Huko nako fainali uzee msione vyaelea huko mikopo ya nyumba gari unapata huko nyumba ni yako lakin utailipia kodi had wafa hakuna ubwelele bila kufanya Kaz na ukishindwa unabaki homeless unaishi mtaani
Uyo bba yangu ni mruguru mwenzangu na amefanana na bba yangu na nampenda sana nirimiss kinoma nirijua amefariki kmya kingi aisee mungu hampe maisha marefu zaid
Da bro nimenunua sana vifaa vya umeme pale mnadani kariakoo, nikiwa nafanya kazi polisi Salender bridge. Kumbe vipaji hujificha mahala pengine, ni mpaka viibuliwe ndo vionekane.hongera kaka
Mzee magali wewe ni lulu ya tanzania na michango ya mashabiki wako ume kufikisha hapo na kumbuka siku ume kuja ilinga ilifikia city lodge ipogolo mwenyeji wako alikuwa Bathoromeo Kuzugra tume kumisi sana Hongera kwa kufika huko japo hutujui magum unayo pitia na changamoto unazo pitia ila usisahau nyumbni kumenoga
Comments zimejaa ila nakuagiza waambie sns wa bongo wajifunze kufanya mahojiano kama ya Junior kwa kuwa hana muda ila anapangilia content.hatakam hukutaka kumsikilizA ikatokea umekosea ukaview kazi yake lazima uitazame yote. Kuna clip nimeiona esco anamuhoji jambazi lkn ile kazi kaifnya kama ni muda wake wa ziada lkn amepoteza muda,ktk muda wake wa kupumzika ila kama angechukulia serious ile kazi imetokea kama Zali aipe thamani ingelipa zaidi. Yaani ww umesikia mtu anamzungumzia Mondi kwa kina unapaswa ku react faster na kutengeneza pesa lkn Esco alirelux akawa anapigiwa story na kushoot bila kutafuta contours za kuthamanisha ile kazi amezingua. Fanya kazi kama zali pale unapoona kuna jambo zuri,yule jambazi angempa maswali kama haya angepiga viewers balaaa zaidi ya vile
Kwa hiyo wewe muandishi unahoji au unaeleza,mbona mpo vilaza hivo,Kama huwezi ungempa mtu mwingine ahoji.huo wivu kwa hiyo Mzee Magari mumemiss baada ya kwenda Marekani
Haya siku moja niliwaambia Mzee magari anaishi marekani mkasema hoo Mzee magari ka..... Tanzania jmn
Huyu mzee ni mwigizaji mzuri sana ana kipaji.Namkubali sana.Mungu azidi kumlinda na kumpa maisha marefu.
Ila maisha usikate tamaa mzee magari alikuwa jiran yetu kigogo dampo😂😂😂 pale.maisha yakawaida leo yupp nje.maisha Safi utakiwi kukata tamaaa❤
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Kabsa 😂😂 na kituo Chao pale bar tz F
ile nyumba bado ipo au iliondolewa coz ilikua sehemu hatari sana pale
maisha ni kutafuta 😢nilikuwa nampenda sana uyu mbaba❤
Hata Mimi najuwa pia nilikuwa mdogo kipend yupo kigogo dampo kweli tusikate tamaa kabisa❤❤🙏@@hanschoppa7659
Yaan marekani unafanya kazi kiwandan na unaweza endesha gari nakuishi nyumba nzuri
Bongo hata kodi tuu inatushinda kweli hii inchi ngumu sana
Inawezekana mgumu ukawa ni wewe na siyo nchi
Daah
Jewel kabisa kule pesa kibao
Huko nako fainali uzee msione vyaelea huko mikopo ya nyumba gari unapata huko nyumba ni yako lakin utailipia kodi had wafa hakuna ubwelele bila kufanya Kaz na ukishindwa unabaki homeless unaishi mtaani
Mzee Magari nilikuwa na mis sana sauti yake na muonekano wake nafurahi kusikia aliowa murundi wa kwetu hongerra sana mzee ❤❤❤❤❤❤❤😂
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Baba nakukubali sana baba Mimi ni mwanafunzi chipukizi WA saana happy kambini mantapala refugees settlement
Umemuhoji vzr sanaaa, hongera junior talent,, nilichogundua mzee magar ile character yke ya ukali bado anayo yaan ndo maisha yake😅
Shukrsn sana share subscribe plz
@@vipajitv1799mtafute nayule kevini
Nakupenda sana baba mzee mqgari jaman mungu azidi kukinda baba yangu magari nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
nampenda sana uyu mzee magari❤❤❤❤❤❤nakumbuka sana move zake
Kazi nzuri junior, Interview nzuri tumeenjoy😊
Shukrsn sana
Mzee magari hongera umejibu vizuri sana
Ahsante subscribe please
Mluguru mwenzetu katoboa marekani mungu azidi kukulinda
Tangu nianze kumuona Mzee magari sijawahi kumuona akicheka!
