Alichoongea Rais Magufuli kwa Babu Seya na watoto wake Ikulu leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 267

  • @naomimatumula9144
    @naomimatumula9144 Рік тому +5

    Mungu akupokee baba akulaze penye mauwa yaliyostawi vizuri. Akupe pumziko baba akupe kivuli mzee wetu. Ulimuogopa alie juu unamwinua bila kujingamba. Ukaribishwe kwenye kiti cha Enzi. Lala salama Baba wa Taifa......

  • @blessingmuyambo5298
    @blessingmuyambo5298 6 років тому +18

    I'm from congo but i live in Tanzania. Thank you my favorite president Magufuri. Asante sana Rais

    • @mathazakayo288
      @mathazakayo288 6 років тому +1

      hongera sana mheshimiwa rais maguful

  • @shaurikiyanga6033
    @shaurikiyanga6033 6 років тому +18

    Rais wetu mungu akupe maisha marefu

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 6 років тому +12

    ccm siipendi lakini magofuli nampenda sana sana he is like a father a real father to his children big up my president God give u a long long life baba

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 6 років тому +27

    Mungu atakufungulia kheri na akufanyie wepesi ktk uongozi wako mheshimiwa Rais wewe ni mwema sana moyo wa huruma

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Rais magufuli alikua kiongozi wawa tanzania

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Kamwe akuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye ata msahau kaka magufuli

  • @gracejohn4925
    @gracejohn4925 6 років тому +43

    Nalia nalia nalia kwa furaha na siwez kumtafakari makufuli. Mungu akupe afya njma

  • @winnifridaasseymlkd5825
    @winnifridaasseymlkd5825 6 років тому +5

    Asante Mh. Rais M/Mungu atakulipa kwa wema wako

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 6 років тому +36

    Tuna Rais bora jaman

    • @richardsoka2400
      @richardsoka2400 6 років тому +1

      Isdor Chuvu Siyo Rais wa kawaida!! Such presidents are rare to come across with, Thank You Lord for having given us(Tanzanians) a God fearing ruler!! I give 👋. Sasa ningefurahi kuona CELNET=CELTEL =Airtel ipo rasmi mikononi mwa Serikali na wahusika waliokuwa bodi members, Waziri na Board chairmen wanavuna walichopanda wakati wamevaa suti ya kijani(in CCM attire). Kudos Dr President Magufuli)

  • @abdallahsalum6449
    @abdallahsalum6449 6 років тому +18

    mungu akubariki mh. rais akupe afya.. akulinde.. akubariki.. akufunulie katika utendaji wako uwe kiongozi bora Africa na dunia.. watanzania wote wafaidike kwa uongozi wako

    • @janesuma2193
      @janesuma2193 6 років тому

      Abdallah Salum aminaaaaa ubarikiwe pia kwa kumbariki rais wetu

  • @deewallance9354
    @deewallance9354 6 років тому +25

    MUNGU akubariki president wetu,

  • @mathayowilson79
    @mathayowilson79 6 років тому +10

    Rais wetu asante kwa moyo wa kina na kuwafundisha hata wahanga tabia ya kusamehe... waliahidi kumtumikia Mungu je wamebadili baada ya kurudi uraiayani?

  • @deborahelias943
    @deborahelias943 6 років тому +7

    M/Mungu mwingi wa Rehema mweny kurehem na azidi kutenda kaz yake kupitia watu wake,,,,,Amen!!!

  • @janethpalangyo7790
    @janethpalangyo7790 6 років тому +7

    Love you my President

  • @julianaconradi853
    @julianaconradi853 6 років тому +18

    Excellent JPM😍.

    • @julianaconradi853
      @julianaconradi853 6 років тому

      Zuhura Nauza Uchi honestly hata ningekuwa mimi ningehisi miujiza,Mungu ni mwema sana maa😍🙇.

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 6 років тому +9

    Babaangu Magufuli Mungu azidi kukuinua baba. Kweli unafaa kabisa.

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 6 років тому

      mungu. akubariki sana tu... nimeamini kila jambo lina wakati wake..... safi sana...

