Dada asante kwa hizi tutorials yani ni wewe ndio umenisaidia mpaka nimeweza kupika keki ikaumuka na hapo ni baada ya. Kulipa 800k for a baking class that didn't do much for me,Mungu akubariki...back to my question unafanyaje kupata buttercream so white,yangu hua inaishia na yellow tint no matter how much I beat my butter..please help!!
Asant kwa som dad, ila mim napat shida kidog katik kuwez kuchangany hiy icing, n chocolate,. Huwa unatumia nin n nin? Au hiy butter icing unachanganyaj
Waooooooooooooh . I real like it , I'll try thanks mziwanda
Thank you unatufundisha taratibu na Kwa umakini wengine huwa wanaharaka sijui za nini god blessed you Kazi ya mikono yako
Thank you
Mashallah, asante sana dada kwa elimu unayotupa mungu akubariki sana na akuongezee palipopungua
Safi my dia, ukipata scraper lile la chuma litakurahisishia kazi zaidi. Nakukubali sana
Thanks mziwanda bakers umenisaidia sana kupamba cake hongera sana
yaani hata kama hupendi kupika kwa namna unavyofu ndisha lazima ujue ure a good teacher for me my lovely sister,your my role mode love💋💋💋
Thank you dear
Hongera!Kazi safi na mafundisho rahisi kwanu.
May Allah bless you my sister I like ur work thanks for ur help **!!
Ubarikiwe kwa masomo unayotoa dada nimetengeneza ka buter creem ka somo lako jana kametoka bomba sana
Asante kwa darasa zuri mi nahitaji msaada jinsi ya kutengeneza mchanganyiko wa hiyo fondant uliyopambia.
Nimechukua somo jingine ntalifanyia kazi Mungu akubariki sana akupe wateja wengi wengi wengi sana😘😘😘😘😘😘
Nashukuru sana nimeelewa vzur mno.
Yes had rahr
Me nimejifunza at na nimetengeneza
Safi sana Mungu akubariki unatuelewesha vzr
Yaani nashkuru saaaana sis nimejifunza mengi
Karibu ❤❤
Ni crumb coat yaani kuziba machenga ya cake. Kazi nzuri Sana dada
Darling Aroma 🥰🥰🥰🥰
Thank you
@@mziwandabakers8297
)0
Asante Sanaa kutufuza jizi ya kutengeneza na kurembesha cake,lakin nawake aje picha kama ni birthday
Nahitaji kujifunza ila sina vifaa vya kulembea nimekupenda bure Dada yangu.
Excellent mamaa av loved this. Asante sana
Asante sana mungu akuzidishie kwa somo zuri
Nimependa idea ya kikwaruzio cha Nyanya ntajarbu ahsante
Asante mwalimu unafundisha vizur jamn
Lovely tutorial, just to add it’s not Icing sugar, it’s Butter cream/Icing or frosting
Dada unajua kuelekeza ad Raha,be blessed
Asante kwa maelezo mazur
Dear you teach are the best may God continue bless you
Wow kazi nzuri leo nimeshinda kwa page yako mamii una roho nzuri ubarikiwe sana
Amiin my dear
Hongera, madarasa yako yanansaidia sana
Shukran dear
Asante sana my dear mungu azidi kkubariki walahi
Mungu akubariki dada unamoyo mzuri sanaaaa
Nilichokupendea tu unafundish kwa umakin hd mtu unaelew vzr shkrn
Leo nimekua wa kwanza gonga like zenu hapooo.asante sanaa super woman
😂😂haya dear 🥰🥰🥰
Dada asante kwa hizi tutorials yani ni wewe ndio umenisaidia mpaka nimeweza kupika keki ikaumuka na hapo ni baada ya. Kulipa 800k for a baking class that didn't do much for me,Mungu akubariki...back to my question unafanyaje kupata buttercream so white,yangu hua inaishia na yellow tint no matter how much I beat my butter..please help!!
@@lucykasiga6928 thank you for the feedback dear,jaribu kimbo its white pia uipige sana
Nzur sana,nimepata ktu
Hongeraa saaana kwa somo zuriii,naomba unisaidie kwenye icing sugar unaweka nn ili ikauke haraka?
