Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

AWAMU YA PILI: Paul Makonda ataja wengine, ajibu ya Wema na Masogange

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2017
  • Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda amesimama tena mbele ya Waandishi wa habari leo kwenye sakata la ishu ya Dawa za kulevya ambapo hii ni awamu ya pili akiwataja wengine na pia Waandishi wa habari wakamuuliza vipi kuhusu Wema Sepetu kutoonekana na wenzake Mahakamani jana? vipi kuhusu kinachoandikwa kuhusu yeye na Masogange?

КОМЕНТАРІ • 159

  • @athanaselisha1617
    @athanaselisha1617 7 років тому +9

    Safi sana makonda!!!Mungu yuko nawe!!!tunakuombea usiku na mchana.

    • @japanesemsabia5326
      @japanesemsabia5326 7 років тому

      Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.kwani sheria ya madawa ya mwaka 1968 inaruhusu wasani kutumia au kuuza madawa ya kulevya.

  • @jacklinejustine5732
    @jacklinejustine5732 7 років тому +9

    mungu atakulinda, tanakuomba pambania vizazi vyetu

  • @jakayapombe4056
    @jakayapombe4056 7 років тому +5

    makonda piga kazi kaka yangu sawabu zako utapata mbinguni

  • @innocentyungi5654
    @innocentyungi5654 7 років тому +3

    safi sana mheshimiwa Mungu akutie nguvu

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 років тому +1

    thx #Millard Ago 😍😍😍Mh Makonda👏👏👏👏👏👏💪🙌🙌🙌 Mungu akutie nguvu Serikal naomba ikuongezee ulinzi wa kutosha uwe umekamilika kila unakotembea vita hiii ningum sana ukizingatia wahuska ni vigogo wakubwa wasje wakakuvamia na kukudhuru kua na ulinz wakutosha popote unakoenda watnz tunakuombea piga kaz Mh kila la kher Mungu yupo pamoja nawe

  • @chandembonde7650
    @chandembonde7650 7 років тому +1

    Safi sana makonda mungu atakulinda fanya kazi bila uwoga watanzania walio wema wapo nyuma yako

  • @ramlak_dramafans8807
    @ramlak_dramafans8807 7 років тому +24

    afu nyie mnao jifanya mnauchungu na wasani mnadaietikuwa wame zalilishwa M Fike kipindi mjitambue ivi hamuwaonei huruma waathirika wamadawa yakulevya? Acheni shobo za kijingaaa Acheni makonda afanye kazi wajinganyiee

    • @fafi9092
      @fafi9092 7 років тому

      Ramla K _drama fans

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 7 років тому +1

      Ramla K _drama fans sema wewe shoga yangu hayajawakuta katika familia zao mbuzi hawa

    • @heriethb.chanafi5644
      @heriethb.chanafi5644 7 років тому +1

      kweli kabisa! Laiti watoto wao au ndugu zao wangekuwa mateja! labda tungekuwa wote tungeongea lugha moja!

    • @latifasaid2535
      @latifasaid2535 7 років тому +6

      makonda fanya kazi yako. kwani wasanii ndo nin?? hapo anawasaidia watu wengine na hao wasanii wenyewe..kama TID anaelekea hali ya Chidy....mungu awasaidie waathirika wapone na ambao hawajatumia wasije jaribu

    • @nedymusic3269
      @nedymusic3269 7 років тому +3

      sawa

  • @andrewanangisye8263
    @andrewanangisye8263 7 років тому +1

    Ni wakati wa kupona watumiaji wa madawa ya kulevya. Mungu azid kukutumia👏👏👏👏

  • @ummusahili6399
    @ummusahili6399 7 років тому

    Makonda baba Fanya kazi nzuri saana Allah akulinde ukimaliza madawa elekea kupambana na ukahaba na ushoga pia watoto wetu na ndugu zetu waishi kwasiwasi

  • @twaahirbagessi1968
    @twaahirbagessi1968 7 років тому

    MAKONDA mungu akijaalie afya njema na akupe ulinzi wake ili ufanye kazi ya kulikomboa taifa toka mikononi mwa mabedui hao.Tunaiomba serikali impe walinzi shupavu wasokuwa natamaa za utajiri wa haraka ili afanye kazi pasipo woga wowote.MAKONDA aluta continua.

