Lakini hawatupendi. Eti sisi hatuko creative,twaimba nyimbo zao. Yaani kuna jamaa aliimba vizuri kwa audition fulani hakupita juu aliimba nyimbo za Kenya.Mimi sikufurahia hata kidogo
Huu wimbo unamafundisho mazuri Sana. Yani nikiingia UA-cam mpaka niurudie mara tatu na zaidi. Wapi mwengine wakurudia huu wimbo, mikono juu.👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
tumechoka nyimbo za mapenzi na kukata viuno sasa tunataka kuelimishwa na kuburudishwa BIG up bro! mkiufungia huu wimbo mtatukosea sana asee while kuna watu wanakata mauno huko mnawaachia sikuhizi hadi watoto wadogo mtaani wa kiume wanakata mauno kama feni mbovu
Full mafunzo. Umekuja na style yko bro big up sio kila saa kuimba mapenzi tumesahau nyimbo huhamasisha jamii Asante dullah tuelimike kupitia huu wimbo Basi kama kuenda msikitini na kanisani shida.. gonga like ka mnakubaliana na dullah
@@zuberimashuhuri Unahoji shekhe kwasababu kamtaja mchungaji? Hii siyo ligi ni wimbo tu suala la msingi mesej imefika kwa jamii, ukitaka ataje watu wote wimbo utafika dakika 100
Hawa BASATA wameshindwa kufungia nyimbo za AMELOWA ,NITONGOZE Wanakuja kufungia Nyimbo yenye Kuelimisha Jamii Yetu kabisa 100% hii Nchi ya Ajabu sana hili waliangalie BIG UP sana DULLA MAKABILA Umetisha sana ALLAH bless you.
Nyimbo Bora duniani kutoka Tanzania jamani dula anaitaji kufanyiwa maombi ya baraka kutoka kwenye mazehebu zote duniani kupitia wimbo uhu aise mungu akubariki sana wimbo umetufikia apa ichini Sweden 🇸🇪 💥💥💥
@dulla makabila umepita kwenye ujumbe wa watu jamaan hiii ni funga mwaka brother nakubali sana mwenye uwezo atulipe hiii team MAKABILA gonga like kama unamkubali
Ahsante kwa kulisaidia kanisa lililolala kukemea uovu, ahsante kwa kutokuimba matusi na kusifia uovu kama ilivyo jadi ya wengi zama hizi bongo, God bless u Man
Ukwely me naona basata kumfungia dulla makabila wanamkosea Sana huyu jamaa ni more critical thinking kuliko wanamuziki wote bongo angalia huo wimbo real life 🥰🥰🥰Kama nawe umeupenda gonga like hapo
Mimi sio shabiki wa singeli ila huu wimbo ni hatari sana kuanzia sahv ni shabiki wa dulla Makabila let's join to support this song by sharing in our groups
My all time music for now playing it daily....Thanks DULLA MAKHABILA for this message,well presented... Receive my love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hit like button if you agree
Dulla should just do his own music with realness he is good that way.sisi kutoka Kenya tunapenda nyimbo zenye uhalisia uwazi na ukweli,,singeli za dulla zinaelimisha zinahamasisha na kuonya.unapendwa kakangu Mungu akulinde kizuri hujiuza wacha wimbo wako ujiuze vyema na kila pembe LA bara LA Africa😘
Safi sana Dulla, naomba kama inawezekana weka part 2 yaani muendelezo wa hii nyimbo. Bado kuna sehemu nyingi najua unataka kuzigusa. Nyimbo kali sana, idea kali sana, simply amazing
anatakiwa aguse sector nyingi kuanzia Basata wenyew,wala Rushwa,wabunge waongo,wanamichezo,bongo movie,wahuni nawaumin wa makanisani,misikitin na watiifu na wacha mungu kweli hapo tunaweza pata part2-3-4
Wimbo bora🙌 kabisa wakufungia mwaka hakuishia hapo tu Video bora🙌 kabisa kwaufupi umetutendea haki bali unatudai jamani gongeni Likes zakutosha iwe namba 1...
