Mahojiano na Mshindi wa Green Card Lottery toka TANZANIA aingia USA wiki hii (PART 1)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Mwashy aliomba Green Card Lottery tokea Tanzania. Mara ya kwanza hakupata, mara ya pili akashinda. Hii ni safari yake ya kuomba, interview na kuingia Marekani
    #ebmswahili #ebmscholars #dvlottery

КОМЕНТАРІ • 139

  • @loveandsociety5379
    @loveandsociety5379 Рік тому +10

    Mashauz mengiii mshamba uyo ... usihoji watu wapuuz wenye manyodo

  • @jocelyneedward
    @jocelyneedward Рік тому +9

    Asante @ebm EBM, hakika ninakufuatilia Kwa ukaribu mnoo nazidi kujifunza. Lakini hapo Kwa middle name tunaomba maelezo Kwa kina kidogo. Pia interview ni nzuri. Lakini ningeshauri ungekuwa unawauliza vitu kama Gharama walizotumia, kufanya medical, wamefanya wapi, maswali waliyoulizwa kwenye viza interview, case namba walizo pata, pesa ya visa na je alilipia hapo hapo n.k Mimi ningependa kujua vitu kama hivyo binafisi. Lakini yote Kwa yote Mungu aibariki KAZI Yako na muda wako unajitoa Sana Kwa ajili yetu🙏🏽

    • @flaziaisack4038
      @flaziaisack4038 Рік тому

      Imekaa poa sana

    • @omai2crue
      @omai2crue Рік тому

      @@flaziaisack4038 Kweli kabisa kashindwa kuuliza maswali ya msingii zaidi amekua akitoa somo, Alipaswa andae kipindi maalumu aeleze maisha na changamoto ya wanaopata Green Card..Maana hapo hakuna mahojiano muda mwingi amekuwa akiongea yeye tu..!Muhojiwa anaitikia tu..Hayo si mahojiano kwa maana ya mahojiano..!

  • @fahmijape9981
    @fahmijape9981 Рік тому +17

    Mara ya kwanza ulipocheza na kukosa haikua tu bahati yako ila Middle name haikuwa sababu maana haijalishi ukieweka au usipoweka haina effect yoyote kwenye kuchaguliwa

    • @Thyme938
      @Thyme938 Рік тому

      Kwakweli, maana mi mwenyewe nikaanza kuweka viulizo, Passport yangu ina majina ma 3, na Darasani nimesomea ma 2. Nikaanza kujiuliza apo.

    • @fahmijape9981
      @fahmijape9981 Рік тому +1

      @@Thyme938 usiwe na wasi wasi jina haliwezi kukufanya usichaguliwe, vitu ambavyo vinakufanya usishinde ukikosea ni Picha na kufanya application zaidi ya mara moja

  • @mejajey1260
    @mejajey1260 Рік тому +3

    Asante kwa interview zuri ya mshinda wa Green Card, samaani kaka EBM, mimi ni Mrundi, tunaomba kama Mrundi, ufanye interview na Mrundi ambaye ameshinda Green Card.

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 Рік тому +4

    Huyu mdada mhh! anajiona ameshamaliza maisha

  • @Raphaelhopes
    @Raphaelhopes Рік тому +1

    Thank you my dady mungu akubariki san

  • @tryc_579
    @tryc_579 Рік тому +13

    Wadau samahanini sio kamati ya roho mbaya ila huyu dada anaonekana ana nyodo kanaonekana kajuaji😂😂😂😂 afu kanatudanganya eti Tanzania hatuna middle name na mbona passport zina majina matatu,nida pia majina matatu 😂😂😂 ila Asante kaka ebm umeweza tunakushuku Sana kwa interviews kama hizi

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 Рік тому +1

      tanzania middle name ipo isipokua tofauti na marekani middle name ni ya mtu mwenyewe sio ya baba, tanzania middle name ni ya baba yako marekani, Uk ni jina lako mwenyewe. yani unakua na majina yako mawili alafu la ukoo wako. sio jina lako la baba yako alafu la ukoo.

