Ay Masta Feat. Marioo - Yule Remix (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 7 тис.

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 6 місяців тому +96

    Kama umerudia zaidi ya mara moja naomba likes

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 6 місяців тому +83

    Et nani ananamba yake hapa kuna teni imezagaa from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 wapi like za marioo and ay master🎉🎉🎉

  • @RadjaboyKubita
    @RadjaboyKubita 6 місяців тому +63

    Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu

  • @ArakazaMaxrica
    @ArakazaMaxrica 2 місяці тому

    Nanje ndaziko nunvise ijwi rihobongoza cyane umuhungu afise impano idasanzwe ngukunda cane kivumbi uvyunve from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @mwenyemalishamamba
    @mwenyemalishamamba 6 місяців тому +50

    Love from 🇧🇮 nipeni like zangu
    Kama unamkubali Marioo

    • @MalikiDanchy
      @MalikiDanchy 6 місяців тому +1

      Hataareee

    • @aggreyKapela
      @aggreyKapela 6 місяців тому

      SIKIA Hilo DUNDOO BANAA BONGE MOJA LA BIT

    • @MalikiDanchy
      @MalikiDanchy 6 місяців тому

      Patamapooo

    • @godey_tz
      @godey_tz 6 місяців тому

      Furaha sio ya kitoto

    • @godey_tz
      @godey_tz 6 місяців тому

      Vibe kama lotee

  • @Enockkirumbi
    @Enockkirumbi 6 місяців тому +6

    Hii bonge la ngoma aiseeh mario kila siku unakua na balaaa kaka Ay umetukumbusha way back aiseeh

  • @chalaisihaka
    @chalaisihaka 6 місяців тому +13

    Yuleee.... nampenda sana .. nitafanyaje... wahunu nitafanyaje.....uuuuuh mmmmm....
    Like please.

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 6 місяців тому +18

    Remix ya kwanza alifanya na wasanii wakenya mustapha na colonel remix ya pili marioo na wote wameua kinoma nipeni like kama unaelewa game EApoa

  • @fatushanne5917
    @fatushanne5917 6 місяців тому +35

    Team marioo mko wapi likes jamani ❤❤❤❤❤

    • @MalikiDanchy
      @MalikiDanchy 6 місяців тому

      Unauwaaa

    • @godey_tz
      @godey_tz 6 місяців тому

      Kuna mrembo ananidatisha sanaa

    • @godey_tz
      @godey_tz 6 місяців тому

      Chupa limeamka na chai

  • @dxenzo2520
    @dxenzo2520 6 місяців тому +8

    AY masta much love from canada ❤❤. We are expecting more soon😅

  • @georgemurungi7641
    @georgemurungi7641 14 днів тому +1

    I grow up watching AY in the early 2004/5 on EATV, he is such a talent, one of the best in EA. He reminds of the good old music days...
    Fan from Ug(i dont know swahili yet😂😂)

    • @AYMasta
      @AYMasta  13 днів тому +1

      @@georgemurungi7641 Much Respect Champ

  • @DainaNgonda
    @DainaNgonda 6 місяців тому +10

    Marioo kamficha AY umu 👏

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 6 місяців тому +2

      Marioo kwa sasa anamfunika yeyote isipokuwa kiba nyimbo zote bato lilikuwa sio poa