Dulla Makabilla,big up sana kwa kipaji ulichojaliwa na Mola.Umenifanya nisikilize nyimbo zako karibia ya zote. Huu wimbo wa "PITA HUKU",Umeua sana tena sana.Nimeusikiliza zaidi ya mara kumi na hauchoshi, kwani mashairi yake umeyapangilia kama maji kwenye bomba.Endelea kutoa vibomu kila wiki ndipo watajua hawajui.!!!!
Pongeza za dhati kwako DULLAH. Ubunifu wa Hali ya Juu. Waigizaji Wenye Viwango na Umakini wa Kazi Zao, Kuanzia MAMA Mtu Mzima, Salute Kwake...... DJ. DR. Hakimu... na wengine wametekeleza vyema jukumu la sehemu yao. Pongezi za kipekee kwa Dada wa Uturuki.... Ungetupitisha Kulia😁🤩🤩
This is world class. The message is very clear and whoever says that this song is not good then such a person is a witch. This is one of the best songs of the year. This song deserves a medal. Good work Dulla
Best song sang by best singeli singer, the message of this song talks about reality of the world as we see nowdays the world is affected by moral decay... more love to him
Jaman kwa mara ya kwanza Dulla Makabila ameamuwa kukosoa yanayofanyika katika jamii. Ila dulla yupo juu 😍😍😍🙌 sote East Africa tumpe like zatu sote😘😘
Hata ngoma ya makabila pia alikua anazungumzia mambo ya kwenye jamii kabisa🙌
Ngoma zake zote kali bn ata ile ya sema kweli kali kinoma
Nakubali sana wimbo huu
Hao waliotaka kumfungia,,wimbo unawachoma,,msg deliver
Huu wimbo dull ameamua kwel
Ngomaaaa kaliiiiiii sanaaaaa hakika makabilaaaaa tuzoooooo unastailiii ngoma inaujumbeeeee mzuliiiiii nimeiskia malaa (6)
Mimi ni mtumishi wa Mungu Pastor, niseme kwa dhati huu wimbo ni mzuri sana.
Mashalah 🙏♥️
Pita Huku😆😆😆
@@edwardmbithi2831 hahahaha
Kabisa
Ww mtumishi pita huku..
huu wimbo n mzur kwel waliokuwa wanataka kumfungia huwenda yamewaingia na wameshaona njia waendayo kwasababu ya matendo yao❤❤❤❤❤❤😂😂😂🎉
Kabisa big up you sister
Mafunzo makubwa sana .... wimbo huu una beba mengi na dunia kwasasa imeharibika ...Number one song for year 2022..... big up kwa ubunifu mkubwa.
Kabisa mama angu yaani wimbo mzuri una uhakisia ya mambo ya sasa
si mwaka (2022) huu pekee, bali hadi siku ya mwisho. Koment nzuri sana umeweka..
Sijaona tatizo tena amekemea mambo ya rushwa na ushoga yuko vizuri
Kabisa yan ametoa nyimbo tumecheka lakin ina mafundisho
ua-cam.com/video/ctz66S5kH8A/v-deo.html hapa je
If you don't understand the meaning of art,basi pita huku...This song indeed is a masterpiece....Life being explained in artistic way...Thumbs up
Kweli basata wapite huku
Dah nimependa huu wimbo atari
Absolutely 💯
Dulla makabila anajua mpaka anajua tena... ngoma ni 🔥🔥🔥
Nimepend Kwa dj
Am in love with this song. Hii ndo tunasema kioo Cha jamii, Kama umeipenda gonga like.
👍
Hiyo ngoma pw Sanatujifunze kt
Madii
Dul
D nakupenda bure nakuamin Sana nakuombea kila siku naww wajua
Tanzanians don't know how much we Kenyans love them...Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 loves you ❤️
Ni kweli?? usije kuambiwa "pita huku" kwenye mlango wa moto
We understand
Tanzania nzuri kanipa mke mtoto mrangi kutoka kondoa
Lakini hawatupendi. Eti sisi hatuko creative,twaimba nyimbo zao. Yaani kuna jamaa aliimba vizuri kwa audition fulani hakupita juu aliimba nyimbo za Kenya.Mimi sikufurahia hata kidogo
We love Kenyans too
This is Creative My Brother 💥💥💥 Cheers to good Music 👑👑👑
Baha kapitisha hili goma
Nilijua ni account fake kumbe ni official bahati kenya support ya hali ya juu sana.
