PETER MSECHU NA MJENGO WAKE WA KIFAHARI, AFUNGUKA ALIVYOJENGA KWA GHARAMA "SIUZI HATA KWA BILIONI 3"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 815

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 Рік тому +92

    Kila binadamu ana ndoto ya kuishi kwenye nyumba kama hii na zaidi!! Hongereni sana kwa kweli!! Nimependa sana hiyo sentenso ya Mimi na mke wangu!!

    • @barakakomba6087
      @barakakomba6087 Рік тому

      Hongera kwanao jua ujenzi nini tumekuelewa narudia tena hongera bro☝️👍

  • @matronmalimali6809
    @matronmalimali6809 9 місяців тому +13

    Msechu Nyumba yako ni nzuri sanaaa kuliko ya Mwijaku Msechu nakupa mauwa yakooo 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

    • @seifsaid845
      @seifsaid845 8 місяців тому

      Both houses are nice, ya msechu 1, mwijaku 2, aristote last. Am an architect and engineer but aristote has over used materials. one secret about house, white and black colour is the best

  • @salimmwabundu958
    @salimmwabundu958 Рік тому +33

    Mungu nibariki nguvu na mm niweze miliki kama hii naamini inawezekna ilimradi napambana...Hongera sana Msechu

  • @Jacque_Fungo
    @Jacque_Fungo Рік тому +7

    Daaah he is a family man, unaona kabisa moyo wake upo kwa familia yake. Kwanini usitoboe!! Hongera sana sana. I connect to such grace. Iwe hivyo na kwangu pia 🙌🙌🙌

  • @lucmpangaje8727
    @lucmpangaje8727 Рік тому +50

    This man is a role model to many 😍😍😍❤️❤️❤️

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Рік тому +27

    Hongera Mr*Mrs Peter Msechu endeleeni kumcha na kumpenda Mungu

  • @JohnPrine-ut2ni
    @JohnPrine-ut2ni Рік тому +26

    Dah bro peter ameniinspire sana MUNGU ambariki tusiache kupambania ndoto zetu siku zote

  • @monikamasasi7582
    @monikamasasi7582 Рік тому +20

    Mungu akubariki wewe na family yako,mke wako umempa nafasi tunayo ithamini wanawake wengi ana bahati kupata mume kama wewe,ndoto zanu zimetimia kwa kishindo na kutuacha mdomo wazi big congrats bro

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому +50

    Mungu muumba wa mbingu na nchi amlinde Peter msechu na familia yake Amen.

  • @mimihuyo8239
    @mimihuyo8239 Рік тому +21

    Kila mtu anatamani kuishi kwenye nyumba nzuri tena aliyoijenga mwenyewe. Hongera sana Peter na Mkeo kweli mmeweza

  • @joshuamwaisaka1839
    @joshuamwaisaka1839 Рік тому +51

    Thats awesome. Hongera BIG Peter kwa kujenga nyumba nzuri. You have spoken important things to wasanii

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 Рік тому +8

    Ninavyopenda mambo ya nyumba na makazi Mungu mwenyewe anajua... Niwape hongera Mr & Mrs kwa kufikia malengo mliojiwekea hii ndio maana ya ushirikiano wa wanandoa.

  • @ldavis7753
    @ldavis7753 6 місяців тому +2

    Yaan Msechu kanifanya niache kuwaza kujenga ghorofa very classic home❤

  • @williammsilu8617
    @williammsilu8617 Рік тому +27

    Honestly, I love every in this house. Nice achievement my brother.

  • @elizabethkimaro4443
    @elizabethkimaro4443 Рік тому +27

    Kwenye kila maendeleo ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake❤ umechagua fungu lililo bora
    Hongera sana na Mfike mbali🎉

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 Рік тому +5

    Mme wangu Shitindi tutegemee nyumba kama hii miaka ijayo.. acha tumuombe Mungu uzima,,, hongera sana Mr and Mrs msechu🥰

  • @Chalsbanks
    @Chalsbanks Рік тому +16

    Power!!
    I'm inspired, congratulations brother 🙏

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 Рік тому +12

    Bwana Yesu awasaidie mkae salama mpaka muishi miaka 99 mkiwa pamoja Bwana awalinde