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 років тому +16

    sasa wewe unaejiita mkongo hayo ya tanzania yanakupataje?aibu yako yetu.kama wewe unajua kuongoza inchi kaongoze kwenu.USA kwenu km kwenu kuzuri hapo unafanya Nini?Acha mkuu wetu wa mkoa afanye kazi nguvu ya taifa ndio anayoilinda.

  • @jeannahayo588
    @jeannahayo588 7 років тому

    kaziyako ninzuri sana congratulation mweshimiwa paul makonda

  • @ladyzee7491
    @ladyzee7491 7 років тому +3

    Am from kenya samahani kama ntakuwa nimesema kwa ubaya....kwa Maone yangu huyu kiongozi wenu hawezi fanya kitu bila ushauri kwa serekali nilizema alipata go ahead ndio akawataja hao so si yeye pekee jamani....inshaallah mm nawatakia kila la kheir

  • @gracemakali7154
    @gracemakali7154 7 років тому

    big up makonda, Mungu aendelee kukulinda baba.

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +4

    penda sana mkuu wa mkoa pambana kaka watanzania wenzio tunakuombea mung akuongoze nakuckiliza nikiwa oman

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 7 років тому +1

    tutajie wote muheshimiwa kama ulivo wataja kina wema,t.i.d na wenziwe tunahamu na hao wote tuwaskie.mungu yupamoja nawe makonda

  • @tukeimalinga1548
    @tukeimalinga1548 7 років тому +2

    Bravo Makonda

  • @pauljames6435
    @pauljames6435 7 років тому +4

    fanya kaz hapa kaz 2

  • @moyosafioriginol5549
    @moyosafioriginol5549 7 років тому

    Mimi nitazidi kukuombea kwa Mungu akulinde na kanisa la the pool of siloam church tumekuombea na tutazid kukuombea. barikiwe sana na Mungu..

  • @rehemaramadhani200
    @rehemaramadhani200 7 років тому +1

    mungu akusimamie baba okoa okoa mungu atakupa wepesi 😢😢😢😢

  • @minzamabula3551
    @minzamabula3551 7 років тому +2

    asante sana kwa trf yako

  • @rukiambega8281
    @rukiambega8281 7 років тому

    Inshallah Mungu atakulinda tunakuombea mkuu madawa ni janga linaloteketeza vijana wengi wanaokuchukia ni wauzaji wa hayo Madawa lkn sisi ndugu zetu wanaoteketea kwa madawa tunakuunga mkono.

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 7 років тому

    Umeongea Vizuri #Makonda maana kuwaita nakuwasikiliz sio mbaya maana ungechukuw jukumu lakuwapigia sim kama jinsi wamoja wao wanasema una number zao basi ingeonekana umewaonea wengine.....moja tu asiekuwa na hatia msimuonei. #Ayo tv big up sn

  • @emmanuelaggery6877
    @emmanuelaggery6877 7 років тому +6

    piga kazi makonda......maneno maneno hayo usiskilizee wasaniii kitu gani

    • @heriethb.chanafi5644
      @heriethb.chanafi5644 7 років тому +1

      Hakika - Tulihitaji pa kuanzia, na wale werevu wanaojitokeza sasa wa namna ya kufanya "ZOEZI HILI" tunaomba wakae pembeni hadi zamu yao ikifika. Tanzania bila "BRAND" au "MAJINA MAKUBWA" au "HESHIMA ZA WATU" INAWEZEKANA!

    • @musahabib3813
      @musahabib3813 7 років тому +1

      Emmanuel aggery fanya kazi yako asikuingilie mtu ktk kazi yako waache waseme ila ww unatimiza wajibu wako makonda

  • @gracemakali7154
    @gracemakali7154 7 років тому

    kazi nzuri baba makonda

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 7 років тому

    fanya kazi mkuu, achana na majungu ya wanufaika wa dili hizi za madawa

  • @bongelabwana7523
    @bongelabwana7523 7 років тому +2

    majizo ndo the don huyu akanyeee debe

  • @essaongongolowo2400
    @essaongongolowo2400 7 років тому

    piga kazi kaka mungu yupamoja na we amina

  • @mariambb4683
    @mariambb4683 7 років тому +1

    makonda uko sahihi kabisa kuna watu wanatetea ujinga hapa hakuna nani wala nani mung tu akuogoze

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому +3

    Fanya kaz baba

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 років тому

    ni kweli fatina ramadhani tupo pamoja.barikiwa Hassanova junior.

