"Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani?" - MBOWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2017
  • Kwa mara ya kwanza toka Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutajwa kwenye sakata la dawa za kulevya kwenye orodha ya watu 65 ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, leo ameongea akiwa Dodoma.

КОМЕНТАРІ • 567

  • @azizyben281
    @azizyben281 7 років тому +37

    mpk naskia raha mbowe anavyoiishi sheria upo vizuri sana mkuu na your there for the people!!

  • @dominacosmo8163
    @dominacosmo8163 7 років тому +41

    we need ten more people like you

    • @odoocool9755
      @odoocool9755 7 років тому +18

      Domina Cosmo watu hatujui sheria tunakurupuka, hta kama anhusika hajbisha ila sheria zifuatwe. Me nimemuelewa.

  • @lindahoney360
    @lindahoney360 7 років тому +15

    we need a guy like him..salute..

  • @danielromario5183
    @danielromario5183 7 років тому +78

    asanteh sana bwana mkubwa mbowe wajinga watakupinga wenye akili watakuunga mkono

  • @petersanga4167
    @petersanga4167 7 років тому +52

    kwa MTU muelewa atakua kamuelewa vizur mkuuuu

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 7 років тому +35

    Yaani Muziki ndo unaanza. Acha maneno weka muziki

  • @kapolesyaba3133
    @kapolesyaba3133 7 років тому +2

    Tangu mwaka 2003 nilpokufahamu, nilkupendezwa na hoja na msimamo wako nikajikuta ninakufollow, mpaka mwaka 2007 nilpokufanya my role model officially, ndivo nitafanya katika maisha yangu yaliyobaki sababu hata ungebadilika vip bado mengi nilojifunza kutoka kwako yamenifanya kuwa hivi; mwananchi muwajibikaji, shujaa, mpenda haki na nchi yangu kwa ujumla. real appreciate u Mh. Mbowe!
    Hakika wewe ni hazina kwa taifa hili hususan katika kipindi hichi cha transformation into Industrialized country, wanaokubeza acha wafanye hivo ila haitopunguza trust za wengi kwako.
    Mungu akupe maisha marefu na ubunifu zaidi.

  • @fundikiller7884
    @fundikiller7884 7 років тому +9

    MBOWE YOUR GREAT MAN

  • @castrolk.ezekiel7426
    @castrolk.ezekiel7426 7 років тому +18

    Duh,ukijua sheria raha xaana,"nmeamin mwanaume htishiwi nyau" maana pamoja na misukosuko yoote bado Rais anatajwa kua...!!!?? Nmekuelewa Mbowe

    • @leoniladidas3343
      @leoniladidas3343 7 років тому

      CASTROL EZEKIEL k

    • @celitomclassic5085
      @celitomclassic5085 7 років тому +1

      CASTROL EZEKIEL unakumbuka Manji na Gwajima walivyojitamba ???? unadhan kuna mtu anajua sheria ka Tundu Lissu mbona anaenda na kurudi?? hayo ni maneno tu hata wanasheria wa Manji walibak central jana wameshangaa wakti wenzao wanapandishwa gari...

    • @pascaljulias6008
      @pascaljulias6008 7 років тому +3

      Thomas Malauri haijarishi mbowe sheria hanaijua na ndio ni raha kujua sheria za nchi so taratibu zikifuatwa za kumuita ndio hatakuja lakini sio kinyonge kama wengine walivyo jipeleka....hata kama wakija kumchukua kimabavu teyari kishaonyesha uwanaume....pia kafungua wengi kua serikali tawala haifuati sheria.....na hakuna asiye pinga madawa ya kulevya.