  • @rahmahabibu4727
    @rahmahabibu4727 Рік тому +42

    Napenda msechu anavompa kipaumbele mke wake napenda sanaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ na mungu awabariki

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 Рік тому

      VIP na ww nianze kukupa priority

    • @lucymoshi6866
      @lucymoshi6866 Рік тому +2

      Aisee hii ni ya kuigwa jilindeni ombeni sana hili lisiondoke kwenu na shetani asipate nafasi hongereni

    • @rhodachristopher4398
      @rhodachristopher4398 Рік тому +1

      ndio maana wanafanikiwa

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 Рік тому +1

      Wanaume wengi waliowaamini wake zao na kuwashirikisha kwenye mambo ya maendeleo ndani ya familia Trust Me *WAMEFANIKIWA*

  • @Isynick
    @Isynick 4 місяці тому +2

    Mungu akubariki sana Peter Msechu kwa vile unavyomthamini mke wako.

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 Рік тому +4

    Hongera sana Peter Msechu na Mkeo.., Mwenyenzi Mungu Awabariki sana na watoto wenu!!!

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +1

    Aristote naye alisema ana nyumba eeeeh😂😂😂😂😂basi sawa
    MashaAllah 🎉🎉pongezi kubwa kwa hii family,MashaAllah 🎉🎉🎉

  • @TECHTZTV
    @TECHTZTV 9 місяців тому

    Nimekuwa inspired sana na hii kitu kwa uwezo WA mungu siku moja nitakuja kuishi sehemu yangu mzur hataka kama isifikie hii ila angalau namm nitakuwa nimetimiza ndoto yangu..hongera sana peter msechu

  • @zulekha3028
    @zulekha3028 Рік тому +7

    Mashllh mashallh....nyumba nzurisanasana...hongerenisn...mungu awajaalie maisha ya furaha awaepushe na hasadi za viumbe vyake..

  • @Fx_expertmoneymaker001
    @Fx_expertmoneymaker001 Рік тому +30

    Msechu umenifanya nijifikirie mara mbili mbili... 💪

  • @255kwetu8
    @255kwetu8 Рік тому +10

    Msechu binafsi mmeniinspire sana wewe pamoja na mkewe.Kupitia hii nyumba nami naweka malengo ya ujenzi.2030 nitawaita millardayo kwenye nyumba yangu.😊😊

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 Рік тому +6

    Hongera sana kaka. Nimependa sana ujumbe wako unatia moyo kwa watu wengine tunaojitafta unatutia moyo na wengine kutokukata tamaa kwenye maisha big up bro🎉

  • @AbuubakaryLyamba-pc1gp
    @AbuubakaryLyamba-pc1gp 4 місяці тому +1

    Hongera Sana mungu akuzidishie zaidi na zaidi

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 Рік тому

    Hongereni sana Mr $ Mrs Msechu,hakika huu ndo umoja na mshikamano unaotakiwa kwenye ndoa.
    Haijalishi mnapitia changamoto zipi lkn mme akimpenda,kumthamini,kuwa muwazi na kumheshimu mke,kwa vyoyote vile mke atamtii mume wake na maisha yataenda vizuri

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi Рік тому +4

    Namuelewa sana Msechu namna anavoelezea kwa hisia, namuelewa vzr sana. Mungu nakuomba uniinue kiuchumi na unipe hekima pia niweze kufika hatua hii. Kwa jina la Yesu.

  • @Bracha_collections
    @Bracha_collections Рік тому +5

    The house is real Nice...! Hongera sanaaa Peter na Mke wako. Amazing House🎉🎉🎉🎉

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Рік тому +4

    Nadhani huyu ndio msani alie heshimisha sana yake.
    Ongera sana brother umenipa usongo na wivu wa maendeleo.
    Big up brother
    Heshima yako.

