Kutana na TUMAINI, MSHINDI WA GREEN CARD LOTTERY wa mwaka huu toka TANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Tumaini aliomba Green Card Lottery mwaka jana kupitia kituo cha EBM SCHOLARS. Sasahivi anasubiria kufanya interview yake na kuja Marekani kuanza maisha mapya kama mkazi wa kudumu, PERMANENT RESIDENT (GREEN CARD HOLDER)

КОМЕНТАРІ • 65

  • @annahmukai7775
    @annahmukai7775 11 місяців тому +3

    Wow dada nimekupenda

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 10 місяців тому

    Mashaallah! Karibu sana ndugu. Mwenyezi Mungu akusimamie wewe na Familia yako nzima. ❤❤❤

  • @muhammedjuma8966
    @muhammedjuma8966 6 місяців тому +1

    Ebm tunashikuru sana kw kutuelimisha na mm ni mmoja wapo nimeomba shukran sana kutuhamasisha

  • @EliaJohn-l9q
    @EliaJohn-l9q Рік тому +3

    safi sana dada umeuliza maswali mazuri sana mungu akutangulie.see it in america for the first time

  • @annahmukai7775
    @annahmukai7775 11 місяців тому +2

    Dada Tumaini pokea salama zangu,nimpenda maswali mpaka nimelewe kabisa,nikifika America wewe ndiyo utakuwa host wangu niko 🇰🇪🙏

  • @tumaininyambita5002
    @tumaininyambita5002 11 місяців тому +2

    All the best wajina

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 11 місяців тому +3

    Hongera sana Tumaini

  • @angelalyaruu7196
    @angelalyaruu7196 5 місяців тому +2

    ❤ am so happy of you dogo.. Yaani words cant express how much am exhited for u.. nangoja yangu pia.. tutakutana Marekani dear❤😂

    • @tumainimachange694
      @tumainimachange694 5 місяців тому +2

      Thank you Angie 🎉

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 Місяць тому +1

      Unaweza ukawa mshindi ila ukaja kudundishwa kwenye interview ya Visa

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 11 місяців тому +2

    My dear KABIDHI KWA MUNGU MAANA WABONGO HEEEEEEE ,IFUNIKE KWA DAMU YA YESU

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 Рік тому +2

    Asandi dada swami lako limenisaidia sana❤❤❤ kweli hauna kujibenda mungu akutangulie mpele akulinde uwe na kipali Siku zote za maisha yako

  • @matevamusa2212
    @matevamusa2212 Рік тому +2

    Proud ebm tz🎉🎉

  • @claudeniyondiko5460
    @claudeniyondiko5460 11 місяців тому +1

    Daaah jameni raha Huku kwa EBM

  • @katieabraham2013
    @katieabraham2013 Рік тому +1

    this is very good, tunao apply mwaka huu please tumtangulize MUNGU

  • @njuka3515
    @njuka3515 11 місяців тому

    Hongera sana

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 11 місяців тому +1

    Hii kali kamati roho sijawahi kusikia inapatikana wapi sjui msije huko huko mashetani kamati roho mbaya

  • @Abdul-zx9vn
    @Abdul-zx9vn 10 місяців тому +1

    Je inahitajika elimu gani

  • @Abdul-zx9vn
    @Abdul-zx9vn 10 місяців тому +1

    Je inahitajika elimu gani?

  • @DizzoclassicSoundstz
    @DizzoclassicSoundstz 11 місяців тому +1

    Kaka mm naitaji kuomba sana ni bei gani kwako nina watoto wawili na mke nafanyeje jibu hata sms messages

  • @claudeniyondiko5460
    @claudeniyondiko5460 11 місяців тому +1

    Mkuuu zidi kutuelimisha uyu mwaka nime apply tena nategemea kupata majibu mzuri kutoka kwa green card

  • @gracekirway8720
    @gracekirway8720 11 місяців тому +3

    Fomu zinapatikana wapi jamani maana wengine hatuko Dar es salam

  • @Wesley-AK
    @Wesley-AK Рік тому

    ❤❤❤

  • @anastazia3014
    @anastazia3014 11 місяців тому +3

    Njamani siuelewi huu mchezo nifundisheni

    • @mackjr5291
      @mackjr5291 11 місяців тому

      Mcheck EBM mtu poa sana yaani simple atakueleza na kujitosheleza

  • @DizzoclassicSoundstz
    @DizzoclassicSoundstz 11 місяців тому +1

    Nisaidie na mm nicheze naona siku zinaenda mbio ebm,nafula na wengine uko nisaidie kujaza wakuu

  • @NasriAbdi-hs9hm
    @NasriAbdi-hs9hm 7 місяців тому +2

    Bidada ashasahau km yuko na mume masihara nn lazima umkatae

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 11 місяців тому

    Daah nimeioenda hiyo On Behalf of the People of UNITED STATES OF AMERICA 😂😂😂👏👏👏

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 11 місяців тому +2

    Lip stick jmn

  • @Jesusisaking1
    @Jesusisaking1 11 місяців тому +1

    Bro EBM, vipi kuhusu passport,ni lazima uwe nayo kwa usajili wa kwanza?

    • @Thyme938
      @Thyme938 11 місяців тому +1

      Hapana! Ku apply ni free, bla passport, ila ukishashinda itabidi utafute.

