcb all the time
anarisha
I am Happy I got tagged into this chat thanks Diamond Platnumz and Harmonise the same people who done kwa ngwaru I know the words to all your songs I listen to god bless well done yuhhhhj💙
Vikatuni vyamadenge bb ubaya
2021 and Rwandese still enjoys this. For sure diamond is an international / global artist
Hello
uvuze ukuri!!!
Ntaniyindi ndirimbo nakumva nkiyi
@@odilonrwibutso1858 0pp
5years still can't get enough of this song, who agree💯💥
Truee🥳it still hits❤
Nataman muungane tena
@@alexmwendwa5446 true that team was fire I wish warudiane
Will someone translate to English the meaning of the song
From Namibia, this is the only song I've played many times in my life.. I can't get enough of it.. Let me drop my dogo Swahili here. Namushukuru Mungu kwakutupa Diamond😂😂
Hongera kwa kujua kiswahili
Hongera
congratulation brother tunakupenda Tanzania
@@kingkiba6483 Asante kaka
U didn't see others like mbosso Michezo ya kibababa
Mungu wangu mara ya kumi hoi naitazama
wcb mooore fire Kali kama kawa
uwiiiiiiiiiiiiii mmeuwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kizzy ngavatula mi mara 20 naitazama
Sina cha kusema zaidi ya kusema WCB nawaelewa sana
I really can't get enough of this song ❤️❤️❤️❤️❤️😭😭😭😭
Too much love from your neighbor Uganda ❤️
Jamani kuna ugojwa mpya umekuja wakuckiliza hi nyimbo kama kuna mtu ana dawa anipe ugojwa una zidi kuni athali kila mda
Efata mangu 😂😂😂😂😂
Efata mangu endelea ndo ugonjwa mzuri huo ila ziwe za mond
Efata mangu mwenzio Mimi je? Nimeathirika mnooo
Efata mangu mwana sio ww tu had mm vailas washaniingia nimekuw kama teja
Efata mangu dawa Ni Diamond Karanga Tu....😂😂😂😂😂
Nyimbooo Ya Mwaka Daaaaaadeq
🎸🎺💸💸💸💸💸💸💸💸
aaaaah WCB nyie nouma ban.......#zilipendwa
ngoma ya mwaka
merlckiory john wametisha
merlckiory john umeonaeeeeeeee
Tukubali tuu...hiii nyimbo hapana
Quelle sons!!!!!❤ Depuis la côte d'ivoire 🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮
Ouhhhh j'adore 😮😮
I'm from Nigeria but for my view this is the best music and swahili is the best language in the world these guys are the best.
Sijawah kua team mondi ila this song z really nice .....naurudia rudia xaana
Paul Iddi 😂😂😂😂😂😂
good bro kizuri kinavutia
daaaaah wcb ni xhd
karibu 😘😘😘
Asante okey
I don't understand what they are saying but am a big fan of diamond.. nice song
queen tymah they are singing about the past lifestyles
queen tymah they are singing about what they loved in their past lives
gud
I will teach you swshili....am his fan too
2024 and still watching...mko wapi?
Queen darleen utanimaliza ak😺..
teeena na madada wenye jina wacheni visa, unaitwa ukale dinner mnakwenda tisa, nywele za kichina, pochi za kuazima zilipendwa😂😂😂......August 2019 still fire
😅😅
Awesome, talented geniuses. Beautiful song I can't get enough of it I keep repeating. A group of truly talented artists, congratulations guys💖💖💖
let us support them
It's now 2019,
and this part of Rich-Mavoko is everything......
On trending again 🙌 nipeni like za zuwena
Queeen darleen sauti Nayo......
Zilizopedwa ......
Saudi Arabia watching
JB lish mie pia
Zilipendwa kweli
Zilipengwa!!! Music unites ❤❤❤The African connection is in our blood. Much love and respect to my fellow Africans all over the world❤ #Suriname in the house 😇
🤩🤩🤩🤩thank you its called zilipendwa
It's called zilipendwa😂😂
Love from India.. it’s 12:45 AM and I am listening to this song.. I worked in Tanzania for 2 years and I just love swahili songs... and the most important, Tanzanians are so polite .
Mwaniki Mwaniki i am not sure about that.. bcz one of my colleagues was a Kenyan and he was cool 😎
Wanaocheki zilipendwa weka like hapa 😂