  • @MariaCassian787
    @MariaCassian787 8 місяців тому +1

    Safi sana Mr msechu Mungu akikubariki lazima ushukuru na kufrahi Hongera sana nanimejifunza kitu kutoka kwako na mm nitaanza kumbe inawezekana kumiliki nyumba ninayo itaka natakiwa kuwa na nidhamu ya pesa

  • @hamenyayohanakasase5836
    @hamenyayohanakasase5836 Рік тому +2

    Kwa kweli hata mimi nimejifunza kitu hapo. Hongereni sana Bw. & Bibi Msechu.

  • @FL777-i6c
    @FL777-i6c Рік тому +9

    Be blessed my brother. Soo inspirational😊

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn Рік тому +8

    Alhamdulilah. Mungu awajalie na familia yako

  • @catherinejullu6615
    @catherinejullu6615 Рік тому

    Hongera sana nyumba nzuri,na pia hongera kwa kumpenda mkeo na kumsigiya mimi nawatakiya maisha mema Mr and Mrs.

  • @immanuelmruma-nr8kl
    @immanuelmruma-nr8kl Рік тому +9

    Hongera sana peter Msechu you deserve to be a role model

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 Рік тому +1

    Mfano WA kuigwa Kwa Peter msechu from wasanii to watu WA kawaida.... Peter msechu ❤❤❤

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 Рік тому +21

    Mfano wa ku igwa , felicitations Piter 🌷🍂🙏🏾🔥

  • @ismailmussa5662
    @ismailmussa5662 Рік тому +1

    Mashallah safi sana msechuu, with the help of Almighty God under the sun nothing impossible brother

  • @SalumBornvanture
    @SalumBornvanture Рік тому +19

    Congrats father Msechu kwa kufanikiwa kumilik chako

  • @elinajacksonharusha7155
    @elinajacksonharusha7155 9 місяців тому

    Hongereni sana kwa kupambania ndoto zenu. Nyie ni watu na nusu na Mungu awajaalie ndoa yenu idumu, muwe na furaha na amani siku zenu zote.

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 Рік тому +21

    Hongera sana Peter! Watakao kubeza hawana akili! Funzo kubwa heshimuni sana wake zenu na muwashirikishe kwenye maendeleo! Mungu azidi kukuinua Peter na mkeo kipenzi mama lolo

  • @DullahIweni
    @DullahIweni Рік тому +1

    Hii ni zaid ya nyumba,mara nyingi huwa naona kwenye kideo hasa mijumba ya dubai❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏

  • @dwiny7841
    @dwiny7841 Рік тому +11

    Wapi baba levo😂😂😂😂😂😂😂😂Congrats🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Msechu

  • @AmedeusMrema
    @AmedeusMrema Рік тому +1

    Hongera kakaangu mungu ampe maisha marefu ufanye mengi zaidu ya hayo .usitulie useme umemaliza manaume nikupambana hongera kwa mkewo mshauri wa familia❤

  • @biasharaonline693
    @biasharaonline693 9 місяців тому +4

    Wanawake wa saivi anataka akija akute ushajenga mjumba, una magari yeye aje na jibegi lake la nguo tu aingie ndani😅 hawatutaki tukiwa tuna hussle ili tupambane pamoja, hadi tufanikiwe ndo wanajileta

  • @VeronicaMwilombe
    @VeronicaMwilombe 8 місяців тому +1

    Watoto na mke part wanavyogombania remote ya a/c n.k 😢 I felt that father's joy

  • @sulleymanjimmy2214
    @sulleymanjimmy2214 Рік тому +5

    Hongera sana bro I appreciate you for this 👏👏👏

  • @BurtonSon
    @BurtonSon Рік тому +19

    Blessed Brother you and your family..

  • @naomihaika538
    @naomihaika538 Рік тому +3

    Congratulations Mr. Peter...you truly are a role model

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 9 місяців тому +1

    Mume kapata mke na Mke kapata mume" ongeleni saana, Ehee Mwenyezi Mungu wajalie hawa wajawako maelewano na upendo endelevu sikuzote za maisha yao, uwaepushe na kila lililokinyume nao, furaha ya huyu ikawe kwa huyu na furaha ya huyu ikawe kwa huyu pia na familia yao" Amen.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому +26

    Congratulations to them ❤❤

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 Рік тому +7

    Hongera sn Peter na Mkewo Mungu awatunze na kuwabariki zaidi.❤

  • @rosejeremy9484
    @rosejeremy9484 Рік тому +10

    ishi kwenye ndoto zako big up umeua congratulations

  • @m___ck799
    @m___ck799 Рік тому +9

    Amazing 👏

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 Рік тому +18

    Nyumba ni nzuri sanaaaaa yaaani sanaaaaaa

  • @pascalntandu1217
    @pascalntandu1217 Рік тому +10

    Hongera Brother na family yako;nyumba nzuri.

