“MIMI SITETEI MWIZI, UFISADI UMEFANYWA NA WATEULE WA RAIS”-JOHN HECHE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 85

  • @ymusic803
    @ymusic803 5 років тому +15

    serikali ingewasikilza hawa tukatoa uchama tungefka mbali sana

  • @thomasnyahende188
    @thomasnyahende188 5 років тому +4

    Well done hon Heche

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 5 років тому +4

    Well spoken big up Sanaa muheshimiwa

  • @patatipatata1857
    @patatipatata1857 5 років тому +14

    Salut joh wachane vilaza waelewe

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 5 років тому +2

    heche I love u sow sow much

  • @clevalupakisyo7460
    @clevalupakisyo7460 5 років тому +3

    "Hakuna mbunge hata mmoja ambaye anasomesha mtoto wake kwenye shule za msingi za serikali"

  • @ayoubbilal6688
    @ayoubbilal6688 5 років тому +5

    Wakiambiwaga ukwel utawasikia muda umeishaa 😀😀

  • @hemedwow8802
    @hemedwow8802 5 років тому +11

    Taarifa,taarifa,taarifa...ukiskia hivyo ujue ni mbunge wa ndiooo.ipo siku konki likwid atakua spika wa bunge😁

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 5 років тому

      Hemed wow 😁😁😁😁😁😁

    • @farajihassan5382
      @farajihassan5382 5 років тому

      Wewe muwongo. Ukisikia. Taarifa.taarifa. wengi. Wenye. Msemohuo. Bungeni. Ni jamazako. Na ukimsikia. mbunge. Wa ccm. Anasema. Taarifa. Kunajambo. Linapotoshwa. Na hao jamazako. Waganga njaaa. Ebu. Nikuulize. Toka. Umewachagua. Wakaenda. kule. Mjengoni. Nihoja zipi. za serikali. Walizo. Unga. Mkono. Kwa.%(100) kwahaya. Yanayo fanywa. Na serikali. Yanayoonekana. Yamaendeleo. Ujuwe. Haya yote.yanayo. fanywa. Na serikali. Ni msamuzi. Ya bunge. Lakini. Yakitekelezwa. Jamazako. Huwa. Wanayakataa. Nikupe. Mfano. Mmoja. Ununuzi. Wa ndege. Zilipigwa. Kelele. Awamu. mbili. Na. Hao hao nduguzako. Unaowaona wanajua. Kuongea. Sasa serikali. Ya ccm. Awamu ya (5) imesikia. Kiliyo. Chao. Ndege. Zimenunuliwa. Sasa. Angalia. Walivyo. Chomoa. Ulimi. Kuupeleka. Kwenye. Matundu. Ya. Pua zao. Na kulamba. Makamasi. Yao. Wenyewe. Wakabadirisha. Maneno. Ndege. Gani. Naninani. Aliye. Ruhusu. Zinunuliwe. Ndege. Bajeti. Imepitishwa. Nanani. Oo bajeti. Nyingi. Hupitishwa. Na wabunge. Wa ccm. Sasa. Watu. Wa pwani. Wana. Misemo. Yao. Wanasema hivi. Ukitembea. kutwa. Na uuza utuli. nawewe. Utanukia. Utuli. Chadema. wadangayeni. Hao. Mazuzuyenu. Wanao. Kuoneni. Mnakako. Jifunga. Plasta.mdomoni. mkanyamaza. Kuchangia. Miradi. Ya. Maendeleo. Kama. Vile. Miradi. Mikubwa. Ya ujenzi. Wa reli. Bwawa. La.umeme. ununuzi. Wa ndege. Upanuzi. Wa barabara. Njia. (8)Da . Chalinze. Barabara. Za juu. Elimu. Afya. Nakadhalika. Yote. Hayo. Hamhusiki. katika. Kupitisha. Bajeti zake. Sasa mnaendea nini. Kule. Mjengoni. Manaendea zile. Posho. Tuu. halafu. Mtu anasapoti. ujinga. Eti. Anasema. Ukisikia. Taarifa. Taarifa. mwenyekiti. Ni. Mbunge. Wa ccm. Ati. Anaona. Yanayo. Zungumzwa. Na