  • @aminasanga7096
    @aminasanga7096 6 років тому +8

    mungu akulinde rais wetu

  • @mwadawasaidi723
    @mwadawasaidi723 6 років тому +2

    Asante sana raisi Magufuri sijuwi tusemeje Mungu tu ndo anajuwa kwa ulicho kifanya kwa hao ndugu zetu kuwa huru na kujifanyia ma kazi zao kwa upande wangu nakuombea uishi maisha yenye raha amani na furaha na udumu kwenye cheo chako bila vikwazo

  • @kyandomarry2015
    @kyandomarry2015 6 років тому +20

    Jamani muache kabisa hio miziki yakiulimwengu, ungependeza mungemtukuza Mungu kwa nyimbo na vinubi kwayale mlio pitia

    • @lucykyando755
      @lucykyando755 6 років тому

      Kyando Marry ni kwel kbs

    • @raphaelkubona9417
      @raphaelkubona9417 6 років тому

      Boss Lady ....hta wakiendelea Na mziki wao n jambo zur koz n kipaj walichopewa Na muumba wetu

  • @samsonmwijage5301
    @samsonmwijage5301 6 років тому

    Asante Jesca Ngwaya kwa kutukumbusha upendo wa Mungu wetu nasi hatuna budi kuishi kwa kwa utaratibu huo.

  • @khamisalaamri3913
    @khamisalaamri3913 6 років тому +5

    babu seya mumeonesha ujasiri wa kweli..mungu awasimamie kwa hilo

  • @charlesdaudi2730
    @charlesdaudi2730 6 років тому +3

    Hongera sana kwa kujitoa kwenda kushukuru

  • @rahimajuma688
    @rahimajuma688 6 років тому +18

    yaani nimetoa machozi ya furaha shukrani magufuli

  • @surealfredkabasa4518
    @surealfredkabasa4518 6 років тому +3

    Mwenyez mungu akuzidishieni Insh-allah

  • @0759836646
    @0759836646 6 років тому +19

    magufuli ni mtu wa watu wala habagui

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 6 років тому +30

    huo.ndo utuMishi wa Mungu usimuhesabie mwezako.dhambi.wote tu wakosaji ameni

    • @kaizamulinda633
      @kaizamulinda633 6 років тому

      Kabisa aise

    • @juliusmjengi7892
      @juliusmjengi7892 6 років тому

      asanteni mangufuli rais mwenye huruma cc hatuwez kukulipa lkn mungu ndiye anajua mwanadamu asikundanye anakuombea toba yeye makosa yake mbona hayasemi ni ushenzi mtupu kwanaojinyesha ni watu mungu ss wote ni watoto mungu iweje leo umuone mwenzako hajui

    • @timanywakachocho4119
      @timanywakachocho4119 6 років тому

      Olugambo

    • @mayungasalawa1632
      @mayungasalawa1632 6 років тому

      amen

  • @juanaboaz5144
    @juanaboaz5144 6 років тому +1

    Mungu ibariki Tanzania mungu mbariki raisi wetu Mh jonh pombe magufuli na mwenyezi mungu aendelee kumtumia kulitetea taifa letu na kuwatetea wanyonge

  • @johnthobius6543
    @johnthobius6543 6 років тому +6

    My President

  • @michaelkinga821
    @michaelkinga821 6 років тому +14

    ENDELEA NA MOYO HUO MH. JPM MUNGU AKUSIMAMIE KTK MAJUKUMU YAKO.

  • @mreallashy3525
    @mreallashy3525 6 років тому +1

    Mungu akubarki JPM Kenyans shud learn from u

  • @saifalrajhi5001
    @saifalrajhi5001 6 років тому

    Big up Mheshimiwa kwa kweli wengi waliokua jela haimaanishi no wahalifu. Tunakuomba uwakumbuke wale pia waliobakia kwa msamaha wako.

  • @angelklistofa4914
    @angelklistofa4914 6 років тому +1

    Asante baba yetu mungu akulinde sana

  • @davidjonas4529
    @davidjonas4529 6 років тому +7

    Napenda xna

  • @zuhurakimwaga4731
    @zuhurakimwaga4731 4 роки тому

    Jamani asante sana Rais wetu mungu akupe maisha marefu na akulinde na maadui Ameen

  • @paschaljeremiah4903
    @paschaljeremiah4903 6 років тому +1

    Baba magufuli, Mungu akuzidishie heri hapa duniani na mbinguni!