    • @egbertmillanzi3827
      @egbertmillanzi3827 6 місяців тому

      Sio zote kwa mfano ya naogopa kafichwa na Harmonize​@@albertkatuga2434

    • @nikkitokke8162
      @nikkitokke8162 6 місяців тому

      ​@@albertkatuga2434kiba sio leo kumficha. Sio mfalme wa bongo flavour bure

    • @alizo7
      @alizo7 6 місяців тому

      Aye hajapita na ile style yake ya kawaida so kufunika ni sawa

  • @HassanKissu
    @HassanKissu 6 місяців тому +15

    Goma linatisha 🇧🇮 kama umekubali iyi video naomba munioneshe kwa like

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 6 місяців тому +5

    Cjachelewa Leo nimewahiii kumuonaa mzee wa commercial ❤🎉

  • @gregorysixmund2020
    @gregorysixmund2020 4 місяці тому +2

    Mbona nimechelewa kuifahamu hii 🎉🎉

  • @HASHIMUMKUNDA-pz1wd
    @HASHIMUMKUNDA-pz1wd 6 місяців тому +7

    From FINLAND. I love this song

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 6 місяців тому +4

    ngoma kali balaaa🎉🎉

  • @mr_kajomba_og5719
    @mr_kajomba_og5719 6 місяців тому +6

    Master yeesayaaaaa wa kwanza hapa sema nin Marioo wamempodoa sana amekuwa kama wakongo

  • @lucienmusimbira7418
    @lucienmusimbira7418 2 місяці тому

    imekaa sawa kbs...wote mkaa sawa kbs ...kolwezi nawapata

  • @stevensilungwe41
    @stevensilungwe41 6 місяців тому +8

    Watching from Zambia 🇿🇲 this fire 🔥.
    Nipeeni likes zangu.

  • @rostermwakimata81
    @rostermwakimata81 6 місяців тому +18

    Patamu hapo zamani nilijuaga anasema fata mapozi

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 6 місяців тому +14

    Et nani ananamba yake hapa kuna teni imezagaa from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @FrancisMhando
    @FrancisMhando 3 місяці тому

    Washaaaaaa motooo 🔥🔥 kamkubwa
    Nakubaliii familia yang handeni ni moja na moja one ni mmoja tuu👊

  • @othamankaboss1734
    @othamankaboss1734 6 місяців тому +5

    AY mastaaaaaaaaaa n toto bado🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥

  • @geraldoluoch9479
    @geraldoluoch9479 6 місяців тому +5

    Been waiting for this video finally nipeeni likes jameni🙏

  • @Goldman-zr5
    @Goldman-zr5 6 місяців тому +4

    Wahooo my favority from 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬

  • @kakundejackson8666
    @kakundejackson8666 3 місяці тому +1

    Back in the days mzee AY....

  • @Hon_ndunda
    @Hon_ndunda 6 місяців тому +4

    Nashangaa vipi haya masaa mengi hivi haijafika 1million

  • @newtonkiragu1632
    @newtonkiragu1632 6 місяців тому +12

    Sijui nifanyeje ....patamu hapo❤️❤️🔥🔥🔥💪🏻

  • @mussamontellijr2802
    @mussamontellijr2802 6 місяців тому +4

    Dah huyo dada anakishundu cha kwenda mbagala ya mguu

  • @JOSEPHSAPAYA
    @JOSEPHSAPAYA 6 місяців тому +1

    Ngoma kali sana la kwenda let's go

  • @selemankihaka
    @selemankihaka 6 місяців тому +3

    Namba moja wazeeeeee

  • @nassoloabdala8836
    @nassoloabdala8836 6 місяців тому +5

    Primeiro foi um moçambicano 🇲🇿🇲🇿😀 Nasso

  • @Silversieh-bt5zk
    @Silversieh-bt5zk 6 місяців тому +5

    🔥 Two different generations on this.....

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 6 місяців тому +4

    Kuna kumi inazaga raga Masta🚀🐐

  • @mcdonaldlemar001
    @mcdonaldlemar001 6 місяців тому +5

    MASTA ANA NAMBA ZAKEEE🎉...

