Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Radd kwa abuu rajabu .na ujinga waloufanya mashekh wakisalaf ktk kadhia ya abuu mus,abu adamu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2022

КОМЕНТАРІ • 66

  • @user-yy6vy4xu2s
    @user-yy6vy4xu2s 7 місяців тому +2

    Allah akuhifadh Abuu Muawiya.

  • @kichachu6391
    @kichachu6391 Рік тому +5

    العجب من هؤلاء القوم أن المخالف إذا كان من جماعتهم يلتمسون له ألف عذر وإن كان من غيرهم وإن احتمل أمره ألف صواب يحملونه على أسواء المحامل إذا لم يكن صنيعهم اتباع الهوى فما أدري ماذا يكون؟

  • @user-jy2lo6gl9u
    @user-jy2lo6gl9u 7 місяців тому +1

    Endeleeni kufyatuana mawahabi,

  • @ahmednurhussein3872
    @ahmednurhussein3872 Рік тому +4

    Sis ni masalafy alhamdulillah na hatukujui wala hatuna haja ya kukujua mana naona siku zote kimya ila fitna tu imekufufua

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3 Рік тому +1

      Hakuna sharti la kuwa salafi mpaka umjue ww sw au nyy

    • @abuubakarihussein2664
      @abuubakarihussein2664 Рік тому +1

      Unakichaaa wewe bwanamdogo kasome. Acha kuzurura na audio za Raddi ukajidai salafi hapo ulipo HATA vitabu 40 huna Wala Hadithi 100 huna. Vujana mnaojidai masafiy acheni ujinga someni

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Рік тому +1

      salafi gani yupo youtube
      we ni muhuni ulie vamia dini hujuw unaenda wapi
      nenda zako uko na hizbiii lako kasim mafua

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 місяці тому

    Mpk mtakaporudi katika usalafi wa kweli muache ujadida

  • @jumanneissa7118
    @jumanneissa7118 Рік тому +3

    Jamaa liongo hili

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Рік тому +1

    Kimeumana

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 Рік тому +3

    Kakosea kweli lakini wewe pia umepinda ndio maana hutambuliki umekaa vichakani

  • @abdulkarimmussa8795
    @abdulkarimmussa8795 Рік тому +2

    Wewe kichaa

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 Місяць тому

    Jirongo hili sana

  • @saadatualdaaraeni1369
    @saadatualdaaraeni1369 Рік тому

    Yaani kumbe na nyinyi muna uchungu na kutukanwa wana wachooni????

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +4

    kasim.mafua si mtu wa dini
    ni maslah

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 Рік тому

    Hawa jamaa hawana adamu hata kidogo kisha wana jifanya nyisha na wema walio pita.

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Рік тому +2

    manhaji ya huyu mtu ni yapi?

  • @aboumuqbil2529
    @aboumuqbil2529 Рік тому

    Yaani maneno ya mtu mwenye kutafuta elimu tu basi usiyalinganishe na huyu kijana, naona sauti kama ya mrehemu nyundo

  • @sheikhomarabeid3246
    @sheikhomarabeid3246 Рік тому

    Hakusema sheria hazitekelezeki bali kauli yake ni sahihi mtume sallah llahu alaihi wasalama kasema ..zina inamafungu manne na hapana budi mtu itamsibu moja ni zina ya machoo....

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  Рік тому

      Kuna watu wana ufahamu mbaya .mm maalm spend kuhojiana nao.

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  Рік тому

      Mwanzo hukutaka kuelewa bal ulkuja kjazba. Natuhuma kla kla niustaraabu .ndo utafka mahala

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Рік тому +2

    Wamegeuka mapapa razi wanakulana wao kwa wao sasa

  • @jumanneissa7118
    @jumanneissa7118 Рік тому

    Ukiwewe kijaa kweli bc kunakuchaa zaid yako

  • @almurajjabuaswabbu250
    @almurajjabuaswabbu250 Рік тому

    waache wakamatane

  • @shurahbiil9988
    @shurahbiil9988 Рік тому +2

    مفتون huyooooooo

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3 Рік тому +1

      Akhiy usiwe km bendera yafuata upepo kuwa Ni mwenye inswaf ktk mas'ala km haya, kwasababu kuna khilafu ya wanawachuoni khwy ww usianagalie upande unaoutaka tuu anagalia na upande mwengn amabao Kuna wanawachuoni wakubwa km sheikh fauzan na wengn

    • @shurahbiil9988
      @shurahbiil9988 Рік тому +1

      Maftuun haooooooooo

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Рік тому

      kataaaa majadida wa kasim mafuaaaa hizbiiii

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Рік тому +2

    abuu mu'awiah hassan bin awadh manhaji yake ipi mimi simjui na wala sijawai kumsikia na hata kumsikiliza ? naomba kufahamishwa, atakayenifahamisha shart awe salafi asiwe hajawilah tafadhali

