@@Veni584kama Ahly timu ya 1 Africa ilicheza shirikisho mwaka 2014 kuna kitu gan cha ajabu zaid Simba ambaye ni ya 5 Africa kucheza shirikisho wachezaji wanaangalia timu gani ina muendelezo na sio timu ndo inajifunza kwenye club bingwa mara ya 2 na hamna uhakika mtaingia group stage
@@Munyama675 mpira ni biashara kama timu inamwaga pesa zaidi ya yanga anaenda siyo kwao pale mayele alisema yy anaangalia pesa anatafuta pesa kama cristiano Ronaldo
Pacome Simba 🎉🎉
Wa mwisho naomba like zangu ila naushauri acheni kupenda wachezaji pendeni timu zenu😂😂😂😂😂❤
Fei toto 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kama NIKWELI, MOO SHKAMOO KAKA WATAIFA😂😂❤❤❤❤❤😅😊
Kama unatamani kumuona Aziz Ki SIMBA like hapa 👍
Azizi k Achana nae Pacome ndo aje Simba
Jamaa mpaka kaapa, kweli Dunia ina mambo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu kaka hahaha anajua kunivunja mbavu
Aaah ila leo mzee wa za ndani umetupa laha sana wa lunyasi
Afu tajir likavuta sigaaa😅😂😂
Mchezaji wa Azam kutua yanga silah winga yule kama unaamin like nyingi maana kagoma kuongea mkataba
Safi sana wajina
Azizi k to simba like za kutosha apa
Akacheze shirikisho
@@Veni584mjomba watu wanaangalia pesa hilo shirikisho halimpunguzii wala halimungezei kitu
@@Veni584kama Ahly timu ya 1 Africa ilicheza shirikisho mwaka 2014 kuna kitu gan cha ajabu zaid Simba ambaye ni ya 5 Africa kucheza shirikisho wachezaji wanaangalia timu gani ina muendelezo na sio timu ndo inajifunza kwenye club bingwa mara ya 2 na hamna uhakika mtaingia group stage
JE YA KWELI HAYO ?
@@Veni584Kwani wakati anakuja nyuma mwiko mlikuwa mnashiriki mashindano gani?
Dah siamin
Halafu mnataka kusema tx dullah ndio mwenye comedian talent pekee msiache jina la Momo tafadhali 😂
😂😂😂😂😂ila kweli
Namuoa fei toto Elie mpanzu ateba kibu d jamn haya bhna
Mo Salah😂😂😂 Mo
Eng. Hersi shikamoo.. Unajua kuyumbusha watu ad momo anadanganya umma
Utafilwa
Hahahahhah jipe moyo
Aziz Ki huyooooo
Pacome
Hakuna timu ya kufanya usajili wa Bilion 3 kwa mwaka mmoja kwenye ligi ya Tanzania.
kaa hvo hvoo sas
Dora laki tano sawa na 1.3b
Huyu jamaa yupo vzuri saaana
Zaa ndani nakutukana kwa furaha kudadadekiii zako
Momo kwa mikwala cheki alivyomuigiza tajiri alivyoshika sigara 😂😂😂
Za ndaaaaani😂😂😂
Momo bwana, eti Mo Sarah. Momo sema Mo dewj siyo Mo Sarah
RICARDO MOMO🐸🐸🐸 watazimia😅😅😅#SIMBA nguvu moja
Azizi k hawezi kucheza simba anamkataba bado na utopolo
Azizi Ally labda hhahaaaaaaa Azizi ki Jangwani yupo sana sajilini kina Debora tuleteeni na Mwajuma 😂😂
Vp kuhus joyce
@@armytonegt3897ASA yanga Kuna mchezaji anaeitwa Joyce?
Pia tutamsajili na mama yako
Iringa radio ya wasafi fm haipatikan
Nakukbal sana likado momo
Timu gan ya kutoa 3b hapa bongo😂😂😂
Azizk wa Nini Simba tunavijana sasa huyo jamani
Au ni pacome?
Leo Simba anacheza na timu gan
Kengold
Hahahahaha 😅😅😅😅 we jamaa unajuaa kuigizia umbea akii 😂😂😂 nmecheka
Mnapaish JMN
Daaaaahh brother 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 Momo we muongo akavuta sigara
Azizi ki😢😢😢😢😢😢
aka kajamaa kaongo sana.😂😅😂😂😅
Fiston Kalala Mayele 🛫
Huyu jamaa sijawahi kumuelewa😮
Leo momo kanichekesha sana
ILA SIMBA WALIONA MBALIIIIIIIIIIIIII
Naombeni likes jaman😅
Omba nduguzako mshamba wewe
🤣🤣🤣🤣@@samirshabani-yu4xu
Yanga hata atoke mchezaji gani
Umeeeapa kwa Dini nakuamini
Nimecheka sana😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
MALAIKA CUTE.
Huo usijari wa kagoma wala msihangaike sio Aziz k😂😂😂😂
😂😂😂😂Hivi huyu anapataga wapi habar
Jamaa ongo hili😅😅😅
Yote kwa yote lakini yanga bingwa
We muongo Sana Aya mbona atumuoni kwenye timu ya Simba
😅😅😅😅😂😂😂. Wakola waitu.