  • @nazgfx1
    @nazgfx1 6 місяців тому +5

    Likes za Director=======}}}}}}}}}}}}}}}}}}}

  • @PeterRas-o7d
    @PeterRas-o7d 3 місяці тому

    Hakika Mungu Nimwema Nakumbuka Mala Ya Mwisho Namuona Mwaisela Mwimbili Machozi Yalinitoka Nasasa hivi Namuona Hana Savaivu hivyo Aiseh kweli Mungu Fundi hanapo hamuwa Lake

  • @LangxSheby
    @LangxSheby 6 місяців тому +4

    mimi fans wako ila hii ngoma naiyacha ipite konde sijaikubali Broo ila sikukatiitamaa najua ngoma inayofwata niyamoto🔥 tu Mungu mkubwa💪🙏

  • @androsAlly
    @androsAlly 6 місяців тому +4

    Ayo masaa mbona hayaonekani😅😅💥💥

  • @Typol_photography
    @Typol_photography 6 місяців тому +5

    Alooooo!!!

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 5 місяців тому +2

    Mungu mkubwa ata wakibana show nyomi kama kawa baba❤❤❤❤❤❤

  • @robinsonshoo6754
    @robinsonshoo6754 6 місяців тому +4

    Kideo kikali sana 🔥

  • @ManSele-oi2kt
    @ManSele-oi2kt 6 місяців тому +7

    Hii nyimbo kali sana bonge la remix ay masta na marioo ❤❤

  • @franciswilfred7783
    @franciswilfred7783 6 місяців тому +5

    ANA TU SHIMOOOOOOOOO MASHAVUNIIIIIIIIII💥💥💥💥💥💥

  • @JumaKona-i2b
    @JumaKona-i2b 3 місяці тому

    Yule inikuwa Kali sana zaidi ya sana etii hiii ilipita tuu kama upepo haijahiti Kwa mdaa mrefu

  • @UchumizoneMwaihea
    @UchumizoneMwaihea 6 місяців тому +10

    Sana ay nakumbuka ulivyokua unalala kwenye kontena pale morogoro

    • @godey_tz
      @godey_tz 6 місяців тому

      Good music

    • @godey_tz
      @godey_tz 6 місяців тому

      Respect familia

    • @rachelraphael1355
      @rachelraphael1355 2 місяці тому

      Kwahiyo kama alikuwa analala kwenye kontena tukusaidie nini Umbea tu mwanaume mzima huna haya

  • @KakaSide-fd6ch
    @KakaSide-fd6ch 6 місяців тому +10

    Nani anajua kwake hapa Kuna ten limezagaa zagaaa nani ana tizama Ngoma hiii kama tujuane kwa likes 😂❤❤

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 6 місяців тому +43

    Wa Kwanz Mim Leo Tujuwane Kwa Likes Kam Umekubali Hili Goma🔥🔥🇹🇿👊🇹🇿🇨🇩🇦🇷🇺🇸🔥🔥🔥

  • @babusalim3433
    @babusalim3433 5 місяців тому

    Kaza dogo unaweza.. Chase ur dream n be focus.. Usitoke kwa reli ninja

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 6 місяців тому +4

    Jaman nami niko simpke pia anaenipenda aweke like yake nimtumie ten iliyo zagaa😂😂😂