Asante baba heavy
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
we bahati pita huku🔥🚪🔥
Mm sichoki kusikiliza huu wimbo kama tupo wengi gonga like hapa
Ni wimbo wenye maneno ya kweli kesho kwa mungu tutahukumiwa kwa dhambi zetu mungu atusamehe Kisha na atuongoze cc na vizazi vyetu
Amina
Jdueu ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
Amiin 🤲
Huu wimbo unamafundisho mazuri Sana. Yani nikiingia UA-cam mpaka niurudie mara tatu na zaidi. Wapi mwengine wakurudia huu wimbo, mikono juu.👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
Together 👏
Wa kayumba "MAMA"❤❤❤
Now this’s music! Tunamatatizo mengi sana nchini zaidi ya mapenzi! Message delivered Congrats Makabila
Masage ime wafikia kabisa 😂 nikweli lava lava nimkali sana ila ndo ivoo
@@sophiaali5813 umeonae
Makn San brother
Atar sana😅😅
nhnh
Na kukubali Sana mdogo wangu hii imewezaa hadi ikaweza tena🇰🇪👑king of singeli Kenya we proud of you
dulla umetumia akili nyingi sana Kwa huu ubunifu, singeli hii inafundisha sana.
Nipeni likes zangu.
Sanaaaaa
Agrey sio powa umepatia na mama mtuu mzima
Chukuwaaa
Ubunifu...wakujipasifa za mungu!!!
#hii goma Dunia nzima hakuna ujumbe wake milele
Bonge moja la singeli, nadhani itakuwa the best song of Sengeli kwa mwaka huu wa 2023 ingawa bado haujaisha, CONGRATS MY BROTHER MAKABILA
Wa kwanza mm dulla umeuwa sana Mwamba fanya hata kulike 🔥🔥🔥
tumechoka nyimbo za mapenzi na kukata viuno sasa tunataka kuelimishwa na kuburudishwa BIG up bro! mkiufungia huu wimbo mtatukosea sana asee while kuna watu wanakata mauno huko mnawaachia sikuhizi hadi watoto wadogo mtaani wa kiume wanakata mauno kama feni mbovu
Nakubal akili nyingi sana
gonga like kama umeukubali wimbo huu
#yani hili goma tamu mpak rinakera goma ramwaka
Full mafunzo. Umekuja na style yko bro big up sio kila saa kuimba mapenzi tumesahau nyimbo huhamasisha jamii Asante dullah tuelimike kupitia huu wimbo Basi kama kuenda msikitini na kanisani shida.. gonga like ka mnakubaliana na dullah
Mimi ni Mwimbaji wa injili Hapa nchini kenya 🇰🇪nimeipenda
Kama unaamini waliotaka kumfungia wimbo dulla wanamuonea gonga like
Ni uwivu tu
Kabisa
nikwe nyimbo mzur lakini mbona shekhe ajamtaja imekaaje iyo
@@zuberimashuhuri hakuna baya aliloongea yote mema
@@zuberimashuhuri Unahoji shekhe kwasababu kamtaja mchungaji? Hii siyo ligi ni wimbo tu suala la msingi mesej imefika kwa jamii, ukitaka ataje watu wote wimbo utafika dakika 100
Kazi ya fasihi noma sana, atleast likes 50 🍿🍿🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Ngoma kali sana aisee
Hawa BASATA wameshindwa kufungia nyimbo za AMELOWA ,NITONGOZE Wanakuja kufungia Nyimbo yenye Kuelimisha Jamii Yetu kabisa 100% hii Nchi ya Ajabu sana hili waliangalie BIG UP sana DULLA MAKABILA Umetisha sana ALLAH bless you.
Pumbavuu wakifunga shezi tuu nyimbo ya kweli kabisa maneno knife ukweli kabisa
kisa aligusia swala la LGBTQ.
