Mashaallah allah akufanyie wepes na ukuzidishie uzud kutufundisha mana ss wengine ndio kwnz tunaanza kukuangalia nimependa wallah km nipo darasan vile ❤
Mie nilikuwa naombi tuma video vipimo vya kutengeneza butter cream kwenye kekki ndogo ndogo mfano robo nusu kilo tujuwe vipimo vya ice sugar blueband na maji tusaidie dada angu mengi nimejifunza kutoka kwako
Mashalaa Inapendeza Sana Lakini Mimi Nina swali kwanini nikitengeneza frosting wakati wa kupamba keki inakuwa tayari imeyeyuka Sana? Yaani inakuwa watery, maji maji,naomba ushauri wako au nakosea wapi Asante, kazi yako Ni njema I love ur work!!!
Waoooh ccter hivi ukitaka kupaka keki butter cream vifaa inatakiwa iwe nini na nini vinavyohitajikaa ili ionekane IPO smooth ikiwa imepakwa butter cream
Ahsante Sana nimejifunza Ila madam bado jinsi ya kutengeneza butter cream inanidumbua niliangalia video yako Lakini mi nikitengeneza ina yayuka Sijajua tatizo nn.
Darasa lako limenisaidia Sana nilitengeneza keki yangu ya kwanza juzi nusu kilo ilikua imechambuka kweli, nikapata changamoto kwenye upambaji though nilijitahidi Sana.
Dada naomba nielekeze namna ya kutengeneza cream ya kupambia keki, maana yako inaonekana nzito na haibanduki Mie nilipojalibu nilipata shida cream ilikuwa inabanduka na kuchanganyika na keki
*kwamahitaji ya vifaa vya keki aina zote tucheki gazzo cake materials tunatuma mikoani tunafanya delivery tuna patikana kariakoo dar es salaam tupigie +255677712349*
Mashaallah allah akufanyie wepes na ukuzidishie uzud kutufundisha mana ss wengine ndio kwnz tunaanza kukuangalia nimependa wallah km nipo darasan vile ❤
Upo vizuri dd
Hongera kwa mafunzo mazuri kuna kitu nimejifunza
Yes yes hakuna kitu kinakuja rahisi nimependa sana huo msemo.. Very true🙏
Nimependa.asante.
Halooo nimejaribu kupamba my
Katie nzuri
MashaAllah nzuri sana baker
Na colour tamu sana
MashaAllah...TabarakaAllah
Mashaallah shukran somo zury atuwa kwa atuwa may Allah continues to bless you and your family amen
Jamani nataka keki
Imependeza mnoooo..na rahisi kabisa ma sha Allah 😋👌
🥰🥰
Asnt sn mziwanda 😋
Hauna darasa la kufundishia tofauti na UA-cam ?
MashaaAllah birthday ya mwanangu mwezi ujao InshaAllah nitamtengezea simple kama hii shukran ❤️
In shaa Allah na ikawe kheri keki inoge na shughuli pia🥰🥰
Asant
Kazi nzuri dada
Dada naomb namb
Bata yako nzuriii lainiii
Naomba ricep ya Bata
Check video yangu ya jinsi YAKUTENGENEZA Butter cream icing
Pia napenda Sana unavyofundisha, Mungu akubarik sana
Mbona hatujibu sasa
Mashaa Allah inavutia mno
Dada naomba unitumie jinsi yakusoma vkombe maana cfaham kabisa
Asanste🙏🇧🇮
Nzurii mnoo
Madam nikitak kuja kujifunza itawezekn??
Butter cream imechanganywa na nn? Au ni nn unachanganya Ili butter cream ikauke upesi?
💖💖 nzur sana
❤❤mziwanda nkupenda bure dada
Asante sana somo zur
Naomba kujua kwenye kupamba hii cake umetumia icing sugar box ngapi?
Nzuri sana mashallah
Asante Sana kwa kuundelea kutufundisha barikiwa
Amiin dear
Amiin
Ahsante sana dasiter kwa darasa lako.Je hatua hizi zinafutwa hata kama hautumii vifaa maakum?
Ndio hatua ni muhimu kuliko vifaa
We dada nakupenda bure ,unajua kuelekeza Yan 😍😍
Karibu dear
Mie nilikuwa naombi tuma video vipimo vya kutengeneza butter cream kwenye kekki ndogo ndogo mfano robo nusu kilo tujuwe vipimo vya ice sugar blueband na maji tusaidie dada angu mengi nimejifunza kutoka kwako
Mashalaa Inapendeza Sana
Lakini Mimi Nina swali kwanini nikitengeneza frosting wakati wa kupamba keki inakuwa tayari imeyeyuka Sana? Yaani inakuwa watery, maji maji,naomba ushauri wako au nakosea wapi Asante, kazi yako Ni njema I love ur work!!!
Karibu dear usijali,hiyo inakuwa umeitengeneza inamaji Mengi...