  • @josephnyamsuka9534
    @josephnyamsuka9534 6 років тому

    safi sana rais wetu mpendwa mungu akuongeze siku nyingi za kuishi hapa duniani

  • @germanabukombe7452
    @germanabukombe7452 5 років тому

    Nakupenda sn Raisi wetu magufuli
    Mungu akulinde, akutunze
    Dah!!!! upendo wko kwa wananchi hadi nalia love uuuuuuuu

  • @thequ33en65
    @thequ33en65 6 років тому

    mwenyezi mungu awajaalie mmerudi ktk uraia hongereni sanaa

  • @agapelove5919
    @agapelove5919 6 років тому +1

    I love this president!

  • @mariyammariyam8649
    @mariyammariyam8649 6 років тому

    Ameen Ameen cjawahi kuona Rais wetu ana moyo wakipekee Allah amuepushe na wale wanaomuandama

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 6 років тому

    Ammin Ammin Ammin
    M - barikiwe ktk maisha mapya
    Hongera Rais Magufuli kwa imani na moyo wa huruma
    M.mungu akulinde na vitimbakwiri
    vinavyokuandama....Ammin

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 6 років тому +1

    Mungu akuzidishie Magufuli, your the best president ever.

  • @lucymacha1853
    @lucymacha1853 5 років тому

    Magufuli hoyeeee raisi mcha mungu maisha marefu ameni

  • @morismosses788
    @morismosses788 6 років тому +32

    Magufuli... MUNGU BABA na akukumbuke siku ya kuingia mbinguni... Asikuache kabisa

    • @morismosses788
      @morismosses788 6 років тому

      +Zuhura Nauza Uchi Kwann yakutoke machozi!?

    • @chiefkaitaba.m.9466
      @chiefkaitaba.m.9466 6 років тому

      Moris Mosses we unafikiri ataingia mbinguni kwa kuwasamehe hao,,la hasha mbinguni hatuendi kwa kupaa lazima tuwe wema milele

    • @morismosses788
      @morismosses788 6 років тому

      Kwahiyo una uhakika kwamba Rais cyo mwema!?
      Mtu akifanya jambo jema na la lakumpendeza MUNGU na wanadamu ni lazima aombewe baraka.... Hivi kwa alichokifanya unazani MUNGU atamuacha kama alivyo!?

    • @hildamatinga4446
      @hildamatinga4446 6 років тому

      Moris Mosses hawezi mwacha......

    • @chiefkaitaba.m.9466
      @chiefkaitaba.m.9466 6 років тому +1

      Moris Mosses Wangapi wako magerezani kwa kusingiziwa na bado gawajaachiwa ww ulivo ona hao ukahic basi,tofautisha hukumu ya Mungu na binadam,Tumungojee Mungu afanye hukumu zake wala tusimuingilie

  • @Oreldigitalful
    @Oreldigitalful 6 років тому +5

    HAPA KAZI TUU!

  • @pendoumba4528
    @pendoumba4528 6 років тому

    Mungu akubariki sana rais wetu kipenzi akukumbuke katika ufalme wake,

  • @kibokongurai4488
    @kibokongurai4488 6 років тому +12

    Tuko pamoja rais wetu magufuli hatutaludi nyuma cc wananchi masikini na wanyonge

  • @zawadinchimbi3569
    @zawadinchimbi3569 3 роки тому

    Raisi magufuli tunakupenda sanaaa
    Mungu akupe uhai mrefu, na afya njema kwa roho yako,🙏🙏🙏

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 Рік тому

    Ulikuja kusaidia Watu 👏

  • @mandelakizango8769
    @mandelakizango8769 Рік тому +3

    Rest In Peace JPM

  • @secikubohusein8889
    @secikubohusein8889 6 років тому

    kwakweli sijawahi kuona laisi kama huyu mwnyezi mungu ambariki na umpe kila lakheri

  • @mwanaishajuma5903
    @mwanaishajuma5903 6 років тому +2

    Mungu tuwekee raising wetu

  • @user-jk5ir4ke3z
    @user-jk5ir4ke3z 4 роки тому

    Mungu akujaalie sana magufuli

  • @stephanokanyika6988
    @stephanokanyika6988 6 років тому

    hongera Sana kwaku shukuru ni wengi wanatoka lakini wajashukuru nyie mungu amewapa moyo wa shukulani mbalikiwe na yesu

