TAZAMA STENDI ZA MABASI TANO NZURI ZAIDI TANZANIA NA UNAMBIE IPI KALI ZAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 325

  • @henrydege378
    @henrydege378 2 роки тому +50

    Magufuli tutakukumbuka daima ungekuepo hivi vitu nakwetu tungevipata.mungu ailaze roho yako mahali pema namwanga wamilele ukuangaze amina.

  • @Thomas-g6z5r
    @Thomas-g6z5r 2 місяці тому +4

    Hii imeniliza sana nikimkumbuka Baba etu Rais wetu Rais wa wanyonge kipenzi cha wengi tutakukumbuka siku zote za maisha yetu (hakika kazi ya Mungu haina makosa Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina la Bwana lihimidiww

  • @MohamedMtunda
    @MohamedMtunda 2 місяці тому +3

    umesahau kuwa iyo magufuli stendi ya daa, kuwa ina hadi mskiti na kanisa juu ghorofani juu kabisa❤❤

  • @SeveriniKimweri
    @SeveriniKimweri 7 місяців тому +14

    Ila Mimi naona Mungu tumpe nafasi ila kama Kuna mkono wa mtu wa kishetani Na Mungu ampe adhabu inayo staili Haina kutubu mana ametuferisha Watanzania wengi AMINA.

  • @JaphaliShabani-u5j
    @JaphaliShabani-u5j 7 місяців тому +16

    Magufuli alifanya kazi nzuri sana 🙏😍🥰🥰😘😘

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 роки тому +8

    Makatili na wampambe wawo wamezulumu taifa la TZ na watz lakini Siku yakiama ambao inakaribia kila aliosika namauaji wa Hayati Magufuli atajitetea mbele yamungu yalale Salama hapo alipo jembe la watz amen

  • @LucasDeus-l8m
    @LucasDeus-l8m 5 місяців тому +3

    Mambo Mazuri ndani ya mda mfupi big up 💪 Tanzania 🇹🇿 fahari yetu

  • @AbdulrahmanMajidi
    @AbdulrahmanMajidi 7 місяців тому +6

    zote nnzuli sana mungu akulaze mahala pema mzee wetu joni pombe magufuli tutalukumbuka daima mzee wawanyonge

    • @a.m_--68
      @a.m_--68 Місяць тому

      Ndio Siri ya kupata kiongozi Bora, mtu anayefahamu matatizo

  • @SaidCannal
    @SaidCannal Рік тому +7

    Hakika hayati Rais Magufuli ameibadilisha sana nchi yetu , ameitendea haki Tanzania, wananchi tulio wengi tulimpenda sana Rais wetu Magufuli, hakika bado Tunalia sana , alimpenda Mungu, aliipenda nchi yake na alitupenda sana wananchi wake, nani kama Magufuli? Moyo unauma sana. Ndani ya miaka 5 tu ya uongozi wake maendeleo ya nchi ni kama miaka 20. Je angefika miaka 10 hakika tungefika mbali,

  • @pinchesmbuche4354
    @pinchesmbuche4354 7 місяців тому +8

    As a Kenyan this is the best in East and Central Africa.

  • @PauloDagharo-n6h
    @PauloDagharo-n6h 5 місяців тому +2

    Stend ya magufuli ni kali mnoo
    So daima tutamkumbuka na tutamuenzi pia na tumwombe mungu atupatie rais mchapa kazi kama magu mwaka 2025🎉

  • @josephattindi9333
    @josephattindi9333 7 місяців тому +7

    Mwenye ndoto alilala na ndoto yake pengine angekuwepo tungekaribia kufika Ile nchi aliyokuwa akiota sikuzote endelea kupumnzika kwa amani jembe 😢😢

  • @MARIAMYANGOLE-lu6xj
    @MARIAMYANGOLE-lu6xj 6 місяців тому +3

    Magufuli mungu akubariki baba angu huko uliko inaniuma sana nitakukumbuka daima mirere😢

