unajisikiaje kumuona Yule uliyetaman afe, amepona afu ndo kwanza umaarufu unaongezeka... mungu akitaka akuinue anaweza tumia hata maadui zangu, Njia za Mungu hakika si kama za mwanadamu.
Mungu akuponye kabisa na maneno ya Mungu yanasema hatutakufa bali tutaishi kwa kuyasimulia mapenzi ya Bwana sisi tupo nyuma yako tunakuombea tena Mungu anakujua kabla hujazaliwa tumboni mwa mama yako jipo moyo mkuu. Mungu akuponye kabisa na tubaki tukiulizana tu. Mungu apewe utukufu kupitia matendo makuu kwa kutoonesha kwa Lisu
sijui niwashukuru vipi wakenya ...ndugu zetu majilani zetu mungu awape moyo huo kila siku inayo kwenda mbinguni mbarikiwe sana sana sana nikitu kikubwa mmefanya hakika maisha ya mtanzania mwenzetu nduguyetu yameokolewa mikononi mwenu mungu atawalipa
Kenya democratic free liberal capitalist country since it's founding by Jomo Kenyatta and for respect of Human Rights from Africans and progressiveness
Mwenyezi Mungu bhana we ni wa maajabu, we ndo mkuu wa kila kitu, hutoa na kutwaa kwa muda uutakayo, kwetu sisi watanzania tumekushuhudia kiukweli, Tunakuomba uzidi kumlinda na kumponya kabisa mtu huyu maana kwako wewe hakuna kinachoshindikana, Mungu tusaidie maana sisi ni watu wa dhambi na bila wewe sisi hatuwezi kamwe.
Alipelekwa Kenya kwa ajili ya usalama wake katika mapambano ya Serikali ya Kenya dhidhi ya Serikali ya kikomunisti ya wauaji wa Tanzania wenye kupinga haki za mashoga na haki za binadamu na demokrasia na uhuru wa maoni
Mungu akuponye mheshimiwa. ila muendelee kuwa makini zaidi hata huko nje maana shetani yupo na hko pia ; maana hawakosi kulipiza wasije wakakumalizia huko. ahsante
hakuna Wa kufananishwa na Mungu, asante Mungu mkuu hakika unatenda makuu , wewe ni Alfa na Omega Mungu tukulipe nini Kwa wema wako? chukua mioyo yetu kama sadaka ya shukrani, asante Mungu wetu Kwa kumponya ndugu yetu Lisu.
Wanasiasa hata kwa kupita na watangazaji wa habari na waliokuwa wauwawe au kufungwa na Serikali ya Tanzania wakienda Kenya wanakimbilia amani na ili pia kuenda kwengine
God bless you all KENYANS Doctors, Nurses and Security department and Special thanks to President UHURU KENYATA for what you did to honorable TUNDU LISU from the first day until now. GOD BLESS YOU
Wote waliohusika kutaka kumuua huyu ndugu kama hawatatubu, basi ghadhabu ya Bwana Mungu Jehovah iwe juu yao daima mpaka watakapotambua kuwa yupo Mungu muumba wa mbingu, nchi na vyote vilivyomo anayehukumu kila mtu kwa haki. Tundu Lissu hakustahili kutendewa hivi kwa sababu yoyote ile!
HV hao ambao wanasema washamba wa video vp angekuwa alipigwa risasa mzazi wako he ungesema washamba wa video usifanye kitu. ambacho ww hupend kufanyiwa ila hukum hapa hapa najua wapo ambao hawapendi kuona lisu yupo hai lakin kumbuken kila nafis itaonja mauti
Tundu ,Tundu,Tundu Lissu Mwenyezi Mungu Akutangulie katika Matibabu yako Hugo uendako tupo pamoja!!! Pipooossssss!!!! Amina.
Tundu Lisu wangu nakuombea usiku na mchana ili urudishe afya yako kwa haraka sana. Amiin
Mungu ibariki Kenya kwa moyo wa huruma na ubinaadamu mliouonyesha. Hakika Mungu ni Mungu. Mungu akisema yes hakuna wa kupinga.