Pia watu wengi imewatatiza naahidi kuirudia hii video frosting
Aunt iyo Bata cream ndo changamoto kwng haiwii nzr inawahi kuchujaa haishiki plz nakosea wapi
Napenda kujifunza kupamba.Pia jinsi ya kutengeneza hio butter.Mko vizur
Pia ningependa nijue
Mi naomba unielekeze namna ulivotengeneza butter cream yako mana naona iko nzuri nyepesi lainiii mashaallah
Sawa nitafanya hivyo
@@mziwandabakers8297 ntashkuru pamoja na kufurahi pia
mashaallah keki inVutia
Naomba namba yako kwa msaada zaid
Samahan dada hvo vpipi juu ulvyomalzia kuviweka huw unavipataje
Dada naomb number Zak za cm natak nije uko uko kujifunz kupik keki na jins ya kuipamba
Asante sana dadaa mungu akubariki, je, keki ya robo inatakiwa icing box ngap?
Maashaallah
nice
Keki mzuri imependeza
ua the best
Thank you
Mimi napenda unavoongea yani😘😊
Asante sana ndugu
Aisee kweli bhana bila uvumilivu duh
Samahan dada naomba kuuliza mbon nilipotengeneza hyo butter cream haikukauka kabisa , nitakuwa nilikosea nn?
Ww ndo mm kbsaa hapo nimeshangaa alivyosema imekauka jmn
Yaaan m toka sakum jion mpk sahz imegoma kukauka
@@dianawilliammbena929 Umeweka nn na nn kwan
Napenda kujifunza
Karibu dear anza kuangalia video za mapishi then uje kupamba utajua tu
Thanks dear
Mashallah mm natak kufundishw private plz
Waoooh ccter hivi ukitaka kupaka keki butter cream vifaa inatakiwa iwe nini na nini vinavyohitajikaa ili ionekane IPO smooth ikiwa imepakwa butter cream
Ni spatula
PIPPING bag, nozzle na turntable
@@mziwandabakers8297 ooh ahsantee my
kwa mahitaji ya spatula nozzle turn table piping bag nk tucheki 0677712349
Ahsante Sana nimejifunza
Ila madam bado jinsi ya kutengeneza butter cream inanidumbua niliangalia video yako
Lakini mi nikitengeneza ina yayuka
Sijajua tatizo nn.
Ww n mm kbsaa naomba uje utufafanulie mpnz plz
Hiyo butter crem uliyopaka yakwanza una tengenezaje maana nilaini
Darasa lako limenisaidia Sana nilitengeneza keki yangu ya kwanza juzi nusu kilo ilikua imechambuka kweli, nikapata changamoto kwenye upambaji though nilijitahidi Sana.
Asante sana
Me Bado sijaelewa hiyo inayokauka ni butter cream ya kawaida au ni tofauti
Ni Butter cream yakawaida
Nikiitaji kuja kujifunza kupamba bei gani
Tunaomba tuelekeze jinsi ya kutengeneza ising ya kupambia kwa vyombo vya kawaida kama mwiko, tunaomba sana
Kwa vifaa vya nyumbani ,sawa ntaandaa hili
Mimi siwezi kutrim keki inakua mabonde mabonde
Dada naomba nielekeze namna ya kutengeneza cream ya kupambia keki, maana yako inaonekana nzito na haibanduki
Mie nilipojalibu nilipata shida cream ilikuwa inabanduka na kuchanganyika na keki
Pole ila pia mwanzo wa kujifunza kupamba huwa changamoto hiyo hujitokeza, huenda Butter cream ni nzuri ila ujuzi wa kuipakaa ndo ugumu ulipo
Nimejalibu mbona aijakauka
Inategemea umefanya kwa recipe ya nani
Asante
Mifuko ya keki sijui pa kuipata
Asante my
Karibu dear
Jaman m Crim icing yangu inamasaaa matano cjuh imegoma kukauka
Umetengenezaje nambie vipimo ulivyotumia kuandaa icing yako
Icing sugar nlitumia nusu bluband ndog moja na rang kgd vanilla kijiko kimoja
Yani nakuelewa mbaka Basi Dada unakipaji chakufundisha
Shukran sana
Buttercream inakaukaje jmn mbn mm haikauki
Angalia jinsi YAKUTENGENEZA Butter cream icing mziwanda Bakers huenda itakusaidia kitu
*kwamahitaji ya vifaa vya keki aina zote tucheki gazzo cake materials tunatuma mikoani tunafanya delivery tuna patikana kariakoo dar es salaam tupigie +255677712349*
kwa mahitaji ya vifaa vyote vya kupambia cake tucheki kwa WhatsApp no 0677712349 popote tunakufikishia kwa bei nafuu kabisa
Uko wap
@@zulfatdidas369 kariaa koo mtaa wa swahili & nalung'ombe pia tunatuma kwa delivery
@@zulfatdidas369 0677712349
Asante sana
Asante somo zuri