  • @niyongabojonas4760
    @niyongabojonas4760 2 роки тому +4

    Mungu akutunukie vizuri DJP MAGUFURI

  • @BatweliMahenge
    @BatweliMahenge 4 місяці тому +1

    Utakumbukwa daima nasi kwawatanzania pekee Bali Afrika nadunia yote ,mungu akulaze Mahalia pema peponi

  • @DisimasAresi
    @DisimasAresi 6 місяців тому +5

    Magufuli alifanya mambo mazuri sana hakika 2takukumbuka daima

  • @HasaniShija-ye5xg
    @HasaniShija-ye5xg 2 дні тому

    Magufuri teminar imetisha sana ikovizuri nakubwa sana hongera kwa jpm mungu ambaliki huko aliko tutazidi kumkumbuka ,pia hongera kwaraisi samia kwakuyatimiza yote yalio acha namtangurii wake

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 5 місяців тому +1

    Waho stend nzuri sana xote dar ni kutokana ni jiji lazim iwe kubwa n yemye viwangu i like kwetu katavi mizengo pinda

  • @adimejuma6650
    @adimejuma6650 15 днів тому +1

    Magufuli terminal ❤ ipo on 💥

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому +15

    Ya dar na mwanza mashallah ❤🥰🥰🇴🇲👌

    • @HeryethAleck
      @HeryethAleck 7 місяців тому

      We si wa mwanza kama mm

    • @EmmanuelJohn-j1l
      @EmmanuelJohn-j1l 4 місяці тому

      ​@@HeryethAleckstand ya mwanza ni moto sana iko poa sanaa

  • @IsackyChars
    @IsackyChars 6 місяців тому +5

    Mungu akuangazie mwanga wa milele baba yetu

  • @SophiaSalumu-j5t
    @SophiaSalumu-j5t 6 місяців тому +3

    Mungu akulaze mahali pema baba yetu Kwan hatutapata raisi kama ww tena mpk Dunia insisha

  • @winniecharles8883
    @winniecharles8883 Рік тому +3

    Respect JPM pumzika kw amani baba

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 2 роки тому +10

    Magufili juu"ungelikuepo Tz ingekuwa ulaya" pumzika kwa Amani baba"sifa zikufikie huko uliko"

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 роки тому +4

    Daaah magufuli tutamkumbuka milele sie wananchi katutendea mengi mengi saana 🇹🇿

  • @HabibuJebela
    @HabibuJebela 3 місяці тому +1

    Magufuli ndioo kalizaidi💯💯👍

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 роки тому +17

    Magufuli hakika alifanya kazi!!

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 2 роки тому +6

    waooh kazi iendelee zote zuri mashallha

  • @JEMCITHOMASUO
    @JEMCITHOMASUO 5 місяців тому +3

    Mungu akupunguziee adhabu

  • @barrehotel-q5t
    @barrehotel-q5t 6 місяців тому +2

    Kwa kweli Jpm alifanya kazi kipindi cha uhai wake

  • @hajiyakara8301
    @hajiyakara8301 2 роки тому +19

    2mpoteza mtu mzima kabisa afrika nzima

  • @HanifaHamisi
    @HanifaHamisi 2 місяці тому +1

    Mungu akurehem kipenzi cha wengi

  • @neemahabibu-p3i
    @neemahabibu-p3i 5 місяців тому +3

    Ndio mungu akupunguzie adhabu

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 2 роки тому +8

    ukwel Mwanza imependelewa sana Ina stend mbili nzr balaa

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 роки тому +6

    Zote kalii Sana Sana ya dar lkn muonekano zote nzuri mnoo na nmependa Sanaa kuwpo Kama Moll kila stand inajitosheleza na kila kitu mtu akifika anawza kubook hotel akalala akanunua anaxhotaka apo apo yan iko powa😍😍the kila mwaka ilikua kinatoka kitu naimani In Sha Allah tutajenga vingi zaid kwa muda mchache na imara

    • @petromartini7349
      @petromartini7349 2 роки тому

      Kizuri kweli hakidumu ,,Sasa hv Hela imerudi ilikotoka ,,,ila hata mama anapambana sana tumpe mda ,,,maana walianzisha wote na yeye anamalizia ujenzi uliokuwa bado haukukamilika ,,tuna viongoz wazuri sema tunataka matokeo ya haraka sana