😂😂😂😂😂😂dah tajiri katisha…momo hadi umesimuliwa tajir kavuta ciger😂😂
sasaivi momo umekuwa muongo sikuwamini tena mpaka unaapa Kwa mungu
Shajua kama injinia aje simba hata leta mgogoro mkubwa bora auzwe huko kaizer sio makolo nae shuka thamani timu ashirk klabu bingwa
wew amka aziz ki yuko huru sasa mtamuuzaje chura wew😂😂
Lilisikika pumbavu likiongea 😢😢😢😢
Wivu tu
Ujui kuandika nenda shule choko wewe
Yanga hana mamlaka ya kumuuza Aziz k.Aziz ki yuko hurt hana mkataba na timu yoyote.
Anatumika kukikisha propaganda ya Yanga na Ki sema hii ya tajiri lilivyovuta sigar kuwasha na kuvuta ni kali😂😂😂😂
MO KWA AZIZI KI DUUUH AISEEE HATARI SN NDUGU YANGU
Wanajitekenya alafu wanacheka😂😂😂
Wewee ucitutie tamaaa
Feisal and pacome in 5imba 😂😂
Daaaah aziz ki tumemkosa
Kuwa na amani
Jaman embu media yenu mnaiharibu Kwa uongo
Kula chuma ikoooo yule avc Town
Mnahangaika tu Aziz alishasaini yanga kitambo, sema engineer mjanja ameaachia tu media zihangaike kwa muda huu
Acha uongo
Ina maan wasafi muko vizr kwel munauliza ripoti imendikwa na nani timu haikua na kocha
We msenge leo umejua kunichekesha😂
Wa ggm unit Geita Tanzania. kufungwa Kwa Yanga Kuna watu wamepona ugonjwa Wa moyo na kisumari😊
MNYAMA MKALI
From #EconomicallyGrowthMusicians 😂😂😂😂😂
Wapike keki wao si wanapika keki!!!
Hapa hakuna taarifa ya ukweli kuweni watulivu
Moyo mpwita mpwita😂😂😂😂
Chidox company limited karibuni
Kumbe kashaanguka wino 😂😂😂😂 mimi msenge sana
Azizi k hana furaha yanga wamemdanganya km yale ya feii mda wowote anakinukisha
😂😂😂 Nmechekeaaaa
😂😂momo bhana
Vyura🐸🐸🐸wataanza kuchoma jezi muda si mrefu😂😂😂😂😂#SIMBA nguvu moja
Tripple C uyo 😅😅😅umetisha baba huna baya 😊
WANAJISIFIA UJINGA MATOPOLO MACHOGO FC WATOWE DOLA LAKI 5 MADENI MPAKA MIKUNDUNI NYIE 😂😂😂😂😂
Momo jau sana daah🤣🤣
Huyo ni aziz funguo utoo wanamganda na awana pesa ya wanataka aishi kama family ndo maana mayele alisepa alikataa mfumo wa ww family
Poleni sana
Yaan Aziz aache Yanga aende SIMBA?
@@Munyama675 mpira ni biashara kama timu inamwaga pesa zaidi ya yanga anaenda siyo kwao pale mayele alisema yy anaangalia pesa anatafuta pesa kama cristiano Ronaldo
@@reonardchatanda6371POLE MATAKO AU 😂😂😂😂😂😂 UTOPOLO MACHOGO FC WEWE 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@@Munyama675UTOPOLO MACHOGO FC NJAA NYIE
Jaman mnajua anaezungumziwa kiiiiiiiiiiii az
Inatumika siku hizi... injinia kashafanya yake kwako!
😂😂😂😂ameshindwa kumbakisha chama kwa mshahara wa ml 40 utaweza kwa ki kakojoe ukalale nawewe saizi hauna za ndani wala nini
Million 40 kwa umri ule kaka miaka 33 ni uongo kaka hata ww usingetoa
@@JuliusFelix-z4u Chama hajaisha mpira wangembakisha tu kwa mwaka mmoja, sasa tusubiri tumuangalie akiwa yanga tujiridhishe
Umenichekesha sana
Shikamo tajiri
Momo acha uongo unaapia mpka jina la mola wako ufai bara wala pwani
Uyu aliwai sema ukweli kweli
Simba haina haja na mchezaji yeyote wa uto
Tajiri ameamua ubaya ubwela
feisal
Mnazinguwaa huuu mwezii sasa sisikii redio yenu morogoro raha kama hii naipatia wap acheni usengee
Za ndani zako hazijawahi kuwa za kweli shibe ndo inakufanya uongee utumbo
Huyu jamaa ni mwongomwongo sana
Ila nimekuelewa momo kumbe alitongoza mke wa mtu asubiri ndoa ivunjike
Tunamtaka kii aziz
😂😂😂wakati leo wadanganye ao makolo wenzio
Tulia shindano iingieee
Azizi
Sas jaman wenzen wanaongerea mpira ww unaweka matus
Momo hivyo viwili unavyonyosha juu unatupa mashaka ya ww kuwa mmasonia