kiki za kiduanzi😊...afu skilizeni wamama wa kiswahili ndo kunatoka maneno hayo..na so kwamba wanatunga inatokea tu kwenye kuzungumza..mkitumia kwenye content zenu ikienda gafla mnageuka waanzilishi tena😊
Kifupi Shafii tatizo maana swali la Tambwe ulilo muuliza Shafii swali zuri sana umekaa na msemo mda wote huo miezi 6 mtu anachukua kitu kdg anakifanyia kazi kinampatia kipato kifupi Shafii shida
Mbona me huu msemo nimeusikia Kwa mwakatobe anautumia umalaya tu kuaoga aah hizi kenge Nazo bwana 😂😂 halafu hiki kijamaa nacho bwana kinatafuta umaarufu tu kupitia Steve
Shafi acha kujichafua mwanangu huo msemo sio wako pia wewe hata ungefanya usingefika popote sema hata ukitaka na nyimbo zake tukuachie Aaaaaah Aaaaaah 😂😂😂
Steve ni mtu clean heart.hawa madogo wamekuja juzi tumewapa attention wameanza kujisahau.Msemo ni kitu cha kurushiana ngumi? #learnfromEliudSamuelnaTxDullah,they're cool guys
Sasa wewe shafii unaubunifu gani zaid ya Ku copy 😂 na huna content yako ambayo umefanya umeenda sna zaid ya Ku copy sema mwana umezingua Steve Ili u trend huna jipya Steve ni content creator mzur sna na amekuzid mbali sana acha kumzingua Steve bhana, kwana maelezo yako inaonekana kabisa msemo sio wako kuiba misemo tu kubuni aaah😂
U a not seriously bro u can change another thing apart from aaaaah , okay wat thing for the fast song Steve nyeuc aaahaaaaaa aaaaah it was some thing special keep up u mind bro u can change some idea
Huna lolote unajiaribia wee huogopi,haya namie nikapambane na suzi bale mbn maneno tunaiga mengi,umekuja juz tu shafii unajiona bichwa kubwa tive ameanza kitambo lkn hakuwa na makuu mpk leo
Acha wiv kwaiyo umeshindwa kumtafuta sehem nyingine mpaka hadhara ya watu halafu unamsitukiza mwenzio inamaana we umejiandaa kwenda kipigana acha ushamba we unamsemo misemo yote ni ya zamani
Mpuuzi sana wewe shafi tuachie steve wetu na msemo wetu kichwa cha baba ako wewee tutakuchangia mashabiki wa steve shauri yako, ila kaa ukijua msemo ni wa steve baba jiue tuu😂
Kama unamkubali Steve gonga like za kutosha
Steve na mtu na nusu
Mtu nanusu nimwanamke@@GibsonNtamamilo
Hawamuwez Stive hawa wangese, gasho. Stive kitambo sana kwenye tasnia hii
❤❤
Shafii msenge tuu mwongo hana confidence ya kujitetea
Ukwwli nikwamba Steve yupo level nyingine tofaut sana na shafiii
Weee shizi to shafii
Huo msemo ni wangu .shafii kautoa kwangu sema nimekosa platform
Namkubali steve
Mm huyu Binti Nampendaga sanaaaa aisee
Shafii hajielewii huyoo kichaaa tuuu😢😢😢
kiki za kiduanzi😊...afu skilizeni wamama wa kiswahili ndo kunatoka maneno hayo..na so kwamba wanatunga inatokea tu kwenye kuzungumza..mkitumia kwenye content zenu ikienda gafla mnageuka waanzilishi tena😊
Kifupi Shafii tatizo maana swali la Tambwe ulilo muuliza Shafii swali zuri sana umekaa na msemo mda wote huo miezi 6 mtu anachukua kitu kdg anakifanyia kazi kinampatia kipato kifupi Shafii shida
Ushamba tu,msemo msemo kwamba wewe ndio wa kwanza kutunga misemo ? Mijitu mingine chefuuu
Kwanza sio wake shafii kaiba
😂😂😂
Jomba anaonekana kabisa nimuongo wa hatar ww hujui hujui tuu😂
😂😂shafii unachuki naunakik t ndouzotk wew acheni kumuonea wivu Steve
Utoto mwingi tu, hamna la maana
Steve sio level yako shafii acha ushamba
Kama unamkubal Steve weka Like apa
Mtangaji uyo dogo umemuuliza swali zuri sana
Shafi mavi tu huyu
Achana na simba kilaka kenge wewe,!
