MIAKA MITATU YA KONDAKTA NICE, ANUNUA GARI YA MILIONI 17, "NIMEHAMIA SGR"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 473

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 3 дні тому +149

    Inawezekana jamani, amepata umaarufu na deals nyingi za kutangaza biashara za watu. Hayo mengine tumuachie mwenyewe. Pisi kali kama huyu wangekua wanabadili madanga tu na sehemu za starehe lkn kaamua kuwa konda na kutafuta hela yake bila kujali uzuri alionao. MNYONGE MNYONGENI LKN HAKI YAKE MPENI. Big up Nice

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 дні тому +8

      @@hildajoel5 Dada yangu HILDA,ni kweli tumuachie tu mwenyewe,huo ukondakta ni kivuli tu cha kujifichia dadangu,ila umeshamalizia vizuri,tumuachie mwenyewe,na Mimi Kwa heshima yako,acha nisiendelee.🙏🙏

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 дні тому +7

      @@hildajoel5 hapo wadada wote watataka wawe makondakta ili na wao wapate 17m,wakidhani ni UKWELI,dunia hii, mtihani Kwa kweli😭😂😂😂

    • @pasiensiabel7278
      @pasiensiabel7278 3 дні тому +8

      ​@@israelkisaila8401 yaani gari la milioni 17 tu ndo unashangaa? Hv unajua tangazo moja analipwa shngap kwa siku au wiki?

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 дні тому

      @@pasiensiabel7278 wewe M 17 najuwa ni pesa ndogo sana,hata mwenyewe nimewahi kuwanazo zaidi ya hizo,Kwa level yake huyo,hakuna wakumpa pesa nyingi kwenye tangazo lake,bado Hana influence kubwa kiivyo,watu wanaolipwa mamilioni kwenye matangazo ni kina wema,diamond,hamisa NK,si huyo kondakta.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 дні тому +3

      Kwa matangazo hiyo ni hela ndogo sana. Watu wanalipwa hadi milion mia mbili kwa tangazo moja

  • @hezronmagessa
    @hezronmagessa День тому +21

    Kuna watu hapa wanahisi wivu mkali balaa usiokuwa na sababu. Mwenzako akifanikiwa ni wakati wa kujifunza mazuri yaliyomfikisha pale na kama kuna madhaifu, uyaseme kwa namna chanya ukilenga kusaidia mtu huyo. Chapa kazi, Sali Sana, wasaidie wazazi. Siyo lazima upate zawadi na Mali alizopata mwanadada huyu lakini Mungu atakupatia kinachokufaa. Subira na uaminifu ni ngao za maendeleo mahali popote.

  • @joycealex8652
    @joycealex8652 23 години тому +3

    Ukiona mtu anafanikiwa mshukru Mungu kwaajili yake mtie moyo ndipo na wewe Mungu atakubariki kupitia yeye, Hongera sana mwanangu ukawe mfano kwa wengine wanaochagua na kubeza kazi za watu piga kazi mwanangu umeubariki moyo wangu much love toto nzr❤

  • @happysanka
    @happysanka 3 дні тому +30

    Uko vzr dear usiwasikilize songa mbele dada mzuriiiii😍

  • @righitkileo
    @righitkileo 3 дні тому +55

    ❤❤Jaman tuacheni wivu sio poa kwani matusi.ya nn? Mtoto wa watu bidii zake zinakukera nm?? Wivu bana hata akihonqwa wewe inakuuma nn?keep it up mamy.

  • @ShabaniKigalu
    @ShabaniKigalu 3 дні тому +13

    Kumb kitot cha 2000 waooh hongela lakin piya hongela kwa bidii na kuwa na malengo saf ❤

  • @TheresiaAndrea-hv9dg
    @TheresiaAndrea-hv9dg 3 дні тому +8

    Nimekupenda mtoto we ubajieliwa. Pambana utafika mbali. God bless you

  • @christinelokaji664
    @christinelokaji664 3 дні тому +33

    Songa mbele Binti. Miaka 2 ijayo nunua gari linguine 20mil, wakukasirika wakasirike na wakukutukana wakutukane, lakini mwisho wa siku, utachomoka unawaacha wakishangaa shangaa na maneno na matusi yao. Piga kazi usisikilize vya kukurudisha nyuma, bali sikiliza vya kukupeleka mbele zaidi. Pambanaaaa.....

