Namshukuru Mungu Kushinda DV LOTTERY. Ni zamu yako kuomba, usikate tamaa hadi upate

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Mshindi mwingine wa GREEN CARD LOTTERY toka TANZANIA, Placidia anaondoka usiku huu kuingia Marekani baada ya kupewa Immigrant Visa (Green Card).
    Placidia aliomba Green Card Lottery tokea Tanzania mwaka 2021 na matokeo yakatoka 2022. Hii ilikuwa Mara ya kwanza kuomba na kushinda kwa mara yake ya kwanza tu.
    FULL INTERVIEW IPO UA-cam / ebmswahili
    Kwa mlioomba mwaka jana, Matokeo yanatoka Jumamosi, May 6, 2023.
    Nafurahi kuona wanaoshinda ku-share ushindi wao na kuwa encourage wengine nao waombe na wafanikiwe. Tokomeza roho mbaya. Share information za opportunities kwa wengine, ili nao wanufaike.
    Placidia hivi karibuni atafungua youtube channel yake yenye kuelezea kiundani safari ya maisha yake, na maisha mapya ya Marekani kama mshindi wa DV LOTTERY.
    Please FOLLOW Placidia kwenye intstagram account yake / madampula
    #ebmswahili #ebmscholars #dvlottery

КОМЕНТАРІ • 25

  • @begashealphonce9360
    @begashealphonce9360 Рік тому +4

    Yaani, dada mshindi ongera sana. EBM pia tunakushukuru sana, mimi ni me apply mwaka 2023 to 2024

  • @mariazakayo3610
    @mariazakayo3610 Рік тому +6

    Mungu atujalie nasi tushinde

  • @afriusfamily74
    @afriusfamily74 Рік тому +1

    Wow, hongera sana dada. Tunafurahi kuona watanzania tunazidi kuongezeka huku. Kaka EBM uzidi kubarikiwa. Here your Tanzanian sister watching from Utah broh, full support, stay connected 😊.

  • @mohamedialliy1974
    @mohamedialliy1974 Рік тому +2

    Ebm tunashinda WENGI usihofu

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 Рік тому

    👏🏿👏🏿👏🏿
    .
    🇹🇿

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Рік тому

    Congratulations ❤

  • @emanuelimola4721
    @emanuelimola4721 Рік тому +1

    Hongera

  • @innocentmuhoza1024
    @innocentmuhoza1024 Рік тому

    I connect

  • @allymjaka7255
    @allymjaka7255 Рік тому +1

    Hongera sana dad na pia EBM ubarikiwe sana

  • @Vees12
    @Vees12 Рік тому +1

    Hongera sana my dear

  • @deejaykigasti
    @deejaykigasti Рік тому +1

    Congratulations 🎉

  • @daktariwakienyeji
    @daktariwakienyeji Рік тому

    Congratulations 👏👏👏👏👏👏

  • @HamidSalum-b1z
    @HamidSalum-b1z 11 місяців тому

    Mungu akunyosheee ndotoo zakooo

  • @yussufabdi2710
    @yussufabdi2710 Рік тому

    Ebm.
    Naitwa Yussuf na nimeomba green card 2024. Nipo nikisubiria majibu. Na je Kam sikufanikiwa na green card njia gani nyengine as a commis chef experience nawezaje kuja USA.

  • @michaelkomwiswa7048
    @michaelkomwiswa7048 Рік тому

    Mungu awabariki nyote

  • @upendokweka6845
    @upendokweka6845 Рік тому

    Hello Ernest, I'm looking for scholarship visa please help me

  • @Sam_2drippy
    @Sam_2drippy Рік тому

    Bro am currently on the process of applying dv lottery 2025 ,need help

  • @emmanueljames2895
    @emmanueljames2895 Рік тому

    Ofisi iko wapi bro.nam nataka kuomba

  • @honoreabel1058
    @honoreabel1058 Рік тому

    Habali yako kiongoz ivi kwa mfano umeshinda green lottery alafu hukufika form 6 itakuwa kigezo cha wewe kuto enda USA

  • @jackypaul8846
    @jackypaul8846 Рік тому

    Kaka huwa unawahost watu,Mungu anisaidie jamani

  • @stannydidasy
    @stannydidasy Рік тому

    tunakuja soon Ebm 😅