    • @odinakalinga389
      @odinakalinga389 Рік тому

      Lidada linajishauwa balaa

    • @tryc_579
      @tryc_579 Рік тому

      @@sleeprelaxation8431 Sasa ndio atuambieje hatuna middle name? 😂😂 As for me and my country hata Watu wa immigration wanajua mtanzania jina lake la kwanza ni lake la pili la baba yake( ambalo ndio linatumika kama middle name) na la tatu ni la babu yake Leo hii wanapataje ujasili wakumnyima au kumkatalia mtu visa kisa middle name 😂😥😥 doesn't add up labda walimnyima tu kwa vitu baadhi ambavyo havikukamilika ila sio middle name au lah yeye alikua anatumia majina mawili either la baba akadrop la babu au la babu akadrop la baba hapo ndio nitamuelewa Mmarekani kwa kumnyima ila otherwise Hilo la kunyimwa doesn't make sense 😏😏

    • @tryc_579
      @tryc_579 Рік тому

      @@odinakalinga389 😂😂

    • @deborahmwita9278
      @deborahmwita9278 Рік тому +1

      Hapana ndio anvyoongea ila haringi ni mtu wa watu

  • @viatorykashabizi2538
    @viatorykashabizi2538 3 місяці тому

    May mighty God bless you abundantly in His mighty name of Jesus Christ

  • @patomoe3950
    @patomoe3950 Рік тому

    Thanks Ernest Boniface Makulilo

  • @michaelkomwiswa7048
    @michaelkomwiswa7048 Рік тому +1

    Tunashukuru Bwana EBM kwa kutuelimisha

  • @jacobkabura5513
    @jacobkabura5513 Рік тому

    Hongela sana, karibu Marekani

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826

    Nakuangalia kutoka Nigeria safi sana.u inspired me with this idea of lottery i will try it.kila la lakheri katika maisha yake US

  • @samchris1914
    @samchris1914 Рік тому +2

    Huyo Dada anarembua sana,,mara hataki mahajiano si apite hv

  • @Dullah257
    @Dullah257 Рік тому +2

    Tunashukuru sana bro chanel yako inatuilimisha sana kabisa Mungu abariki kazi yako

  • @martinbarasa3442
    @martinbarasa3442 Рік тому +2

    Hongera ndungu

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 Рік тому +1

    Mmmh yaani maringo mpaka! Sasa akifika huko USA itakuwaje!!

  • @Blessingsoverme
    @Blessingsoverme Рік тому +1

    Safi sana Mwashi, Karibu sana US

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 Рік тому +5

    ila EBM hii ni professional yako, mimi interview ingeisha the first 3 minutes,, mlio elewa mmeelewa.

    • @jtheophil5499
      @jtheophil5499 Рік тому

      Ha ha ha.bora kamuweka katuonyesha ni jinsi gani kuna watu wa mambo ya ovyo.Eti tanzania hatuna middle name.mmh

  • @Vees12
    @Vees12 Рік тому +1

    Safi sana....

  • @jyboy5556
    @jyboy5556 Рік тому +3

    Siuongee vizuri maana unanyodoo

  • @Rumafrica
    @Rumafrica Рік тому +1

    HOST UNAONGEA SANA KULIKO MHUSIKA. MUACHE MHUSIKA AONGEE ZAIDI

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 Рік тому +1

    Sina uzoefu sana ila kwa kidogo nilivyoyembea maisha ya nje ya nchi sio ya raha sana kama tunavyodhani. Simkatishi mtu tamaa ila mtu ujiandae kuwa hawako free na friendly kama nyumbani. Nilikaa nchi moja kwa wiki mbili ila ilikuwa kama mwaka. Fursa nyumbani zipo pia, ni kuwaza na kuwa na nia. Home ( Tanzania) is the best place to be.

  • @evalinelaitayo8684
    @evalinelaitayo8684 Рік тому +1

    EBM naomba list ya document zinazohitajika I need green lottery card

  • @richardscofeld9136
    @richardscofeld9136 Рік тому +8

    Do 🤣ila huyo dada kiboko ashakua kemikali ☣️ kabla hata ya kuingia marekani,akiingia Sasa si atakua acid kabisa huyo , mpaka namuogopa🤣☣️☣️☣️🤷

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 Рік тому +1

      Mbona kawaida tu! Sisi tunaona tupo miaka 15 huku tofauti ni kwamba huku tunalipwa kwa saa sio kwa mwenzi na hela ipo juu. pia huku huduma ya afya ya ukiumwa wanaipa kipaumbele unatibiwa kwanza hela badaye yani human rights kwanza. Lakini pia karibu kila kitu wanakata tax ukifanya sana kazi unalipa zaidi serikalini hawachezi na tax lazima ulipe ndo mana huku kunamaendeleo sana mana hakuna janjajanja kwenye hela ya serikali

