Heche kuwa mkweli kuna siku moja umesema kuwa wewe uliacha ualimu kwasababu ya kumpiga mtoto alipokuja mkuu wa wilaya hiyo kesi ikaibuliwa uliposemeshwa ukachukua vifaa vysko ukaondoka
Huja tembea, changamoto za waalimu hata huku ulaya (UK) zipo. Huku ulaya UK mwalimu kujenge nyumba au kumiliki nyumba ni changamoto. Punguza kulalamika, kila ikisikika ama kuhojiwa nikulaumu ,kushutumu! Sasa wakati mwingine haueleweki una taka nini au chama chenu kina simamia nini!. Rushwa ulaya ipo tena sana tu.
Hili la walimu inasikitisha kwa kweli. Juzi juzi kwenye wilaya mojawapo mkoani Rukwa walimu walialikwa kwa semina ya siku mbili, wamelipwa dsa 40,000/=, i e. 20,000/= kwa siku 😮
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
J. Heche moja ya hazina tuliyonayo hapa Tz. Mungu akubariki sana kiongozi
Hongera sana Heche kwa viwango vyako vya elimu
Hazina yetu hy❤❤❤❤
WE'LL SAID MR JOHN HECHE
Ni kweli chama cha walimu Ina mifumo michafu sana imenyanganya serikali baadhi ya walimu na kuwaajiri upya matumizo mabaya ya fedha za walimu
Jitahid pamaban juu chini uje ugombee uwe laid nakukubali Sana Kaka una point sana kwa ss tunao jierewa
Heche kuwa mkweli kuna siku moja umesema kuwa wewe uliacha ualimu kwasababu ya kumpiga mtoto alipokuja mkuu wa wilaya hiyo kesi ikaibuliwa uliposemeshwa ukachukua vifaa vysko ukaondoka
❤❤
✌️👍👊.
Marehemu alikua mshamba sana. Funza waendelee kumtafuna
Ameingia SIASA ili alambe RUZUKU 😢😢😢😢😢
Useless
Huja tembea, changamoto za waalimu hata huku ulaya (UK) zipo. Huku ulaya UK mwalimu kujenge nyumba au kumiliki nyumba ni changamoto. Punguza kulalamika, kila ikisikika ama kuhojiwa nikulaumu ,kushutumu! Sasa wakati mwingine haueleweki una taka nini au chama chenu kina simamia nini!. Rushwa ulaya ipo tena sana tu.
Kwahiyo kwasababu umaskin upo ulaya tusikerwe na umaskini tanzania tujivunie umadkin wetu sio
Acha wewe utalinganisha na huku
Huku Ulaya UK, 😂😂😂😢 Daaah
Kalale wewe hujielewi,,,,unaishi kwa kukuriri, kwahiyo unamanisha kilicho ulaya lazima kiwepo na Tanzania?
🧠 🕳 🗑😒
Hili la walimu inasikitisha kwa kweli. Juzi juzi kwenye wilaya mojawapo mkoani Rukwa walimu walialikwa kwa semina ya siku mbili, wamelipwa dsa 40,000/=, i e. 20,000/= kwa siku 😮
Si kinatawala chama kimojja?
Na kusema ukweli siyo hasira na tunataka tume iwe huru mmetutesa vya kutosha
Mze baba endelea na msimamo huohuo uliowakweli,usikubali kdanganya napesa zisizo haki zikakutoa kwenyenjia yakweli.
Fact
Inaonyesha ulikuwa mkorofi shuleni
Kitu kinacho wafanya walimu wasiwrze kufanya Kwa uhuru, ni kutishiwa, na wenyewe kushindwa kujiamini.
Loli modo wangu
Uko saw kka
We fisiemu unayejifanya uko ulaya acha uongo ulaya hata house girl anatoboa sembuse mwalimu ATI asijenge we unaumwa mavi mkaharishe mbwa wee
Edb😢dgl
Kumbe nawewe nimzee wa selena
Huwezi taja top 3 Professions ukaacha Uhasibu
Hivi wewe hizi hasira zako wanafunzi walikuwa wanakuelewa kweli!!!
Hahahaha huyu angeua wanafunzi hasira nyingi kuliko tija!
Sio kwamba Hana hasira,ila ana hasira na ma ccm
Safi jibu zr@@issackmwakyami2740
Asichezee ajira za watu,kazi imemshinda anaingia mafichoni chadema kwa wasio na mielekeo wenzake hana lolote!!!
Waliruka fensi hahahaha
Inaonyesha ulikuwa mkorofi shuleni