Pole kwa changamoto hiyo , ila kunakitu lazima utakua umekosea my dear, jaribu kuangalia hii recipe ua-cam.com/video/zMSDXxgGyjo/v-deo.htmlsi=LDcffWOGsbwhuBdK
Hi love🥰 oven vinatofautiana mpaka nione ndinaweza kukuelekeza jinsi ya kuset moto, napia zinatofautiana ukali wamoto yangu moto 180c nikawaida kabisa kwakeki lakini kwa oven zingine motohuo wa180c unakua mkalisana. Iliniweze kukusaidia njoo Instagram unitumie picha au video ilinione @divahcruz
Nimeweka dia, sikiliza vizuri Sukari 1cup Siagi 1cup Unga 2cup na nusu Mayai 4 Maziwa / maji nusu cup Vanilla nusu kijiko cha chakula Baking pawder kijiko 1 chachakula Chumvi robo kijiko cha chai Nimekuandikia vyote. Ukijaribu usiache kuni tag on Instagram natumia @divahcru asantee much love❤❤❤
Asante kipenzi
Fantastic 👌nitajaribu na mm, ahsant kwa mafunz mazur
Asante pia, karibu sana🤝💝💖
Hongera divah kwa mafunzo mazuri, nakuombea kwa M/Mungu uzidi kupata mafanikio mema.
Amina ❤
Ongela Dada divah mafundizo mazuri God bless you
Hii cake ni ya unga nusu au robo?
Eti kwani nilazima uwe na mashine wakati wa kuchanganya
Sijaona baking powder hapo inakuwaje?
Ipo fuatialia vizuri
nimejaribu exact vipimo ila keki imetoka Kama imejaa mafuta na taste ya baking powder inasikika kwa mdomo😢
Pole kwa changamoto hiyo , ila kunakitu lazima utakua umekosea my dear, jaribu kuangalia hii recipe ua-cam.com/video/zMSDXxgGyjo/v-deo.htmlsi=LDcffWOGsbwhuBdK
hello dia.tuelekeze ulivyoset moto hapo.mana mi naoven la winning star lina temp knobs.mbili nashindwa kwenye kuset moto
Hi love🥰 oven vinatofautiana mpaka nione ndinaweza kukuelekeza jinsi ya kuset moto, napia zinatofautiana ukali wamoto yangu moto 180c nikawaida kabisa kwakeki lakini kwa oven zingine motohuo wa180c unakua mkalisana. Iliniweze kukusaidia njoo Instagram unitumie picha au video ilinione @divahcruz
Ikisha iva unaitunza wapi ili isikomae? Au haiwi ngumu ukiweka tu kwenye sahani?
Unaweza kutunza kwenye chombo cha mfuniko ama zippa bag ama ile mifuko mweupe . ila ukiischa wazi ulaini unapotea
Dada unga wappf nimzuli kutumia ?@@divahcruz
Hii nimeipenda asante
Karibu
Mimi kila nikijarbu kupika inapasuka juu..sijajua sababu ni nini? Moto mwing au banking soda ninayotumia ni zesta
Kama unatumia baking soda acha tumia baking powder, pia zingatia moto ama chombo unacho okea kekiyako
Sawa
Asante nitafanya hvyo
Karibu kipenzi❤
Jmn mm mafata proces zote napika inaiva vzr tatizo haichambuki cjajua tatizo n nn
Hellow dear oven yangu ni kenwod
Hii nitajaribu kupika cake zuri sana yapendeza
Mbona huweki kiasi mwalimu?
Nimeweka dia, sikiliza vizuri
Sukari 1cup
Siagi 1cup
Unga 2cup na nusu
Mayai 4
Maziwa / maji nusu cup
Vanilla nusu kijiko cha chakula
Baking pawder kijiko 1 chachakula
Chumvi robo kijiko cha chai
Nimekuandikia vyote. Ukijaribu usiache kuni tag on Instagram natumia @divahcru asantee much love❤❤❤
Unga 2 cups ni sawa na kiasi gani kwenye mzani?
@@JANETHSIMON-mx7ksswali zuri
Mm vipimo nko sawa ila sasa moto ndo cjui kusent
Unatumia jiko gani ?
@@divahcruz jiko la umeme
@@adolphinayalala4092160 adi 180 inategemea na jikolako
Done pitia pitia
Huwez tumia blenda kuchangany vitu vtote
Inawezekana, unachanganya the unga unaweka badae ukishachanganya kwenye blenda
@@divahcruzmimi nikichanganya kwenye blender keki yangu inakuwa kama ugali,sijuwi nakosea wapi dear
PoLe kwa hiyo changamoto, soon naweka video jinsi yakuchanganya kwenye blenda@@mariamirakoze7299
Banking powder tunaweka kiasi gn Kwa vipimo hivyo
Kijiko kimoja cha chakula
Hiyo kikombe 1 ni sawa na robo au
Kinacho sababisha keki isivimbe ninn
Baking powder
Je kama sina vanila nafanyaje
Weka fleva yoyote uliyonayo, ata hiriki ya unga inafaa
Jamn mie nkipika inashindwa kuchambuka sjui nakwama wap
Pole kwa changamoto hiyo kipenzi, fuata vipimo vizuri itakusaidia. Pia huwenda unasahau kuweka baking powder
Asnt kwa elimu ya mapishi
karibu❤
Nifundishe Hindi ya kupamba keki
Soon naleta video hiyo my dear
Kama huna mashine na mkono tu haifai
Ina faa sana , unatumia mwiko ama mchapio
Iko poa
Benk powder hautiii
Natumia, na nimuhimu sana
Angalia vipomo apo chini
Nimeharibu lakini ukikoka inafura baadae inashuka shida ni nn
Pole, sjui utakua umekoseawap, lakin hakikisha kikombe unachopimia siagi yako ndo ichoicho upie kilakitu ilikuepusha kuzidisha kipomo
Pia kama unatumia jiko la mkaa hakikisha sufuria lako unalo okea halipati mtikisiko ili kuepusha hiyo kufura na kushuka
Shukran Nitajaribu tena nitakupa majibu
Sorry hiyo mashine inauzwaje
Elf 50 mpaka 70 inategea na mahali ulipo
Je nitumie unga gan
wa ngano