    • @richardscofeld9136
      @richardscofeld9136 Рік тому

      @@ednaJF1028 appreciate

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому

      ​​@@ednaJF1028 husemi kama watumika sana pia ili ukidhi mahitaji yako?stress za bongo kukosa ajira ni afadhali kuliko stress za kulipia kila hatua yako unayo ipita huku ukiwa under control,inakubidi ufanye kazi kupita Robert ili ulipie

    • @angelnziajose7655
      @angelnziajose7655 Рік тому +1

      😂😂😂😂 eti acid

  • @deneagrofarms5884
    @deneagrofarms5884 Рік тому

    Vipi fursa za biashara za mazao huko? I mean kutoa bongo kuleta Marekani? Na kuchukua pembejeo za kilimo huko kuzileta bongo?

  • @barakaanangisye4812
    @barakaanangisye4812 Рік тому +4

    i applied my green card lottery last year is my hope to win may 6 ,

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 Рік тому +8

    Dada ebu punguza speed, upo 120km/h wakati speed limit ni 60km/h. Nadhani umenielewa

  • @alfakisaidkilaga7605
    @alfakisaidkilaga7605 Рік тому +1

    Safi sana

  • @ramadhanipongela80
    @ramadhanipongela80 Рік тому +1

    Pamoja sana Mimi ni Balozi wako wa Kujitorea hapa Tz

  • @mohammedcharo8217
    @mohammedcharo8217 Рік тому

    EBM Mambo mazur Aki natamani sana

  • @Manlike96
    @Manlike96 Рік тому +2

    Bro tunahitaj kujua challenges watu wanazokutana nazo wakati wa uombaji wa hiyo green card jaribu kurelate na hiyo green card ili watu tupate ideas katika hilo, still haitusaidii kutupa lifestyle ya watu wa huko na the way people lives over there, bado haitusaidii bro

  • @kiki-ko8vi
    @kiki-ko8vi Рік тому

    Hapo hajafika marekani yupo hvyo

  • @issakitundu617
    @issakitundu617 Рік тому +1

    huyu bint ni mrembo na anarembua vizuri sana

  • @flaziaisack4038
    @flaziaisack4038 Рік тому +5

    Bro EBM mbona dada ameongelea kuwa Tz hatuna middle name.. Kwa hyo ile middle name tuliojaza kwenye application itatucost? May you please elaborate hii case

    • @tamicamorena3956
      @tamicamorena3956 Рік тому

      Namim najiuliza apa kanichanganya

    • @barakaanangisye4812
      @barakaanangisye4812 Рік тому +1

      kajichanganya yan kuna na middle name au kutokuwa na middle name iyo ni optional yani kushindwa kwake mara ya kwanza haimaanishi kwamba alijaza vibaya ama vizuri coz green card lottery ina chagua randomly wapo walio cheza miaka na miaka lakn hawapati sio kwamba wanajaza vibaya tena wanakuaga makini sana ili wasiteleze tena kushinda ni bahati tu ndyo maana inaitwa bahati nasibu

    • @erickmatojo317
      @erickmatojo317 Рік тому

      There is no such a thing, Green card ni lottery kama lottery zingine maana yake ni Sandakarawe, Kuwa na middle name au kutokuwa na middle name si kigezo cha kushinda au kutoshinda, unaweza jaza everything perfect ukakosa hata ten years na mwingine anaeza jaza majina tofauti na anawin. So it's just a lottery na bahati tu uliyo nayo. Tanzania tuko na middle name na ndio maana hata kwenye kujaza form kuna box ya middle name kama uko nayo unajaza kama hauna una untick hiyo box so kwenye majina yako yatatokea mawili

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 Рік тому

      Kajichanganya na mishap yake marekani ndio hawatumii middle name lakini unajaza kama kawaida ila wanakuwa kwenye ID zako wanaweka majina 2 tu

  • @deborahmwita9278
    @deborahmwita9278 Рік тому

    Congratulations Mwashy

  • @franklingwaraman9319
    @franklingwaraman9319 Рік тому +1

    Nice san ....nahitaji kujuaa aliapply mwez gani??

  • @hamadmtumba4345
    @hamadmtumba4345 Рік тому +1

    Mji gani marekani auna snow yani uko nijoto tuu natka kujua jaman?

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 Рік тому

    Mahijiano mazuri👏🏿👏🏿👏🏿
    .
    🇹🇿

  • @abednegopaul2705
    @abednegopaul2705 Рік тому +2

    Middle NAME thing?