Shafii Tafuta Slogan Yako Bro Wacha kuiba Misemo Ya Watu
Shafii acha ushambaa, broo unazingua hujui lolote tambii kichaniii kuoga aaaa
Shafii basi tukukipe utuachie huo msemo maana umeendana na sisi aki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aliya ameulizaa swali nzuri sanaa
Mbona me huu msemo nimeusikia Kwa mwakatobe anautumia umalaya tu kuaoga aah hizi kenge Nazo bwana 😂😂 halafu hiki kijamaa nacho bwana kinatafuta umaarufu tu kupitia Steve
Kabisa tena kwenye movie ya snake boy😂
Shafi acha kujichafua mwanangu huo msemo sio wako pia wewe hata ungefanya usingefika popote sema hata ukitaka na nyimbo zake tukuachie Aaaaaah Aaaaaah 😂😂😂
C ndo hapo pengne Sasa angefnya na usingeenda mjini
Kwani uyo shafii pia msanii na km msanii wanini wakuogelea au wakula sana mimi sijawai kumueelewa uyo jamaa😂😂
Huo ni utoto mnao fanya fanyeni kazi mtufuraishe bhan
naipenda kiki
Shafii muongo jmn mwizi sana huyo
Steve ni mtu clean heart.hawa madogo wamekuja juzi tumewapa attention wameanza kujisahau.Msemo ni kitu cha kurushiana ngumi?
#learnfromEliudSamuelnaTxDullah,they're cool guys
Shaffi unadangaya bro ❤❤❤❤ sema ukweli
Sisi twajuwa Steve aaaah
Hahahaha eti msemo? Wahenga wame toa misemo mingapi mbona hawapigi watu
Wahenga wote washakufa.😂😂
Sasa wewe shafii unaubunifu gani zaid ya Ku copy 😂 na huna content yako ambayo umefanya umeenda sna zaid ya Ku copy sema mwana umezingua Steve Ili u trend huna jipya Steve ni content creator mzur sna na amekuzid mbali sana acha kumzingua Steve bhana, kwana maelezo yako inaonekana kabisa msemo sio wako kuiba misemo tu kubuni aaah😂
Shafii ni mpumbavuu 😄😄wizi tuu kuoga aaah
Huyo shafii mjinga sana,kwani we ndiyo wa kwanza kuanzisha misimo,pumbafu sana ww
Shafi Hana akil
Why haukuwa wa kwanza kutumia acha kujichetua una vitu vingi wap????
Uyo safii ikekua museum ni wake zi age-related mwapie ahaje ujinga sana kama umekauka nenda ukalale 2
Shafii unajiharibiya
Huyo dogo mkorofi sana msemo ndio urushe ngumi mpumbavu Huyo dogo
Sasa matusi ya nini ndugu me mwenyew shabiki wa steve lakin kwenye ukweli ubaki ukweli steve pale ndio alioanza alitafuta kupigwa mwenyew
Au naongopa
U a not seriously bro u can change another thing apart from aaaaah , okay wat thing for the fast song Steve nyeuc aaahaaaaaa aaaaah it was some thing special keep up u mind bro u can change some idea
😂Niko na stive namkubali sanaaa
We shafiiii unaonekana kabisa umeibaaaa MSEMO 😂😂😂😂
Shafii acha kujibebisha
Tutakukataa wote kwa uongo wako
Msemo ni wastev
Shafii unazingua sana bana
Ila watu bana Yaani mwenye msemo ni Mimi nyie mnautafutia ugali 😂😂ngoja nimcheck mwanasheria wangu 😏
The last lady is smart.
Anaitwa?
