Subira jamaniii sasa ni uamuzi gn huo uliouchukuua??? Yaani mpkaaa mimi pia nimelia😢😢😢 kwanini subira, jamaniii hili ni funzo kwetu sisi wanawake ila kungwi dume we ni Atari ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉👌💪✌️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
,,,,,😂😂😂😂jamani Ibrah kiboko yan unamsikiliza mtu Kwa Makini amalize halafu kichambo kimuhusu asante kwa mafunzo yko hakika tunajivunia kwako🎉🎉🎉🎉 MMA tu,,,,,kazi nzr Mola abariki kazi ya akili yko🙏🙏🙏
Weee kungwi kiboko 😂😂😂mm naivunja iyo cm, mwanzo umenikumbush nilikuja nikaona test kwa cm yangu nikiichukuq nikaitia kwa mkojo nilikua nimekojoa mkebeni 😂😂😂
Kungwi dume wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie,sasa mbna hizi za waarabu twawatandikia twawafulia chupi na hadi boxer za wanaume twafua hii yaitwaje kitaalam ju mm sielewi
Na ao walokuwepo arabuni utazani km wana ulizwa wapo wapi baada ya kutoa mafunzo na maoni pmoja na ushauri wao wana eleza hulka za warabu km wame ulizwa
Good job mme wangu mungu azidi kukupa nguvu na hekima na uwezo wakufunza watu mambo mengi nakupenda sana ❤❤❤❤❤mpenzi wangu
Hii ni Zawadi kubwa ya mwaka mpya,,, Thanks TheDone!! 🙏
tulisubiri kwa hamu asante sana
Nimefika team hamamu😂😂nioon tujifariji😂
Tupo tumejaa😂😂
tupo
Yupo tele😂😂😂
Tuko tele
Tunakupenda sana
Subira jamaniii sasa ni uamuzi gn huo uliouchukuua??? Yaani mpkaaa mimi pia nimelia😢😢😢 kwanini subira, jamaniii hili ni funzo kwetu sisi wanawake ila kungwi dume we ni Atari ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉👌💪✌️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MashaLLAH humu tu kz nzuri kungwi
Ushauli na kichambo juu😂😂😂
Tem strong mpoo mm nawakilisha kutok omani suriiiii mojaa
Hiyo nyimbo nimeipenda Wallah ❤❤❤❤
Asante san kungwi kwa mafunzo yako ❤
Kungwi kaz safi maashallah njoo kenya likoni 😂
@@aishaslm 😅😅😅
nimefuka team sulusi
Hakika mafunzo mbadala kabisa.hongera kaka.
Ndio ukae na huyo kaka maana uliyataka
,,,,,😂😂😂😂jamani Ibrah kiboko yan unamsikiliza mtu Kwa Makini amalize halafu kichambo kimuhusu asante kwa mafunzo yko hakika tunajivunia kwako🎉🎉🎉🎉 MMA tu,,,,,kazi nzr Mola abariki kazi ya akili yko🙏🙏🙏
Sehemu hii imeniliza jmn daaah😢
😂😂😂simu iweke kwenye kisosi ifunike na kitambaa mpe kwa mahaba
Jaman sio kwa kichambo hicho kungwi ww
Asante kungwi kwa mafunzo mazuri
Kungwi nitakuita cku nikipata mume uje unifundishe maan mafundisho yako ni mazuri snaa
Mafunzo mazuri sana❤❤❤
yaan ukae chumba cha mwanaume haahaha akuachee ushajifungua sepa unaendelea kukaa unsbr nn kama si kubakwa 😂
Hongera kungwi Dume kwa ilmu
Kazi nzurii🔥🔥🔥
😂😂😂😂nimecheka lbra the don mchipuko unaambiwa nyamaza mkewangu anapiga simu
Shida brother Unachelewa sana kutoa Hivyo Vipande Vya Movie Mpaka Inakatisha tamaa ya Kuiangalia
Watu walala UA-cam ❤❤❤❤❤
Subira Akili zake Yani ukae chumba kimojq siku zote na mwanaume akuache ,,Lia umeyataka na pole😢😢😢😢
😂mwenzie anahamu zake
😂😂😂 ndo aish nae wajenge familia 😂😂
Kutoka Tanga wakwanz❤
Subira uenda akarud mjin akiwa na mimba ya ibrah
Subira😥😪😫😫😓😢😭
Mashallah ❤❤❤
Nimekuwa wakwanza leo
𝚢𝚊𝚗𝚒 𝚞𝚗𝚊𝚏𝚞𝚗𝚍𝚠𝚊 𝚞𝚔𝚞 𝚞𝚗𝚊𝚌𝚑𝚊𝚖𝚋𝚠𝚊 😂
😢😢😢😢
❤❤
Warabu tena😂😂😂😂
Kugwi dume kwa kuchamaba 😂😂
Mshahara wa dhambi mauti😢😢😢.