  • @10gb27
    @10gb27 9 місяців тому

    Mungu akunariki sana Peter. Kila anajenga but damn, beauty ya nyumba yako niyakipekee. Clip imeonesha nje tu inakufanya mtu utake kujua ndani kutakuaje. InshaAllah nami soon im following your steps🙏🏾🙏🏾

  • @Combinemedia7569
    @Combinemedia7569 9 місяців тому +1

    You have inspired me alot brother,,may God bless you

  • @exaverykalinga1487
    @exaverykalinga1487 Рік тому

    Nyie ayo tv safi sn hizi ndo habari na hongera sn peter msechu umeonyesha mfano kwa vijana na wasani kwa ujumla....big up.

  • @juliethmziray
    @juliethmziray 9 місяців тому

    Hongera mama Lolo mpende sana mumbo kama anavyokupenda daa !! Mungu awesome nanyi daima❤❤❤❤❤❤❤

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi Рік тому +6

    Napenda mama Lolo anavotumia maneno "Tulifanya, tulikusanya, etc". UMOJA NI NGUVU.

  • @AbuubakaryLyamba-pc1gp
    @AbuubakaryLyamba-pc1gp 4 місяці тому +1

    Waooooo nakuelewa Sana broo

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 Рік тому +1

    Congratulations brother...Mungu akubariki

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Рік тому

    MashaAllah! Hongera sana Brother Peter Msechu.

  • @hasani565
    @hasani565 Рік тому +4

    Bonge moja la nyumba congratulations msechu family ❤

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +9

    Hongera sana Bro, Mashallah 🙏

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 Рік тому

    Hongereni saana saana Mungu na azidi kuwabariki na kuwalindia furaha yenu mkiwa na watoto wenu

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 Рік тому +1

    Safi Sana🔥🔥🔥tujifunzee ❤️❤️ Hongereni sanaaa na MUNGU awape mda mrefu wa kuishi kwa nyumba yenu🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @haikawilliam5233
    @haikawilliam5233 Рік тому

    Hongera sana Peter... wew ni mfano wa kuigwa... Mzidi kubarikiwa...

  • @mwinchumuali7478
    @mwinchumuali7478 Рік тому +1

    Thanks for inspiration

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es Рік тому

    Amen..mmefanya vizuri..Mungu azidi kuwabariki

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 Рік тому +3

    Sijakosea kuolewa na wapare maana ni wanajua kutafuta na kupenda hawana mambo mengi hongera sana kaka nyumba ni nzuri sanaaa.

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 Рік тому +1

    Ma sha allah. Namuomba Mungu akujaalieni iwe nyumba ya furaha na amani. Na mzidi kuelewana.🇹🇿🇴🇲

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 Рік тому +4

    AMAZING..... !!! MAASHAALLAH

  • @victormbekomize8154
    @victormbekomize8154 Рік тому +37

    Kuna watu hawaamini katika Mungu;Msechu waoneshe kuwa MUNGU anaishi ndani yetu.

    • @peterdavid4230
      @peterdavid4230 Рік тому +1

      Amina Mungu anatenda sana ukimuamini

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h Рік тому

      Wewe lala usijitume uone kama Mungu atatenda au wasubili wagalatia watende😂

  • @EuniceMwanri-jw9py
    @EuniceMwanri-jw9py Рік тому +2

    Congratulations brother.. everything is God 🙏

  • @barnabarufulenge6823
    @barnabarufulenge6823 Рік тому +1

    Hongereni sana sana kwakweli ni ndoto ya kila mtu kuwa na nyumba nzuri kama hiii

  • @ganomwinge1132
    @ganomwinge1132 Рік тому +1

    Hongereni sana Mr & Mrs.Msechu

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому +1

    Hongera Peter hongera sana nimekuelewa sana kwenye kasave ntafata mkondo

  • @evalinepaul6431
    @evalinepaul6431 Рік тому

    Hongereni sana mr and mrs kuna kitu nimejifunza kwenu♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 Рік тому +1