    • @mariamlucas9054
      @mariamlucas9054 2 роки тому

      @@petromartini7349 mjnga huyo

  • @daurdwambuto1877
    @daurdwambuto1877 2 роки тому +10

    Alikuwa raisi wa afrika mzee wetu magufuli lala salama tutakukumbuka kwa mengi uliyoyafanya

  • @SCRATCH-t6d
    @SCRATCH-t6d 2 місяці тому

    😂😂😂😂 Mungu ailaze roho ya baba yetu Magufuli mahali pema peponi na mwanga wa milele amwangazie apumzike kwa amani.

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 8 місяців тому +1

    Mungu awalaani woote wlohusika na kifo xha jembe letu" Tanzania yetu ingekuwa ulaya!"woote wafe kifo xga aibu

  • @FlorajonasHaule
    @FlorajonasHaule 6 місяців тому +1

    Magufuli terminal is the best one❤❤❤❤

  • @aloycehongoa6284
    @aloycehongoa6284 2 роки тому +9

    Kazi ya Mungu itukuke kwa mtumishi wake JPM.

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 2 роки тому +3

    Kwa kweli mungu ampe nguvu Mweshimiwa mama samia kazi ni kubwa miji lnapendeza.

    • @rehemaabdullah7606
      @rehemaabdullah7606 2 роки тому +2

      Mpuuz nn stend kajenga Bibi yenu hiyo? Au unataka cheo lkulu🙄🙄🙄kamalizia Kaz hiyo

    • @seraphinalameck1731
      @seraphinalameck1731 Рік тому +1

      @@rehemaabdullah7606 msamehe alikuwa amesinzia katoka usingizin na kucoment bila kuelewa anachocomment

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 4 місяці тому

      ​@@rehemaabdullah7606😂😂eti

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 2 роки тому +15

    1. Stend ya maguful mbezi 2.Nyamhongolo Mwanza 3.Dodoma stend 4.Nyegez stend Mwanza 5. Msamvu stend Morogoro 6.Stend ya katavi.

    • @aidancherehani9431
      @aidancherehani9431 2 роки тому +2

      Stendi ya Katavi haiifikii stendi ya Sumbawangai

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +2

      Zote kazi za JPM na vitu vizuri Tanzania ya mavi kunuka mtaviona nchi jirani bibi tozo hamna kitu hapo

    • @thomasbutingo17
      @thomasbutingo17 2 роки тому +2

      @@kabwelasutiviraka4765 Kwan alotoa Hela zake mfukon Hela zlikua za watanzania huo ulikua wajibu wake kama kikwete alivojenga shule za kata Nchi nzma xo usiwe na ushabiki na kiongozi Fulani viongozi wote walopita wamefany meng Mazur

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +1

      @@thomasbutingo17 hamna chochote fisadi Kikwete na zero brain huyu bibi tozo, JPM amefanya makubwa sana na kazi zake ziko kila sehemu hamuwezi kupoteza legacy yake! Yule mwanamapinduzi aligusa kila sehemu alijenga kila sehemu , ona uongozi wa ovyo wa muimba taarabu hamna chochote cha maana na hamna mradi wowote wa maana atakao uacha kama legacy yake

    • @thomasbutingo17
      @thomasbutingo17 2 роки тому

      @@kabwelasutiviraka4765 Swali je hzo pesa alitoa mfukon mwake? Huo ni wajibu kama Rais lazm afanye ivo

  • @AbdulYusuph-q1o
    @AbdulYusuph-q1o 3 місяці тому +1

    Mimi niko mpanda katavi kweri hii stendi ni bora zaidi sana.