Wimbo uko poa sana umefikisha ujumbe jaman tujifunze.wanao kubaliana na mimi nahitaji like zenu
Safisafi tujuane shusha handle
Kwa mara ya kwanza nimesikiliza na kutazama wimbo wa bongo flavor NIMETOA CHOZI..😭😭🙌🙌♥️♥️CREATIVITY, THE MESSAGE🙌🙌🙌🙌
😪😪😪😪😪
Na kwanini utoe chozi,,
Pita huku
👈
@@hclever7731 🤣🤣🤣🤣
Ngoma kali sana nimeipenda nailudia kila cku yani huu ndo ubunifu mzr respect makabila
@@hclever7731 hahaha 😂😂 una nini lakin
Dulla mswahili uko unajua sana "nmerudia more than 3times , if na ww uko umemkubal gonga one like hapaaa....🎤🎵🎶🌴mziki mzurii
Wanaotaka hii nyimbo iwe namba 1 gonga likes nyingi
It's like a national anthem in Nairobi everywhere you go,,,,ewe Malaya pitahuku,,,,, good job,,,,,makabila,,
❤❤❤ from Tz
Waliyo angalia mara zote tujuwane ❤❤❤❤
🙌🙌 pitieni kwngu pia
Dhyd ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
Yani wew acha tu hiii nymbo nzur
Nyimbo Bora duniani kutoka Tanzania jamani dula anaitaji kufanyiwa maombi ya baraka kutoka kwenye mazehebu zote duniani kupitia wimbo uhu aise mungu akubariki sana wimbo umetufikia apa ichini Sweden 🇸🇪 💥💥💥
Ila yeye anaye hukumu ni kama nani umefkiria iloo?
chaajabu ameitwa basata eti
Aliekuambia anahukumu nani?
Mjinga wewe!!!!!
HAYA PITA HUKU😂
Wimbo Bora duniani ndo kweli elimu muhimu
Mzr
Wimbo wa kufunga mwaka mzuri sana hizi ndo nyimbo za kuelimisha jamiiii blessed
Weweee shoga pita huku,,fire 🔥 will burn you to ashes...kahaba pita huku walevi na waongo wachawi mote mote pitenii hukuuu
Creativity 100% ,kutoka Kenya 🇰🇪 nimependa hii sanaaa, Hongera kwa Utunzi huu
Huyu dulla makabila Wamoto saaana yaan kwa upande wa waimba singeli ni toooop🔥🔥🔥🔥 mtu akifanya vizuri apewe tu sifa zakee
Hii creativity ya hali ya juu, nmerudia mara ya mia moja. Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Mtu anakuita aje show yake
Aiseeeee kiukweli wimbo huuu kaimba kutokana na uhalisia wa mazingira na dunia tuliyonayo saivi anastahili tuzo ya wimbo bora ya mwaka
Natamani ingekuwa ndefu kama taarab dakika 20 kama una mawazo kama yangu pita huku❣️❣️
Aah jamani wenye mawazo kama yako tunaendaje ety??
😂😂😂pita uku
Jdur ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
🤣🤣🤣🤣
Wapi🚶🚶🚶
@dulla makabila umepita kwenye ujumbe wa watu jamaan hiii ni funga mwaka brother nakubali sana mwenye uwezo atulipe hiii team MAKABILA gonga like kama unamkubali
Dulla toa part 2. waambie wajue.
These are the songs we need in the music Industry, hongera sana wimbo mzuri huu
Siskilizagi singeli bt huyu jamaa ni mbunifu sana ....umeupiga mwingi sana hujaimba matusi na ujumbe umefka vzr sana.
Mola awaongoze
Ahsante kwa kulisaidia kanisa lililolala kukemea uovu, ahsante kwa kutokuimba matusi na kusifia uovu kama ilivyo jadi ya wengi zama hizi bongo, God bless u Man
Ukwely me naona basata kumfungia dulla makabila wanamkosea Sana huyu jamaa ni more critical thinking kuliko wanamuziki wote bongo angalia huo wimbo real life 🥰🥰🥰Kama nawe umeupenda gonga like hapo
Amesema ukweli mtu jamani
Dulla Never Disappoint 🔥🔥🔥
Tulio Rudilia Rudilia Nyimbo ihi mara Mbili Mbili Like Apa Tujuane
hhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua ila vingine umeacha kutaja
@@nwakajohn800 Kabisa
@@Wasafitv.4.33M 😅😅😁😁
Dullah Dullah Dullah wajina wangu apa umeua sana yani we kwenye singeli unakijiji chako📌
tz dont know how we kenyans love their songs......hiii nimeikubaliiii sana hahaaaa hapo kwa malaya🤣🤣🤣
Mimi sio shabiki wa singeli ila huu wimbo ni hatari sana kuanzia sahv ni shabiki wa dulla Makabila let's join to support this song by sharing in our groups
Kama umeskia uchawi umepelekwa hadi wasafini, hata lava lava aimbe vipi haonekani ganga like hapa tafadhali 🙏❤️
Kwer ajawai pendw jaman😢
Aaaaaah 🔥🔥🔥
Noma huyo dula makabila
@@jannethcharles9658;
Nimesubscribuu huu wimbo hatari
My all time music for now playing it daily....Thanks DULLA MAKHABILA for this message,well presented... Receive my love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hit like button if you agree
💜💜
Nyimbo inamafunzo ya maisha yafuatayo baada ya haya. Kongole Sana Dulla
Hii nyimbo inaereweka Kwa kusikiliza mala moja but sichoki kuisikiliza one love Dula 🇲🇿
Ninoma
Dulla unastahili pongezi za kutosha kwa ubunifu uliotukuka, umegusa uhalisia wa maisha yetu.#singel mziki wetu halisia.
