NUKTA NNE ZA UTANGULIZI BAADA YA KIFO CHA SHEIKH ABUU MUA3WIYAH | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • Kalima ya utangulizi baada ya kifo cha sheikh Abuu Mua3wiyah Hassan bin Awadh (Allah amghufirie na Amrehemu). Kalima hii imetolewa na Sheikh Abuu Mus'ab Attanzaaniy kutoka Masjid Daarul Hadith Ununio, Dar es salaam Tanzania.
    Sheikh ameongelea mbalimbali yanayohusu kadhia ya kifo cha Sheikh Hassan Awadh (Allahu yarahamu) na pia kutanabahisha juu ya wanaomsema vibaya sheikh Hassan wa Zanzibar kabla na hata baada ya kifo chake.
    Sheikh amezubgumzia nukta kuu nne (04) kama ilivyo anuani ya kalima hii ambayo katika nukta hizo kumezalishwa nukta hizi zilizosndikwa kwenye yaliyomo.
    Yaliyomo
    ➖ Someni kwa walimu wenu kabla ya kuondoka kwao
    ➖ Fanyeni subra kutokana kuondokewa na Sheikh wenu Abuu Mua3wiyah (Allah amrehemu)
    ➖ Waliodhania kuondoka kwa Abuu Mua3wiyah Allah amrehemu ndio mwisho wa da'awah wamekosea pakubwa
    ➖ Msijalie usalafi kuwa ni hizbu kwa ta'asub kwa masheikh zenu
    ➖ Mnafurahia kwa kufa ndugu yenu enyi Masalafi?
    ➖ Msione nimenyamaza mkadhani siwezi kusema, msidhani kuwa mmeshukwa na mzigo kwa kufa Sheikh Abuu Mua3wiyah (Allah amrehemu).
    ➖Hiyana zinazofanywa na masheikh wa kisalafi wa Tanzania
    ➖Na mengineyo mengi yaliyomo humo...
    Sambaza clip hii, waislamu wote wabainikiwe na haqi.
    ▬▭▬▭▬▭▬▭▬▭▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
    dhuic.org
    BAARAKALLAH FIYKUM WAJAZZAKUMULLAH KHAYRA

КОМЕНТАРІ • 74

  • @kijakazimussa2060
    @kijakazimussa2060 3 дні тому

    Asante akhy

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 10 днів тому +2

    Abuu mus'ab Allah akuhifadh tunakudhania unaweza kukawiya sehemu ya abuu mua'awiya Allah amrahamu

  • @fadhiliharuna3934
    @fadhiliharuna3934 12 днів тому

    Mashallah

  • @z34-kp9qq
    @z34-kp9qq 12 днів тому +5

    Allaah amrhem sheikh abuu muawiyah, Allaah kanijaalia nimeujua usalafi kupitia yeye ktk masjid yetu pendwa masjid faarouq.
    Tokea faarouq ileee ya sheikh abuu muawiyah.
    Allaah atupe mbadala wake alie bora zaidi yake.
    Wallaah nampenda sheikh abuu mus-ab filllaah.
    Bila ya kuyazungumza haya mas'ala watu hawatoyajua.

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  12 днів тому +1

      Baarakallah fiyka!
      Allah awahifadhi masheikh zetu awaongoze waliohai na awarehemu waliotangulia!