  • @wilsonelijah
    @wilsonelijah Рік тому +6

    1.stand ya magufuli mbezi
    2.stand ya nane Dodoma
    3.stand ya nyegezi mwanza
    4.stand ya morogoro
    5.standi ya nyamhongoro then katavi inafata mwisho

  • @MariaUswege-g7h
    @MariaUswege-g7h 2 місяці тому +1

    Njombe🎉❤

  • @magambojuma5385
    @magambojuma5385 7 місяців тому

    Uhakika mzee magufur mungu amlaze mahali mema peponi

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 2 роки тому +8

    Huyu baba kweli tutamkumbukaa

  • @AdrianSamwepanga
    @AdrianSamwepanga 2 місяці тому +1

    Du ivi mama anashindwaje kuleta vitu kama ivii

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 2 роки тому +3

    1.mbezi 2.nyegezi mwanza 3.Nyamohongoro mwanza

    • @thomasbutingo17
      @thomasbutingo17 2 роки тому

      Hpn nyamhongolo ni nzr zaid ya nyegez mara mbili

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 2 роки тому

      @@thomasbutingo17 nyegezi ilikua bado haijaisha vizuri Ila niatari wewe!

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 2 роки тому +11

    JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM forever

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 2 роки тому +7

    Tutampata wp mtu kama huyu?
    RIP JPM😭😭😭

  • @NURUMASIMA
    @NURUMASIMA 6 місяців тому

    Stendi ya dodoma iko mwake❤

  • @FredsonHytham-dx4xk
    @FredsonHytham-dx4xk Рік тому

    The best President in Tanzania

  • @MabamboMabambo
    @MabamboMabambo 8 місяців тому

    Mungu Mkubwa amlinde sana magufuli nawazazi wangu wote

  • @georgedaudi4600
    @georgedaudi4600 2 роки тому +5

    1,mbezi maguful. 2,nyengez mwanza zinatish San

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 роки тому +9

    Miaka michache Mambo makubwa

  • @AmaniThomas-xk1be
    @AmaniThomas-xk1be Рік тому

    Ahsante 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @MayengaMagembe-c3t
    @MayengaMagembe-c3t 4 місяці тому

    ❤ you magufuri steand 🎉🎉🎉🎉

  • @MUSSMABULA
    @MUSSMABULA 5 місяців тому +3

    Magufuri atakumbukwa daima🎉

  • @flova7022
    @flova7022 2 роки тому +3

    Kweli si Kila pombe ni kileo..pombe zingine ni nguzo za nchi

  • @AraphatIdavas
    @AraphatIdavas 2 місяці тому

    Nikweli mwamba alipambana sana kuiboresha inch ila nizamu ya mama kutuonyesha na yeye kujenga stend kali zaid kilimanjaro. Arusha. Mbeya . Mtwara. Na kukamilisha stend ya tanga

  • @SabunNgalaba-oi6ml
    @SabunNgalaba-oi6ml 7 місяців тому +1

    Wewe urie Andra tarifa hii umetukumbusha mbali sana

  • @godfreyanthony4386
    @godfreyanthony4386 2 роки тому +1

    Magufuli Bus Terminal yakiume💚💚💚💚

  • @MustaphaShalo
    @MustaphaShalo 19 днів тому

    Pumzika salama magu umefanya mazur tutakukumbuka baba yetu

  • @martharenati1660
    @martharenati1660 2 роки тому +2

    Hakika tuendelee kumuenzi Baba Magufuli amefanya mengi Kama mwanadamu wengine hatuwezi

  • @shadymbuki87
    @shadymbuki87 2 роки тому +9

    JPM 🙏🏽

  • @rahmaSimba-gl9qc
    @rahmaSimba-gl9qc Рік тому

    1 magu
    2 Nyegezi
    3 nyamongolo
    4 msavu
    5 nane8

  • @jaydenbedas5729
    @jaydenbedas5729 2 роки тому +3

    Humu ndo alimokua anapeleka pesa magu pesa ulifanyabkazi na hatumdai chench

  • @peterkapel5332
    @peterkapel5332 8 місяців тому

    Kwanini Nyamhongolo na Nyegezi uziunganishe wakati ni Stendi mbili zinafakanya kazi tofauti