  • @ramlak_dramafans8807
    @ramlak_dramafans8807 7 років тому +3

    af makonda nazidi kukupenda wesonga mbeleetuu usiangalie nyuma achana na kelele zachura hayo nimaneno ya mkosaji afu pumbavuzao wote wanao kuponda

  • @hassanovajunior3006
    @hassanovajunior3006 7 років тому +1

    komaa mjeshi wangu tukopamoja Sana jembe letu makonda

  • @bigmasasiisack4418
    @bigmasasiisack4418 7 років тому

    mungu akulinde uzidi kupambana

  • @inclyrics4384
    @inclyrics4384 7 років тому +1

    bravoo

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 років тому +2

    Makonda fanya kazi yako Anaekuchukia Aanze kujichukia yeye mwenyewe

  • @johnsonmushi2413
    @johnsonmushi2413 7 років тому

    fanya kazi mkuu

  • @gitu4me
    @gitu4me 7 років тому

    sawa kabisa hata mtandao wa Wekeleaks uliwa kusema tanzania ni kitovu cha madawa ya kulevya

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому

    sawa baba Mungu akusimamie InShaAllah ktk hili maana umejilipua haswa.
    ila hapo kwa Aggy hapahitaji mjadala huyo demu alishakamatwa SA ingebidi nae aitwe ili aseme nani alikua akimtuma😩😩
    (ila naogopa km na mie ni mmoja wa familia ya makonda🙈)

  • @michaelmejah2466
    @michaelmejah2466 7 років тому

    jina la mungu lisitajwe hovyo km mnavyoogopa kulitaja jina la mkuu wa nchi

  • @annacarlos7925
    @annacarlos7925 7 років тому

    kweli mwanangu mungu yuko pomoja na wewe

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 7 років тому +6

    lakini unamtetea masongange mkuu

    • @hassanovajunior3006
      @hassanovajunior3006 7 років тому +4

      sibawayhi salum wew huwa kila jambo unapinga Halafu wewe Kama sijakosea ni mpemba una chuki binafsi hilo jina lako tu ndio jibu letu

    • @tvfx3759
      @tvfx3759 7 років тому

      sibawayhi salum kaka na ww umo nn ktk kuuza unga

    • @sibawayhisalum2707
      @sibawayhisalum2707 7 років тому

      Saidi Salum ningekuwemo siningelitajwaa

    • @sibawayhisalum2707
      @sibawayhisalum2707 7 років тому +1

      Hassanova junior sina chuki yyte lkni alikuwa wakamchukue na masongange.

  • @annasimon1774
    @annasimon1774 7 років тому

    makonda fanya kazi yako BABA tuokoe sis vijana

  • @noyes9299
    @noyes9299 7 років тому +2

    Makonda wewe nyoosha tu tumesha choka na hizi mambo maana mpaka ina kela sana....swala hila lisiishie huko Dar es Salaam......liwe la nchi nzima ...hususan huku mwanza ni balaa kwa sasa taifa la vijana wa tanzania lina teketea.....

  • @louxonmedia
    @louxonmedia 7 років тому

    Duh Kamanda amepiga tik-tak swali la kama anananihino na Masogange 44:22 na 46:53

  • @mussaromanus1731
    @mussaromanus1731 7 років тому +1

    safisheni njia tupo nyuma yenu

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 років тому +1

    mkubwa mm naomba jibu zur about masogange

  • @focusniraicboradunianinnoc6166
    @focusniraicboradunianinnoc6166 7 років тому

    ninyi mmerogwa amemtetea nani!!!!!!mtungieni uongo tu kwa dhambi zenu lkn uyo nikijana anaepigania maisha yavijana wenzake ww unayesema anamtetea cjui nani uyo naww uchunguzwee!!!yamkini naww umo!!!!