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 12 днів тому

      ​@@DhuicTzAaamiyn

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 10 днів тому +3

    Mimi namuomba Abuu mus'ab afanye suluhu na sh kassim mafuta juu ya yote yalio tokea yatupiliwe mbali ili walinganie dini tena sh alifanye haraka kabla hatujarud kwa Allah na wazingatie aya hii Al-Hujurat 49:9
    وَإِن طَآئِفَتَانِ مِنَ ٱلْمُؤْمِنِينَ ٱقْتَتَلُوا۟ فَأَصْلِحُوا۟ بَيْنَهُمَاۖ فَإِنۢ بَغَتْ إِحْدَىٰهُمَا عَلَى ٱلْأُخْرَىٰ فَقَٰتِلُوا۟ ٱلَّتِى تَبْغِى حَتَّىٰ تَفِىٓءَ إِلَىٰٓ أَمْرِ ٱللَّهِۚ فَإِن فَآءَتْ فَأَصْلِحُوا۟ بَيْنَهُمَا بِٱلْعَدْلِ وَأَقْسِطُوٓا۟ۖ إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلْمُقْسِطِينَ
    Nakuomba mrikodiji mfikishie ujumbe huu Abuu mus'ab mm namshuhudiza Allah ujumbe nimeufikisha huo kazi kwako
    والله اعلم وب الله توفق

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 11 днів тому

    Allah awaongoze nyinyi na sisi ktk haki na atukusanye pamoja wote watu wa sunna ktk njia ya salafi wetu wa mwanzo kwa hakika huo ndio ushindi wetu

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 12 днів тому

    Ukiwaona kama wanamaana vile kumbe ni watu wa faraka

  • @AbrahamanSaidi-uf1dw
    @AbrahamanSaidi-uf1dw 12 днів тому

    Watu mnatafuta upepo wa kutembea nao kama wasanii na alhamdulillah DAAWAH SALAFIYAH inaeleweka

  • @Jureyji
    @Jureyji 12 днів тому +1

    Kama kawaida hamuwezi kuongea mambo yenu bila kumsema Shekh Yahya Al hajuur.
    Mmetahiniwa sana katika hili yani unapinga hichi na bado unarudi kule kule.

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  12 днів тому

      Sheikh Yahya Al hajuur anatajwa kwa sifa ipi? Na kule kule unapopasemea ni wapi akhuy!
      Tupe faida!
      Baarakallah fiyka

    • @Jureyji
      @Jureyji 12 днів тому

      Kumbuka kuwa kashfa nyingi au zote wanazomtuhumu Shekh Hajuur ni mambo ya uongo na mengine ni uelewa wao mbovu.
      Na huyo shekh anajua kabisa kuwa katika hizo tuhuma za kikasuku yani kumezeshana kama anavyosema huyo shekh.
      Na pia suala hilohilo la kumbidaisha Shekh Hajuur ni suala la khilafu kama hilohilo la kumbidaisha shekh Muhammad imam lakin angalia huyu shekh jinsi alivoamua kushika kundi na wakati huohuo analalamikia umakundi

    • @nasibuathmani7015
      @nasibuathmani7015 11 днів тому

      Baarakallah Sheikh abuu mus ab,

  • @IBNMAIINMEDIA
    @IBNMAIINMEDIA 12 днів тому +2

    NYIE MNAOSEMA WATU WAMEKUFA VIBUDU MNAKUSUDIA NINI ?MSIJE MKAWA MNAKUFURISHA WAISLAM!!

    • @nasibuathmani7015
      @nasibuathmani7015 10 днів тому

      Nilicho elewa vijana wengi wanajiita masalafi, lakin wanapinda ndani ya mfumo sahihi

  • @khamissehel-jr1cs
    @khamissehel-jr1cs 9 днів тому +1

    siwapendi watu wanaojifakharisha fakharisha

    • @isangombutu1491
      @isangombutu1491 9 днів тому

      Wewe uko kama mimi, siwapendi watu wanokataa ukweli!
      Allah atuhifadhi!