mbunge. Wa chadema. Yana akili. Wewe. Angalia. Bunge. Bila ushabiki. Wa chama chako. Chadema. Utamuona. Mbunge. Wa ccm. Anaomba mwongozo. Au. Taarifa. Mwenyekiti. Anataka. Kuuzima. Upotoshaji. Wa hao jamazako. Uliye. Wachagua. Kwa kigezo.cha. ubishi. Siyo. Wakakuongelee. Matatizo. Ya jimboni. Kwako. Halafu. Unakomenti. Wanacho. Kifanya. Kizuri. Kwakuongea. Maneno. Ya mtaani. Kama vile. Poyoyo . Zwa zwa . Lugha. Gani. Ya kibunge. Ka sii. Lugha. Ya vijiweni. Sasa nilazima. Watu. Anaefanananae. wataona.mbunge. wetu. Anaiburuza. Serikali. Utawasikia. Mashabiki. Wake. Wachaa. Nasari. Anatisha. Wacha. Mdee. Anatisha. Wacha. Lema jembee. Wschaa. Mnyika. Kiboko. Wachaa. Msingwa. Kamanda. Wachaa. Lisu. Hashikiki. Alaa. Ukiwauliza. Wengine. Huko jimboni. Kwao. Huyo. Wanae. Msifia. Hata jimboni. Kwaoo. Hajakanyaga. Hata. maramoja. Na sasahivi. Wamejipatia. Mtaji. Wabunge. Wa upinzani. Magufuli. Kakataza. Mikutano. Na wanaichi. Wanawasapoti. Halafu. Hapo hapo. Wanalaumu. Mbona. Ccm wanafanya. Mikutano. Tatizo. La wapinzani. Hawaaminiki. Ukisikia. Tuna mukutano. Wa ndani. Hamji. Mmoja mmoja. Huingia. Kwa maandamano. Nisawa. Na mtu. Huku mjini. Unaingia.kwenye. choo. Cha kulipia. Una ambiwa. Bei. Za. Hudumazao. Kukojoa. Mkojo. Sh(300) kunya. Mavi. Sh.(400) na kuoga. Ni.sh(500) sasa . Unalipa. malipo. Ya kukojoa mkojo. Kumbe. Unakwenda kunya. Mavi. Huduma. Yenye. Malipo. Tofauti. Jee. Uposahihi. Mdiyo. Sawasawa. Na wapinzani. Wakiomba kibali. Kwa polisi. Tuna. Mkutano. Wetu wandani. Kafanyeni. Ohoo. Maandamano. Hayaooo. Sasa huwoni. Umevunja. Makubaliyano. Yenu. Na polisi. Sasa mkitawanywa. Ooserikali. Ya kidikiteta. Huwoni. Umemdanganya. Polisi. Nisawasawa. Na huduma. Unalipa. Sh. (300) kwahuduma. Ya. Kukojoa. Mkojo. Huwoni. Umevunja. Mkubaliano. Yunu?jee. Akikutoza. Pesa ya huduma. Uliyo itumia. Siyo rasmin. Kwa huduma. Uliyo. Ilipia. Umeonewa?. Lazima. Wapinzani. Muwe. Wakweli. Na kufuata. Taratibu. Tulizo. Jipangia. Hayo. Mapendekezo. Mengine. Hayana. Msingi. Nisawa. Na mfuga. Mbwa. Mbwa. Umnunulie. Kitanda. Godoro. Mitoo. Shuka. Kandambili. Akienda. Chooni. Avaee. Hayo. Ni mapendekezo. Yako. Yu. Ua msingi. Ni kutenda. Yale. Ya maelewano. Na sheria. Za polisi. Kwani. sheria. Zao. Zimo kwenye. Katiba. Sasa. Unadai. Maandamano. Ni haki yako. Lakini. Kuna sheria. Zake. Zimewekwa. Kikatiba. Sasa. Wakizitumia. Wale. Inao. Wahusu. Kipengele. Kile. Kwakuwa. Wanayo. Haki kukitumia. Kikatiba. Usifosi. Katiba inawalinda. Polisi. Kukataa. Au. Kukubali. Kisheria. Na kikatiba. Inawaruhusu. Nandiyo. Maana. Wakikataa. Hamuendi. Mahakamani. Mnajuwa. Wapo.sahihi. kikatiba. Mnabaki. Kuchanganisha. Raiya. Na polisi. Kutafuta. Kiki. Na huruma. Kwa wanainchi. Hakuna. Hiyo. Fuata. Katiba. Na sheria tulizo. Jiwekea.maoni yamgu. Haina haja. Ya kuni. Joki. Sieleweki. Sina hati. Mzuri. Ukisema. Hivyo. Najua. Umeusoma. Ujumbe. Wangu. Na umemielewa. Kamanda. Wangu. Wa chadema. Mapovu. Juu juu zaidi.

