KIZAAZAA: Nyuki Wavamia Mahakama Kuu, Watu Wapoteza Fahamu!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • SUBSCRIBE NOW / uwazi1
    KIZAA ZAA: Nyuki Wavamia Mahakama Kuu, Wingine wazirai! Ni mkasa wa aina yake ambao umetokea katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Nairobi, nchini Kenya mapema leo. Ilikuwa ni patashika nguo kuchanika. Baadahi ya watu waliopatwa na kadhia hii, walizirai na kuumia kutokana na mtafaruku wa kukanyagana ulioibuka makamani hapo na kushuhudiwa na Global TV Kenya.
    subscribe kwenye chanel yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

КОМЕНТАРІ • 388