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 12 днів тому +1

    Mnatafuta huruma sasa

  • @malickyhussein9032
    @malickyhussein9032 9 днів тому

    Inatosheleza mja kuwa muisilamu na ukaufuata uisilamu wako kwa ufahamu wa wema waliotangulia bila kujiita wala kuitwa salafy na wala bila kujinasibisha na hao wajiitao salafi.. na ukaipata pepo
    Allah atuhifadhi

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 12 днів тому +4

    Kwanza NYIE mashekh wa kisalafy jisafisheni wenyewe kwanza alau muipate shahada mkifa. Maana hao Sufi mnaowasema tunaona wanakufa wasafii na shahada kamili. SASA MSAFI NANI HAPO?. ANAEPIGA ZOGO AKAFA KIBUDU AU MTU WA DHIKRI NA MAULID NA KHITMA AKAFA MSAFI NA SHAHADA KAMILI?!!!. majibu kwa wenye akili sio kwa wenye ukurutu wa Akili.

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  12 днів тому +1

      Akhii.. baarakallah fiyka..
      Allah subhanahu wata'alla aturuzuku elimu yenye manufaa, ulichokiandika kinaashiria kutokujua hakika katika hilo ulilolisema.
      Fuatilia kujua, Allah atuongoze!
      Baarakallah fiyka!

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 12 днів тому

      @@DhuicTz aaamin 🤲

    • @ayubahmed9490
      @ayubahmed9490 12 днів тому

      mtu alikufa kwenye Hajj au nae kafa kitandani? Soma dini uijue ndio uongee

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 12 днів тому

      @@ayubahmed9490 Hivi unauliza au unajua unachosema?!

    • @JafariMvumbagu-bf5gj
      @JafariMvumbagu-bf5gj 8 днів тому

      Tuombe mwisho mwema na makazi mazuri

  • @AbrahamanSaidi-uf1dw
    @AbrahamanSaidi-uf1dw 12 днів тому

    Watu mnatafuta upepo wa kutembea nao kama wasanii

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 11 днів тому

      C maana yake abu mu'awiya kwa dhwaahr ya mambo kasumbua hzbsalfy,so wanapewa taarifa bado murud ktk jamaa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 12 днів тому +1

    Kamsema brahiyan sana
    Sasa dini kaifanya kuwa chama kila anaempinga yy kafiri si mtu wa sunna

    • @AbdallahSadiki-z4b
      @AbdallahSadiki-z4b 3 дні тому +1

      Acha Uongo wewe! Muogope Allah Na Usipo Tubia kwa Maneno yako Haya Juwa kuwa Utakuja kusimamishwa Nayo Mbele ya Allah. Mbona hatukumsikia Akimkufurisha Abuu Eid, Barahiani, Dr. Islaam N.k. kuwa Muadilifu ktk Maneno Yako

  • @jafaribenta73
    @jafaribenta73 9 днів тому

    Sasa kama huyu abuu mus'abu kasha kufa katika maskio ya watu anataka ajifufue kumbe

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 12 днів тому +1

    Muhimu kufanya vyema na kupata SHAHADA. Zogo jingii na KUFA KIBUDU Nini FAIDA ya hio elimu ya kufagia UCHAFU wakati kibudu Ni KUFA na UCHAFU. SUFI wamekufa Shahidi na shahada kamili, na wanaosemwa wanaleta Sunna tunaona wanaletea watu KUFA VIBUDU.

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  12 днів тому

      Swali: Kufanya sawa katika manhaj isiyokuwa ya sawa unadhani inawezekana akhy?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 12 днів тому