Jamani kungwi dume nakuomba uje uwafunde hawa warabu 😢😢😢😢 plz maaana nimtihani kiukweli ku. Shazimina kutoka omani😊😊
😂😂😂😂warabu tena
Kungwi dume akifika kwako nishtue apitie na kwangu hapa bahla mana 😂😂😂😂😂
Umenifanya nimecheka kwa saut ujue😂😂😂
Kweli ju hata kitanda Cha mumewe hajui kutandika
Kwani kawaajili kufanya nini si mufanye kazi zake 😂😂
Kaka hongeta
Weee kungwi kiboko 😂😂😂mm naivunja iyo cm, mwanzo umenikumbush nilikuja nikaona test kwa cm yangu nikiichukuq nikaitia kwa mkojo nilikua nimekojoa mkebeni 😂😂😂
😂😂😂😂
Mkebe ndo nini ule tunaoita kampasi ya school ya kutia pen 🖊 na pencil
Assalaam alaykhum warahmatullaah wabarakaatuh
@@DelightfulPenguin-wk4kv waleikum Salam
Wlkm mslm warahmatulah wabarakatu
Subira😢😢😢
🤩🤩🤩
Kungwi dume wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie,sasa mbna hizi za waarabu twawatandikia twawafulia chupi na hadi boxer za wanaume twafua hii yaitwaje kitaalam ju mm sielewi
Itabidi kila unachokitandika upite kukilalia😂😂
Usijal mpz ndio hali y kutafuta hawa mayaudi hawajui lolote kubweka2....mm nayapitia yote dad
Hapo uko kazin na wao izo Kaz hawaziwez ndio maan umeajiriwa
@@MahmoodAlghefeili ndo nifue boxer na chupi zilizo chafuka katikati
@@FatimaAli-of4gh nashindwa kujizuia 😂
Na ao walokuwepo arabuni utazani km wana ulizwa wapo wapi baada ya kutoa mafunzo na maoni pmoja na ushauri wao wana eleza hulka za warabu km wame ulizwa
𝑵𝒊𝒎𝒆𝒘𝒂𝒊 𝒂𝒇𝒂𝒅𝒉𝒂𝒍𝒊 😂😂😂
Wajna namie leo nimewai mpka sasa watu 17leo watu wapo krismas 😂😂
@Fathasssane-vs2th 𝑛𝑎𝑘𝑤𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑢 ℎ𝑎𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑏𝑢𝑛𝑑𝑙𝑒𝑠 𝑙𝑎𝑏𝑑𝑎😛😛😛
Asante Sana
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wa4😂
Jamn kungwi kweli njo naungangan na rim hamam huku omani hebu njooo nipo tayar kukuchangia nauli
Asante san kungwi kwa mafunzo yako ❤
Shida brother Unachelewa sana kutoa Hivyo Vipande Vya Movie Mpaka Inakatisha tamaa ya Kuiangalia