    • @pascaljulias6008
      @pascaljulias6008 7 років тому +1

      Absolutely

    • @selemanilisecamp3349
      @selemanilisecamp3349 7 років тому +2

      yani inauma sana kubebeshwa mzigo usiyo kuhusu makonda kabeba zigo la misumali kichwani

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 7 років тому +9

    mbowe maashaallah nimeipenda spich wako wewe kiboko sulut mkuu

  • @christsflowe.r
    @christsflowe.r 7 років тому +8

    Safi sana Tanzania watu wanapelekwa pelekwa tu atleast u can stand for the rest

  • @atheistblood8568
    @atheistblood8568 7 років тому +11

    mbowe oyeeeeee oyeeeeee

  • @brysonvicent8230
    @brysonvicent8230 7 років тому +8

    mh mbowe Mara nyingi huwa simuelew lakin kwa hili nimemwelewa sana. simama imara baba mbowe ✌✌✌✌✌✌✌👏👏👏👏

  • @janenatales8350
    @janenatales8350 7 років тому +3

    . Safiiiiii kamanda.... Huyo kajipalia makaa ya moto na atajuta Sanaa

  • @eliuskivuyo6521
    @eliuskivuyo6521 7 років тому +7

    Kiongoz wangu nakuelewa sana, onyesha njia, tupo nyuma yako

  • @happybraysoni7373
    @happybraysoni7373 7 років тому +19

    Kweli imechukuwa Muda mrefu kulichukulia hatua hili na waadhirika ni wengi

    • @Eddo_barbertz
      @Eddo_barbertz 7 років тому +3

      Happy Braysoni kweli

    • @raphaelraphael4557
      @raphaelraphael4557 7 років тому +1

      Happy Braysoni kama dhana ni kuwa kiongozi basi wote wanaongoza watu wakiambiwa wanawachafua wanaowaongoza au

  • @kamaluhajj3446
    @kamaluhajj3446 7 років тому +9

    Millard please ongea na TCRA mtu wetu wa nguvu wasikufungie huku ndo tunapata mambo mazuri

  • @josephlugala2035
    @josephlugala2035 7 років тому +6

    ONE DAY WE WILL UNDERSTAND THE TRUTH LETS BE PATIENT

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 9 місяців тому +1

    ukijua sheria bwana raha sana yani Big up Mbowe

  • @meddyyassin4741
    @meddyyassin4741 7 років тому +2

    thank u mbowe,, that's why I love law,, cz it makes me aware of my rights

  • @lulugama1547
    @lulugama1547 7 років тому +3

    wazo la makonda ni zuri lakini approaching yake sio nzuri. unapoongelea madawa ya kulevya inaleta picha mmbaya kwenye fikra za mwanadamu ndani ya jamii, Kuna watu walikuwa na mapenzi na nchi yao lakini kuharibu jina la mtu anaeaminika na watu mia nyuma makonda lazima aelewe anakosea. mtu anayauza mkamate na kete zake mpeleke mahakamani sio kusikia maneno watu wanamtajia tuu majina anaandika hata spelling zenyewe anakosea. well said Mr mbowe I myself support you completely

  • @khalidkassim9782
    @khalidkassim9782 7 років тому +2

    Mbowe your the man mfunguliye mashtaka huyo makonda no one has to be above the law

  • @officialmbeyaone3572
    @officialmbeyaone3572 7 років тому +10

    mh mbowe umeongea hizulisaana

  • @adenwarsame7357
    @adenwarsame7357 7 років тому +6

    Mbowe Umetisha Mkuu😂😂😂😂😂😂

  • @robathzingu1650
    @robathzingu1650 4 роки тому

    Umenikumbusha mbali sana Mh. Mbowe. You are really a leader...