Mashabiki huu wimbo tuupe promooo ya kutoshaaa.....makabila banaaa ni motooooooo...content kaliii sanaaaaa.....weeeee....pita huku😂😂😂😄😄😄🙌🙌🙌
Umeona eeeh nyimbo kalii sana
💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbona kama nyimbo haijaisha alafu imeisha.
Daaa dj kweli DJ kapita njia salama kweli DJ pita 🔥🔥🔥
Wimbo umebeba maudhui ya Kibiblia, Waliotaka kuufungia wamemkosea Huyu jamaa, gonga likes aisee
How can someone ban this creativity. Is this a better way of grooming talents!!??Dullah is a genius already 🙌
Who banned this?
Kubwaa Sana bahati
atoe sehem ya pili mbona kama nyimb haijaish
😁😁😁kweli king of singeliii.. nakubalii💪💪💪
Nathan alisemwa ndo maana alijisikia vibaya nyimbo nzuri inaelimisha halafu mtu anaipiga ban kweli
NINOMA SANA MIMI NDO NISHA SEMA DULLA MAKABILA NDO KING OF SINGER Kila ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ujawai Kosea
kwa kweli dullah umesema kweli kabisa ulimwengu umearibika,safi sana kwa kazi yako nzuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Eeeiih Dulla umeuwaa bro,Fleek toka Kenya uyu aisee uko vizur...wapi Likes za Makabila💪💪💪
Hata wasanii na wanamziki hawajawahi kuwaza kitu kama hiki. That is UBUNIFU 🙌 Ujumbe umefika 🙌💪
Kweli
Kuna ile moja ya utajibu nini kwa mungu singeli sijui kaimba nani ila Kenya tunazikubali singeli
Kwel asee.
Sasa unataka kila msanii au mtu awe na mawazo sawa na wengine? 😂😂
@@kassimdinno kila mtu anapenda na anataka ubunifu,,,, hata wewe 🙌😂
nyimbo zenye kuelimisha
mnataka kufungia,
za kupotosha Mnaziachia.
BASATA PITA UKU🔥🔥😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂🛌
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂iyi nchi inamambo😂
😅😅😅😅😅🚶♀️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunao fatilia hii nyimbo 2024 let's go gonga like
Nimeipenda hii bwana dula embu na wewe pita uku!
natamani iwe ndefu hili chupa 👊
Dulla should just do his own music with realness he is good that way.sisi kutoka Kenya tunapenda nyimbo zenye uhalisia uwazi na ukweli,,singeli za dulla zinaelimisha zinahamasisha na kuonya.unapendwa kakangu Mungu akulinde kizuri hujiuza wacha wimbo wako ujiuze vyema na kila pembe LA bara LA Africa😘
Dulla you made it🤣🤣🤣 natka kuona likes za watanzania, mm kma mkenya naupenda mziki wenu wa singeli
Nairudia leo kuangalia na Aggrey amebadilika,mungu mkubwa🙏
Nilkua naidharau sana hii ngoma ... Dullah umetisha sana hii ndio sanaa tunayoihitaji Tanzania sio kila cku matusi kwenye sanaa yetu
Daaaaah umejua kutufundisha na huu wimbo makabila ww Yani daah nashindwa hata chakusema uko vizuri sana 🔥🔥🔥🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️
Nimeuelewa huu wimbo vizuri kukosoa uovu katika jamii, well done Dullah!!