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 3 дні тому +25

    Boss ali mpumzisha Mwenye nyota ya kampuni yake. Adhabu zinatufanya tuwe bora zaidi

  • @user-qi4hn8lq1f
    @user-qi4hn8lq1f 3 дні тому +10

    MashaaAllah Mungu akulinde zaidi bint nzuri❤❤

  • @zenobiagenuine537
    @zenobiagenuine537 2 дні тому +4

    Hongera sana mtoto mzuri,Mwenyezi Mungu azibariki juhudi zako,usisikilize maneno ya watu,hao hawana kazi weee fanya kazi zako hiyo Ni nature ya wabongo wasikusumbue hataa

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 3 дні тому +13

    Nakupenda sana nance unajituma sana MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 3 дні тому +30

    Hongera Nancy, fanya ununue kiwanja Arusha, hili ni jiji la kitalii, unaweza kuwekeza, Mungu amekuinua,usiache kutoa sadaka na kusaidia wahitaji.

    • @VanShayokviewshoursago
      @VanShayokviewshoursago 3 дні тому

      Anakiwanja kwao moshi jiji lakitalii pia😊

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 2 дні тому

      ​@@VanShayokviewshoursagoMoshi sio mkoa hata sembuse kuwa Jiji
      Mbulula mkubwa wewe!

    • @VanShayokviewshoursago
      @VanShayokviewshoursago 2 дні тому

      @@Ndu-wa.uroony2 sasa kwn mimi nimesema kajeng mkoani moshi???

    • @VanShayokviewshoursago
      @VanShayokviewshoursago 2 дні тому

      @@Ndu-wa.uroony2 Unajua hata tofauti ya jiji na mkoa kweli mbulula mwenzangu??

  • @samsonelishajr9474
    @samsonelishajr9474 День тому +1

    Mungu anambariki mtu katika kila kazi, si lazima iwe kazi kubwa sana.
    Mungu aendelee kukusimamia Nancy

  • @user-vl1ts1eh8s
    @user-vl1ts1eh8s 3 дні тому +8

    Nice hongera sana my dear unajuwa kupambania sana❤❤❤❤

  • @Dejacofx6
    @Dejacofx6 2 дні тому +3

    Congratulation nice Moshi unajuhudi Sana hata kipindi ulikuwa shuleni tulikuwa wote advance ulikuwa na juhudi Sana endelea hivyo hivyo waache hao wanao kubeza hata hawakujui by professor Jacob nyakahura

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 дні тому +5

    Hongera sna bint yangu umepambana sana zaid ya sana miaka 2 kwa mafanikio hayo aise umewafundisha bint mwenzako waache kudanga

  • @abdulmango2461
    @abdulmango2461 3 дні тому +13

    Safi sana kwa kupenda kazi yako hakika ukipenda kazi kutoka moyoni lazima ufanikiwe 👏👏👏

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 3 дні тому +3

    Hongera Sana Nice nawaombea wanangu wafanikiwe wakiwa na umri mdogo🙏🙏🙏

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 3 дні тому +6

    Hongera sna mwanangu nice

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 дні тому +1

    MashaAllah 🎉🎉🎉🎉dunia imebadilika,unatoboa popote,ni kujutuma tu na kufanya ur best,pesa unapata popote. Kujituma,fanya kazi kama ya kwako kwa moyo.
    Do your best,and God will do the rest .