    • @theodorycharles6384
      @theodorycharles6384 4 роки тому +1

      @@farajihassan5382 wewe haujielewi na ccm yenu msiojielewa mnajifanya miungu watu hukumu yenu inakuja

  • @jacoblohay3021
    @jacoblohay3021 5 років тому +3

    Hecheeee oweeeeeeeeeee

  • @dr.sarahbusongo
    @dr.sarahbusongo 5 років тому +6

    Kwenye ajiraaa na afyaa hapo umeongeaaa....

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 5 років тому +4

    Malima hana ubora wa kuwa mkuu wa mkoa. Ukiona mtu anatembea na simu 4 za mononi halafu ukampa nafasi ya mkuu wa mkoa, mkoa huo ni balaa.

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 років тому

    Safi sana Heche. Ukisikia Taarifa nzi anataka kuchafua

    • @zuhurasebastian5883
      @zuhurasebastian5883 5 років тому

      kichapo kiendelee ila tuanze na ngazi za juu hela za kutoa ajira mpya zimeelekezewa wapi na hela ongezeko la mushahara liko wapi tuandamane wasomi

  • @meshackjanton941
    @meshackjanton941 5 років тому +9

    Taifa lnaitaji vichwa kama hiki

    • @theresiammanga4206
      @theresiammanga4206 5 років тому

      Ndio hawawataki sasa na wajinga kama mimi tunawaita wachochezi wametumwa na mapepari

  • @babalaotv612
    @babalaotv612 5 років тому +1

    Hii speaking nzuri sana

  • @teddclive1506
    @teddclive1506 Рік тому

    I love wabunge wa #Chadema kama Heche, Wenge, na Sugu sababu wana akili safi

  • @dicksonaloyce6924
    @dicksonaloyce6924 5 років тому +3

    Uko sahihi Halmashauri zinapata shina kwenye Maendeleo

  • @alfaniabassi7091
    @alfaniabassi7091 5 років тому +2

    Aisee upinzani una umuhimu sanaa

    • @majaliwamsigwa1570
      @majaliwamsigwa1570 5 років тому

      Alfani Abassi bila upinzani mambo haya yasinge julikana,ndo maana hata ufafanunuzi hamna

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 років тому +3

    YUPO SAHII,CCM WANAZINGUA.

  • @sylvestermjunijr8033
    @sylvestermjunijr8033 5 років тому

    MH HECHE M1 ni sawa na wahxhmiwa 150 wa FISIEM

  • @siwemaalphoncy2452
    @siwemaalphoncy2452 4 роки тому

    Salute heche

  • @sadatihassan9459
    @sadatihassan9459 5 років тому

    Nice speech

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 5 років тому +1

    Heche John Mura

  • @jesusfirst8464
    @jesusfirst8464 4 роки тому +1

    Ninge kuwa na contact yako ninge kuagizia surprise kubwa ijapo nipo maskini...