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +8

    wallah laadhm nakuwa very interested ninapopata updates za nchi yangu niko mbal lkn millad unanifany kam niko tz hongera sana kak mwenyezmung azid kukulinda uzid kutuhabarisha kuhus nchi yetu shukran

  • @jacksonkoligo8164
    @jacksonkoligo8164 7 років тому

    gombea urais 2020 utusaidie mh mbowe ...big up sana ni kiongozi ambaye una vision na siyoni mwingine wa kukukaribia,,,,hongera sana mbowe

  • @heriethb.chanafi5644
    @heriethb.chanafi5644 7 років тому +12

    Safi sana! At last sheria zinaanza kutumika huko ziliko andikwa! Ndugu waheshimiwa naomba kujua sheria inayolinda "REPUTATION" ya watoto wetu na vijana wetu ambao wamekuwa mateja! au mashoja au wana VVU kwa kutumia madawa ya kulevya aka mihadarati! na sisi wazazi wao ambao majina yetu yameharibiwa na heshima zetu kushuka katika jamii kwa kigezo cha kushindwa kulea watoto wetu hadi wamekuwa mateja! au mashoga au wana virusi vya ukimwi kwa kuchangia mabomba ya kujidunga madawa! Wakati sasa umefika nataka kufungua mashtaka ya "DEFORMATION" kwa wauza unga lakini sijui "PROCEDURE" nisije kosea katika kuitafuta haki!

    • @kebo2155
      @kebo2155 7 років тому +3

      safi sana ...nchi hii imekosa adabu... muulize mjumbe wako wa shina ataweza kukusaidia kidogo kuhusu procedure...

    • @lulumariethk7385
      @lulumariethk7385 7 років тому +3

      Herieth B. Chanafi great point about kufungua mashitaka! I would advise uende kumuona mwanasheria binafsi au hata ustawi wa jamii kama una evidence kua kijana wako ni mwathirika. Kwanini nimesema ustawi wa jamii? It's because wanatakiwa kushughulikia social welfare (hili neno sijui ni nini kwa Kiswahili) ya wananchi!

    • @AnkoJJ
      @AnkoJJ 7 років тому +2

      Social welfare kwa kiswahili ni Ustawi wa jamii

    • @officialmologa
      @officialmologa 7 років тому +3

      Herieth B. Chanafi nguvu tutapata wapi na sisi ni vijana ambao status zetu ni poor unafikr tutafka mahali kudai haki au tutazimwa kama mshumaa

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 7 років тому +1

      Herieth B. Chanafi 👏👏👏nice sister

  • @andrewmlamba
    @andrewmlamba 7 років тому +26

    Mkuu wa mkoa atamuulizaje maswali mbunge!?!Nakatiba yenyewe haimuruhusu.Ngoja jumatatu kibao kimgeukiye yeye atakapo funguliwa mastaka yakumchafuliya sifa Mbowe

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 7 років тому

      Mullermba Chusa who is mbunge asiulizwe yeye nani basi nikweli wancho k8fanya na ndiyo shuhuri zao mbowe si yupo dar bado yupo chini ya makonda tu ubunge wake bungeni kila mtu anasehem yake ya kazi rc ndiye anae paswa kujuwa hali ya u salama ndani ya mkoa wake na mienendo ya watu wake ndani ya mkoa aende zake uko huyo mbowe aende police

    • @ummyissa4622
      @ummyissa4622 7 років тому +2

      Mullermba Chusa patam haap0

    • @juliusbivannah9807
      @juliusbivannah9807 7 років тому

      not

    • @queenmalikia4172
      @queenmalikia4172 7 років тому +2

      Mlash Chusa makonda Kanyea chupi ya Mtoto wazazi Waja just. ....kimeiva kwako makonda utajibeba kama sio kukimbia nchi

    • @tikaeddie7284
      @tikaeddie7284 7 років тому

      Mlash Chusa juzi manji alifoka jana akaja kulala Aya endeleeni kumsema Makonda ila huyo mbowe hizo sifa zake hazina faida 💃💃

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 7 років тому +1

    Mh! shukran san #Ayo tv kwa tarifa. ......👏👏👏

  • @hismail7867
    @hismail7867 7 років тому

    Asante Mbowe, lazima umpeleke Makonda mahakamani. Kasahao uheshima.