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 7 років тому +2

    kumbe nikweli madamu wangu aliniambia hii Dar es salaam ni sultan wa Oman ndo aliipa jina nikashangaa kumbe kweli

    • @rahmamteri5592
      @rahmamteri5592 7 років тому

      mwajuma kocha nikweli omani ndo ilikua ikitawala tanzania hakukudanganya

  • @twaahirbagessi1968
    @twaahirbagessi1968 7 років тому +2

    Kwa yule anaembeza makonda ana lake jambo.Kwanza nawashangaa wabunge waliokuwa wanajidai eti kuhoji juu ya kinachotendeka Dar.Wengi wanamda mrefu kwenye uongozi lkn hakuna aliethubutu kusimama kidete kama kijana mwenzetu MAKONDA alivyojitoa muhanga kuwa shupavu kukutetea vijana waache kuangamia.Kazi wanayojua wabunge nikuwatumia vijana kama maroboti yao kipindi cha kura na sio kujua hali zao baada ya kura.Wameshindwa wamuache MAKONDA afanye kazi yake wasimzuzue na vijembe vyao vya bungeni.

    • @Halimabintmafitah
      @Halimabintmafitah 7 років тому

      Twaahir Bagessi uko vizuri wangu. kuna mijitu mingine haieleweki .yaani wengine wanaona waliokamatwa wanaonewa . wangekua karibu kuwamwagia mchanga wamacho.

  • @kdjdjxshhsuwus8371
    @kdjdjxshhsuwus8371 7 років тому +1

    Fanya kazi mpenzi uokoe vizazi vyetu vijavyo

  • @safinayetublogyetu7158
    @safinayetublogyetu7158 7 років тому

    hivi ni kweli kwamba ni vita ya magu au ya makonda

  • @pallangyosamali9459
    @pallangyosamali9459 7 років тому

    CD hii lazima iwe na part2 kama ushahidi utakosekana

  • @noyes9299
    @noyes9299 7 років тому

    Initiative ziwe za nchi nzima hili janga ni la hatari sana kwa huyo mzee Isamilo huwa kuna misululu ya magari ya kifahari huwezi amini aisee yanangia na kutoka kuchukua madawa ya kulevya .......

  • @salmakinyogolibyser3792
    @salmakinyogolibyser3792 7 років тому

    Hapo kama kawaida ida kazi kwa kwenda mbele hakuna kuangaliana usoni

  • @simonhosea8220
    @simonhosea8220 7 років тому

    wengi tunampenda mh.Makonda ila wachache ndio wanamchukia

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 7 років тому

    eti mwenyekiti wa ulinzi na usalama duh angekuwa Mungu ingekuaje? afu kwa nn usiwaite ofisini kwako?

  • @BhachuSanga
    @BhachuSanga 7 років тому

    Sijamuelewa makonda naona hapo anachanganya mambo mawili, anaongea kama mkuu wa mkoa alafu at the same time kama Waziri wa mambo ya ndani mwenye dhamana

  • @aishaamy7954
    @aishaamy7954 7 років тому

    Asant Millard Ayo.kwe habarihizi

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 років тому

    ni ukweli kabisa analo lisema kabisa.

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 років тому

    najua kuha ni uhongu .
    ila ikiha ukweli nijue.
    na sita mupenda wema katu.

  • @aishashedadi2347
    @aishashedadi2347 7 років тому

    nimekukubali mung pekee ndo wa kukulipa hasa hao wasanii wanakela xn we ni mfanyakaz bora na utazid kuwa bora tumbua majipu

  • @siliviamaneno2905
    @siliviamaneno2905 7 років тому

    tumbua majipu makonda mwaka225.tayari tunakupa uraisi ukosawa awowatu amearibu watotO wetu tusaidieeee

  • @superlevy9389
    @superlevy9389 7 років тому +1

    😷😷😷😷

  • @mwanamisipofu3212
    @mwanamisipofu3212 7 років тому

    Sasa nauliza swali moja waliokamatwa wameshutumiwa kuuza madawa yakaingia vipi Tanzania