  • @RosemaryLema-qp2df
    @RosemaryLema-qp2df 3 дні тому +14

    Mnaosema amedanga jmn mbona maelezo yanatosha kapata kampuni na kafanya matangazo na support kwa mamaake

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 3 дні тому +2

      Mbona wadangaji wengi wapo mitaani na hawatoboi? Watu acheni roho mbaya mwombeni asonge mbele.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 дні тому

      ​@@dicksonkilupa2258Wanadhani wadangaji wana hela sana. Hv kuna watu wenye njaa kama wadangaji kweli

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 3 дні тому +7

    Kwa malengo kila kitu kinawezekana
    Hongera binti

  • @denismushi614
    @denismushi614 3 дні тому +7

    Nakupenda bure mchaga wangu uko vzr sana mpambanaji.mchaga hashindwi na kazi

  • @Husseinsaidmbinga83
    @Husseinsaidmbinga83 3 дні тому +5

    wanawake wafupi mmeweza naombeni like zetu mnaakili sana sio nice pekeake

  • @EuphrasiaNtawatawa
    @EuphrasiaNtawatawa 3 дні тому +4

    Uko vizuri sana my daughter usikate tamaa, nungefurahi pia ungetumia ile kanuni ya *PUSH* --Prray Untill Something Happen- tutafanya vizuri zaidi

  • @samirsamson3996
    @samirsamson3996 3 дні тому +1

    Strength woman keep it up my dear i know there are a lot of snitches arround you so live your life let them live their life let them go
    God protect you Nancy

  • @AthumanSisi
    @AthumanSisi 3 дні тому +3

    ongera Sana mungu akulinde uwe tu na Imani ya mungu❤❤ 13:05 13:05

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 3 дні тому +6

    Ongeza gari nyingine, nunua viwanja jenga mahoteli mdogo wangu, yanawezekana

  • @AwinaNassoro
    @AwinaNassoro 3 дні тому +10

    Shida ya watanzania waliowengi hawawezi kufurahia au kuunga juhudi za mtu anaeonyesha maendeleo wengi ni roho za korosbo badilikeni
    Huyo dada awe ni mfano au mtu wa kuigwa kwa wadada na wakaka wanaokaa bila kujishughulisha
    igeni mazuri ndio siri ya maendeleo

    • @Gratefulheart3188
      @Gratefulheart3188 3 дні тому

      Kabisa Awina,

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 3 дні тому +1

      Kweli, hata ukivaa kiatu cha mchina wanauliza shhiii, amepata wapi, si bure kaiba hela mahali

    • @salumualoyce5620
      @salumualoyce5620 2 дні тому

      Nimekubali kaka mkubwa umeongea fact 😂😂😂😂

  • @VeronicaMduba
    @VeronicaMduba 16 годин тому

    Hongera sana kazi nzuri

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 3 дні тому

    Hongera Sana Nancy mungu Akutie nguvu uzonge said ya hapo uwe muvano kwa wadada wengine wajue kumbe inawezekana zio wanaume Tu ❤

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 3 дні тому +8

    Huyu Binti ni mchapakazi sana

  • @CatsonMwanda
    @CatsonMwanda 2 дні тому

    hongera sana kwa kujitambua maana makondakta wengi wanajizarau

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians 3 дні тому +2

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi 3 дні тому +1

    Beautiful!!
    Congratulations, keep it up 🎉

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 3 дні тому +1

    Bismillah mashalah kanajituma kazuri❤❤ufup ni wake.kaumbwa hajajiumba

  • @RahmaKasimba
    @RahmaKasimba 2 дні тому

    Hongera mdogo wangu, ucjal maneno ya watu kwan mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe zaid mtangulize Mwenyenzi Mungu kwa kila hatua

  • @Antonijoku
    @Antonijoku 3 години тому

    Honger dada kwa juhudi zko

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 3 дні тому +1

    Mungu akuzidishie zaidi na zaid nausi mwache mungu jishushe eshima iwe ngao yako utiifu uwe fimbo yako pia mungu akulinde mpnz

    • @MamaGennady
      @MamaGennady 3 дні тому

      Hongera sana mchaga mwenzangu mungu azidi kukupambnia

  • @rehemamajaliwa
    @rehemamajaliwa День тому

    Hongera sana mdogo angu😘😘😘😘

  • @zakayomawalla1085
    @zakayomawalla1085 3 дні тому

    You can excel in anything! She is very bright!