  • @allangodbless1566
    @allangodbless1566 7 років тому +5

    limekua jambo la busara mh Mbowe kutoa maelezo hayo maana nilisikitishwa na kauli ya bwana yule akituzalilisha wananchi wa jimbo la HAI kuwa kiongoz wetu ni muuza unga;Uongoz ni hekima siyo masifa na unafik

  • @malkoashaali5430
    @malkoashaali5430 7 років тому +4

    LOVE IS MAN SO TRUE

  • @daybrelimite7039
    @daybrelimite7039 7 років тому +1

    That's great facts, Mr Mbowe!

  • @dvjtwentyfivedecember4398
    @dvjtwentyfivedecember4398 7 років тому +15

    unajisumbua tu cha msingi fika kituoni katoe maelezo, acha maneno mengi kiongozi itikia wito, ufanyiwe uchunguzi basi.

  • @sulaimsameer2668
    @sulaimsameer2668 7 років тому

    Asante Baba....Who a you to point people wanauza madawa ya Kulevya ..... Waonea hao hawajui sheria

  • @mwasitiomtima2818
    @mwasitiomtima2818 7 років тому +1

    tunapoangalia muvii kuona vitu flan huhu Leo yanatokea Tz yaan maisha yamekua kama muvi yaan, things are getting interesting wallah , hya let wait & see

  • @danfordmujaki2552
    @danfordmujaki2552 7 років тому

    DAH IMENIUMA SANAA....!!!!!!!!!! POLE SANA MH MBOWE NAKUELEWA SANAAA

  • @ramadhanikazimoto3052
    @ramadhanikazimoto3052 7 років тому

    safi mbowe ndio maana huwa nakukubali sana unajielewa sana we mzee

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому

    kumbe ushirikiano utatoa......safi sana. punguza hasira baba

  • @phyniacerungu5368
    @phyniacerungu5368 7 років тому +4

    duuuuuu......picha limenoga

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 7 років тому

    Asante kwa kufunguka vizuri sana mm nimekuekewa big up

  • @grandpa5071
    @grandpa5071 7 років тому

    Can't wait for next episode... need to get some popcorn too

  • @jumakhjuma5319
    @jumakhjuma5319 7 років тому

    Hatutoi Kiki Kiboya boya tyu....Congrats Uncle #mbowe #freeman na jina lako lenyewe ni Freeman....alafu no Buddy is above the law...umeongea jambo

  • @isayamerickiorywille6881
    @isayamerickiorywille6881 4 роки тому

    Mh mbowe hongera sana mungu akulinde

  • @OmarAli-wr1ti
    @OmarAli-wr1ti 7 років тому +5

    Yani uyu Mbowe pekeake ndio amefanya maamuzi Bora kuliko wote

  • @maxzitatu1617
    @maxzitatu1617 7 років тому +1

    Najivunia Kuwa Mwana Chadema, Tuna Viongozi Wana Akili Sana

  • @masaithedon4818
    @masaithedon4818 7 років тому

    Asante Kamanda Mbowe thx Kaka tena

  • @bernadisabas2942
    @bernadisabas2942 7 років тому

    kwakuongea point unatisha mzeee big up tusikubali kukaliwa kizembe 😁😁😁

  • @nellxoxoxo9966
    @nellxoxoxo9966 7 років тому +5

    wacha sheria iongee R.I.P makonda you messed up big time 😎 madawa ya kulevya na sifa wap na wap?

  • @deonisamedeus9695
    @deonisamedeus9695 7 років тому +4

    Mheshimiwa upo sahihi kabisa jamaa anaharibu ushahidi.

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 7 років тому +7

    Mbowe leo umeongea kibaba.....Yan Makonda akiona haka kavideo lazima moyo umdunde kwanza maana hata aliyoongea Manji sio makali hivi...Shikamoo baba mbowe

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 років тому +4

    vimba baba nimekuelewa kiundan sana.... MAKONDA kafanya kosa kubwa BINAF... hatakama tunataka liishe hili JANGA ila kiukweli kafanya makosa twendeni nyuma twende.mbele... kama utakuwa umemuelewa MBOWE kwenye mada za mwisho mwisho kabisa.... utakuwa wee sio waanchi hii yakibongo utakuwa umetembea tembea nje.