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 років тому +2

    ila kuhusu wema kutokuonekana mahakan sjaelewa alieelewa pls anifahamishe

  • @deedee-uv7iu
    @deedee-uv7iu 7 років тому +1

    impossble to stop drug dealer n drug abusers mkumbuke it's worldwide na tena itakuwa ngumu sanaaa
    makonda ur there for season ukimaliza wakat wako who next
    nyerere yalimshinda that's old day whats abt now digital life
    try ur bst though
    watching from london

    • @ellierolland1809
      @ellierolland1809 7 років тому +2

      anafanya his part... ata mitume wangesema wasihubiri kisa dhambi haziishi ingekuwaje. he is doing his job sio lazma amalize io kitu ila anaeza saidia kiasi flani cha watu. kwan hospitali za nini kama kifo ni lazma?

    • @happyqueen5417
      @happyqueen5417 7 років тому +1

      dee dee u cant stop drugs watching from uae

    • @fafi9092
      @fafi9092 7 років тому +4

      dee dee Ww sasa ndio unakatisha watu tamaa ndio unongea nn sasa umbo dua yaishe au ww utak kurud tena tz?

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 7 років тому +1

      dee de wewe philipini Mbona wamekomesha Acha izo hata unapojiwekea kauri ndani ya nafsi yako kwamba mitihani huuu hauto fauulu nikweli huwezi ila kwa nia ukisoma na kunena utafaulu na utaufaulu kweli philipin waweze wananini Tanzania tushindwe tunanini

    • @deedee-uv7iu
      @deedee-uv7iu 7 років тому +1

      jacqueline mabula over my dead body
      philipins hawajastop they supply n they use it day to day

  • @nasibumuhibu3470
    @nasibumuhibu3470 7 років тому

    miaka mia kamanda

  • @khalidkassim9782
    @khalidkassim9782 7 років тому

    War on drug in Tanzania

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 років тому

    hili la Masogange

  • @tamtam2589
    @tamtam2589 7 років тому

    mweshimiwa mwite masogange uepushe maswali

  • @wangallahjames1364
    @wangallahjames1364 7 років тому

    makonda endelea ila ujue watanzania hawajielew na vgeu geu ukianzsha hili wata xema hili yan kla jambo wao n kupnga tu

  • @daildail1124
    @daildail1124 7 років тому +2

    mbona you are taking too much time kutaja majina. ...unaongea sana

  • @johnyty498
    @johnyty498 7 років тому

    llardAyo lazima na yeye anatumia madawa ya kulevya na vielelezo ninavyo, tusubiri awamu ya tatu makonda atakuja na list nyingine

  • @sand4946
    @sand4946 7 років тому

    ☹☹☹☹☹

  • @geofreyliduke9713
    @geofreyliduke9713 7 років тому

    makonda kushugulikia ishu ya madawa ya kulevya si ishu kubwa, shida ni jinsi anavyoendesha suala la madawa, kiutaratibu ambayo ndio haki ya mtuhumiwa wa jambo lolote anatakiwa kupelekewa barua ya wito kwa sababu mtuhumiwa si mkosaji mpaka itakapo thibitishwa na mahakama, kitendo cha kumtaja mtu yeyote anayeaminiwa na tasisi au dini dhehebu lolote na kumchanganya kama nikibaka kiutaratibu si dhani kama ni sawa. sasa kama umefanya hivyo ikathibitisha siyo inamaana polisi watatakiwa kurudisha imani ya mtu huyo kwa wafuasi wake kwa maana ya kusafisha jina lake. hapo nacho kiona manji anaamini kitendo cha yeye kuitwa polisi kupitia vyombo vya habari juu ya madawa ya kulevya,ni udhalilishaji. hapo inasimama sheria ya DIFAMATION. JE UPI MTAZAMO WENU WENZANGU KWA HAYO

  • @bencmuraboe7310
    @bencmuraboe7310 7 років тому

    bro kachemka hahahhh xogangee hahah
    swal ubungo jibu mbagalaaa

  • @fatmaone1152
    @fatmaone1152 7 років тому

    makonda fanya kz yako yoyote mvuta bangi mvuta unga beba

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 років тому +1

    mwaka wa 2 unakat huu viwanda hatuoni elim watu wanarudia hadi mavuz meupe yanawaota wakiwa wapo form 4 kurudia miaka nenda rudi ni 0 😣😣😣😣😣 je ilo si Jipu makonda? ila nakuomba usije kutoa POMBE 😐 ninavyo ipenda

