Sorry Mr EBM ivi ukifanya usajili wa kuomba Green Card upo na familia unajisajili ww pekee yko Particular ama unajumjuisha kw zote utaposhida ndo unawafanyia process na ww pia
Kuna video ya alie shinda alisema kama una familia yaan umeo na una watoto wako sio wa mjomba au rfk una waambatanisha kuanzia mwanzo. Usije waongeza baadae kwasababu wanaweza kukukatalia mazima yaaani utafungiwa kwenda yues kwa namna yeyote
Usi hongope wa2 ikiwa fasi garama iko juhu na mushahara tofahuti mbona akuna rahajabu apo tatizo unahongea kama unakimbizwa sorry mm si mtanzania najuwa ndo mutahanza kuhongea ujuwi kuhelewesha mbari unawapa wa2 huhoga 2 savile ww mujanja
EBM Congratulations God bless you but one day my long dream will come true one day God Willing
Mwafrika huyu anatupa habari muhimu sana, kazi yako twaifuatilia tukiwa yumbani
Kenya
Asante Kaka kwa kusaidiya waafrica
Mungu akubariki
I am grateful for u, unafanya kazi nzuri sana. Very educative and informative
Asante sana kaka ebm kwa elimu nzuri 🤜🤜
Nakubali uncle tuko pa1
Shukran mkuu kwa kutujuza
EBM je ,tayari umepata host na adrees,je huwezi mtumia huyo host akakitafuti apartment badala ya kufikia kwake,ukakulipia kisha ukifika ukamrudishia pesa?
Tunashukuru kwa kulifahamu hili
Asante Mr ebm
👊👍✌️.
watoto wanalipwa pesa ngp
Leta kama tulivyo 😅😅
Sorry Mr EBM ivi ukifanya usajili wa kuomba Green Card upo na familia unajisajili ww pekee yko Particular ama unajumjuisha kw zote utaposhida ndo unawafanyia process na ww pia
Kuna video ya alie shinda alisema kama una familia yaan umeo na una watoto wako sio wa mjomba au rfk una waambatanisha kuanzia mwanzo. Usije waongeza baadae kwasababu wanaweza kukukatalia mazima yaaani utafungiwa kwenda yues kwa namna yeyote
😂 kweli broo umekuwa mjanja wa mbele hadi nakuonea wivu.
L
Usi hongope wa2 ikiwa fasi garama iko juhu na mushahara tofahuti mbona akuna rahajabu apo tatizo unahongea kama unakimbizwa sorry mm si mtanzania najuwa ndo mutahanza kuhongea ujuwi kuhelewesha mbari unawapa wa2 huhoga 2 savile ww mujanja
Toa ushamba ww komaa nakwenu
Uko sure hii n lugha ya kiswahili umetumia kukoment
@@liberatusjackson5045akasikie vibaya na uko
Sorry EBM Tofauti ya issue Apartment or house bei Mji midogo na Mji Mikubwa Ipoje Plz ideas
hakuna mtanzania anayeandika kiswahili kama wewe aisee