  • @hopeantoinenzayisenga7307
    @hopeantoinenzayisenga7307 Рік тому +1

    when she applied i think applications of this year not yet out.

  • @aishadotto9667
    @aishadotto9667 Рік тому +3

    Hello! Kaka watanzania hatuna middle name

  • @jumabaranyikwa1833
    @jumabaranyikwa1833 Рік тому +1

    Hii ni hotuba ya EBM si interview maana mdada hata haongei

  • @neemathomas2008
    @neemathomas2008 Рік тому

    Huyo nimesoma nae kisutu....alikua mcharukooooo....hajaacha tu mashauzi😂😂😂😂😂 mmarekani

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 Рік тому +1

    Mwashi hongera.... Ila unakapozi kauchokozi🙄🙄🙄

  • @fadhilimbuguni5736
    @fadhilimbuguni5736 Рік тому +3

    Mbona issue ya Middle name hujubu kaka???
    Dada kasema Tanzania hatuna middle name????

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 Рік тому

    Mazee dem mwenye mdomo mzuri uyo keshachuliwa na uncle Samweli.

  • @Vees12
    @Vees12 Рік тому +1

    Alishinda ya mawaka gani jamani?

  • @bakariisack5537
    @bakariisack5537 Рік тому +1

    Kalibu utakua jilani kutokea canada vancouver

  • @herriethtz9833
    @herriethtz9833 Рік тому +3

    Mbona anajishaua

  • @saddymwamba7072
    @saddymwamba7072 Рік тому +1

    Habari mkuu mambo vipi naitwa Saad natokea Tanzania naishi DUBAI mwakajana nilicheza GREEN CARD LOTTERY ila ninachotaka kujua nikwamba majibu yake huwaga yanatokaga kwa muda gani mwezi huo huo ao baada ya muda flani naomba kujua please asante 🙏

    • @Vees12
      @Vees12 Рік тому

      Yanatoka mwezi wa tano tar 6

  • @shanirajab3567
    @shanirajab3567 Рік тому

    Alikua na usingizi au nd malembuzi😂😂😂🙌

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 8 місяців тому

    Ngoje uje huku uanze ona maisha yalivyo utanyooka

  • @alfakisaidkilaga7605
    @alfakisaidkilaga7605 Рік тому +6

    Anamaanisha nn anavyo sema Tanzania hatuna middle name msaada plz

  • @asyakhatib7942
    @asyakhatib7942 Рік тому +1

    Vile unatamani kuenda marekani ila huna mtu yoyote uko wakukupa muongozo elimu ya form four😅 na garama mpaka unafika mtaji tosha ukikumba baridi wee ushauri kwa wenye jamaa nendeni na hii furaha kwa ajili yenu wale wenzangu na mie kwanza tupambane Tanzania kuna fursa nyingi tu tafuta

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 Рік тому +1

    Huyo umemtoa wapi ajui kwanza kujibu maswsli anajifanya kuongea kizungu wakati ni mtanzania mbona makulilo Yuko vizuri

  • @arnoldmambali3770
    @arnoldmambali3770 Рік тому

    migration policy ya Canada ipoje

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv Рік тому

    Ebm nimekua mdau mkubwa sana.

  • @saadahrasheedy9468
    @saadahrasheedy9468 Рік тому

    Tz hua unatumia namba gan ninashida ya ww juu ya program ya Full bright

  • @christinemongina788
    @christinemongina788 Рік тому +1

    God's time is the best

  • @sheistheblackqueen
    @sheistheblackqueen Рік тому

    Unamaanisha middle name au maiden name?

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 Рік тому

    Ni mwaka gan hyo alishinda?

  • @MALENGWE
    @MALENGWE Рік тому +1

    Nimeelewa sana ila Mbona dada kama afunguki vizuli na kaka uwe unawauliza kuusu gharama za za medical na zingine

  • @elishajustine28
    @elishajustine28 Рік тому +2

    Huyu dada i think she is her personality

  • @zaitunirashidi5532
    @zaitunirashidi5532 Рік тому +1

    Nataman usome hii comment ""hivi umekuja kuangalia hii interview yako"?? Kama ndio na hujajifunza kitu basi wew ni nyumbu🥵