    • @hassanovajunior3006
      @hassanovajunior3006 7 років тому +2

      Kitone Kantasha1 fanya kazi mbwa wew Wacha kukalia uchama nyoko zako

    • @kitonekantasha1687
      @kitonekantasha1687 7 років тому

      Eeh sasa matusi ya nn wee kaka? Mh ngoja kwaza tu nikuache ... leo umenikuta mpole. Good day

  • @rukiahussein9737
    @rukiahussein9737 7 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂wajinga ndiyo waliwao 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭kwanini unapenda kuwaita ijumaa ili uwalaze ndani mpaka juma 3 😂😂😂😂😂😂😂😂😂wanadaresalam ndiyo maana mnatobolewa macho na scopioun

  • @godsonchacha9445
    @godsonchacha9445 7 років тому +2

    All the best Makonda mengi yataobgelewa ila simama

  • @georgenicholaus3621
    @georgenicholaus3621 7 років тому

    huu mwaka tutajua vitu vingi mno..

  • @ednada9033
    @ednada9033 7 років тому

    Alinoti stevin wewe mujinga utakufa wewe kwa wakati wako usiwe na vindururu ukadalilisha watu mpe mamako madawa yakulevya

  • @davismiyaga5588
    @davismiyaga5588 7 років тому +1

    karatu pakistani

  • @coolmom7329
    @coolmom7329 7 років тому

    fatilieni na mambo ya shule na wafanyakaz

  • @augusti5689
    @augusti5689 7 років тому

    Dah Mchungaji Gwanjima? Ahahaaa...Eti anahusika na madawa ya kulevya? Hapa kuna hujuma ya ajabu kwa kweli...

    • @mboniomar7333
      @mboniomar7333 7 років тому

      MBONI OMARI HAKIKA KUZALIWA SIKU MOJA KUFASIKU MOJA SEMA WATAJE BILA KUBAKISHA YEYOTE

  • @kitindifredy9436
    @kitindifredy9436 7 років тому

    tumekusoma hebu nyie wakuu wa mikoa mingine amken na nyie

  • @b134reall3
    @b134reall3 7 років тому

    huyu makonda hanusi kwani wasanii wanatumwa na nani wanatuma nawatu wa serekali ndokila kitu katika kazi hiyo munajuwana kwavilemba msizalilishe watu Tanzania hamuna serikali kuna sirikali

  • @suzanenkini2037
    @suzanenkini2037 7 років тому +2

    Mkuu yote nimekuelewa ila hapo kwa Agness sijakuelewa flana kama unamtetea vilee au nikweliiiiiiiii

  • @happyqueen5417
    @happyqueen5417 7 років тому +1

    a shameless tz

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 7 років тому

      kenya bby gal shameless tz kenya hawapo eeee au unatufanya hatuna taharifa

    • @emmanuelfwillo6721
      @emmanuelfwillo6721 7 років тому

      kenya wamehalalisha baadhi ya miahdarati. miraa is free in kenya so cocaine is less harmful in kenya.

    • @happyqueen5417
      @happyqueen5417 7 років тому

      You cant understand he should tell pple about drug lord nt drug dealers shameless man

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 7 років тому

      happy queen wewe ndiyo huelewi angalia iyo video na usikilize kwa umakini uelewe njia alizo zieleza na amesema hiki kitu sio cha kuficha ni ni ukweli na uwazi elewa bidada sio unaropoka tu

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 7 років тому

      happy queen kweli wewe boya kheri ya aibu ya nyumbani kuliko ugenini ukiona ni shameless kwetu Acha kama ilivyo upo nyonyo

  • @georgejo5790
    @georgejo5790 7 років тому

    niviongozi wa chache wenyemachungu kama wewe aise!!mungu akupe maisha marefu Fanya kazi safari yako na kazi zako nzuri zinaonekana

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 років тому

    ila wema tunataka kujua kama yeye ni musagi aho.
    natena kabisa tujuwe.
    napenda sana wema.