Wewe shafi huna chochote kojoa ulale😂😂😂😂ujinga 2 muone bithwaaaaaaa kuliosha aaaaaaaah😂😂😂
Shafi kumawe
Msemo wa Steve jaman shafiii mbna ivo kaka
Bora Aliya umerud mjengoni
Huna lolote unajiaribia wee huogopi,haya namie nikapambane na suzi bale mbn maneno tunaiga mengi,umekuja juz tu shafii unajiona bichwa kubwa tive ameanza kitambo lkn hakuwa na makuu mpk leo
Shafii ni msenge tu alafu hapo hawakupigana
hata hueleweki mskn tafuta wakwko 2😂😂😅
This people needs to be greated by gen Z
Uwo msemo niwa Steven mweusi
Mm nyimbo ya Ray Van ya nitatokaje nilijua wa stan bakora mana alitowa adi vdeo😂
Stive atqbaki kua stive tafuta msemo mwengine sisi twajua uwo ni wastive kwende media2 umbea aaa shafii acha longo longo umbea2 kuimba aaaa😂😂
Aaaanh ni msemo wa stevee😅😅
Wapi haooo wabongo wanazingua
Wew NI mwiz shafii hatakama ujiteteeje Mim binafsi swez kukuelew
Hata hapo huna la kusema
Sasa hajawahi kuwa mshkaji wako unamtaniaje
Ajabu anajikanyaga kanyaga tu
Mna hoji upande mmoja ...achen izo bhn muhojin na Steve ...ila Steve ndo kila kit....dog anaonekana mkorof sana
Acheni utoto harafu ata hamjatrendi acheni ushamba nyau nyie 😅😅😅😅
Kwanza nilikuwa simjui lakin nimemuona Hana akili halafu hichi kitoto cha elfumbili bado hakijakuwa kifundishwe maisha haka
Kanasema uongo tyu unwell aaaahh
jamani shafii anaakili
Nyie ni kioo cha jamii yaani mnajiaibisha. Alafu kama ungeweza kumuachia kwa nini hukumuachia ili msijiaibishe
Musemo Niwa Steve mweusi.
Acha wiv kwaiyo umeshindwa kumtafuta sehem nyingine mpaka hadhara ya watu halafu unamsitukiza mwenzio inamaana we umejiandaa kwenda kipigana acha ushamba we unamsemo misemo yote ni ya zamani
Hawa ndio maana watu wanasema wanapumuliwa usogoni kwa vitu kama ivi vya kupuuzi aisee ndio nn sasa eti
Uyu msenge mm huwa hata simjui ila Steve mweusi ni anamzidi kila kitu 😂😂😂 Steve na uyo bwege anasema Steve hana ubunifu wakati kaajili watu kibao😅
😂😂😂😂😂 maswali mazur sana kanashindwa kujitetea chuki itakuuwa ww
Hana HAKILI huyo msenge
Shafii wewe ni brand kubwa acha ujinga maneno mmezaliwa mkayakuta
Wewe hauna haukuufikisha huo msemo kama Steve kulalamika tu kujituma aaaah
We dogo unafeli tafuta kazi nyingne ya kufanya...we una jelous sn huwez toboa kwa staili hizo..steve kakuzidi mbali san
Huyo jamaa mkorofi maanaa anachoongea akina matiki
Kwanza shafii ndo nan mshamba2 sema anataka kumuhalibia jina2
Muongo ata auja fika makama ulisha shindwa
Matako yako wa mushamba Mimi Niko Zambia niko ndugu na Steve
Uwong tu kusema ukweli aaah
shafii😅
Dgo shafii we ni mwehu tu utaka ukuze jina lako kupitia kwa stev au👉
Huo niushamba shafi
Dada acha choyo misemo ilianzishwa mingi tu na waswahili wala hawapigani acha utoto
Bas na ule wimbo wa Steve uliotrend ni wako?
Steev yuko viwango vikubwa...Shafii acha kutuleta wewe
Kusema kweli tangu stive amzungumzie ndio nimelijua jina la shafii
Me mwenyew
Huyu jamaa aliona wivu ndani yake but sioni sababu yamsingi anaizungumzia au kutetea hoja yake.
Mpuuzi sana wewe shafi tuachie steve wetu na msemo wetu kichwa cha baba ako wewee tutakuchangia mashabiki wa steve shauri yako, ila kaa ukijua msemo ni wa steve baba jiue tuu😂
Wasafi media chunguzeni zaidi utakuja kuona shaffi yuko na akili ya kitoto.....
By swems
Shafi Anazengua kwasababu huo msemo alimtania Steve ila yeye hakumuambia official kuwa ni msemo wake wa kazi
Unazengua shafi kaonge ukoooo fala wewe
Shaf mshamba anajikosha tu maana yeye ndie alikuwa anamfata mwenzie
We dogo huna akili unatafuta kiki
huo msemo niwa shafi💕
Msemo wa wadada wakuvaa visocks na vibagi vya micky mouse ndo mnapigana wacheni ujinga
We chizi shafii huna msemo ww na huwo msemo hauachi Steve sjuwi utafanyaje tafuta hela shafii misemo ipo dogo acha ushamba
Shaff acha usenge izo kiki