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 років тому

    I sha Allah watatoka
    Lkn sister ilo jina dahhh
    Mtihani bora badilisha

  • @WakaJackson
    @WakaJackson 6 років тому

    nice to have a president car about people not kabila d.r.c mr magufuli be bless

  • @albertblasiusmligo8715
    @albertblasiusmligo8715 6 років тому

    Nakukubali aiseeeeee Mr. President

  • @maryamsinganomaryamsingano7938
    @maryamsinganomaryamsingano7938 6 років тому

    Raisi umefanya kitukizuri sana mungu akulinde ktk kazi yako

  • @fettynkunguu6268
    @fettynkunguu6268 6 років тому

    Mungu akupe maisha marefu baba angu rais wangu wewe ni kimbilio la wanyonge

  • @agnessjosephath4330
    @agnessjosephath4330 6 років тому

    Shukuru kwa kila jambo Mungu awatangulie

  • @fredisanga6909
    @fredisanga6909 6 років тому +2

    Babu seya na familia yako mungu awapenin jamani,fumbeni macho muone uwepo was mungu juu ya maisha haya ya dunia achaneni na muziki was dunia imbeni nyimbo za kumtukuza bwana kama riziki atawapa tena kubwa kuliko kuanza mvutano na hizo bendi za miziki ya dunia itakayowalazimu kwenda kwenye makumbi ya starehe.

  • @Emanuel-fg2ee
    @Emanuel-fg2ee 2 роки тому

    God bless jpm

  • @etodunia6834
    @etodunia6834 6 років тому

    Hongera sana rais pombe mungu akubariki

  • @kevojuma9158
    @kevojuma9158 6 років тому

    Duuuh rais wa watanzania
    penye nia pana njia
    TANZANIA💝

  • @dicksonmarwa3245
    @dicksonmarwa3245 6 років тому +1

    Kiukweli raisi wangu upewe Maisha marefu sijawahi kukucommentia chochote ila kwa hili umeonyesha nini maana ya utu be blessed until infinity

  • @stewartmillanzi3918
    @stewartmillanzi3918 6 років тому

    God bless you mr. President...!!

  • @josephboniphace5117
    @josephboniphace5117 6 років тому

    mungu akutangulie jpm nakubali sana rais wetu

  • @muungujaunguja8609
    @muungujaunguja8609 Рік тому +1

    Upo moyoni mwangu Mungu hakulaze mahali pema peponi amini,😭

  • @dominickmgaya5523
    @dominickmgaya5523 6 років тому

    mungu akuzidishie Mara dufu

  • @dorcasdominic9880
    @dorcasdominic9880 6 років тому

    Amina Mr president

  • @dicksonsamwel3507
    @dicksonsamwel3507 6 років тому +2

    Lazima kuna interest za kisiasa hapa

  • @hamidajuma7804
    @hamidajuma7804 6 років тому

    Allah Akulipe Baba Rais wetu

  • @jacklinetemba3356
    @jacklinetemba3356 6 років тому

    Mungu anakila sababu ya kukuleta wewe, alijua wazi ni mtetezi wa waliopotea na kuonewa, asante mungu kwa hilo, asante magu kwa huruma yako

  • @wazabeofficial8892
    @wazabeofficial8892 6 років тому +5

    Wametisha sana

    • @christinamsemoh2473
      @christinamsemoh2473 6 років тому

      Baba akupe Maisha mArefu pongezi rais WANGU na mungu atakubariki sana sana

  • @ntutapaliji9396
    @ntutapaliji9396 6 років тому

    Safi Sana ayo kwa kutujuza yanayo jili ulimwengun kote

  • @abdallahtupa2702
    @abdallahtupa2702 6 років тому +1

    Rais wangu mimi kwa unyenyekevu na hishma kubwa nakuomba watizame na wale Mashekhe viongozi wa kiroho wasamehe pia kwa huruma yako wao pia wanekosa ima ni ubinadamu uliwapitikia wakakosa lkni bado wananafasi ya kysamehewa kwani nao adhabu pia wameitumikia nakuomba Muheshimiwa rais wangu Mzee Magufuri wewe ni rais wa mfano please nakuomba ikuingie hurumayko kwao wao wanamtegemea Allah kuwatoa kupitia kauli yko ya kuwasamehe. Ninayo Imani Muheshimiwa ktka hilo Nakuombea uongozi ulio bora kbisa na Afyaa njema

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 6 років тому

      abdallah tupa wale wanapenda kujilipua wamedanganyika eti ndio wanaingia kapepo kao looo pepo na damu poleni

  • @enockshija5512
    @enockshija5512 6 років тому

    Mungu azidi kuwapigania.Mungu atukuzwa kwa kuruhusu JPM kuwa Rais Wa nchi yetu nzuri TZ.Mmepewa nafasi ya pili msijivunie Bali badilikeni mmtukuze Mungu kupitia uimbaji wenu achanani Na nyimbo zinazofanana Na wasanii Wa Leo maana wana wimbo mmoja tu 'Mapenzi" hadi kero.Imbeni utukufu Wa aliye juu bado tutawapenda.