  • @zaitunirashidi5532
    @zaitunirashidi5532 Рік тому +1

    Dada Domo bayaaaaa mashauz kibao,, kuwa mpole punguza ushamba mpyuuu

  • @DanielKullwa
    @DanielKullwa Рік тому +3

    Shida moja ambayo siipendagi kuishi away from home ni, kwanza kuwa ratio profiled, kiwango cha ubaguzi mfano hapo america bado kipo sana tu. na hii inaumiza sana haswa inapokukuta na unajiona live kuwa unakuwa dehumanized hapo utaanza kusikia upweke. Cha pili making a home away from home is a process..inategemea umelenga nini. Ushauri wangu ishi popote unapoona panaweza kukalika lakini always invest nyumbani na nyumbani pabaki kuwa nyumbani tu. Ubaguzi utauelewa ikiwa tu utakutana na hiyo situation vinginevyo ni mbaya sana na isikukute.

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Рік тому

      Marekan hakuna ubaguz kiiivo sema watu wameukuza mnooooooo hasa ambao hawaish marekani

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 Рік тому

      Naheshimu mtazamo wako,ila kwa kusoma ulichoandika. Kama hukuwahi kuishi Marekani au nchi nyingine ya ugenini ni kwamba tayari kwa sababu fulani ambazo sizijui una mtazamo hasi kuhusu kuishi nje. Ratio profiling ipo katika nchi yeyote unayoishi tofauti na yako mara tu unapozungumza au kujitambulisha majina yako. Kuhusu ubaguzi ni namna mtu unavyojibeba ndivyo unavyopokelewa sasa ni juu yako wewe. Hata hizi kelele za ubaguzi unazoziona kwenye media mostly ni agenda zinakua propergated lakini you choose to be what you want. Na hata ukibaguliwa you can still stand with no violence na wakakuheshimu tatizo ni namna tunavyojichukulia na jinsi tunavyorespond to situations ndio shida. You go to the country with presumption ideas,you are definitely going to fail kwasababu ya mentality uliyoibeba.

    • @kibwananordeen3
      @kibwananordeen3 Рік тому +1

      wewe upo usa

  • @magicalfootball6369
    @magicalfootball6369 7 місяців тому

    Uyu mtoto nkitimba maeneo namtafuta😂

  • @amourhemed4343
    @amourhemed4343 Рік тому +1

    kaka habari yako naona unakuwa unachukuwa muda kupost video youtube au kuna mambo kidogo yameingiliana

  • @eddmina
    @eddmina Рік тому +1

    Kamati ya Roho Mbaya imeshakaa Kikao... hehehe

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Рік тому +4

    MWAMBIE AKIJA HUKU YUES KAMA ANA MAKARATASI WA NIGERIA WATAMPENDA NA KUMUOA ILI WAPATE MAKARATASI

    • @officialsharifa
      @officialsharifa Рік тому

      Ukimaanisha Nini makaratasi

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Рік тому

      @@officialsharifa yaani US kuna illegal migrants ambao wanakaa kinyemela so kupata kazi inakua ngumu sanaaaa sabab hawana vibali kwaio kampuni za huku hazikuajir kama huna ivyo vibali ambavyo mwajiri akiingiza mtandaon anaona taarifa zako so wanaishia kufanya mishe zile kama za kilimo au kujenga jenga nk. So ukioa mtu mwenye vibal vya kukaa uku au raia unapata izo documents .. kwaio yeye ninFursa kwa wale wanaume waso na vibali hasa wanigeria na mtu aneza kukuoa bada ya mda anakuacha sabab tayar ashapata anachokitaka . Ayo makaratas usokuwa nayo huku utaimba haleluya

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Рік тому

      ​@@officialsharifaNjia rahisi ya kupata right ya kuishi USA, Green card Sio ndo umemaliza mchezo

  • @lovelymiii1530
    @lovelymiii1530 Рік тому

    Majibu ya dv lottery yametok au 😢

  • @alfakisaidkilaga7605
    @alfakisaidkilaga7605 Рік тому

    Hiv ebm, deadline ya FLTa ni Lin?

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  Рік тому +2

      kwenye website yao hawakuandika ila mara kwa mara ni process ya kama miezi 2 hivi. Hivyo jipe deadline ya middle of April ili wao wakimaliza mwishoni mwa April wewe umesha submit

    • @vituschaila7031
      @vituschaila7031 Рік тому +1

      Kaka EBM nimekutumia ujumbe muhimu kwenye namba yako ya whatsapp marekani,Pls coz upo Tz kwasasa naomba pitia u respond ni muhimu sana

    • @samwelmabula5642
      @samwelmabula5642 Рік тому

      Kaka ebm huyu dada anamanisha nn kusema TZ hatuna middle name.