Ahsante subscribe please 😅
😂😂😂
Mr Magari nahitaji Kuja Marekani
Uyo bba yangu ni mruguru mwenzangu na amefanana na bba yangu na nampenda sana nirimiss kinoma nirijua amefariki kmya kingi aisee mungu hampe maisha marefu zaid
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Mzee magari ile sauti yako ya kwenye movie😂😂😂😂
😢 Ahsante subscribe please
Mzee Magari kapendeza , kawa kijana .
Sio poa yaan😂
Mzee magali nimeipenda movie zake na kanumba
Shukrsn sana share subscribe plz
Safi san myak ming simuon huy mze❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sauti yake tu huyu baba mashallah ❤️❤️
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Hongera sana kaka. Una improve kila siku🎉 Hongera sana kaka.
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Mainda my doter daa tuliambiwa kafariki huyu mzee kumbe ni uongo daaa
Noma Ahsante subscribe please
Nimefurahi sana kukuona mzee magari
Pichen Uko state gani mwanangu mimi Niko Mzee magari sehemu moja
Nipo Iowa man
@actor bongo movie tz @
Mzee magari kafanana na mzee Abdul baba yake na Diamond
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo 😂
Hii imeenda balaa
@actor bongo movie tz @
😂😂 Nimekubali sana mzee endelea kukaza tz aio poa aisee
Ww noma mzee mungu akupe umri mrefu
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
LEGEND, MWANANGU MAINDA👏👏👏
Ahsante subscribe please
hii ni interview au ni movie 😂😂
Ahsante subscribe please
Da bro nimenunua sana vifaa vya umeme pale mnadani kariakoo, nikiwa nafanya kazi polisi Salender bridge. Kumbe vipaji hujificha mahala pengine, ni mpaka viibuliwe ndo vionekane.hongera kaka
Sijakuelewa
@@vipajitv1799 ni msg ya Mr Magari.nilidhani Ana access ya kujibu hapa!
Kumbe uzee ni kujitakia daa yani bado yupo kijana kabisaa anauwezo kuoa mwari wa miaka 18
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Mainda my daughter 😂😂 hatari sanaaa
Nmekumiss mzee wangu
Abdalla wacha kutulia mzee wetu mimi ni mkenya Rakini nilikua na mfuatilia
Shukrsn sana share subscribe plz
Hongera,sana,kaka,uto,mzee,kumbe,yupo
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Magari tumemmiss na sauti yake ya thahabu🙌🏾
Sio poa huyu mzee😂
Hatimaye mzee magari kapatikana
Shukrsn sana share subscribe plz
Kitambo Sana Kumbe Yupo 🇺🇸
Ahsante subscribe please
Mwanaume m kweli kabisa hajapindusha hatakidogo
Unyama sana 🔥🏆
Ahsante subscribe please
Big up bro
Kazi nzuri mwamba
Shukrsn
Mzee magar unatisha sana uko vizur kamanda
Nimefurahi sana kumuona huyu mzee
Mzee magali wewe ni lulu ya tanzania na michango ya mashabiki wako ume kufikisha hapo na kumbuka siku ume kuja ilinga ilifikia city lodge ipogolo mwenyeji wako alikuwa Bathoromeo Kuzugra tume kumisi sana Hongera kwa kufika huko japo hutujui magum unayo pitia na changamoto unazo pitia ila usisahau nyumbni kumenoga
MDA mrefu San sijamuona uyu mzee jamani kumbe yupo mashaallh
Pichen hongera sana
Ahsante xana man🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂 God bless you Papa... live longer 🎉
Yaani adi raha ❤❤❤❤
Hongera sana Mzee Magari
Shukrsn sana share subscribe plz😊
Shukrsn sana share subscribe plz😅
Shukrsn sana share subscribe plz❤
Toa kibao kimoja safi magari
Shukrsn sana share subscribe plz😅
Dollar 20 KWA lisaa kwa siku masaa 12 inakua laki 6😂 bora nije huko
Ndo mchongo
Na hiyo ni kazi ya kisenge hujui tu.