  • @sharmilarashid5401
    @sharmilarashid5401 4 роки тому

    Mashalah

  • @michaeljuma7102
    @michaeljuma7102 6 років тому

    asante sana my president

  • @zaituniyusuphjuma415
    @zaituniyusuphjuma415 6 років тому

    Nilihama chama baada yakuona kila kukicha watoto wanazidi kua mateja namengineo lakini rais wangu huyo kiukweli kanirudisha kundini naimani watarudi wengi sana tu ccm oyeeeeeee mungu akutie nguvu azindi kuchapa kazi

  • @jeritagakye3200
    @jeritagakye3200 6 років тому

    mungu ambariki

  • @transmadale
    @transmadale 6 років тому

    Katika kitu ambacho kilipekea mimi kumuelewa Ngosha ni pamoja na hili jambo, BigUp baba

  • @mwanakwetu6472
    @mwanakwetu6472 6 років тому

    Safi sana!!

  • @upendosanga3328
    @upendosanga3328 6 років тому

    Amin tunampenda Mugufuli jembe letu

  • @emmanuelsamweli2249
    @emmanuelsamweli2249 6 років тому

    Kweli mungu ni mwema kushukuru ni jambo jema sana tujifunze kushukuru

  • @neenamwakapeje1530
    @neenamwakapeje1530 6 років тому

    ubarikiwe chombo cha mungu KWA huruma zako

  • @estherjoseph134
    @estherjoseph134 6 років тому

    sikumpigia kura kwa sababu sikuipenda ccm ila kwautendaji wake wakazi ninampenda sana huyu baba maguful mungu akubaliki na kukulinda pia

  • @noellymwaisunga1343
    @noellymwaisunga1343 6 років тому

    Rais MAKUFULI mungu akupe miaka mingi ya kuishi wewe ni mfano wa kuiga

  • @esterhasan524
    @esterhasan524 6 років тому

    raisi wetu wewe mungu akutangulie na akupe moyo huo huo wa huruma na haki jambo la kheri sana umewatendea hao watu mungu akubariki sanaaa

  • @erickbabu1727
    @erickbabu1727 6 років тому

    Good

  • @lynlyn1856
    @lynlyn1856 6 років тому +2

    Haki si Kenya yetu kuzaliwe Magufuli

  • @salmasaid2401
    @salmasaid2401 6 років тому

    hongera magufuli mungu.akulinde

  • @jacksonmkome439
    @jacksonmkome439 6 років тому

    kwakeri ni jambo lenye faraja sanaaah machon kwetu hongera sanaah rais magufuli

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 роки тому

    Mungu huyu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 6 років тому

    Mungu awalinde

  • @khadijaarkam5701
    @khadijaarkam5701 6 років тому

    Mashaallah

  • @user-xs6sh5wh4p
    @user-xs6sh5wh4p 4 місяці тому

    Tunaoangalia2024 tujuane kwa like😪😪😪😪

  • @khamisalaamri3913
    @khamisalaamri3913 6 років тому +4

    rais wetu..tunakupa pongezi

  • @surealfredkabasa4518
    @surealfredkabasa4518 6 років тому +2

    Ni sawa tu mheshimiwa 😊

    • @rukiamziwanda5262
      @rukiamziwanda5262 6 років тому

      Surety A Kabasa magufuri nakupenda xana enderea na roho hiyohiyo

    • @didaskabendera4521
      @didaskabendera4521 6 років тому +1

      Hii imenikumbusha wagonjwa aliowaponyesha yesu! yesu aliwaponyesha wengi lakini aliyerudi kumshukuru ni mmoja!

  • @lilianjremiah747
    @lilianjremiah747 6 років тому

    mungu akulinde san rais wetu

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 6 років тому

    Mungu akubaliki JPM jmn mmh