      @@DhuicTz Mimi katika Moyo wangu naamini wale wenye mwisho mwema kabisa inawezekana Sana manhaj Yao ipo Sawa pengine Sisi hatujui. Hao Sufi wanaosemwa USIKU na mchana mashekh zao mbona wanakufa kwa shahada?!. La ajabu Zaidi niliopata kusikia, wapo wanaoaga haswaa sku 3 kabla au wiki kabla au pale wanashahadia wanasema haya natoa shahada ya mwisho Mie ndio naondoka, akimaliza shahada tu hayupo KWELI. MBONA MISHEKH WA KISALAFY MPAKA WANAAMBIWA HASWA TAMKA SHAHADA INAWASHINDA HATA KUITAMKA ?!!!. 🤔 Abuu MUAWIYA KIBUDU. subiri nikuhesabie kwa dalili haswa niliosikia kamili, SHEKH Abdallah Farsi AMEKUFA chooni Oman. SHEKH nasour BACHU kafa kwa kurogwa bubwini na shahada kaikosa na mwisho wake akitolewa usiku kugagwa, shekh Saidi njugu ambae Ni SHEKH WA shekh nasour bachu nae baada ya mjadala mwingi Na SHEKH habibu Haji kombo Sufi waliomba DUA kwa pamoja Hao wawili KUWA mnafiki Afe ndani ya wiki, basi alikufa shekh said njugu salafy kwa kugongwa kwa beskeli Bahati mbaya ubongo ukavuja damu kafa bila shahada wakati SHEKH habibu Sufi kwa miaka mingi akafariki kwa shahada, SASA hata tukijificha, vigezo vyetu wanakufa vyooni JE Sisi WAFUASI. Tujichunguze, hili dhehebu letu kaanzisha imamu gani naona kizungu zungu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 12 днів тому

      @@DhuicTz Hivi Ni vipi manhaji Safi ikose shahada Na manhaji chafu ifaulu ahadi ya Mtume saw?

    • @BakariOmari-tr8cy
      @BakariOmari-tr8cy 12 днів тому

      Hiv wewe wajielewe wewe

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 12 днів тому

      @@BakariOmari-tr8cy ningekuuliza weye Hilo suala.

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 12 днів тому +1

    Et Dr islam 😂😂 nyie vip

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  12 днів тому

      Amefanyeje?

    • @user-pi4mv4vd5k
      @user-pi4mv4vd5k 12 днів тому

      Eti ni salafy ?​@@DhuicTz

    • @dawud6065
      @dawud6065 12 днів тому

      ​@user-pi4mv4vd5k
      Na'am.. Daktur Islam ni Salafy na hakuna shaka juu yake.

  • @isihakamgeta5433
    @isihakamgeta5433 12 днів тому

    HUYU ABUU MUSW'AAB NDIE ALIEFUMANIWA NA MWANAFUNZI WA CHUO ???

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 днів тому

      Acha kutafuta fitna sheikh hayo yanahusiana nn hapa!? Unaweza kuleta ushahidi wa kisheria dhidi ya madai yako!? Ww huna aibu zako kwa nn usihesabu aibu zako. Acheni fitna ktk umma huu

    • @LautaroIshak
      @LautaroIshak 11 днів тому

      Msitir muislam mwezio

    • @alfaroukshabani6445
      @alfaroukshabani6445 11 днів тому

      Leta mashahidi wanne lasvyo bakora 80

    • @isihakamgeta5433
      @isihakamgeta5433 11 днів тому

      @@alfaroukshabani6445 Ningesema kazini hapo ulikuwa na haqq ya kuniomba ushahidi, kingine Mimi nimeuliza au ukuona question mark????

    • @isihakamgeta5433
      @isihakamgeta5433 11 днів тому

      @@mbjunior166 ULITAKIWA KUJIBU TU NDIE AU SIE , MIMI SIJAMTUHUMU BALI NIMEULIZA AU UKUONA QUESTION MARK???

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 12 днів тому

    Ifike wakati na huyu kasim mafua na yy mashekh wamtenge
    Kwa sababu hayupo kidini
    Yy kila siku anawatowa watu kwenye uislamu sahihi

    • @AbuuSumayyah-rh7oi
      @AbuuSumayyah-rh7oi 11 годин тому

      Kabla yakuihesabu kuisubiri siku ya kasim mafuta kwanza ungeli ihesabu kuisubiri siku yko kwanza
      Na nataka nylijue hili yakwamba abl faadhil kasim mafuta ni neema katka neema za الله تعالى kwetu ikifika muda itaandoka bila ya wewe kutamani hilo