  • @aaronchillo8484
    @aaronchillo8484 5 років тому

    salute

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 5 років тому +1

    Kweli mbuge heche uko sahihi.

  • @origenlutego6222
    @origenlutego6222 5 років тому

    Hongera umetuwakilisha vyema

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 5 років тому

    Umewambia ukweli uko vizuri lakini usije ukapewa milioni zako tukasikia eti umerudi ccm

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 років тому

    Heche tunakupenda nchi nzima

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 5 років тому

    Hatari

  • @emmanuelkyando2125
    @emmanuelkyando2125 5 років тому

    Daaaaah!!!! kuhusu swala LA watoto Wa viongoz Wa serkali kutowapeleka watoto wao shule za serkali ni sahihi kabisa yaani
    wanahela wapawapeleka watoto wao huko wakafeli

  • @nyakusaimaonlinetv3224
    @nyakusaimaonlinetv3224 5 років тому

    Heche mie nakukubali sana maana unaongea ukweli Ila wengine nichama chama sisi huku tunakula hivyo vyama vyenu na makofi bungeni? Wambie wabunge wafanye kazi sio kusifiana tu humo bungen sisi huku tunaumia na michango mbalimbali tumechoka kudanganywa kila mwaka aisee sema ukweli heche ingawa msema kweli huchukiwa

  • @charlesrobertwanka6891
    @charlesrobertwanka6891 5 років тому +2

    Sipendi mpinzani ashike urais, lkn nitawachagua kwa kura yangu ktk ubunge na udiwani muwasukume hao viziwi

  • @kelvinjohnston6523
    @kelvinjohnston6523 Рік тому

    Unafaa kua raisii

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 4 роки тому

    Yaan heche huwa cjutii bando langu,, kwanza anajiamin sana pia yupo sirias na speech zake

  • @siwemaalphoncy2452
    @siwemaalphoncy2452 4 роки тому

    Namuona sugu nyuma ya heche

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 років тому

    Chadema inavichwa, siyo hayo mabogazi ts ccm, ndo maana wanatangazwa washindi kwa Kubebwa na wakurugenzi wa NEC na Polisi.

  • @chotamnyamwezi2459
    @chotamnyamwezi2459 5 років тому

    ungurumaaa Mze baba

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 5 років тому

    Hawa vichaa ni kweli hakuna mtoto wa kiongozi anaesoma shule za kata!!!!!!!

  • @patrickmlay3509
    @patrickmlay3509 5 років тому +1

    Chadema ina wabunge vichwa

  • @frederikamollel1405
    @frederikamollel1405 5 років тому +2

    Vichwa upinzani Ccm vilaza

  • @jenipherpaul8710
    @jenipherpaul8710 4 роки тому

    Mueshimiwa tunaibiwa

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 5 років тому

    WEWE NI MBUNGE MAKINI..

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 років тому +1

    Hivi heche mbona mnalaumu sana serikari eti hakuna anjira . Hivi nyie chadema mkichukua dora mtawapatia Wote waliomaliza vyuo kazi. ? Mbona mnapenda kudanganya watanzania. Hivi kweli mlivyonausogo wa madaraka mkichuchukua dora kweli mtakumbuka wasomi waliliomaliza vyuo vikuu kuwapatia kazi. Kama siyo kudanganya watanzania.

