RIYAMA ALLY atupa dongo KWA DIDA MASHAMSHAM wajipange CROWN tumekuja kufunika wote..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • East African number one UA-cam channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
    KANUNI NA MUONGOZO
    Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
    NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
    WeAreEverywhere
    #entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 42

  • @jemimahmwa8849
    @jemimahmwa8849 9 днів тому +11

    Tunakupenda Sana ryhama unastahili Sana hicho kiti

  • @millycentgati2541
    @millycentgati2541 2 дні тому +1

    Hello da riama nakupenda Sana na ninaomba nafasi ya kufanya kazi na wewe natamani Sana kwani kila napoenda kila mtu anasema Mie ni mdogo wako tunafanana sana

  • @asmaaamiri8318
    @asmaaamiri8318 4 дні тому +4

    Da riama naomba tufanye kz pmj mm ni pacha wk kuanzia sura mpk sauti

  • @pharleserasto3114
    @pharleserasto3114 3 дні тому +1

    Ahaa Riyama kwa michambo na mipasho mmhh kaz ipooo crown mambo ni motoooo

  • @walizanasiri4963
    @walizanasiri4963 2 дні тому +1

    Akuna wa kumpita dida❤❤❤😂😂

  • @vero57
    @vero57 6 днів тому +3

    Sasa mbona unashika tumboo!!😮

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u 9 днів тому +3

    ❤❤❤ sana rihama

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 7 днів тому +3

    Hilo koti ungeweka kifungo kimoja naona unapata shida kulishikia

  • @JustinahJuma
    @JustinahJuma 5 днів тому +1

    Jamani naombeni frequency ya shinyanga

  • @annavictor-vc9zn
    @annavictor-vc9zn 8 днів тому +2

    Crown inapatikana kwenye redio tu au

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 4 дні тому +1

    safi sana dada🥰🥰🥰🥰

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 9 днів тому +2

    Odo kama odo❤🎉

  • @user-zz1sj6sp8z
    @user-zz1sj6sp8z 9 днів тому +5

    Mnyenyekevu.huna.baya.sio
    Mtu.wasifa.hongera

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 7 днів тому +1

    Nakupenda miaka 1000

  • @user-ok5cv2ux2z
    @user-ok5cv2ux2z 10 днів тому +2

    Wapenda chokochoko apo imekulakwao, riama aly

  • @SaidHamid-yc9ub
    @SaidHamid-yc9ub 7 днів тому +1

    🌹❤️🌹❤️

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq 5 днів тому +2

    Riama bwaaana

  • @user-gp5wf2jd6p
    @user-gp5wf2jd6p 5 днів тому +1

    🎉

  • @user-ty1tp8ly8q
    @user-ty1tp8ly8q 9 днів тому +2

    Ujawai Kuniangusha riama

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 10 днів тому +1

    Jmn apooo kawezaaa kidg

  • @asmaaamiri8318
    @asmaaamiri8318 4 дні тому +2

    King kiba hebu nipigie cm bc nije nifanye kz kwenye chombo chako uwezo ninao uthubutu ninao natamani kufanya kz na pacha wng dd ang riyama ally

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 дні тому +1

      akupigie ukiwa kama nani?sio wewe ndo upige simu kwa boss? watz bwana🚮

    • @pharleserasto3114
      @pharleserasto3114 3 дні тому +1

      @@asmaaamiri8318 mamboo

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 3 дні тому +1

    Hiyonguo haikupi koftabo

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 6 днів тому +1

    Mh😊

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz 3 дні тому

    Amepungua sana

  • @user-zd2gb6jx4j
    @user-zd2gb6jx4j 9 днів тому +4

    Usimlaum simavaz yake.

  • @carolynerclaudy4998
    @carolynerclaudy4998 10 днів тому +2

    Naona km wanachelewa kuanza kipindi

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 9 днів тому +1

      Yaaani me nataka waanze Xaizi😂😂😂😂😂😂😂

  • @hanankhamis4517
    @hanankhamis4517 9 днів тому +1

    We vp kwani nguo yako mbona mnapenda kuingilia mambo yasio wahusu

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 7 днів тому +1

    Koti dada ehhh

  • @Userog254
    @Userog254 3 дні тому

    UKISHINDANA NA ULIYEMZIDI UNAMPANDISHA HADHI.
    DIDA USHAURI HUU CHUKUA

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 3 дні тому

    Mbona unashika nguo

  • @FaithaOmari
    @FaithaOmari 15 годин тому

    Huwezi kumfikia dida wewe

  • @Official83640
    @Official83640 10 днів тому +4

    Sasa anajishika shika nn km kaazima hiyo nguo hajiamini ama

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 10 днів тому +7

      Wacho chuki kwani ana shida ya nguo mpe maua yake 😂huogopi ww😅

    • @Official83640
      @Official83640 9 днів тому +5

      @@nailaomar4810 Ww kipofu huoni anavyojishika au niache chuki kwa kipi hasa

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 8 днів тому

      ​@@Official83640Kwani akijishika wewe inakuadhiri nini.
      Ama ngo ni yako?

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 7 днів тому +1

      Kumbe na wwe umeona mimi nikajua anajifunga kifungo

    • @walizanasiri4963
      @walizanasiri4963 2 дні тому

      😅😅😅😢😢Kama ameazima😅😅