  • @collinsmaina7247
    @collinsmaina7247 5 місяців тому +4

    uandishi marioo tunakupa asilimia mia kwa mia

  • @bwirejamesrobert5727
    @bwirejamesrobert5727 6 місяців тому +6

    .......TULIOWAHI KUITUMIA KWENYE DEDICATION IN EARLY 2000s GONGA LIKE #AY 💯💯💪💪💪

  • @FamiliaYetu-ux5zb
    @FamiliaYetu-ux5zb 6 місяців тому

    Nakubl sana mzeee

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 6 місяців тому +7

    Kama ulisubiri masaa 6 na hujayaona weka like hapa 😂

  • @ismailkun193
    @ismailkun193 6 місяців тому +4

    Baba NANII

  • @ChangeBtz
    @ChangeBtz 6 місяців тому +1

    Mtaaalm kabisa yani

  • @justmustafa5328
    @justmustafa5328 6 місяців тому +5

    Mimi ndo wamwaza naomba like zene

  • @kareemkiwamba139
    @kareemkiwamba139 6 місяців тому +5

    Km umeikubalii hii nyimbo na video naomba like

  • @itsmedo_u_getit9112
    @itsmedo_u_getit9112 3 місяці тому

    OMARY Mwanga aka Marioo🙌🏽

  • @deeh7322
    @deeh7322 4 місяці тому +1

    Ukimshirikiisha marioo kwnye ngoma yako lazima akufunike

  • @dangoteRodrigue
    @dangoteRodrigue 4 місяці тому

    Asante sana kwa kazi iyi wimbo ime enda mbali sana ni wimbo bora diamond et jux nyie ni bala zaidi duniani tume penda huu wimbo mpya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Cindy-p5n
    @Cindy-p5n 6 місяців тому +1

    They killed it

  • @WalterMkwawa-s6z
    @WalterMkwawa-s6z 5 місяців тому +1

    Mjomba wewe ni atalii sanaaa Mungu simama

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 4 місяці тому

    Zee Cute namkubali sana huyu mwanamke,muimbaji,anajuwa,ana sauti ya aina yake,hodari sana sana 🙌

  • @sarahrashidabdallah3109
    @sarahrashidabdallah3109 5 місяців тому

    Ingawa mie sio mcha mbuzi ila diamond katumia wimbo na utamaduni wake ukiwa na uhalisia kbs hakika huyu mwambwa unajua kuupiga mwingi Sana, nasiku zote ukiwekeza vizur basi hata mlejesho wake Mzuri zaidi, my Allah akuzidishie marifa zaidi nakupe afya njema bro hakika unaiheshimisha Sana Africa yetu, ❤🙏

  • @SirndehMureh
    @SirndehMureh 5 місяців тому

    You know the meaning of the word Bongo fleva broo.....uko vizuri kaka❤ from kenya

  • @HassanPacha-f9w
    @HassanPacha-f9w 3 місяці тому

    Hii ngoma kama mbosso angenipa kipande cha kupiga NAI kidogo tu beat lingekuwa tamu kinoma

  • @imraanmamman1192
    @imraanmamman1192 3 місяці тому +1

    From Nigeria. 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬

  • @MarksevenTz
    @MarksevenTz 3 місяці тому

    Big Up Sativa the Hero.
    Hii haijaishaa Mzee, next time tutafanya Zaidi ya hapa. Uzuri huku Baraza la Kufungia Sanaa Tanganyika (BAKUSATA) Halina Ubavu, Tutaendelea kuipeleka Viral

  • @DianaSamoya-n4y
    @DianaSamoya-n4y 3 місяці тому

    Ipo sawa congratulations

  • @YuleeeBoy
    @YuleeeBoy 6 місяців тому

    Unyama sana mzee wang

    • @YuleeeBoy
      @YuleeeBoy 6 місяців тому

      Uhakika sana mkuu

    • @YuleeeBoy
      @YuleeeBoy 6 місяців тому

      Noma snaa

    • @YuleeeBoy
      @YuleeeBoy 6 місяців тому

      Unyama mwinhi sana

    • @YuleeeBoy
      @YuleeeBoy 6 місяців тому

      Hatari na nusu

    • @YuleeeBoy
      @YuleeeBoy 6 місяців тому

      Chaap sana

  • @francismatho1856
    @francismatho1856 4 місяці тому

    Aminia Konde mwamba bana hakuna kama yeye nice song 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DulluFamily
    @DulluFamily 3 місяці тому