    • @hezronmagwesela9402
      @hezronmagwesela9402 5 років тому +1

    • @antarfereji2219
      @antarfereji2219 5 років тому

      Sikutegemea kuona mtu anafikiria hivi baada ya kumsikikiza maelezo ya huyo Mbunge.... 🤔🤔

    • @aliseifkarim1705
      @aliseifkarim1705 5 років тому

      Mhh mnyamwezi wa wapi ww nahisi ata kiswahili kwako shida

  • @jonijojoss9181
    @jonijojoss9181 5 років тому

    Mkufanikiwa kuuwa upinzan na maendeleo yatakuwa hoi

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 5 років тому

    Kila kitu kinakwenda sawa tehe tehe😅😆😆😈😉😉😐😯

  • @jumakapesa726
    @jumakapesa726 5 років тому

    Nimekuelewa

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 5 років тому +1

    Sibora wapewe walimu

  • @ruzukually9982
    @ruzukually9982 5 років тому

    viwanda kabra havijaaza vimesha kufa

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 5 років тому

    Konki Liquid

  • @straightshooter4460
    @straightshooter4460 5 років тому +2

    Yani huyu jamaaa ni mshamba sijapata kuona. Namshangaaa anavyoisema Serikali kutotoa fedha wakati anajua hali halisi ya Serikali za Nchi za Kimasikini Duniani zinavyojikongoja na matumizi ya fedha zake. Alitegemea kwa mpango huo basi Serikali iwe inatupa mahela yake huku na kule bila ya kuzingatia vipaumbele vyake na maendeleo mikakati

    • @josephkisaro1377
      @josephkisaro1377 5 років тому

      Kwa hio kujenga reli au kupeleka dawa hospital ni kipi kipaumbele kwa upande wako

    • @kakayangu3951
      @kakayangu3951 5 років тому

      Fedha anazosema ni za bajeti.. Unadhani bajeti inatungwa na nani? Upinzani? Sasa bunge ikipitisha bajeti iliyotungwa na serikali kwa nini serikali isifanye kile ilichopanga kufanya kwa bajeti?

    • @aishakusuwa5992
      @aishakusuwa5992 4 роки тому

      Nyumbani kwako unaweza kupanga kula nyama wakati huna hela

  • @straightshooter4460
    @straightshooter4460 5 років тому +1

    Kwani yeye kama mbunge anachangia nini katika jimbo lake pale anapoona kuna mapungufuu????? Mbona hao Wabunge wanalipwa Mamilioni ya fedha???

    • @aishakusuwa5992
      @aishakusuwa5992 4 роки тому

      Sio jukumu lake,wewe kama ni mwalimu unaweza kutoa mshahara wako ukarabati shule acha ujinga

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 5 років тому

    Sasa nyie wambunge mshaara milion 15 kwa mwezi mnafanya kazi gani

    • @janesuma2193
      @janesuma2193 5 років тому

      Afronline TV bora umeuliza mie hata sion wanacho Fanya kupewa pesa zote hizo

  • @massoudsalum2038
    @massoudsalum2038 5 років тому

    Ongea Heche

  • @rostamutz5689
    @rostamutz5689 5 років тому

    Nikwel

  • @helmanikomba576
    @helmanikomba576 5 років тому

    Mbowe mbona kafsnya ufisadi wa gari, nae kateuliwa na rais !!!!

    • @teddykassinde4608
      @teddykassinde4608 5 років тому

      Kwani pesa za serikali?

    • @mwambirekwamboka9525
      @mwambirekwamboka9525 5 років тому +1

      Try even onces to use ur cerebrum N talk about issues that are facing the nation at large don't be little life is too short

    • @helmanikomba576
      @helmanikomba576 5 років тому +1

      TEDI, sasa alizipata wapi,, ruzuku unampaga wewe!!

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 років тому

    Afadhali hata ccm wanajitaidi kadiri wawezavyo . Nadhani siku zinavyoenda ajira zitapatikana. Tatizo la chadema mnapotosha watanzania . Nyie tulieni ajira zitapatikana . Tatizo lenu mnakihelehere cha kupotosha watanzania . Ila wengi wanaelewa mambo yanayofanywa na chama cha mapinduzi . Watu wachache kama heche ndo haelewi kinachoedelea. . Mwacheni rais wetu mpendwa ajira very soon zitashuka Jumula jumula Kwa watanzania wote.