" naomba u wimbo uwe na part 2 na 3 bado hajataja waalimu wanaotoa majibu kwa wanafunzi mpaka tunapata wasomi feki walimu kama hayo pita huku
Kutwa kutembea uchi kudhalilisha wanawake na maziwa nje ***Masha love pita uku 🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 mbn mashalove umemsahau amberuty🤣
Mie kwa hapo kwa DJ nimerudia mara 100 can't get enough of it
Sem
Mimi kwa lavalava na ni ukweli nimerudia kisha namuwaza lavalava
Hapo kwa dj. So touching
Kwa dokta tisha mbaya
What A Song....Dulla Nakuenzi Sana Kutoka 254,Mziki Kweli Ni Kioo Cha Jamii,chako Kina Mulika Kiukweli
254unamaanisha makabila ni wakenya au mmeanza wizi
🤣
Djuey ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
congratulation Dulla =, wimbo mzuri sana na una fundisha jamii hongera sana Wasanii wa Tanzania mko vizuri sana .
Duh bonge la ngoma nimesikiza mara kumi kumi!! SOMO KUBWA SANA UMETISHA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hapo kwa shog* PITA HUKU 😂 nimepapenda sana
Mmh mbn wengn ha2juw
@@robbymidelo4640 dondoka UA-cam ujionee
Wimbo mzuri sanaaaa mungu akutie nguvu kama umeulewa huu wimbo gonga laiki 🥰🥰🥰🥰🥰🥰😋😋😋😋
Wimbo mzuri sanaaaa
Samahn lkn kwnye Mungu wekaga herufi kubwa ya kwanza
Huu wimbo usipo upenda wewe ni mchawi🔥🔥🔥
I'm happy to listen
Apite huku
😀😀😀😀na upite huku
Daaah😂😂😂😂😂.dula umeweza.i sey nimecheka mbaya.safi sana mafunzo kabao dula.❤❤❤❤❤
tunao seema huu wimbo ndio funga mwaka tujuane hapa kwa like moja🙏🙏✊✊✊✊✊
Mie nasema ufunge mwaka
😂😂😂
Kabisa..huu ndo tunafungia mwaka..💪🏾💪🏾
100/100
💯💯
Am not Dulla's fan but with this song Dulla you're the best of all SINGELI singers!!
Amina dula yesu akufunulie zaidi sawaaa ASA sisis watumishi imenifundisha kitu
Hizi ndo wakenya tulikuwa tukisubiri nataka likes tukisonga mbele🇰🇪
Jiseme wewe peke yako tafadhali
Hauna kazi ya kufanya we Fala
@@brayo001 kwanu ww n mkenya makende ya tumbili mjane
@@chuchudorice8531 umegonga ndipo
😂😂😂😂😂😂dulla ...uko juu ...... support from kenya
Safi sana kama umemkubali mwanangu dulla like hapa
Duuh so poa
Safi sana Dulla, naomba kama inawezekana weka part 2 yaani muendelezo wa hii nyimbo. Bado kuna sehemu nyingi najua unataka kuzigusa. Nyimbo kali sana, idea kali sana, simply amazing
Pole sana hakimu wa mahakimu ni mmojatuu sasa wewe dula hapaumejiekti kama nani
Mchawi wewe kwni yeye kasema ni nani sinikama mfno tu wa matendo yaani nyinyi ndio wachawi
Hapo kashoga mm ndonimepapenda jamani
anatakiwa aguse sector nyingi kuanzia Basata wenyew,wala Rushwa,wabunge waongo,wanamichezo,bongo movie,wahuni nawaumin wa makanisani,misikitin na watiifu na wacha mungu kweli hapo tunaweza pata part2-3-4
Jamani walio rudia marambilimbili nyimbo hii tujuwane kwa like tuwe wakweli tu💪💪💪
ua-cam.com/video/U5AsYNhf8Og/v-deo.html
Mpaka saiv nairudia
Hiii video iko PW Sana...ila hao madada wawili Tom na mwenzake wageonyesha sura ya kawaida (huzuni) kwa mtoa hukumu ilA cyo kujishebedua
Dah ipo vizuriii sanaaa dah
Oyaaaa. Bonge la dude makabila hatariiii✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾
Muziki za ukweli .