    Jishaue Peter na mkeo ...Enjoy baba...tamba tamba sana...kimfaacho mtu chake. Usisikie ya watu Peter..Una nyumba nzuri nzuri sana. Nzuri mno

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 Рік тому +1

    Nimekukubali maneno yako safi sana nitafta mjenamimi nikifanikiwa mdizainie hongera sanaa mama lolo nitakutafta❤❤❤😂😂😂

  • @evancesango3385
    @evancesango3385 Рік тому

    Woooow hongera ake mungu atubariki na sisi wote wapambanaj tunaemtegemea yeye

  • @BenardLucasi
    @BenardLucasi Рік тому +1

    Big up brother good house

  • @ikokijuma-zv7wd
    @ikokijuma-zv7wd Рік тому +3

    I wish that life my God daah

  • @PasweloJr
    @PasweloJr Рік тому +1

    Hongera sana Msechu nimekuwa naku admire toka enzi za Tusker Project Fame.Umekuwa mfano wa vijana wengi na hii ndo maana halisi ya kuwa kioo cha Jamii

  • @rodgerushindi85
    @rodgerushindi85 Рік тому +2

    Congratulations, The house aise ni kali sana

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 Рік тому +6

    waoooo hongera sana msechu

  • @MonicaNgussa
    @MonicaNgussa 9 місяців тому +1

    Safi sana unaongea Kwa hekima hongera sana

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 Рік тому +1

    Hadi raha yani❤

  • @priscillatumwesige4525
    @priscillatumwesige4525 Рік тому +1

    Hongereni sana .Hii ni mala ya kwanza kutoa comm.Nakumbuka mlivyojitoa kwa KUMWIMBIA Mungu Kkkt enzi hizo usharika wa kigoma mjini , kuanzia Baba,mama na Watoto.Haya ASANTE MUNGU ANAJIBU.WEWE UKUMBUKI MBEGU ULIYOIPANDA KWA MUNGU.SALUT

  • @gabrielkokolo4251
    @gabrielkokolo4251 Рік тому +5

    Wow that's awesome, big up kwake

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому

    Wow hongera Sana Mr &Mrs msechu umepambana Sana kaka yangu m/mungu azid kukulinda

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому

    Woow Peter Msechu. Big up aisee. Umenitamanisha sana bro. One day

  • @mercycitungo1968
    @mercycitungo1968 Рік тому +2

    Hongera sana sana Mr and Mrs Msechu.

  • @ladymzana4511
    @ladymzana4511 Рік тому +8

    Hii nyumba ya Peter Msechu na ya Aristoste ipi nzuri zaidi na iliyo Classic zaidi, nje tumeona labda siku Peter akituonyesha ndani ndiyo tutaweza kuthaminisha, kwa sababu Aristote ametuonyesha kuanzia nje hadi ndani, hongera sana Peter

    • @crispinmsongole8875
      @crispinmsongole8875 Рік тому +2

      Ya msechu ni classic saaaaaaana

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 Рік тому +1

      Aristote hana nyumba,yule chawa ashindwe kuzungumzia nyumba yake kweli?? Labda

    • @feronandsulubu6711
      @feronandsulubu6711 Рік тому

      Sasa mbona uwashindanishe

    • @issackathman850
      @issackathman850 Рік тому +1

      yani wabongo bana kila kitu kufananisha fananisha we mwnyw umepanga cjui uko kwenu

    • @marypatrick5877
      @marypatrick5877 Рік тому

      Ya msechu ndio nzuri Sana... Ya Aristotle sema ana eneo kubwa tu ndio alichomzidi peter ila Kwa uzuri wa nyuma ni peter ndio nzuri

  • @frankjoshua6869
    @frankjoshua6869 9 місяців тому +1

    Umeongea vema sana kaka Mungu akulinde