  • @Gersah
    @Gersah 3 дні тому +1

    Congratulations mummy you deserve 🎉

  • @OsOs-l7c
    @OsOs-l7c 22 години тому

    Congratulations nice sister from another mother

  • @zawadikajuna3522
    @zawadikajuna3522 55 хвилин тому

    Hongela dada nmekupenda

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 3 дні тому +6

    Mitandao inaela sana mimi naamini

  • @user-fd1kv7zm4s
    @user-fd1kv7zm4s 21 годину тому +1

    Muongo kwa mshahara gn wa kununua gr miaka mitatu kwa kz ya ukondacta uwo mshahara ci unamalizia kweny faction yk tu

  • @DijaCute
    @DijaCute День тому

    Hongera sana dada😘😍🥰❤️

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 3 дні тому

    Hongera sana Nice you Deed it.
    BRAVO 💪🔥💪

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 18 годин тому

    Siangejenga kwanza mrembo wangu ❤❤❤

  • @GloriousMshingwe
    @GloriousMshingwe 2 дні тому

    Nakupenda sn ww mdada ❤❤❤

  • @vero57
    @vero57 3 дні тому

    HONGERA SANA DADA, KAZI NI KAZI MRADI PESA INAINGIA SAFI SANA DADA 👍💐👌👏🌺😘🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mtangag774
    @mtangag774 3 дні тому +19

    Sema anajituma lakn jaman

  • @MerryLeonard-l1f
    @MerryLeonard-l1f 2 години тому

    Mungu aibarik kaz yako, mm pia natamn kweli kaz kama hiyo lakn nakosa nafasi,na tunatapeliwa sana

  • @SelinaWilson-b5y
    @SelinaWilson-b5y 3 дні тому +1

    Pambana dogo na Mwenyezi Mungu akufungulie milango zaidi

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 3 дні тому +5

    Binadam bwana wamekaza mafuvu oo anadanga sasa mtu anapata madili ya matangazo na kaz yake na unakuta familia haina njaa kama wengine kwann asipate pesa ya kununua gari acheni wivu sifien vizuri vya wenzenu

    • @user-em9zw4sd3c
      @user-em9zw4sd3c 3 дні тому

      Umeongea point watu wanafikra zakimaskini sana ndokinacho wasumbua wamekazana anadanga embu wakadange nawao watuletee ata bajaji tuone😒

    • @salumualoyce5620
      @salumualoyce5620 2 дні тому

      "Wamekaza mafuvu" 😂😂😂

    • @salumualoyce5620
      @salumualoyce5620 2 дні тому

      ​@@user-em9zw4sd3c😂😂😂😂

  • @dorisnzogolo1476
    @dorisnzogolo1476 2 дні тому +1

    Wow❤❤❤🎉

  • @anastaziamehadi9143
    @anastaziamehadi9143 3 дні тому

    Very good. Keep going to attain your goals

  • @leonardladislaus7383
    @leonardladislaus7383 13 годин тому

    Hongera sana mdongo wangu

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 3 дні тому

    Hongera sana mdogo wangu uko vzr

  • @user-jn6ec7qv5p
    @user-jn6ec7qv5p 3 дні тому

    Congrats bebe ❤

  • @neemastanley3539
    @neemastanley3539 3 дні тому

    Keep chasing the bag Bby girl

  • @user-jn6ec7qv5p
    @user-jn6ec7qv5p 3 дні тому

    Congrats once again love

  • @Jumanneharuna154
    @Jumanneharuna154 14 годин тому

    Inapendeza❤ sana

  • @Faya884
    @Faya884 День тому

    Ooh good🎉

  • @DeborsJoseph
    @DeborsJoseph Годину тому

    Safi sana Mungu akulinde

  • @MosesMukeka
    @MosesMukeka День тому

    Hongera sana binti

  • @CharityMkaugala
    @CharityMkaugala 2 дні тому

    Hongera mdogo WANGU. Wee songa mbele tuu fuata neno la MUNGU usikate tamaa..