  • @kelvinzegega2242
    @kelvinzegega2242 2 роки тому +7

    Zote kali bt msamvu top tukiacha masiaara

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 Рік тому +2

    Mwanza wanabahati sana Terminal stand mbili zote zipo ndani ya Jiji

  • @lelemabuyagu1457
    @lelemabuyagu1457 2 роки тому +8

    Mwamba jpm

  • @WilliamManyelezi
    @WilliamManyelezi 8 місяців тому +4

    Sitendi ya dodoma ni ya pili ya kwanza ya mbezi

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 2 роки тому +3

    Zote nzuri

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 Місяць тому

    Rip mwamba ❤️❤️🇹🇿🇹🇿🤟

  • @FadhiliJohnFadhilijohnkiteo
    @FadhiliJohnFadhilijohnkiteo 5 місяців тому +1

    Magufuli baba kama mahala pema daimaa

  • @Maalim_Samatta
    @Maalim_Samatta 2 роки тому +12

    Magufuli bus terminal ni baba lao in Tz

  • @JosephNdyamkama
    @JosephNdyamkama 7 місяців тому

    daaah ama kwer bb wa afric

  • @lidyacharles1201
    @lidyacharles1201 2 роки тому +8

    Huyo ndio anko magu r I p

  • @jonasntikangishwa3791
    @jonasntikangishwa3791 Рік тому +1

    Respect JPM

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 8 місяців тому

    Magufuli Tanzania alikua ameiiinua haki ya mungu amulide apumuzike kwa amani

  • @Ntera-v7r
    @Ntera-v7r 2 місяці тому

    Hakika tutakukumbuka namba moja dar

  • @luganomwaipaja-bj6qz
    @luganomwaipaja-bj6qz Рік тому +2

    Maboresho ya mazingira tafadhali kwenye stendi tunaomba, kama vitalu vya maua na miti kama ilivyo kwenye viwanja vya ndege

  • @niyonkurusalim2186
    @niyonkurusalim2186 7 місяців тому

    Magufuri mungu ampe pepo kbsa

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 роки тому +4

    Sitamsahau mwamba

  • @agustinopaulo7981
    @agustinopaulo7981 Рік тому +2

    Ya kwanza stendi ya magufuli Terminal bus
    Ya pili Nyamhongolo Terminal bus mwanza hizo ndo stend kali kwangu

  • @RajatiRajati-p7g
    @RajatiRajati-p7g 5 місяців тому

    Mashaallah ya kwanza 1ni mbezi ya pili dodoma

  • @mbarukumakakala4895
    @mbarukumakakala4895 2 роки тому +5

    Jpm mbez namba moja msamvu namba mbil

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 2 роки тому +3

    magufuri ulifanya kazi kweri

  • @PauloMboje
    @PauloMboje 6 місяців тому

    Magufuli stendi ndo funga kazi siyo tanzania tu mpa nje ya nchi iko kwenye 10 bora mwanba magu alipambana kwa mengi sana

  • @paullukas5131
    @paullukas5131 Рік тому

    Aic nashindwa hata kuchagua zote kiwango juu bg up magufuli

  • @ShamiliMwangosi
    @ShamiliMwangosi 7 місяців тому

    Magufuli ndo no one aipingwi tz

  • @FredsonHytham-dx4xk
    @FredsonHytham-dx4xk Рік тому

    Moro Town 🔥🔥🔥🔥

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 2 роки тому

    Magufuli hatumsahau maishani katuachia kumbukumbu kubwssmnoo

  • @JoycePetro-c1r
    @JoycePetro-c1r 3 місяці тому

    Bado namkumbaka sana magufuli

  • @DimoshoCharles
    @DimoshoCharles 8 місяців тому

    Hakika mimi ndiye aliyenifanya nipige kura kwa mara ya kwanza magu bado tunakuenzi ilisema tutakukumbuka kweli yametimia

  • @IbrahimOmar-t3r
    @IbrahimOmar-t3r 4 місяці тому

    M mung akupe kauli dhabity kipenz chety magufur

  • @MussaMhwela
    @MussaMhwela Місяць тому

    kulikua na mpango wa kujenga stend ya pili dodoma ya bilioni 200piga picha ingekua ya namna gani

  • @Dimentious-bj3yh
    @Dimentious-bj3yh 8 місяців тому

    Dah mzee halpambana

  • @estherjackson6038
    @estherjackson6038 2 роки тому +7

    Hata ya SINGIDA mkeka wa hatariii!