  • @tikaeddie7284
    @tikaeddie7284 7 років тому +8

    kwani kasema unadeal na madawa ya kulevya??? hebu nenda central, hapo sio central 💃💃💃

    • @petersanga4167
      @petersanga4167 7 років тому +3

      Tika Nyalusi unaakili wewe

    • @mathewmselle7331
      @mathewmselle7331 7 років тому

      Tika Nyalusi sikiliza anachokiongea acha kushabikia ujinga

    • @tikaeddie7284
      @tikaeddie7284 7 років тому

      Nimesikia,nimeelewa ndo maana nime comment alafu reflect alichosema Makonda upo....

    • @joycemichaellovelove2221
      @joycemichaellovelove2221 7 років тому

      #Tika Nyalusi 😀😀😀😀

    • @anodnjenje9084
      @anodnjenje9084 7 років тому +4

      Tika ndo wale wale wasiolewaga mwalimu wako alipata shida kukufundisha

  • @shakourmwinyimvua7209
    @shakourmwinyimvua7209 7 років тому

    ukijua sheria hautaendeshwa big up mbowe

  • @f.a6043
    @f.a6043 2 роки тому

    Mh Mbowe your really genuine

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 7 років тому

    Mh! shukran san #Ayo tv kwa tarifa. ......

  • @Lee74806
    @Lee74806 7 років тому +1

    Your updates are really good young man. Do something about repeating the same advert.

  • @odoocool9755
    @odoocool9755 7 років тому

    jah bless Ayo, nakukubali kinomaaaa anii now najua movie inavyoenda

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 7 років тому +2

    Makonda alipokua mkuu wa wilaya nilikua namkubali sana hata baada ya kupewa ukuu wa mkoa siku zile za mwanzo mwanzo. Ila kwa hii ishu ya madawa ya kulevya hapo amechemsha sana, kama mkuu wa mkoa hana madaraka ya kuwaita watu kwa style hiyo kwa kuhisi tu au kusikia kwamba fulani anawezekana anatumia au anauza. hilo pekee ni kosa. Mbowe anaifahamu sana sheria na hata kwa wale vichwa maji watakua ameelewa ni jinsi gani Makonda amechemsha!

  • @Justin_Dickson
    @Justin_Dickson 7 років тому

    Thanx for good logic

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +10

    jmn nilikuwa nina ham ya kukuckia mbowe kuhus hii inshu nimehuzunika kuckia umetajwa ktk orodha hiyo coz ww ni kiongoz wangu ninaependa kukufuatilia sana hasa ukiwa bungen

    • @leoniladidas3343
      @leoniladidas3343 7 років тому

      umesikitika kutajwa Mbowe...basi hata baba yako kama anahusika atatajwa tu... movie ndio kwanza mbichi....tetetetete!

    • @tikaeddie7284
      @tikaeddie7284 7 років тому +1

      unapenda vijana waangamie eh 💃💃💃

    • @zachariadidas9387
      @zachariadidas9387 7 років тому

      msenge leonila

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 7 років тому

      +Leonila didas ha ha ha umemsahau mke wake atajwe tu

    • @judithlaizero356
      @judithlaizero356 7 років тому

      افلح السريرس mmm

  • @isaacgwams8080
    @isaacgwams8080 7 років тому +2

    saafi sana mbowe huyo jamaa anyoshwee kinidhamu maana bado mchanga sana na anajikuta yupo juu ya sheria ili aonekane mwema

  • @queenlatiphamushi9554
    @queenlatiphamushi9554 7 років тому

    no body is above the law.... tanzania is democratic country... mbowe nimekuelewa kabisa hata bila elimu ya darasani