  • @AngelAlphonce
    @AngelAlphonce 2 дні тому

    Jaman gari kanunua mwenyewe kwa kuwekeza kidogo kidogo mil 17 aliuziwa ni IST jmn kwa wale motors muende mkanunue pia

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 3 дні тому

    Hongera sn Binti❤

  • @YusterLeonard
    @YusterLeonard 3 дні тому

    Good I love you unapambana by madam yuster.

  • @MsukumaBodaboda
    @MsukumaBodaboda 3 дні тому

    Mpe salamu nyingi mr.MWANYA

  • @Sixberitharenatus
    @Sixberitharenatus День тому

    Hongera sana

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 3 дні тому

    Wewe ni Tajiri wa Afrika,, piga kazi MTT 🎉❤🎉🎉

  • @happyiskaka
    @happyiskaka 3 дні тому

    Hongera sana kwa upambanaji mdgwangu

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 3 дні тому +2

    Good dada achana na shombo za wabongo wengi wao wanamaisha ya kizamani wanapenda maisha ya tufe wote

  • @ireneKiposa
    @ireneKiposa 3 дні тому

    Kumbe mdgo tu hongera💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 3 дні тому

    Hongera mdogo wangu 🤝❤️

  • @SalimuMohamed-w9h
    @SalimuMohamed-w9h 2 дні тому

    Haya manbo yanasiri miaka mitatu milioni 17 uko vzr.

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 3 дні тому +1

    Tunaozijua sauti za hivo tujuane, yaani ni lazima anunue gari tu. Maelezo hayana uhalisia😅😅

  • @mariamumusa4116
    @mariamumusa4116 14 годин тому

    Ivi kumbe ukifanikiwa ni lazima ujitangaze mi naona nikutafuta husda na nikaushamba flan maana huelewa uko tofaut tofaut

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 3 дні тому

    Hongera binti ❤

  • @user-wx9or8rw4n
    @user-wx9or8rw4n 3 дні тому +2

    Nice fanya ujenge nyumba,maisha ndo haya haya.

  • @floramassawe8930
    @floramassawe8930 3 дні тому

    Kwel boss wa tilisho ni mstaharabu sana

  • @SylviaAthuman
    @SylviaAthuman 2 дні тому

    Hongera nance

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 3 дні тому

    Hongera sana nice

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 дні тому

    Hongela mdogowangu kwabidi

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali День тому

    Tabaraka ❤❤❤

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o 2 дні тому

    Honger dadaa

  • @UpendoMasawe-j1n
    @UpendoMasawe-j1n 3 дні тому

    Waoooo amazing 😍

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 3 дні тому

    Nancy, nimekukubali mwanangu! endelea hivyo.

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 3 дні тому

    ❤mungu akutnze mtoto was kichaga

  • @HonestaAloyce
    @HonestaAloyce 3 дні тому

    Hongera,Mdogo,wangu,wakua,ishuwezavo

  • @Daniella249
    @Daniella249 3 дні тому +3

    Watu mkiacha wivu mtagundua huyu dada anajituma na anajuhudika jamani 😅

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 3 дні тому

    Hyo miaka kila cku mnatwambia v2 tofauti😂😂anyway hayanihusu😅😅

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 3 дні тому +2

    Mmekosa cha kupost

  • @JacksonKaria
    @JacksonKaria 23 години тому

    Mi mchanga ban wao nimeipenda iyo kabila gani linguine linaweza kujitambulisha kama hii

  • @NaftaryMgoye
    @NaftaryMgoye 3 дні тому

    Hii nisifute... Hongera

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 3 дні тому

    Pambana kipenzi vaa vizuri sanaaaa achana na walimwengu

  • @CrementinaObwago
    @CrementinaObwago 3 дні тому

    malayatu uyo