Mungu ata backin kua mungu
Amina
unajisikiaje kumuona Yule uliyetaman afe, amepona afu ndo kwanza umaarufu unaongezeka... mungu akitaka akuinue anaweza tumia hata maadui zangu, Njia za Mungu hakika si kama za mwanadamu.
sana kbx
kwa kupigwa kwake na sisi tumepona hakika utarudi ukiwa unatembea kwa miguu yako mwenyew Amen .ISAYA 54-17
Samwel Panga keel kabisa
Raisi ajaye. Mungu hakika ni Mungu
Mungu akutee kamanda wetu wewe ni Muhimu katika bunge la Tanzania mchango wako kila moja anautambua hasa wananchi.Upone in Jesus name
Kauli za kishujaa. Mapambano yanaendelea. Big up Lissu.
Siku ninaludi hawa watakoma
Nchi ya Kenya na wakenya wote nitawapenda kwa moyo mmoja na natowa shukran kubwa sana kwa Mh. Rais Kenyata wa Kenya 💝
Wauguzi wa Kenya wana upendo sana
Amen Mungu azidi kuabudiwa na kutukuzwa milele yote,,,,,,
Mungu ni mwema.TunduLisu tunakuombea urudi Tanzania tayari kwa kazi.
nimejifunza kitu.....
kwamba maisha ya mtu yana pangwa na Mungu wala sio binadamu...
kupitia wewe kweli Mungu anaishi.
Maria Nundwe-Exactly! B blessed my Brethren in Christ!
Maria Nundwe ,Ulikua hulijuihiloo? Mungu ndiokilakitu
God bless,
Mungu akuponye kabisa na maneno ya Mungu yanasema hatutakufa bali tutaishi kwa kuyasimulia mapenzi ya Bwana sisi tupo nyuma yako tunakuombea tena Mungu anakujua kabla hujazaliwa tumboni mwa mama yako jipo moyo mkuu. Mungu akuponye kabisa na tubaki tukiulizana tu. Mungu apewe utukufu kupitia matendo makuu kwa kutoonesha kwa Lisu
Quick recovery mheshimiwa,lililopangwa na mungu binadamu haezi akapangua,huku kenya tunakuombea afya njema
Mungu ni mkuu na mwingi wa fadhili
safe journey
Asante Mungu kwa uponyaji.Mungu ibarik Kenya
Lissu mzalendo wa kweli, Yesu Kristo alifufua hata wafu,aliponya hata wakoma,,Pokea uponyaji huo na wewe kwa imani hiyo
Thenk you Doctors of Nairobi and Dodoma Hospital for care of him
sijui niwashukuru vipi wakenya ...ndugu zetu majilani zetu mungu awape moyo huo kila siku inayo kwenda mbinguni mbarikiwe sana sana sana nikitu kikubwa mmefanya hakika maisha ya mtanzania mwenzetu nduguyetu yameokolewa mikononi mwenu mungu atawalipa
Kenya democratic free liberal capitalist country since it's founding by Jomo Kenyatta and for respect of Human Rights from Africans and progressiveness
So sad ,Nimejikuta machoz kunitoka Mungu mkubwa lnshaAllah utazid kupona utarud hali yko ya mwanzo
Na sisi kama wakenya tunaendelea kuombea sana mheshimiwa
Sisi watanzania tunawapenda sana wakenya,mmeokoa maisha ya mtu wetu
Divai Frank - Amen
Kweli Tz sio yakuvutia but God is good much love brother
Hakika Mungu atabaki kuwa Mungu, katika Maisha Jitahidi kuwa tajiri wa watu sivinginevyo! Utukufu vikurudie Muumba Wetu.
MUNGU ndani yake naye ndani ya MUNGU,Amen.
Mwenyezi Mungu bhana we ni wa maajabu, we ndo mkuu wa kila kitu, hutoa na kutwaa kwa muda uutakayo, kwetu sisi watanzania tumekushuhudia kiukweli, Tunakuomba uzidi kumlinda na kumponya kabisa mtu huyu maana kwako wewe hakuna kinachoshindikana, Mungu tusaidie maana sisi ni watu wa dhambi na bila wewe sisi hatuwezi kamwe.