  • @babah5598
    @babah5598 7 років тому

    Ndo maana tukakupa jimbo la hai mh mbowe,busara zako ndo zimekufikisha hapa!!wewe ni jasiri sana na unasimamia unachokiamn daima!!sheria zifatwe!!siyo ukurupukaji tu #nodrugs

  • @idreamfoto
    @idreamfoto 7 років тому

    For The First Time, Nimekuelewa Sana Mheshimiwa, Umeongea FACTS ✌🏽

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 7 років тому +1

    athanas elisha !! usijukuwe hilijambo lamadawa yakulevi ni jambo lamcheo, hata makonde anahatarisha maisha yake, utaratibu uko wakufanyiko kwa siri .from kenya

  • @mogjosely8291
    @mogjosely8291 7 років тому

    saaaana saaana
    kaongeaaa facts saaana...

  • @jescajoseph2129
    @jescajoseph2129 7 років тому

    mbowe big up mkuu umeongea vizur sana

  • @adismas665
    @adismas665 7 років тому +1

    WELL SAID ..I'VE EVER HEAR ✔✔

    • @esterdaniel1574
      @esterdaniel1574 4 роки тому

      mnampamba mbowe ataweza?au anataka Kes zake ziongezeke maana wakimpa mamlaka mbowe wamekaribisha matusi nchini dhidi ya viongozi wetu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Рік тому

    Wewe ungeapa tu kwa mola wako kwamba hukuwahi kuhusika wala kujihusisha na madawa ndio kidogo tungekuwa na wasiwasi kwamba huenda uhusiki, lkn kusema tu hivyo wala sio sababu ya kusema huna connection hiyo.

  • @khalfanhamisi8215
    @khalfanhamisi8215 7 років тому

    Big up sana mp mwenye akili zakuona mbali

  • @williammashimbi8468
    @williammashimbi8468 7 років тому +1

    good speech

  • @graceopudo139
    @graceopudo139 7 років тому

    safi sana, sheria ifuate mkondo wake.

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 7 років тому

    Tuombe kheir na lengo lilokusudiwa likiwa ni zuri lifanikiwe na watu wasigombane warekebishane tukae chini pamoja tujenge maadili yetu mana hayo madawa yameshaimaliza jamii..

  • @coachtemba6002
    @coachtemba6002 7 років тому +1

    Bravo Chairman

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 7 років тому

    True said sir... MP Mbowe..The Rc needs leadership training...and to be impeached now n sue him for defamation standard...Magufuli needs another mkuu WA mkoa na Makonda awe ana deal na madawa ya kulevya with the police tu....Period.. And while at it ...he can go get a law degree ...CAPISH

  • @priscaabraham3833
    @priscaabraham3833 7 років тому +2

    kiukweli mbowe umeongea sahihi kabisa huyu konda amewakosea sana

    • @amadsabimbona2553
      @amadsabimbona2553 7 років тому

      amewakosea sanaaaa manda uwe hatabu utasama tanzania imekuwa yake

  • @feezdidthis2220
    @feezdidthis2220 7 років тому

    aisee brother man unalo.. watu wame mind

  • @athanaselisha1617
    @athanaselisha1617 7 років тому

    Mbowe kitaeleweka ukishahojiwa huko ndani!!!!we are watching the movie.

  • @ellymaduhu8668
    @ellymaduhu8668 7 років тому

    huyu jamaa anajua kujieleza balaa ukifanya yako hujajipanga anakuumbua. and he is smart na mwerevu

  • @jacksonmodaha1590
    @jacksonmodaha1590 7 років тому

    mboye noma mungu atutoe kwenye uungu huo wa ccm

  • @qwara7853
    @qwara7853 7 років тому

    we need more leaders like you mbowe

  • @ibrahimsaid1128
    @ibrahimsaid1128 7 років тому

    Ahsante kwa busara zao Freeman mbowe

  • @jacquelinemabula2519
    @jacquelinemabula2519 7 років тому +17

    mbowe iyo sio kificho kwani watanzania wanaelewa kuhusu wewe

    • @godlistenkimario8956
      @godlistenkimario8956 7 років тому +1

      jacqueline mabula
      kuhusu ww wanaelewa nn

    • @cavoo4get649
      @cavoo4get649 7 років тому +1

      jacqueline mabula unaelewa nini kuhusu yeye? itabidi uisaidie jamuhuri kama unaelewa.

