BEHIND THE SCENE: HUYU BOKA HATARI/ONA ALICHOKIFANYA WAKATI WA KUREKODI VIDEO ZA UTAMBULISHO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 302

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 6 місяців тому +32

    Yanga ina balaa kubwa Watoto wangu wote wameamka daaaaah

  • @Papycon22_
    @Papycon22_ 6 місяців тому +35

    Usajili wa kimataifa huu shukrani GSM 💚💛

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 6 місяців тому +37

    GSM, pamoja na viongoxi wote wa Young Africans, Mungu awe upande wenu kuleta ubingwa wa CAF champions league 2024/25 na kuendelea

  • @Bintisayuni50
    @Bintisayuni50 6 місяців тому +20

    Movie la Kutishaaaaaaaaa Hatari sanaaaaaa 💚💛💚💚💛💚👏🏼Weka mbali na Watotooooo

  • @AhmadaSaid-j3q
    @AhmadaSaid-j3q 6 місяців тому +13

    Karibu kwa mabingwa BOKA letu la wananchii hatuna mbambambaaaaaa mwaka huuuu

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 6 місяців тому +4

    Hatareeh 🎉🎉🎉 safi sana wanajeshi wetu wa media team Daima mbele nyuma mwiko jamaa ana passion kwa kazi yake.

  • @kidyabby6322
    @kidyabby6322 6 місяців тому +14

    Wa kwanza like zang wap

  • @Cuteeeee477
    @Cuteeeee477 6 місяців тому +24

    Kafanana na mayele naipenda san yanga yangu 💚🔰💛

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 4 місяці тому

    Daima mbele nyuma mwiko 💛💛💛💚💚💚

  • @chacha-255
    @chacha-255 6 місяців тому +8

    Pongezi kwa kitengo cha graphics, Mnafanya kazi nzuri sana, Very creative and professional

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 6 місяців тому

      Absolutely, Aiseeee Yanga hakuna mchovu hata u
      Msafishaji pale jangwani ana gedree! Kasomea chemicals za kuua vijidudu visidhuru wachezaji wetu🤣🤣

  • @saidiHamisi-d5w
    @saidiHamisi-d5w 6 місяців тому +1

    Good young Africa

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 6 місяців тому +17

    Hili ni Gharika Yanga inatosha jamani hivi unajua watu hawalali leo .hata wekundu wa Msimbazi usingizi umekata hii inatisha sana daaaaaah

    • @EssauGabriel-fy8pu
      @EssauGabriel-fy8pu 6 місяців тому

      Huyo alikua underdog wa nouma,, walikua timu moja alikua anacheza mechi nyepes afu taifa haitwi..!!! Nouma kaka yake japo huyo kiumri mkubwa

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 6 місяців тому

    Alhamndulilah nakuomba M/Mungu ijaalie Timu iweyenye kupata mafanikio Inshaallah

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er 6 місяців тому

    Yuko na mwili mzuri kikubwa tujue uwezo Kwanza ndio tukabidhi wizara ❤

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 6 місяців тому +6

    karibu mwananchi Bhoka

  • @killingmleke1810
    @killingmleke1810 6 місяців тому +4

    Hii yanga jaman mwaka huu sielewi tukienda uwanjani tutaenjoy vip mungu atupe uhai tu

  • @abubakalimavumbi5846
    @abubakalimavumbi5846 6 місяців тому +54

    Hii yanga ebuu tusubili tuone kama unasubili kama mimi nipe like apa💚💚💛💛💛

  • @Saadat-p9b
    @Saadat-p9b 6 місяців тому +7

    Hapa booka hapa bacca😂😂😂😂 we huogopii

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 6 місяців тому

    Yanga bingwa teeeena❤❤❤❤❤❤❤

  • @HawaAlznezbar
    @HawaAlznezbar 6 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉mi nasubilia raha tu jaman nimemiss yqnga yqngu ianze kutupa rahaaa😊

  • @halimahamis7370
    @halimahamis7370 6 місяців тому +30

    Namuona Lomalisa kwambaaaaali💛💚

  • @Emanuelimiyonjo
    @Emanuelimiyonjo 6 місяців тому +6

    Wanainch awana jambo dogo 🔰🔰💚💚💛💛

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 6 місяців тому +2

    Allaah Akbar

  • @robertrobert563
    @robertrobert563 6 місяців тому +1

    Mbona kama lomalisa vile hadi kuchezea ball wanafanania.💪💪

  • @azizrashid6173
    @azizrashid6173 6 місяців тому +1

    We huogopi hatta busu lake😁💛💛

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 6 місяців тому +7

    DRC Tuko pamoja na nyie
    Sisi ni familia🙏🙏🙏🙏

  • @israelkisanga8587
    @israelkisanga8587 6 місяців тому +1

    Safe sana digital media kwa innovation kybwa.