    • @abuubakarihussein2664
      @abuubakarihussein2664 Рік тому +2

      Kuwanadabu Yamaneno unawajuwa mashekhe wote Wewe. Tatizo vijana mnakimbilia mambo makubwa wakati Bado ndimi zenu zimekufaa. Unaweka Shart atakae kweleza awe salafi Wewe usalafy unaunuwa Nini❓

    • @mwalimuyussuph6469
      @mwalimuyussuph6469 Рік тому

      @@abuubakarihussein2664 huyo mlinganizi simjui na naona hana faida ktk da'awa hii mubaaraka

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3 Рік тому +1

      @@mwalimuyussuph6469 Hana faida au hutaki kupata kutoka kakwe kwa taasubi zenu

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3 Рік тому

      @@Abuuabdillah259 hhhh naam ndio amefitinika kwa fitna ambazo nyy swaafika mmemtia lkn kwa ukweli usioutaka ni kwamba hana kosa lolote na Kama fitna ya Muhammad imam Kuna wanawachuoni wametoa ruhusa ya watu kusoma kwake na kumpa udhuru kutoka na hali ilivyokuwaa hivyo ww ukimwita abuu mu'awiyah bc ww umewafitinisha wakubwa km sheikh fauwza na wengine

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Рік тому

      kwani we salafi
      au mavi ya mbwa
      salafi yuko youtube kanye uko

  • @bilalhamisisalim1469
    @bilalhamisisalim1469 Рік тому

    ساقط!

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +1

    Hongera kwa elimu shekh abuu muawiya
    Bora ulipo wabainisha hao majadida

    • @ManhajSalafZanzibar
      @ManhajSalafZanzibar  Рік тому +1

      Allahu amlepe kher mwalmu wetu ampe umri mrefu wenye kher nayy aamni

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Рік тому +1

      @@ManhajSalafZanzibar
      HUYO HIZBU AKUINGIZA MKENGE NAWE WAITIKIA FAHAMU : HAKUNA KITU CHAITWA JADIDA.. !!!

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому +2

    WAONGO NYIE NA KUNDI LENU LA QASM MAFUTA
    MBONA NYIE MWAWASEMA WANAZUONI?
    MMESAHAU MWAMTUSI SHEIKH YAHYA BIN ALLY ALHAJUURY?
    AU SHEIIKH YAHYA SI MWANZUONI!
    MCHENI MOLA WENU NA MSEME YALIYO SAWA!!

    • @abjalinaali9216
      @abjalinaali9216 Рік тому

      Hawa mahizibi Allah awaongoze na wamuche Allah kwa kuwatukana wanawachuoni wakubwa

    • @jumanneissa7118
      @jumanneissa7118 Рік тому

      Unawazimu wewe loo hata yahaya hajuly hujui wanazuoni walivyomzungumzia kuhusu kadhia yake hadi utaje shekh kasimu hivi unafikili shekh kasimu hua anaropoka hovyo kitu ambocho hajui eti bc humjui ndoomana unaogea kuhusu hajuly hufahamu kitu na aibu kutojua kadhia ya hajuly ispokua utakua mjinga au husomi hufatilii wanazuoni

    • @mohamednaimadam2690
      @mohamednaimadam2690 Рік тому +1

      Jumanne naona ww ndio humjui Sheikh Yahya alhajuury Allaah amuhifadhi wala hyo Qassim mafutah, ameulizwa sheikh Swaleh aluhaidaany Allaah amrehemu aliulizwa kuhusu Sheikh Yahya kama Sheikh amesababisha fitna ktk Yemen !!
      Sheikh aluhaidany رحمه الله akasema Sheikh Yahya anahesabiwa ni ktk wanazuoni wa hadith na ni khalifa baada Sheikh Muqbil Allah amrehemu na ameona kheir nyingi kwako ... na Sheikh Swaleh akasema Sheikh Yahya ametufanyia ziara ss ktk mji wetu wa luheidaan Saudi arabia na Sheikh رحمه الله Akamsifia sana

    • @mohamednaimadam2690
      @mohamednaimadam2690 Рік тому

      Na Kuhusu Qassim anajua manzila ya Sheikh Yahya Allah amuhifadhi lkn ni kule kuficha mambo ya taasisi na kukimbilia fitna Ya Abdurrahaman Aden . Na uthibitisho wa hilo ni pale mmoja wa masheikh zenu alipoenda pamoja na MAFUTA ktka ibada ktka mji wa Makka ktk Miaka ya karibuni Alishangazwa !! na kitendo cha Qassim baada ya kumuona Sheikh Yahya akamkimbilia sheikh Yahya na kumfurahia na kumsalimia na akamjulisha jamaa yake kama yule ni Sheikh Yahya na sifa kumpatia ( hali ya kuwa huku tz anamsema vibaya)

    • @jumanneissa7118
      @jumanneissa7118 Рік тому

      @@mohamednaimadam2690 ndugu tafuta mtu wakumuongopea kuhusu yahaya sio Mimi Allah amuongoze huenda kweli hujui au hufatilii nimemaliza Sina haha yakubishana nawewe Wala sitokujibu tena