Ety pumbavu zao hawa kumbe wapo kama sisi😄😄😁😁 mzee magari bhan
😂😂😂😂🙌
Subscribe plz
@@vipajitv1799 Poa my
@@vipajitv1799 zamani sana kaka🤝🏾
Comments zimejaa ila nakuagiza waambie sns wa bongo wajifunze kufanya mahojiano kama ya Junior kwa kuwa hana muda ila anapangilia content.hatakam hukutaka kumsikilizA ikatokea umekosea ukaview kazi yake lazima uitazame yote. Kuna clip nimeiona esco anamuhoji jambazi lkn ile kazi kaifnya kama ni muda wake wa ziada lkn amepoteza muda,ktk muda wake wa kupumzika ila kama angechukulia serious ile kazi imetokea kama Zali aipe thamani ingelipa zaidi. Yaani ww umesikia mtu anamzungumzia Mondi kwa kina unapaswa ku react faster na kutengeneza pesa lkn Esco alirelux akawa anapigiwa story na kushoot bila kutafuta contours za kuthamanisha ile kazi amezingua. Fanya kazi kama zali pale unapoona kuna jambo zuri,yule jambazi angempa maswali kama haya angepiga viewers balaaa zaidi ya vile
Nimeipenda sisitim ya marekani hakuna kunyanyasa mtu sio kwetu mke anapgwa na anafukuzwa ndan ya nyumba
Iyo ya mke kumfosi tendo sio marekani tu adi bongo nivile tu wake zenu wamejawa na pepo la ngono ata wakifosiwa awajari
Mamaa ako mzazi pia kajawa na pepo la ngono mana alifosiwa na baba ako na akutoa taarifa
Dah
Nkubaya
Uliona wapi mwanamke mwenye pepo la ngono akafosiwa badala ya yeye kufosi?
Presenter
ukijua kutofautisha R na L
Kidoqo utakuwa umepiqa hatua
HAHAHA fella king jeuri
Jmn mzee magari kawa kijana et 😂
Chacha Mke gani huyu Ametuvalia Nguo Kama Majani ya Mgomba😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Unahisi kuvaa uchi ndiyo sifa?
Ahsante subscribe please
Uko ndo step father hao ni watoto wa Vyagusa wa mu Iowa baba
Wategemee wamama zao😅
Yaani nampensa. Huyo Baba ,
Noma sana mzee...🇲🇿
Shukrsn sana share subscribe plz
Nakumbuka kuna move ulikuwa na 20%
Ahsante subscribe please
Mtangazaji hamna kitu...Angehojiwa na mtangazaji mzr tungefurahia sana...lakini Mtangazaji bado sana.
Wali pie visa watangazaji wako wake sasa
Sauti ya zaabu ❤❤
Noma😂
Iv mbona naona kama ndo kua kijana heeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Africa tunaanza kua wazee kwanza tukitoboa tuna rud kwny ujana sasa
HAVE LONG LIFE
Ahsante subscribe please
@lamata msanii huyu apa mpe kazi
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
Magari na kutafuta namba yako imepotea
Magari kaolewa mke wake nimeishinae kambini mtanibila kasulu
Duh subscribe please
olewa na wew😂😂shida iko wapi
❤❤❤❤❤❤
Sofa zang pentwaaa👌🥰
Mzee magari tunakubali na mujua kwa filamu yake na kanumba na wema sepeto akimwambia je wewe uko na mtoto akamwambia bado
Jaman jaman siwalesema Manali kafa Mungu anawaona
Asante saana lakinizee hajataja anaeshi mkowa ngani?
We kijana we n mmbwa kabisaaa marekani kuna kushobokea mtu namna hiyo 😡😡 we ni k***m***
Anafanya kazi gan
Angalia hadi mwisho
😂😂😂huoni picha ya Mike 🎉 komaa na rangi utajua,wazee wa upinde hao.
🎉🎉
Shukrsn sana share subscribe plz
Ulichokosea mtangazaji ungetafuta vipande vya movies zake kabla ya interview ili uwe inavyoonesha ungetisha sana
Kamata mainda wewee dah mzee magari tumekumiss hatari ,nliposema kamata mainda ulikua wapi weweeeee
King Fella👊
Shukrsn sana share subscribe plz
❤
Magari nakosa saudi yake
Subscribe please 😅
Mambo😂😂❤
life good is not easy
Hatujajuwa anaishi mjii ngani?
Nilisikiaga Eti Huyu Mzee Amekufa
Hata mm pia
Dah sio poa
Shukrsn sana share subscribe plz
Sauti ya Simba👹
Shukrsn sana share subscribe plz😂
@Junior talent nataman nifike huko marekan,niwe hata nakusaidia kazi tu,nifanyie mpango jaman
Timiza ndoto zko kwa Mungu alishindikani jambo unaweza ukaanzia ata nchi nyingine badae ukafika unapotaka
King fella😂
Ahsante subscribe please
Kawa mweupe
MAINDAAA BINTI YANGUUUU
❤❤❤❤❤
Situliambiwa kashafariki huyu mzee magari
Hata mi nakumbuka Walisema kufa
Umenikubusha mbali sana
❤❤❤❤
Shukrsn sana share subscribe plz
Kwa hiyo wewe muandishi unahoji au unaeleza,mbona mpo vilaza hivo,Kama huwezi ungempa mtu mwingine ahoji.huo wivu kwa hiyo Mzee Magari mumemiss baada ya kwenda Marekani
Kwel tusikatetamaa
Mwoga wa kutumika