We wish you a quick recovery dady a quick recovery is your portion in Jesus name
Mwenyezi Mungu ni mwema akuponye, akulinde na akutie nguvu. Karibu Belgium pamoja Lissu
Tundu funikwa na damu ya YESU KRISTO
Eliud Mwamahonje jembe tuko pamoja Na ww mungu awe na we tutapambana
mungu akusaidie kamanda wangu upone,peleni wote mnao hangaikia hafya yake mungu awabaliki pia.
Eliud Mwamahonje ,Mpaka hapo shetani kaaibika sana
Nikweli tunamwombea munhu
Tunamshukuru Mungu kwa wema wake
GOD is there always you will definitely stand and walk in Jesus Name Amen
Sikutegemea mambo kama haya kuyaona Tanzania. Nilikuwa namfurahia Magufuli na vita ya ufisadi kumbe nashabikia serikali ya mauaji
Steven Mamba sorry brother
Lisu kwakweli nimpango wa mungu
Ntasimama nitatenmbea, mung awepamoj now amen
Good 👍kamanda thanks 👍
naamini mungu yupo na anaenderea kukulinda
J manyesha. Walikusudia kumuua lisu walaaniwe
Asanten wakenya
Alipelekwa Kenya kwa ajili ya usalama wake katika mapambano ya Serikali ya Kenya dhidhi ya Serikali ya kikomunisti ya wauaji wa Tanzania wenye kupinga haki za mashoga na haki za binadamu na demokrasia na uhuru wa maoni
Mungu akuponye mheshimiwa. ila muendelee kuwa makini zaidi hata huko nje maana shetani yupo na hko pia ; maana hawakosi kulipiza wasije wakakumalizia huko.
ahsante
pole sana kamanda, mwenyezi mungu muumba wa mbingu na nchi akutilie wepesi ukapone mapema mzee wangu.
EEEH! MWENYEZI MUNGU MPONYE MAPEMA KIJANA WAKO
Kila mwenye subira yu pamoja na mwenyezi mungu wew nitegemeo la watanzania tunakuombea upone haraka urudi kwenye mapambano
hakuna Wa kufananishwa na Mungu, asante Mungu mkuu hakika unatenda makuu , wewe ni Alfa na Omega Mungu tukulipe nini Kwa wema wako? chukua mioyo yetu kama sadaka ya shukrani, asante Mungu wetu Kwa kumponya ndugu yetu Lisu.
Wanasiasa hata kwa kupita na watangazaji wa habari na waliokuwa wauwawe au kufungwa na Serikali ya Tanzania wakienda Kenya wanakimbilia amani na ili pia kuenda kwengine
God blease you tundu tuko na wewe itarudi haki haki haipotei hata siku 1
We call it really love
Mungu akuimarishe,jembe langu.
Bwana Yesu akutangulie Tundu tunamic uwepo wako Tanzania
Waliofanya ivi mungu awaone kwa kitu walichokifanya .akika damu yoko itanena kizazi adi kizazi .Mungu akutangulie utapona .Usiogope
Mungu akutangulie kiongozi wetu ufike salama na akuponye kabisa we love u lisu
Wakenya na Watanzania kwa jumla tuzidi kuungana na kupendana tusitenganishwe na viongozi. Mungu azidi kukupa nguvu mheshimiwa.
kwel Mungu akuponye
God is so great and faithful to you lissu. Keep moving bro. Much love
James Makomboli nikiangalia hivi roho inà niuma sana hasira sana hao waliofanya hayo nikiangalia wtoto mkewe basi Mungu anaona
Asante Mungu,asanteni Wakenya
May God gracea be upon you! Real God saved you for a purpose
bando papa lisu tunakuombeya .usife moyo mungu anatakuponya AMEN
Mungu mkubwa!
mungu akutangulie na akushindie
Mungu akutangulie baba
Mungu akutangulie
Aiseeeee kweli huyu ni kamanda nanukuuu ...bado vita inaendelea washeziii Hawa. ..
tundu lisu funikwa kwa damu ya yesu.