♥️♥️🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Hii ni kazi nzuri Kaka
Wimbo bora🙌 kabisa wakufungia mwaka hakuishia hapo tu Video bora🙌 kabisa kwaufupi umetutendea haki bali unatudai jamani gongeni Likes zakutosha iwe namba 1...
Ubunifu mkubwa mashairi makali kila kitu kimepangiliwa big up King of singelii✊
Pita kwenye 🔥
Dula huna anaye kuweza kwenye hizi kazi ngoma kalii hiishi utamu yani natamani hata ingekua na dk zaidi ya kumi
Ngoma kali sana tunzo maramoja🔥💪🏆 kama unakubali 10k like zake dulla
Wow! Creativity if the highest level. Watanzania kipaji cha mziki Mungu kawatunuku kwa kweli. Hongerani.
HATIMAE SINGELI 1DAY IMETOSHA KUA NAMBA MOJA TANZANIA LIKES KWA MAKABILA
Mwamba kaua sana 💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🤸🏼♀️🍻
Daah kwel inastahili hii nymb n kall
Makabila ni msanii na nusu ametisha sana humu 🔥💯
Wimbo mzuri Kuna mafundisho mengii hapo
Dulla Makabilla,big up sana kwa kipaji ulichojaliwa na Mola.Umenifanya nisikilize nyimbo zako karibia ya zote. Huu wimbo wa "PITA HUKU",Umeua sana tena sana.Nimeusikiliza zaidi ya mara kumi na hauchoshi, kwani mashairi yake umeyapangilia kama maji kwenye bomba.Endelea kutoa vibomu kila wiki ndipo watajua hawajui.!!!!
Pongeza za dhati kwako DULLAH. Ubunifu wa Hali ya Juu. Waigizaji Wenye Viwango na Umakini wa Kazi Zao, Kuanzia MAMA Mtu Mzima, Salute Kwake...... DJ. DR. Hakimu... na wengine wametekeleza vyema jukumu la sehemu yao. Pongezi za kipekee kwa Dada wa Uturuki.... Ungetupitisha Kulia😁🤩🤩
Kama umesikiliza zaidi ya mara moja ngonga like
Diga nimeirudia mara 10na inaukweli ndaniyake
KAZI NZURI KK
Kazi nzuri
#hii nyimbo Dunia Yani Dunia ndio msanii nayomkubari hanajua mpak anakera wacha yaitwe kingi wengine hao wafuata nyayo
Bonge la creativity, wimbo una mafundisho ya kutosha na kuwakumusha watu kumkumbuka Mungu wao. Big up sana na lazima hii ngoma ita trend sana
ii ni 🔥 🔥 📛
😄😄😄
Baada ya clip yawijaku wasafi nikaitafuta hii video Ila nilickokiona we jamaa utapita sehemu uliyomwambia mlevi na DJ wapite
Haujawai kukosea brotha
wimbo huuu umeifunza nini jamiii na huyo anosema pita huku anaaamaanisha kitu gani kwani mwenye kutoa hukumu ni mwenyezi mungu peke yake
Kelele moja Kwa Dullah wake weuweeee 🥳🥳🥳 Kenyans we loves you tz😌❤️
Dah nyimbo Kali kuwahi kuimbwa na dullah
This is world class. The message is very clear and whoever says that this song is not good then such a person is a witch. This is one of the best songs of the year. This song deserves a medal. Good work Dulla
Jddjsjsdd
And let the witch face the fire
Huyu mbwa ni anajua kubbke 🙌🏿🙌🏽 #Naombeni like za walevi wenzangu tunaotoa sadaka 🤲
Jsud ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
😂😂😂umejua kunifurahixha
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😁
Walevi hatujawahi kuwa wachoyo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama umeskiza hii ngoma Zaid ya mara Moja gonga Like 🔥🙌
Sichoki kuiskiliza
Nimeanglia mala sita mbaka sasa
Tup Pamoja Aiseee🤜🤛
Sanaa2
Kama Kati ya hivyo kimoja wapo upo tujuane
Best song sang by best singeli singer, the message of this song talks about reality of the world as we see nowdays the world is affected by moral decay... more love to him