Hio icing sugar unaipataje
Nimekupenda kwakwel Asante Sana kwa ujuzi huu 🙏🙏🙏
Karibu sana
Mmmh...nzuri jameni.Napenda unavyoelekeza😍
Shukran 😘
Nakukubali sana dada angu
umepika vizuriii
So beautiful
Je niaje nitategeneza icing ikauke haraka
Ipo video yetu jinsi ya KUTENGENEZA Butter cream icing mziwanda Bakers
@@mziwandabakers8297 Link please
Kazi nzuri dada, nauliza unga gani huwa unatumia kipika cake?
Nimejifunza sana dada
A,aleykum Dada huna Dara's to faut na youtube
Asante sana nimejifunza kitu
My dear mungu akubariki
Umetumia kopo la nchi ngapi manager inaonekana no ndefu
6"
Nimeona video thankx....
Mashaallah 🤲 asante dear
Asante dear.. Nice video
Iko pouwa
Ukokoo na mim nibakizien nakuja soon!! AHHAHA shukran kwa somo tunajifunza ..
🥰🥰😘
Nimekupenda bure,unamaelekezo mazuri unaeleweka
Nashukuru karibu sana
Mbona inamatundu
Unaelekeza vizur sana
😘
nimekupenda bureee
MashaAllah. Nataka kutengeneza kama hiyo. Lakini nataka recipie pls sister
Halafu nitakutumia kwa whattsapp. Namba yako pls
Mashaallah ningekuwa apo karibu ningeshiba keki izo za wapishi😀
😂😂
Asante kwa kunijibu kwa vitendo jinsi ya kukata cek
Shukran
Mm nikigundisha kwann nikiwa na zungusha batta cream na keki inazunguka
Dada unaweza kukrim kwa kutumia kile Cha kusagiza Cha plastiki au mpk hicho Cha chuma
Tufundishe iyo icing ya chocolate dear yan
Thank you sweetie I’ve learned a lot but I have one question why do not to keep cakes on the fridge?? Please ni reply
It’s doesn’t melt??
Nataka kujifunza na mm live kabisa unapatikana wapi
Barikiwa sana
Ubarikiwe sana mpendwa
Hiyo keki kama kijani umeipataje hiyo rangi
Tupeni vipimo sahih vya butter cream icingsugar pls
Wouh!! I like it but I have a question??
Ask please
Nataka nione jinsi ya kutengeneza icing sugar
mashallah asnte dear,,, hiyo chocolate icing unachangany nn na nn
Mm Nina uliza mbona bata icing Yangu haikauki alafu inakua njano so nyeupe many nisaidie
Thanks love
Nahitaji kuja kujifunza nikimaliza shule .Sasa hivi nipo kidato cha NNE mwaka huu nahitaji kozi ya miezi mitatu
Wow mamy nmepnd asn ila natka video ya kutngneza icings
Ipo jinsi YAKUTENGENEZA Butter cream icing mziwanda Bakers
Nazidi kujifunza barikiwa dada
🥰🥰
Asante sana mpenzi, kisha naomba darasa la kupamba nimenogewa ujue😂😂
🥰🥰😘
Nielekeze jins ya kutengeneza ice iyo nyeupe na ya choculate
Jamn kwenye kuchanganya icklmu sugar unachanganyia nin jmn mbon m. Nilchanganyia mji ikabuma
Do you teach and it's how much
Asante sana dada
Nko dope
Safi sana.
Wow
🎂😋😋
Asant kwa som dad, ila mim napat shida kidog katik kuwez kuchangany hiy icing, n chocolate,. Huwa unatumia nin n nin? Au hiy butter icing unachanganyaj
Yeah changanya na cocoa dear na chocolate Paste
Asante sana ❤
Nikitaka iyo cream iwe softy natakiwa nifanye?
Somo limenifikia wakati muafaka.Asante sana
Nimeipenda burr
Mamy natka unifundishe face to face upo wap
Dada mziwanda tunaomba utufundishe jinsi ya kutumia ovalet kwenye keki na recep yake
Nitajitahidi kufanya hivyo dear
Mziwanda hvy mnavyo kata unavifanyia nini
Hahahaha safiii besti
😘
Cake moja tatu mia pakt ngap ya icing?
Good
Nimekuelewa
Na nikifunika cek Na fondant mbna aikauki fondant ya juuu ya cek mpenz
Huenda unafunika kabla Butter haijakauka
Jinsi ya kupika keki isiwahi kuharibikq
Umetumia vipimo gani hiyo keki
Buttercream yako ni laini kama blue band , unatengenezaje maa 😢😢
Asante
Samahani Kama hiyo inch 7 vipimo vyake
Love that
Nice
Salam aleikum naweza kusoma online
Ndio karibu 0768859358 WhatsApp