God bless you all KENYANS Doctors, Nurses and Security department and Special thanks to President UHURU KENYATA for what you did to honorable TUNDU LISU from the first day until now. GOD BLESS YOU
Joseph Damas GLORY BE TO THE NAME of the Lord
Viongozi kama lisu ni wachache sanaaa
Kweli kabisaaa
Dh... Mungu akusimamie upone araka huwendelee na Majukum yako
tundu lissu i love you
Haki machoz yamenitoka,may God be with u all the time. we do love u.
Walotaka kumuuwa nafsi zinawasuta jahannam ndio
Maakaazi yao.
Ipo siku huyu lisu atakuwa raisi wa Tanzania
Hakika tumuombea afya njema tu
Mungu ni mwema.
Lissu forever!
pole kamanda lisu safari njema mungu akutangulie
jamani Mungu si mwanadamu akisema ndio au hapana hakuna wakupinga
tunakupenda tundu lissu.natunazidi kukuombea mungu yupamoja nawe amen.
Mica Jerrmy nikiangalia machozi yantoka Mungu umtangulia ktk sfari kama ulivyomtetea SKU ile ya kutaka kumuua mtetee bwana yesu
utapona tu mungu yupo hatakuacha kamwe umepitia magumu sana pole sana kamanda
mungu akutangulie
mungu akutangulie kamanda mtetezi wa wanyonge
Wote waliohusika kutaka kumuua huyu ndugu kama hawatatubu, basi ghadhabu ya Bwana Mungu Jehovah iwe juu yao daima mpaka watakapotambua kuwa yupo Mungu muumba wa mbingu, nchi na vyote vilivyomo anayehukumu kila mtu kwa haki. Tundu Lissu hakustahili kutendewa hivi kwa sababu yoyote ile!
Praise the Lord Jesus Christ
mungu ni mwaminifu utapona na utarudi nyumbani
God is holding life of every being is name be exalted.Lissu will be walking alone
Mungu akusaidie lissu
Mungu mponyaji! Madaktari wanatibu!
Samweli Mwinyi imeandikwa wapi
Mama Jahstar-Si mtaalam sana wa kimaandko! Nkjuacho mie mwenye kuongeza siku & kuponya ni Mungu! ISAYA 38:1-5!
Samweli Mwinyi OK lakn hakuna palipo sema sisi tunatibu mungu ndo anaponya mpendwa ila mungu hasaidiwi hata SKU moja,amina barikiwa
Mama Jahstar-Asante Mamdogo wangu! Nmekuelewa!
mungu wetu tutamtukuza milele huta kufa bali utaishi
Our hero is healed now by the grace of Jesus christ
mungu akutangulie lisu
mungu akulinde lissu wetu
Mungu ni mwema sana kwako Lisu utapona nakuombea.
INASIKITISHA SANA WALIOIIBIA NCHI WAMEPUMZIKA ANAEPIGWA RISASI MWINGINE. IPO SIKU TU NAE ATAJUTA
Mungu akuponye Babaa
God be with u wherever u a
Duuuh mungu akutangulieeee
mungu yupo utapona
Ema Msangi Aaamiin Allahumma Aaamiin
Ema Msangi Amiin🙏💝
Yesu akutangulie
BWANA YESU akutangulieeee
Mungu akutangulie kaka nilikuja kukuona 13 times na kukuombea sana
Mmmh pole saana
God is more powerful
God is good.
Mungu nimwema kila wakati
Mungu akutangulie urudi salama
Asante mungu tunamuombea apone zaidi
HV hao ambao wanasema washamba wa video vp angekuwa alipigwa risasa mzazi wako he ungesema washamba wa video usifanye kitu. ambacho ww hupend kufanyiwa ila hukum hapa hapa najua wapo ambao hawapendi kuona lisu yupo hai lakin kumbuken kila nafis itaonja mauti
Pole sana kiongox wetu MUNGU akulimde sana
Mungu atakuponya baba
Mungu n akuponye wakenya twazidi kkuombea
Pambana mpaka tone la mwisho mungu yupo
utapona baba..kama kusudi LA kukuuwa lilishidikana basi kaa ukijua we bado kipenzi cha mungu