Miaka mitatu ya serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 бер 2024
  • Mafanikio ya miaka mitatu ya serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye maeneo mbali mbali katika Mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania.

КОМЕНТАРІ • 20

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 3 місяці тому

    Kazi iendelee

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 2 місяці тому

    Yaani kwa dakika zako 9 umemtaja Rais 21 times . This how our offices are full of Bumundas

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 3 місяці тому

    Wanepanda ndege hogera zao sisi hata baskeli hatujui kuendasha wananch wa nalia tu na maisha magumu

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 3 місяці тому +1

    Hongera mama mitano tena

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 місяці тому +1

    Kwa nini mnawaadhibu watu wa Mwanza? Runway ndefu lakini hakuna passenger apron ya kimataifa wakati ni uwanja wa muhimu sana katika kanda ya ziwa ukiunganisha nchi zote zilizoko kwenye kanda hii! Only three hours away tayari uko Serengeti, this is so sad!

  • @abdullahmanalex2306
    @abdullahmanalex2306 3 місяці тому +1

    Aisee mnajitahdi sana kumpamba

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 3 місяці тому

      Ndiyo ukweli wenyewe. Yasiposemwa wananchi tunalishwa pumba za uongo

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 3 місяці тому

      Nikweli wanajitahid ila serikalin kuna vilaza wengi wanatumaliza huduma zao siyo nzuri wamekuwa mabwana siyo watumishi wanalazimisha rushwa kwa kuchelewesha huduma kwa wananchi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 місяці тому +1

    Mbona mnajitoa akili kiwanja cha kigoma ni muhimu Sanaa kuna utalii na biashara nk ila mnaanaglia tofauti kama vile hamna taaluma

  • @justinmwamloso7559
    @justinmwamloso7559 3 місяці тому

    Hebu tuwe wawazi ndani ya miaka mitatu hizo ndege zimenunuliwa kwani ziliagizwa lini?????

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 3 місяці тому +1

    Kwa Uwanja wa ndege Mwanza mmechelewa mno,mbona tuone tumedanganywa muda mrefu bw Mbura, uwanja huu unazidiwa na viwanja vingi vidogo kwa sasa. This is a strategic airport.

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 3 місяці тому +1

      I totally agree with you. one of the busiest airport after JKNIA and KIA, Mwanza is the third busiest airport with a lot of passengers. Ama ndiyo kulipa visasi kwa watu wa ziwa Victoria! Uchaguzi unakaribia shauri yenu!

    • @yusuphwaitara8340
      @yusuphwaitara8340 3 місяці тому

      Mwanza Airport paapsanger terminal architecture alidesign vibaya sana wanabidii wabomoe warekebishe

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 3 місяці тому

    Mbona mazuri tu? Vipi viwango vya njaa, vimepanda au vimepungua? Of course, mabilionea wameongezeka.

  • @bizzy_boy_official
    @bizzy_boy_official 3 місяці тому

    Vipi kuhusu uwanja wa kia

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester 3 місяці тому

    Aisee sijawahi kuona uongozi mbovu kama huu wa samamia ,amekopa matrilion ya pesa ila sijaona mradi hata mmoja alioweza kuuanza kuendeleza, ila mwenda zake hakukukopa ila nchi ilijengwa kwa kasi isio ya kawaida mjomba amka uone mama anavyoidhalilisha taifa😢