Nimeshinda Green Card Lottery kwa MARA YA KWANZA kuomba DV LOTTERY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 лют 2023
  • Mshindi mwingine wa GREEN CARD LOTTERY toka TANZANIA, Placidia anaondoka usiku huu kuingia Marekani baada ya kupewa Immigrant Visa (Green Card).
    Placidia aliomba Green Card Lottery tokea Tanzania mwaka 2021 na matokeo yakatoka 2022. Hii ilikuwa Mara ya kwanza kuomba na kushinda kwa mara yake ya kwanza tu.
    FULL INTERVIEW IPO UA-cam / ebmswahili
    Kwa mlioomba mwaka jana, Matokeo yanatoka Jumamosi, May 6, 2023.
    Nafurahi kuona wanaoshinda ku-share ushindi wao na kuwa encourage wengine nao waombe na wafanikiwe. Tokomeza roho mbaya. Share information za opportunities kwa wengine, ili nao wanufaike.
    Placidia hivi karibuni atafungua youtube channel yake yenye kuelezea kiundani safari ya maisha yake, na maisha mapya ya Marekani kama mshindi wa DV LOTTERY.
    Please FOLLOW Placidia kwenye intstagram account yake / madampula
    #ebmswahili #ebmscholars #dvlottery

КОМЕНТАРІ • 33

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 Рік тому

    Kazi nzuri sana EBM unafungua macho watu wengi👏🏿👏🏿👏🏿
    .
    🇹🇿

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 3 місяці тому

    Mungu ni mwema San wajina wangu

  • @alexndabatinya7953
    @alexndabatinya7953 Рік тому

    Hongera Ernest kwa kazi nzuri. Unatuelimisha vilivyo. Nasubiria matokeo ya greencard 2024. Uliniongoza kuomba kupitia video zako. Ubarikiwe sana mkuu

  • @reginalewiston72
    @reginalewiston72 Рік тому

    So much happy , one day yes to me r

  • @harriethkalindili7980
    @harriethkalindili7980 Рік тому

    Hongera sana Placidia I feel your happiness thanks God!

  • @bebick3724
    @bebick3724 Рік тому

    Wooow....!!! Hongera sanaa... Sister Amefurahiii Kweri kweriii....!!! 🤗

  • @michaelkomwiswa7048
    @michaelkomwiswa7048 Рік тому

    EBM tusaidie ulete pia wana Uganda tafadhali, asante kwa video hii

  • @edrayayoub1600
    @edrayayoub1600 Рік тому

    Hongera sana ccta, hata mm nasubiria majibu niliomba kupiyia EBM

  • @pascalnduwayezu6704
    @pascalnduwayezu6704 Рік тому

    I love EBM 💚👍

  • @benedictalex6838
    @benedictalex6838 Рік тому +1

    duuuhh......jamani emb naomba la izo video, zipo nying mnoo. naomba link please

  • @martinbarasa3442
    @martinbarasa3442 Рік тому

    Hongera ebm na dada

  • @jonathanofficial7350
    @jonathanofficial7350 Рік тому

    Nafurahi saaan EBM nawapenda saaan

  • @njorok7368
    @njorok7368 Рік тому

    Karibu Tulane kazi bila kupumzika

  • @user-qq4pc6en3b
    @user-qq4pc6en3b 9 місяців тому

    Jamn mbona washindi wengi ni ma single inamaana ma single parent and family is difficult kuwin

  • @pascalnduwayezu6704
    @pascalnduwayezu6704 Рік тому

    EBM ni mtu mzima na ukweli

  • @hustle7751
    @hustle7751 Рік тому

    Asalam Alaykum kaka nilikua naomba kujua jinsi ya kua apply Green card 🙏

  • @angeltafawa3936
    @angeltafawa3936 Рік тому

    kwan matokeo yameshatoka?mm niliomba 2022 miezi ya mwishoni

  • @Bambad07
    @Bambad07 Рік тому

    KAKA EBM NAOMBA KUFANYA MAHOJIANO NA WEWE NINA MASWALI MENGI YA KUKUULIZA BAADA YA KUPITA VIDEO ZAKO 700

  • @mohamedialliy1974
    @mohamedialliy1974 Рік тому

    Tangulia tunakuja

  • @chinamilenas3375
    @chinamilenas3375 Рік тому

    Aliomba lini?

  • @Hancymtembo
    @Hancymtembo Рік тому

    Ebm uliwajazia watu gree card wameshinda wangapi?

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Рік тому

    🇹🇿🇹🇿

  • @PabloIify
    @PabloIify Рік тому

    Mimi nliomba mwaka jana,mwezi wa kumi,majibu lini?

    • @kimenyialain7339
      @kimenyialain7339 Рік тому

      Majibu ni tarehe sita mwezi wa tano ,itakuwa jumamosi

  • @mohamedialliy1974
    @mohamedialliy1974 Рік тому

    Tunatoboa hii

  • @rodgersvenance3153
    @rodgersvenance3153 Рік тому

    Mimi nataka kufahamu kama elimu yako ni ya A level kwa Tanzania nina uwezo wa kuomba green card lottery

    • @isakamdemu8610
      @isakamdemu8610 Рік тому +1

      Yah unawez maana wanatak High school na kuendelea na kama hauna high school uwe na working experience ya miak 2. Sasa high school ndio A level kwa Tz🤗

    • @isikesamike
      @isikesamike Рік тому +1

      Pamoja na Isack kukujibu nakushauri usiwe mvivu wa kutafuta taarifa. Swali lako linayo majibu kabisa kupitia video clips za EBM. Ameeleza mengi mengi sana kuhusu na DV Lottery.

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 Рік тому +1

      Hongera sana binti.Namuombea mwanangu pia apate In sha Allah 🤲

    • @ussiussi3413
      @ussiussi3413 Рік тому +1

      Hakuna kigezo cha elimu kwenye kuomba green card lottery, kila mmoja ana haki ya kuomba na hakuna maulizo ya elimu yako wakati unafanya maombi, hivyo basi anaweza kupata mtu yeyote yule kulingana na bahati nasibu kwa upande yako (lottery).

  • @raffeiystar2870
    @raffeiystar2870 Рік тому +2

    Interview hajafanya anasema anajiandaa kwenda US daah mungu awe nae hiyo alhamic