Samahani kaka mimi nataka kufahamu kwenye working experience ni kwamba wanakuuliza tu au kuna documents watazihitaji ili kuthibitisha huo uzoefu wako naomba ufafanuzi wako kwenye hilo mfano mimi nafanya graphic ndio kazi yangu ila sijasomea lakini ndio kazi ninayoifanya
Kaka umezungumzia swala la kifo kabla hujafanikiwa kuvuka, je mtu akivuka akafika kule baada ya mwezi mmoja main applicant akafariki,inakuaje kwa wale dependant wake? Wataendelea kuwa raia kwa kigezo kipi?@ EBM SWAHILI
Hello Ernest Boniface My name is Victor Musumba am from Kenya am just asking how do you charge for photo editing for green card and DV application this year because I want to try my luck this year
One question, you apply lottery as unmarried but you married before result and you became a winner, will they allow you to go as married. Thanks for good lesson 👍
Nashukuru nimemuelewa je ukishinda bahati nasibu nawe unafamiriya na visa umepata na kama nauli haitoshi kwenda famiriy yote unaweza kwenda mtu mmoja kwanza ukatengeneze mazingila?
Hongera Ebm
Mungu akupe maisha marefu baba. Mimi nakufuatiriya nikiwa nchi ya Burundi. Napendan sana vipindi vyako
Kaka ubarikiwe sana kwa elimu unayotupatia
Maa Shaa Allah..Shukran sana. Mungu Akubariki
Kweli kaka, hao jamaa wako serious sana, na wanajua sana
Nakubali kk EBM
Asante kwa kutuelekeza wajina wangu
Hongera sana kaka kwa elimu hii utaetupatie
Leo nimetoka kwa office yako hapa Nairobi, Na tumehudumiwa vizuri sana,lakini ningefurahi sana kukupata.
Pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩
Samahani kaka mimi nataka kufahamu kwenye working experience ni kwamba wanakuuliza tu au kuna documents watazihitaji ili kuthibitisha huo uzoefu wako naomba ufafanuzi wako kwenye hilo mfano mimi nafanya graphic ndio kazi yangu ila sijasomea lakini ndio kazi ninayoifanya
Nimefurahi kweli kaka
Kaka umezungumzia swala la kifo kabla hujafanikiwa kuvuka, je mtu akivuka akafika kule baada ya mwezi mmoja main applicant akafariki,inakuaje kwa wale dependant wake? Wataendelea kuwa raia kwa kigezo kipi?@ EBM SWAHILI
Inshallah
Hello Ernest Boniface My name is Victor Musumba am from Kenya am just asking how do you charge for photo editing for green card and DV application this year because I want to try my luck this year
Je ukisha zala mtoto badaye inakuwaje
🙏🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮💖💖💖❤ thanks for your information
Tutakaa kwetu tu jamani kha!
And can you do the application for somebody
Experience nixa kazi gani?
One question, you apply lottery as unmarried but you married before result and you became a winner, will they allow you to go as married. Thanks for good lesson 👍
As long as you married b4 results in May, you are ok.
Kaka nipo nje ya Tabora na nahitaji kufanya applications ya Green card
Au Kama uko katika ndoa ukasema upo katika ndoa watuaje pia?
diplomatic inachunguza kote uko
Ukishinda Alafu uko nafamiliya kubwa unaweza ku tangulia ili upate nauli yawengine?
Dodoma Lini mtakuwepo?
Ebm nauliza, hivi watuaje Kama umedanganya? yaan Kama umesema huna Mtoto wakati unao watuaje?
Nashukuru nimemuelewa je ukishinda bahati nasibu nawe unafamiriya na visa umepata na kama nauli haitoshi kwenda famiriy yote unaweza kwenda mtu mmoja kwanza ukatengeneze mazingila?
Swali zuri,ukipata majibu nijuze nami
@@mackjr5291 mpaka muda huu cijapata jibu je wewe mwenzangu umepata jibu?
@@user-sm6ex6ww4n inawezekana ukasafiri pekeyako, hao wanafuata baadae lakini kunasehemu unajaza next to follow