    Noma Sana jamaa wanakjua Sana kina na professor j wanajua

  • @selemankihaka
    @selemankihaka 6 місяців тому

    Nyimbo ya mooootooo saaaaaanaaaaa

  • @AwatyNho-lb9bd
    @AwatyNho-lb9bd 3 місяці тому

    Thank you brow marioo🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤

  • @GustaveLajoya
    @GustaveLajoya 4 місяці тому

    Mon couple préféré 🇨🇩🇨🇩 ngoma kali sana❤❤ mpaka naona wivu

  • @YoungChinno
    @YoungChinno 6 місяців тому +1

    Ayeyees noma hii ngoma

  • @beautyposhy827
    @beautyposhy827 3 місяці тому

    nimependa kazi ya director sana. video imetulia

  • @stiverodinaalfredi-mg3ur
    @stiverodinaalfredi-mg3ur 6 місяців тому

    Bi na nandy wakuwajataa awatae tu bure Ila munastahili kuwa pamoja mwenyezi mungu awabariki sana Mimi shabiki wenu kweli kbsa kutoka DRCongo uvira kasenga

  • @kingprice3327
    @kingprice3327 5 місяців тому +1

    Hii ngoma kali kajitahidi kuimba mtanzania mwenzetu

  • @hamsonmunisi7100
    @hamsonmunisi7100 5 місяців тому +1

    Maana halisi ya bongo flavour💯💯

  • @HakunaKulala
    @HakunaKulala 6 місяців тому +1

    Mnyama mkali aseeeh

  • @BarakaKilimba
    @BarakaKilimba 5 місяців тому

    We mkali mzee unajua kinoma noma shootout kwako❤

  • @ChangeBtz
    @ChangeBtz 6 місяців тому +2

    Mnyama kaliii

    • @ChangeBtz
      @ChangeBtz 6 місяців тому

      Noma sana nkuui

    • @ChangeBtz
      @ChangeBtz 6 місяців тому

      Haina kufelo sana

    • @ChangeBtz
      @ChangeBtz 6 місяців тому

      Nakubl sana boss

    • @ChangeBtz
      @ChangeBtz 6 місяців тому

      Uhakika sana

    • @ChangeBtz
      @ChangeBtz 6 місяців тому

      So powaa

  • @felicesafaris8304
    @felicesafaris8304 5 місяців тому +1

    Father of the legends

  • @samid090
    @samid090 6 місяців тому

    My guy marioo super Mario never disappoint

  • @tahirsalim7539
    @tahirsalim7539 4 місяці тому

    Ay classic... GOld never grow old

  • @christiannzeyimana262
    @christiannzeyimana262 3 місяці тому

    We like it.washa fire

  • @SimigoZiwa
    @SimigoZiwa 6 місяців тому

    Tia makopa kam unapendaaa hii ngomaa🔥🔥♥️♥️♥️

  • @Seletz-wd3ds
    @Seletz-wd3ds 6 місяців тому +1

    Diaaaaraaaaah

  • @wangechihuawei1833
    @wangechihuawei1833 5 місяців тому

    This song had me at a stand still. It's a pleasant surprise.❤❤❤ You have given this song a legacy... I looooooooooooooove it. Can't get over it. ❤❤❤Best song this year😘😘😘😘

  • @NasraMatumla
    @NasraMatumla 6 місяців тому

    Nakubl snaa mkuuu

  • @emmanuelzegega6831
    @emmanuelzegega6831 3 місяці тому

    Oyaaa weee you guys killed it hata mngekua kwa death of slim shaddy ningexema still mko poa mnooo🎉🎉🎉

  • @Chapajogoo
    @Chapajogoo 6 місяців тому

    Master kama Master mzee wa Biashara

  • @NasraMatumla
    @NasraMatumla 6 місяців тому

    Unyama snaa aeeeh

  • @selemankihaka
    @selemankihaka 6 місяців тому

    Nampemdaaaaaa sanaaaaa

  • @StalonTeo-jb2td
    @StalonTeo-jb2td 6 місяців тому +1

    Marioo and ay noma bonge la remix🎉🎉🎉

  • @nelusigwefungo4389
    @nelusigwefungo4389 4 місяці тому

    Another banger in town🫡🫡

  • @HakunaMatata-uj9vy
    @HakunaMatata-uj9vy 6 місяців тому

    KALIIII SANAAA