Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mwacheni aondoke asituumize akili zetu kila siku
Kutwa nzima nina presha hadi nimuone azizi ki jamaniii 😢
Yani Mimi hapa Sina amani wallah
Jamani rais wetu wanachama tuchange Aziz abaki moyo unadunda makolo tuwanyoshe tena
Inapwaya😂😂😂😂😂
AZIZI KI YUKO YANGA ASILIMIA 100% NA KUTOKANA NA JINSI INJINIA HERSI ALIVYOMPATA YANGA NI SAWA NA MWANAE....KWA HIYO RAIS WA YANGA ANAJITAHIDI KUMBRANDI AZIZI KI. SIMBA MMEFANYWA MAFISI MKIZANIA AZIZI KI ATANYAKULIWA.....WAJINGA NDIO WALIWAO.
Mwachen aende simba so hatuogopi
Nunueni mic nyimgi 😮
Mimi sipendi masihara unajua,hivi kumbakisha Aziz shi ngapi kama mmepungukiwa nipeni taarifa hapa haraka niuze Alma's zangu nimalizane na Aziz k.
Uza tu ulete itasaidia😂😂😂
Nakubali
mbona happy.awali.tuliambiwa.kasain.miaka.miwili.hafu.ndie.aliyekuwa.anampigiadebe.chama.ili.asajiliwe
inapwaya manake Nini
Hahaa hyo system yamaik usipokuamaink inachomoka, direct kichwan kwa......😅😅
Xavi mtupu
Kii asaini jamani ally kamwe pambanen abakii kiii