BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 8

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" UA-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

КОМЕНТАРІ • 50

  • @rahabu1497
    @rahabu1497 3 місяці тому +13

    Wakwanza Leo naomben like hata mbili jmn

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 2 місяці тому +1

      Happy muharam happy new year leooooooo🫂

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 2 місяці тому +6

    Nakupenda sana Diva❤❤❤❤MUNGU akupe hitaji la moyo wako dear

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 2 місяці тому +4

    Masha Allah umependeza leo

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 місяці тому +5

    Nawewe Diva hajielewi maneno yakuambiwa yanvunja ndoa mingi sana na mmeo mwobote hamujielewi

  • @munashabani
    @munashabani Місяць тому

    kusema kweli huyo mwanaune alikuwa hakutaki kabisa pole sanaa

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 місяці тому +7

    Diva ndugu yangu unajidhalilisha hivyo mpaka wafanyakazi wanakudharau wanakufungia mageti wakikuona😂😂😂

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 2 місяці тому +5

    Geti limefungwa ili😂 vitu vya mke mwenzio vitolewe 😂😂😂😂😂😂

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 місяці тому +4

    Huyu diva kama chizzy fresh😂😂

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Місяць тому

    Jaman kwan diva ana miaka mingap

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 3 місяці тому +3

    Diva ni mkorofi duh,,,mbabe looh

  • @steveabel5819
    @steveabel5819 2 місяці тому +1

    Jamani diva ndo utembee peku bila viatu🙌😂 15:55

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 3 місяці тому +2

    Amefunga ndoa😂😂😂😂 kwann unaficha, masha mmbeya

  • @rehemapeter8621
    @rehemapeter8621 2 місяці тому +2

    Na shoga ake hawana akili et wakampige huyo mwanamke😂😂😂

  • @angelinamwakadi5226
    @angelinamwakadi5226 2 місяці тому +1

    Jameni mlinzi si afuata maagizo😂😂

  • @GasalamuFyness
    @GasalamuFyness 2 місяці тому +3

    What kind of marriage is this?

  • @sund2553
    @sund2553 2 місяці тому +1

    Hii ndoa unadharauliwa hadi na walinzi mi hapana haki uwiiii

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 2 місяці тому +2

    Kwani huyu hiyo ndoa ni lazima? Duuh hatari

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 2 місяці тому +3

    jamani sipendi mtu anaenifokea naeza mnasa makofi

  • @KhadijaMbarouk-z8o
    @KhadijaMbarouk-z8o 2 місяці тому +1

    Hayo mawigi shoga hayakutii wahka 😅

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 2 місяці тому +1

    Napenda hichi kipindi

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 2 місяці тому +1

    😂😂😂anataka kununulia gari tulia ww

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 місяці тому +2

    Apo mwenye makosa ni abduli si mwingine..ila anakana tu kwa aibu

  • @NaimaAbdi-f6p
    @NaimaAbdi-f6p 2 місяці тому

    Kwa kweli hii behind de gram ya diva nimeangalia mpka hii episode lkn redflag nimingi kwa kweli huyu dada akona subra Diva his ndoa uanilazimisha ww

  • @salamalsawaqi1206
    @salamalsawaqi1206 2 місяці тому +1

    Ongea kiswahiri wengine hatujui kizungu

  • @NaimaSalum-di8zj
    @NaimaSalum-di8zj 2 місяці тому

    Duh sio kwa Wigi ilo

  • @lizzshayo2061
    @lizzshayo2061 2 місяці тому

    Hahahahahah 😂😂😂😂 pwapwapwapwa

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 місяці тому +1

    Mawigi ya katani

  • @deega1234
    @deega1234 2 місяці тому +1

    15:41 bila viatu? kweli Diva? what diva r u!!

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 3 місяці тому +3

    Unapendeza ukiva nguo Akujistriri

  • @lucia20240
    @lucia20240 2 місяці тому +6

    Ila mawigi ya diva😂😂😂

    • @dublea4118
      @dublea4118 2 місяці тому

      😂 Ma wigs ya TheBawse😂

    • @steveabel5819
      @steveabel5819 2 місяці тому

      Ni kasheshe😂 mawigi ya mtumba

  • @upendommbaga7070
    @upendommbaga7070 2 місяці тому

    Diva katika kosa aliwahi kufanya duniani ni kuolewa na huyo kaka.. yaani hapo ndo heshima yake ilipopotea kabsa

  • @elizabethsamwel8628
    @elizabethsamwel8628 2 місяці тому

    Diva king'ang'a

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 2 місяці тому +2

    Si Kwa udhalilishaji huu etii vitu vyangu. aibu ushatuambia vitu ni vyako office mzima hatauku pia hakuficha jamaniiiiii diva kiboko🤐

  • @hannansaidahmed1943
    @hannansaidahmed1943 2 місяці тому

    Ungejua kama unajidhalilisha tu ungeeachaga huo ujinga dada

  • @NaimaSalum-di8zj
    @NaimaSalum-di8zj 2 місяці тому

    We akili huna na uyo mwanaume hakupendi yani ujiongezi shoga na ilo wigi ndio umekua kichaa

  • @sofiasimbasimbasofia2420
    @sofiasimbasimbasofia2420 2 місяці тому

    Mumeo mshezi mshez duh siku kitakapo
    Kutoka mikononi ndio utajuwa diva jifunze kujibu wacha kuropoka

  • @darlenedada651
    @darlenedada651 2 місяці тому

    Ndo utembee bila viatu

  • @ramhuudulla8921
    @ramhuudulla8921 2 місяці тому +1

    Ujinga mtupu mwanamke anamnyambua mumewe kama si mumewe kisha mwisho wa siku wanalala pamoja mke anasubutu kukkuita mshenzi hadharan
    Kisha mwaame anaigiza anasimamia misingi ya dini wapuuuzi wote wanapotezeana muda tu
    Wala hawaana funzo lolote wala burudani yyt kwa jamiii kichechefu tu. Labda iwe wanaigiza mwanamke mdomo mchaaafuuuu kiliko hao washezi

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 3 місяці тому +3

    😂😂😂miwani kama j Martin

    • @AishaHaji-jn7sg
      @AishaHaji-jn7sg 2 місяці тому

      Nitakupasua 😂😂😂😂😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 місяці тому

      @@AishaHaji-jn7sg 😆😆😆😆

    • @TrinaRoman345
      @TrinaRoman345 2 місяці тому +1

      Una laana za diva zote ujuwe 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🤣🤣🤣

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 місяці тому

      @@TrinaRoman345 😆😆😆🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

    • @NaseMangala
      @NaseMangala 2 місяці тому

      Hahahahhah😂😂😂😂