  • @officialsharifa
    @officialsharifa Рік тому

    Kaka naomba unisaidie tafadhali nije huko ps

  • @floriansimwinga3037
    @floriansimwinga3037 Рік тому

    Middle name ana maanisha nini huyo?

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 Рік тому

      Hahaha, jina ya kati ambayo ndio yako, sio ile ya kubatizwa ama ya ukoo....

  • @gidesbalunguza7152
    @gidesbalunguza7152 Рік тому

    Kaka EBM huyo dada amesema kwa Tanzania hatuna middle name is thqt true?? nakumbuka kwenye video zako hua unasema km kwenye passport au vyeti kuna middle name iandike

    • @ericknjowoka4245
      @ericknjowoka4245 Рік тому

      mi mwenyewe nina middle name kwenye vyeti vyangu vyote na nimeweka

    • @alexndabatinya7953
      @alexndabatinya7953 Рік тому +2

      Mi nachojua nikwamba. Mfano jina la
      John Joshua mwambije, kwa Tanzania ukiulizwa jina lako unataja John Joshua, ukiulizwa Surname unasema mwambije.
      Marekani
      John=First name
      Joshua=middle name
      Mwambije=Last Name.
      EBM atanirekebisha kama nimekosea

    • @silvaraphael9327
      @silvaraphael9327 Рік тому +1

      @@alexndabatinya7953
      Lakini katika passport kama unayo( middle name huunganishwa kwe jina lako na kufanya kuwa kama jina moja means yote kuwa kama first name yako), majina yako yatasomeka;
      Jina/Given name; John Joshua ( this is your first name).
      Jina la ukoo/Surname; Mwambije ( this is your last name).
      so hakuna middle name.

  • @yusuphjaivi4774
    @yusuphjaivi4774 Рік тому

    Nadhani hii haikuwa interview bali ni lecture😆

  • @emmamga5495
    @emmamga5495 Рік тому +10

    HUYU DADA ANAJISKIA ANAONEKANA NI MBINAFSI, MCHOYO HUYU MCHAGA

    • @mmasipeter4157
      @mmasipeter4157 Рік тому

      We unaukabila sana

    • @emmamga5495
      @emmamga5495 Рік тому

      @@mmasipeter4157 Sina ukabila lakin huyu Dada naona Kama anazngua ananata sana

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 Рік тому

      Sio Mchaga huyooo, MSUKUMA huyooo

  • @officialsharifa
    @officialsharifa Рік тому

    Aje kasuru afurahie kidongo

  • @omai2crue
    @omai2crue Рік тому +1

    Hiyo ni interview ama lecture?? Maana Ilipaswa uwe na maswali mafupi umwache Mgeni haojiwe yeye azungumze yeye zaidi kutoa majibu na kwa ufafanuzi..Cha ajabu wewe ndio umekuwa lecturee yeye anaitikia tu MMh Okey okey.......Tumeshindwa elewa na muhojiwa hapo.

  • @zakariauzia2293
    @zakariauzia2293 Рік тому

    Inagalama gani

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 Рік тому

    Kha!😒

  • @tinitojr4141
    @tinitojr4141 Рік тому

    Watu kama hawa ndio wanafanya nizidi kumpenda EBM, huyu dada anajibeba aiseee, na hapo hana hata mwaka Marekani, ndio maana Binafsi namkubali EBM!!

    • @frank18112
      @frank18112 Рік тому

      Umeona eeh yaani anajibeba sana... ila hizi issue ni personality ya mtu tu...

    • @tinitojr4141
      @tinitojr4141 Рік тому

      @@frank18112 Definitely, Yes.. Tabia za mtu tu, ila siku zoote kuna msemo unasema Pesa haibadilishi tabia za mtu ila ina onyesha tabia za mtu hasa akiwa nazo, kwasababu kama wewe ni mtoaji ukipata pesa utatoa zaidi, na kama wewe una tabia ya kujiskia, ukipata pesa utajiskia zaidi,, huwezi kuona EBM ana jiskia He is just a humble guy, despite kiasi alicho nacho kwa BANK

    • @frank18112
      @frank18112 Рік тому

      @@tinitojr4141 Fact mzee, watu kama hawa ndo wakifika huko they don’t like to share opportunities to others, wanawaona ambao hawako abroad kama ni lazy...