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 6 місяців тому +6

    Yanga bingwa

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 6 місяців тому +2

    Daaah safi sana 🙏🙏🙏

  • @fatmasaaed144
    @fatmasaaed144 6 місяців тому

    Kazi nzuri sana tuonaomba mjitahidi na pucha ziwe karu nzuri piaa😢

  • @mozzymbise2871
    @mozzymbise2871 6 місяців тому +3

    Dah...hatuleti timu😢

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 6 місяців тому +2

    Yanga oyeeeeeee😁😁😁😁

  • @lemalaliLemtunde
    @lemalaliLemtunde 6 місяців тому +1

    Waooooo kwishaaaaa karibu nyumbani boka

  • @EmmanuelLameck
    @EmmanuelLameck 6 місяців тому +2

    Welcome 🇹🇿💚

  • @ngassakissimba5640
    @ngassakissimba5640 6 місяців тому +3

    Yanga kwa sasa ni Real Madrid ya Africa 🙌🙌🙌🙌

  • @safiaothman7506
    @safiaothman7506 6 місяців тому +3

    Hatareeee❤🎉🎉

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 6 місяців тому +10

    Shikamoo Yanga

  • @jacksonjackson4532
    @jacksonjackson4532 6 місяців тому

    @privaldinho kwa hiki ninachokiona hapa jana Jumapili kanisani ulikuwa unawaza sanaaaaaa, ila kwa YANGA HII TABU IPO PALEPALE mpaka waseme Nimekoma.💪💪

  • @MjeuliTu
    @MjeuliTu 6 місяців тому +4

    ❤❤ yanga

  • @MosesWilliam-oh8tt
    @MosesWilliam-oh8tt 6 місяців тому

    Daaaa Hadi rahaaaa

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 6 місяців тому

    Mbona wakongo wengi,mgetafuta translator to make it a bit easier for him n yosleves😂😂😂 fantastic work though guyz,kuddos🤛

  • @JACKSONMGETA-xf3hj
    @JACKSONMGETA-xf3hj 6 місяців тому +5

    Wa kwanza kabc😊😊😂

  • @dallovision
    @dallovision 6 місяців тому +51

    MTU ASIGUSE HII COMENT

  • @JohnmtataJohnmtata
    @JohnmtataJohnmtata 6 місяців тому +1

    Noma sana mwamba huyo

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 6 місяців тому

    Yanga oyeeeeeeee raha kama zote. Tuendelee KUJISAJILI

  • @husseinismail4452
    @husseinismail4452 6 місяців тому +1

    Namuona CEO wa Ball Andrew mtine✊

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 4 місяці тому

    Yanga ya 🔥🔥🔥🔥

  • @Rahimabdul-bt6vq
    @Rahimabdul-bt6vq 6 місяців тому +3

    ❤❤

  • @JosephDamas
    @JosephDamas 6 місяців тому +40

    Boka la wanainchi like zake Apo 👉🏼

  • @simionngayayi6903
    @simionngayayi6903 6 місяців тому

    My favorite team ❤❤❤

  • @JosephyMasanja
    @JosephyMasanja 6 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 watakoma mwaka huu

  • @ezrayohana3541
    @ezrayohana3541 6 місяців тому

    HATUJI TENAAA 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 6 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @godfreymkinga
    @godfreymkinga 6 місяців тому

    Welcome Boka💚✅

  • @chemstry409
    @chemstry409 6 місяців тому +1

    Fire 🔥

  • @SylvesterSafari-nf4fy
    @SylvesterSafari-nf4fy 6 місяців тому +3

    Yanga noma

  • @Omarsail-Noor
    @Omarsail-Noor 6 місяців тому +2

    We priva unabala sana eti Kuya Kuya

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 6 місяців тому +1

    Mambo mazuri wana nchi

  • @emmanuelthomas1078
    @emmanuelthomas1078 6 місяців тому +1

    Nipo congo nawafatilia Yanga- Huyo mubeki ni mukali sana!wapinzani wenu Badala ya kusema "MAMA" Wataishia "MA"😂😂😂😂😂

  • @SmartTz-y5z
    @SmartTz-y5z 6 місяців тому +2

    Hatariiiiii

  • @LucasMadeha
    @LucasMadeha 6 місяців тому +2

    Hataaariiii

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 6 місяців тому +2

    Miaka mingine kama waliyoishi ndiyo madunduka mambo haya wanaweza kuyafanya😂😂😂😂

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 6 місяців тому

    Boka karibu sana kwenye tim ya wananchiiii yanga africans

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 6 місяців тому

    Control ni balaaa😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @DjFae.b255
    @DjFae.b255 6 місяців тому

    Nomaaaa san

  • @OscarMhagama-f4k
    @OscarMhagama-f4k 6 місяців тому

    Waooooooooo yanga balaaaaaaa

  • @MajutoIbrahim
    @MajutoIbrahim 6 місяців тому

    Good job

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 6 місяців тому +1

    Mbona mchezaji mwenyewe shavu dodo! Sijui kama ataweza!.

