HECHE BUNGENI: "Mtaua Sana, Waambieni Watanzania Ukweli"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 чер 2018
  • HECHE BUNGENI: "Mtaua Sana, Waambieni Watanzania Ukweli"
    Mbunge wa Tarime (Chadema), John Heche, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:
    / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

КОМЕНТАРІ • 226

  • @khamisihussein8777
    @khamisihussein8777 6 років тому +8

    uko vizuri Heche nakuelewa sana watanzania wanahitaji watu kama wewe

  • @julianusnambert2237
    @julianusnambert2237 6 років тому +7

    yaani nataka kukunyanyua zaidi mungu akulinde

  • @gtmalanga6953
    @gtmalanga6953 3 роки тому +6

    well done,Mr heche u'll never never be forgotten

  • @yegokubebekamugurus8072
    @yegokubebekamugurus8072 6 років тому +32

    Mbunge wangu nakukubali sanaaa, piga kazi jembeeee

  • @transmadale
    @transmadale 6 років тому +12

    Hii Mashine huwa naielewa mbaya,BigUp Heche,

  • @ndagabwenemachunda313
    @ndagabwenemachunda313 6 років тому +11

    Hon.Heche big up!..Tel'em da truth

  • @elishamollel2131
    @elishamollel2131 6 років тому +15

    Nchi yetu bado tupo gizani wanaitajika wabunge kama hawa wanaoweza kutoa mwanga iweze kuwanganza hongera sana Mkuu tuko pamoja

  • @getaromagaiwa7918
    @getaromagaiwa7918 6 років тому +14

    Tarime hatuchagui mabwege!!!! Heche 2020 hakuna mpinzani kwako tata!!!!!!

  • @mapundamapunda2868
    @mapundamapunda2868 6 років тому +9

    safi sana kamanda heche hawa maccm tumewachoka na hadithi zao

  • @yusuphlusinde9832
    @yusuphlusinde9832 6 років тому +8

    Mh. Heche upo vizuri endeleza mapambano zidi ya ufisadii

  • @biggamihayombotte184
    @biggamihayombotte184 6 років тому +11

    Duuu, Yeke Muraaa Tisha sanaaaa...

  • @habilmselemu4610
    @habilmselemu4610 6 років тому +6

    Safi sana mh heche

  • @janetmtei5892
    @janetmtei5892 6 років тому +6

    Safi sana kiongozi wangu unaongeo point sana

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 років тому +2

    mb zikikata najaza tena mzee wangu endelea kuunguruma

  • @psterinishayo4270
    @psterinishayo4270 6 років тому +5

    Saf safi mh heche upo vizur mbunge

  • @prosperamlima86
    @prosperamlima86 6 років тому +4

    Upo sawa Kamanda

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 6 років тому +6

    Safi sana umeeleweka

  • @chikakamanu1452
    @chikakamanu1452 3 роки тому +1

    Saluti heche

  • @abuuaishaahmadtwaha7711
    @abuuaishaahmadtwaha7711 6 років тому +20

    Sijawahi jutia Mb zangu kwako kaka, I wish maneno yako yangewekwa km kumbukumbu ili kizazi kijacho kijue kuwa uliyasema hayo!

  • @davidlissu9099
    @davidlissu9099 6 років тому +4

    Bigup heche! Uko makin