    • @johnfrancis1826
      @johnfrancis1826 7 років тому +3

      jacqueline mabula unaeza ukaitwa kuulizwa nn unakijua kuhusu yeye na huna ushaidi wowote pimbi ww

    • @juliusuronu8812
      @juliusuronu8812 7 років тому +3

      Haka ka jacqueline mkasamehe bure maana mimi naona kana ropoko kama kamekula pombe ya machicha nyie kaacheni Central sio mbali

    • @salimomari3747
      @salimomari3747 7 років тому

      Naomba uende kituoni haraka katoe ushahidi....tena ukichelewa utakumbushwa.

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 років тому +3

    Millard ayo huwezi kufungiwa 2taongea nao 😨😨Zoea Mimi Wewe

  • @markgaitan6035
    @markgaitan6035 7 років тому +1

    hahahah😂😂😂 kayakanyaga kw watoto wa mjin xaxa jasho lazma limtoke👊👊👊🙆🙆🙆

  • @lorrainegalado516
    @lorrainegalado516 7 років тому

    I love him... yan uyu baba mungu akueke

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 роки тому +1

    Safi sana kwa pamoja mpaka ikulu wenye kuuza madawa ya kulevya anajulikana ni yule aliyemsema kwamba yeye sio makonda ni (Bashite) yeye ndio anayefanya biashara ya madawa ya kulevya cocain hata taarifa hiyo aliwahi kupewa na kuisema Rais mstafu (kikwete).

  • @marryhancy5987
    @marryhancy5987 7 років тому

    uko vizuri napenda kaz zako

  • @ndetiwaiwc5351
    @ndetiwaiwc5351 7 років тому

    Asante Mzee

  • @vanscauz6513
    @vanscauz6513 7 років тому

    mbowe baba wahambie hukweriii hao ccm natunawasubiri mwaka 2020 tuone uyo magufulii hatakuja na Sera ganiii yanii mwenyezi mungu hatuweke mpaka sikuiyooo yanii mbona wataipendaaa

  • @andrewasagwile7162
    @andrewasagwile7162 7 років тому

    Kwa kweli mbowe mimi mwenyewe siamini km kweli unajihusisha na madawa ya kulevya lkn kwa sababu umetajwa jina basi subiri taratibu za kisheria ukaripoti kituo cha polisi

  • @franklawrence9512
    @franklawrence9512 7 років тому +1

    kwa kuwa ni mtuhumiwa haimaanishi waweza kumdharilisha, take imagine mtuhumiwa akakosa hatia how will you apology to him? aisee namuunga mkono Makonda kwa vita hii ila c kwa style hii, inajulikana waTZ tunapenda kuckia zaidi kuliko vitendo we are failing

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 7 років тому

    yaani ni uhasama tu WA kuchafua watu kwa hisia zisizo na tija
    Hakuna mwenye mkataba na mungu kuwa kesho atakuwepo kujitahidi kuchafua watu kwa kuegemea MATUKIO kumbe mna wana dhamira zao za ndani ni kumkasirisha hata Mungu wetu
    mh mbowe usitetereke songa mbele

  • @mohamedabdallah4101
    @mohamedabdallah4101 7 років тому

    Hii series si ya mchezo mchezo!!! Makonda he can stand he is strong

  • @clarencemlosa8155
    @clarencemlosa8155 7 років тому

    Ni gud sana mh. sana

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 років тому

    Mmh..unayoyasema ni kweli.

  • @nambuacassandra3285
    @nambuacassandra3285 7 років тому

    love you mbowe.

  • @glumia920
    @glumia920 7 років тому

    Well Said Mkuu......