  • @SimonJoseph-l9i
    @SimonJoseph-l9i 6 місяців тому

    Engineer soma hiyooo😅😅😅

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 6 місяців тому

    Karibu Jangwani

  • @IsayaIsayaMwakila
    @IsayaIsayaMwakila 6 місяців тому

    Safi mmetisha sand GSM kweli unatuheshimisha nji uko tuli

  • @husnakawana2068
    @husnakawana2068 6 місяців тому

    Anafanana na lomalisa🎉

  • @HADSONPAUL
    @HADSONPAUL 6 місяців тому +4

    Acha tuendelee kutambulisha mashine

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 6 місяців тому +1

    Yuko series na boli😊

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 6 місяців тому +2

    Hii style ya kutazama logo ya klabu muda wa dakika kadha inakitu inaongeza kwa wachezaji, ndio maana wakiondoka Yanga wanaliaga😅😅.

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 6 місяців тому

    Kuyaaaa 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @YonaKigawa
    @YonaKigawa 6 місяців тому +2

    Nawaonea huruma wakina debora

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 6 місяців тому

    Sasa ka picha ndo inapigwa ivo sa wengine huwa tunapiga picha au tunajaribu😂😂😂😂😂 anyway bravooo👌👌

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 6 місяців тому

    Kazi ipooooo

  • @hermanfrancis6440
    @hermanfrancis6440 6 місяців тому

    Sasa hii noma gsm

  • @agrirelieftanzania561
    @agrirelieftanzania561 6 місяців тому +2

    Karibh Boka

  • @sospetersalvatory3499
    @sospetersalvatory3499 6 місяців тому +7

    Jamaa haongei Sana . Ni mtu wakazi chafu tu nakumwaga maji

    • @buja_fleva
      @buja_fleva 6 місяців тому

      kama Yao Yao

    • @EssauGabriel-fy8pu
      @EssauGabriel-fy8pu 6 місяців тому

      Amfikie lomalisa mtambala?

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 6 місяців тому

      ​@@EssauGabriel-fy8puumeanza makasiriko
      Hujui kama Engineer akitoa mtu anaekuja ni mara mbili ya alietoka. Ww utakua kolo sio Mwananchi.

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 6 місяців тому +1

    Kwa usajilihuu timuzitapata shida sana

  • @ZipolaNgola
    @ZipolaNgola 6 місяців тому +21

    Naungana na manara yanga ndoitakua time ya kwanza kuleta krabu bingwa 🇹🇿

    • @Omarsail-Noor
      @Omarsail-Noor 6 місяців тому +1

      Sio krabu ni club

    • @HappyKitindi
      @HappyKitindi 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂​@@Omarsail-Noor

    • @abubakalimavumbi5846
      @abubakalimavumbi5846 6 місяців тому

      😂😂😂😂 duh ulikuwa unasoma comment ili ukosoe

    • @Rukwembe7712
      @Rukwembe7712 6 місяців тому

      Sio time bali ni team

    • @ZipolaNgola
      @ZipolaNgola 6 місяців тому

      @@Rukwembe7712 kiswahil ila nimekosea kidogo bro

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 6 місяців тому +1

    Yule ni Mutambala,,,Huyu ndo Tambala lenyewe sasa

  • @ZubedaMasanja
    @ZubedaMasanja 6 місяців тому

    Boka karibu jangwani kwakishindo kikubwa yanii ume fanana mnooo na baba mjengo wangu jamani harafu yeye ni kolo namuonea huruma sana mwakahuu hadi mkojo watakojoa dam dadekiiiiii

    • @EsterKindoli
      @EsterKindoli 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @ELIAKAJEMA
    @ELIAKAJEMA 6 місяців тому +3

    TIMU KUBWA MAMBO MAKUBWA HONGERA SANAAA UONGOZI WETU TUMEMWONA MCHEZAJI WETU ASANTENI

  • @hamzahassan7518
    @hamzahassan7518 6 місяців тому

    Motooooooooooo

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq 6 місяців тому

    Sema hyu kapanda juu kidogo

  • @barnabasmalima4823
    @barnabasmalima4823 6 місяців тому

    Jamaa kafanana sana na lomalisa

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 6 місяців тому

    I love you yanga

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 6 місяців тому +1

    Kutakufa jitu

  • @JaphetMasalu-n9d
    @JaphetMasalu-n9d 6 місяців тому

    GSM mungu akuona

  • @YussufSalum-on4qz
    @YussufSalum-on4qz 6 місяців тому

    Fala wenyewe hana furaha

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 6 місяців тому

    Welcome chadrack boka, hii behind the scene ya viwango vya Hollywood

  • @salomemahenge7935
    @salomemahenge7935 6 місяців тому

    Yanga tam

  • @alfredkatuma426
    @alfredkatuma426 6 місяців тому +1

    Behind the scenes za makolo wanafanyia kwenye store au gereji 😅

  • @muddymbwana5679
    @muddymbwana5679 6 місяців тому +2

    Atulali tena atulali tena yanga hii atulali tena

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 6 місяців тому +1

    Hiyo ndiyo YANGA banaaaa💛💚💛💚😂😂😂

  • @omariomari-dh8wv
    @omariomari-dh8wv 6 місяців тому +2

    Wamekwisha