    • @bonifacekataga3308
      @bonifacekataga3308 10 місяців тому

      Kuomba ni free

  • @dainafranck8718
    @dainafranck8718 Рік тому +1

    Kaka naomba kujua dar unakuja lini na utakuwa hoteli gani natamani sana na mimi kujaribu kucheza hiyo green card ila sijui nianzie wapi?

    • @Thyme938
      @Thyme938 11 місяців тому

      Mbona ashakuja na ofisi yake IPO wazi!

  • @njuka3515
    @njuka3515 11 місяців тому

    Kimberly wewe ni Muha !!!! Ndio maana uko hivyo😅😅

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u 11 місяців тому

    Ijumaaa hii ndio naenda kwa EBM nishafanya mazungumzo nae

  • @NavinIsike
    @NavinIsike Рік тому

    Nyie mnao apply mjipange kifedha ikitokea mmeshinda

    • @shila9887
      @shila9887 11 місяців тому

      He he he ,mkuu embu tudokeze makadilio kama kiasi gani hvi?

    • @michaelnyandindi8461
      @michaelnyandindi8461 11 місяців тому

      ​@@shila9887visa dollar 330
      Medical kama dollar 400 ila in depend
      Nauli

  • @mafrikanws
    @mafrikanws Рік тому

    Dada ananza kuiyona marekani

  • @ConsolataAwero
    @ConsolataAwero 11 місяців тому

    Ebm shida yenu hamjibu comments.

  • @DizzoclassicSoundstz
    @DizzoclassicSoundstz 11 місяців тому +4

    Mbona siwaelewi kweni uyu kacheza tarehe iyo 24/10/2023 leo ni tarehe ngapi jamani

    • @Thyme938
      @Thyme938 11 місяців тому +1

      Aliomba mwaka Jana! Ila mwaka wa USA huanza October, so Green card ya mwaka Jana iliitwa ya mwaka 2023, means japo aliomba mwaka Jana lkn majibu ni 2023, na Interview yake ni 2023!! So wanaoomba mwaka huu, wanaomba Green card ya msimu wa 2024, japo wameomba 2023!
      Clear?

    • @Thyme938
      @Thyme938 11 місяців тому +1

      I mean mwaka wa USA wa kiserikali huanza OCTOBER.

    • @DizzoclassicSoundstz
      @DizzoclassicSoundstz 11 місяців тому +1

      @@Thyme938 thanks ww umecheza nisaidie na mm nicheze naona niko New York

    • @Thyme938
      @Thyme938 11 місяців тому

      @@DizzoclassicSoundstz sio Tatizo, wasiliana na EBM atakusaidia.

    • @DizzoclassicSoundstz
      @DizzoclassicSoundstz 11 місяців тому

      @@Thyme938 ajibu sms messages wala asomi EBM nimemtafuta sana

  • @NavinIsike
    @NavinIsike Рік тому

    Je nikiwa sina ndugu yoyote huko USA wa kunipokea inakuaje hapo

    • @Thyme938
      @Thyme938 11 місяців тому +2

      Shinda kwanza, kupata host sio tatizo, ata ukimuona Ibrahim, atakusaidia.

    • @NavinIsike
      @NavinIsike 11 місяців тому

      @@Thyme938 nipe namba yake huyo

    • @NavinIsike
      @NavinIsike 11 місяців тому

      @@Thyme938 nipe na namba yako pia

    • @devidjav3583
      @devidjav3583 11 місяців тому

      ​@@Thyme938Ibrahim ndio nani? Host wapo lakini sio rahisi kupata bro wengi wanakosa zile form za affidavit of support from the host so their process does not go well

  • @DizzoclassicSoundstz
    @DizzoclassicSoundstz 11 місяців тому +1

    Leo ni tarehe 20/10/2023 yy tayari kashinda sijaelewa nisaidieni jamani

  • @mafrikanws
    @mafrikanws Рік тому

    NAKAMA INAWEZEKANA KUFANYIA INTERVIEW KWENE INCHI YOTE ILE KUNAITAJI NINI ILI WAKUBALI UFANYI INCHI NYINGINE

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 11 місяців тому

    EBM tunaomba uzungumzie pia mfumo wa matibabu kama wewe ni mshindi inakuaje? Kuhusu elimu kwa watoto ulituambia ni Bure, je kuhusu matibabu?

  • @mafrikanws
    @mafrikanws Рік тому +2

    JE KAKA EBM MTU AKIFANYIKIWA KUSHINDA GREEN CARD ANAWEZA FANYIA INTERVIEW YAKE KWENE UBALOZI WOTE ULE DUNIANI

  • @mafrikanws
    @mafrikanws Рік тому

    MTU AMBAYE AMEJAZA GREEN CARD ILA UNAKUJA GUNDUWA KUWA UMEFANYA KOSA LA KUTIA JINA LA PILI KWENE JINA LA TATU JE AKISHINDA KWENE D260 ANAWEZA KUBADIRI NA KUWEKA VIZURI

    • @jessemwakyusa8913
      @jessemwakyusa8913 Рік тому +1

      yes jina halina impact kama umeyapishanisha, kwenye ds260 utarekebisha.

    • @mafrikanws
      @mafrikanws 11 місяців тому

      @@jessemwakyusa8913 Asante Sana ndugu je piya nilitaka kujuwa mtu AKISHINDA anaweza fanya interview na embassy ya inchi yoyote Ile afrika tafautu na inchi yake

    • @joycemhana2018
      @joycemhana2018 11 місяців тому +1

      Jina sio tatizo na baadae akishinda atajaza kiusahihi