Ubarikiwe mtumishi wa mungu mahubiri yako yalinifungua kifungo nilicho nacho na bado naendelea kubarikiwa hata time nyingine nikama unanihubiria mimi ubarikiwe saana
Why don't you consider joining the Seventh Day Adventist Church? This is the only church which teaches and preaches the biblical truth that no other church do. May God bless you all
Que Dieu tout-puissant te bénisse et qu'à son retour tu dois emmener au ciel,tu es vraiment le serviteur de Dieu créateur !!!! Moi,je suis en Belgique.,je te suis souvent
Maajabu pastor wakwanza wakisabato anahubir ndoto nawaswas anapigwa Vita Mungu amtetee na alete uamsho kwa wasabato waache udini watu wafundishwe mambo yanayowatesa
Habari za leo mtumishi wa Mungu? Ni udini gani tulionao ndugu? Ni uamsho wa aina gani tunaohitaji? Yawezekana tunaacha boriti katika macho. Tufungue mtumishi wa Bwana.
Hi. Why don't you consider joining the seventh day Adventist church for more summons of this nature and even more bless full? May God guide you when reaching a better decision
MUNGU ni mwema wakati wote kwanza namshukuru MUNGU ni mwingi wa rehema na fadhili ama kweli MUNGU ana makusudi yake,, mm nakumbuk kipindi Niko shuleni nikiwa kidato cha tatu nilianza kuota ndoto nikiwa nakimbizwa na mapepo kila siku lkn nilikuw naogopa sana na sikutokea kumwambia MTU yeyote kilichonitokea baada ya miezi kadhaa nilianz kudondoka nilishangaa San na nilikuwa nalia sana ,ninachoomba wakristo wenzangu tulmbeane sana kwa MUNGU
Nashukuru mungu kwa sababu nilikuwa sijuwi lakini nimefahamu, perster naomba unijibu ndoto yangu nimejalibu kufafanuwa lakini sifahamu inamanisha nini? Huwa naota tu Sana nikiwa shule, nasoma lakini simalizi masomo, niko Saudia
nliota June this year twice my husband akiniambia kwanzia leo tutakua tunaishi kwa hii nyumba.ilikuwa na moles plus kwa sakafu kulikuwa kumejaa maji then haikua cemented nkaamka nikilia sana nanika mwambia sitaki kukaa huko 2 weeks later, same ndoto ikajirudia tena.as am writing this comment tulifukuzwa due to lack of rent arrears, 80thousands shillings and am currently living in my husband upcountry so lost and weak.i have a very strong faith I'll make it in Jesus name.but his mother is making my life a living hell pastor please advice.
Pastor mm ni mhanga wa kutafuta mtoto kwa mwaka 4 sasa ila hua naota kuwa nimjamzito baada ya mda naota nimejifungua nanyonyesha,ajabu nikiamka usingizini maziwa yangu yanatoa maziwa kabisa,hats mwez mzima yanatoka tu,alafu hii ndoto nimeota Mara 3 nimeomba na bado ninaomba,nisaidie kwa maombi pastor
Pasta ujambo vipi nyumbani mambo ? Nimebarikiwa zaidi kwa mafundisho zako nimeifata sana na umenibadirisha kwa safari ya kiroho. Sasa nakuomba tu namba zako apana za mahubiri tv apana za kwako. Nimekufata apa Congo RDC
Wasabato kwasheria .... hatukatai kuna wachungaji waongo lkn wapo wakweli namanabii wenyekarama zakufasili ndoto Kama kina Daniel ko msiwafungie watu lamuhim nikuwafundisha waenende kwaroho ili roho mtakatifu awaongoze wakutane nawatu sahihi lkn mkikanusha hvo mnakosea
Ubarikiwe mtumishi wa mungu mahubiri yako yalinifungua kifungo nilicho nacho na bado naendelea kubarikiwa hata time nyingine nikama unanihubiria mimi ubarikiwe saana
Mungu akubariki sana mchungaji mbaga kwani umekuwa mwl wangu wa neno la Mungu akuinue zaidi.
Very amazing Pr yaan ubarikiwee sana Baba
Hakika pastor nabarikiwa sana na mafundisho yako Mungu azidi kukuinua zaidi tuzidi kufumbuliwa
Mafundisho mazuri. Nabarikiwa from Germany.
Your teachings are so blessing,More grace man of God.
Barikiwa. Hakika nimejifunza.
Why don't you consider joining the Seventh Day Adventist Church? This is the only church which teaches and preaches the biblical truth that no other church do. May God bless you all
Jamani yaani Pr Mungu akurehemu ufundishaji wako ni neema kwangu sana Asante sana Mungu akujazie mibaraka
Pasteur kazia hapo mungu ukuongeze akiri kuzidi mimi Niko rwanda
Ameeeeen God bless you pastor 🙏🙏🙏🙏💖💓🥰😍
You have moved me one step ahead pastor, God bless you abundantly, I'm blessed too
Kweli kabisa pastor nimeguswa sana na mahubiri haya na mengi nimeyapitia na yamenipa nguvu yakuendelea kupambana..Mungu akubariki
Ameen ubarikiwe mtu mishi wamungu
Mungu akubariki kwa jina la yesu kristo mtumishi pasteur David ni mbarikiwe sana pasteur
Que Dieu tout-puissant te bénisse et qu'à son retour tu dois emmener au ciel,tu es vraiment le serviteur de Dieu créateur !!!! Moi,je suis en Belgique.,je te suis souvent
Sois bénisse
Il enseigne en swahili ,comment tu le comprends?
Emen 🙏🙏
Emen 🙏🙏
God bless you
thank you pastor for words of God it's not late. words of God is renewed everyday🙏🙏
Amen mtumishi
May God bless you a man of God
Bwana Yesu asifiwe mtumishi nabarikiwa sana na mahubiri yako,Ubarikiwe sana
Listening from Qatar
Be blessed Pastor
Ameen pastor barikiwa sana
AMEN, Mungu akubariki sana pastor
Nilipokuwa mdogo nilikuwa naota kila siku ndoto hiyo hiyo " NAOTA NAPAA" then nashuka polepole huku naogopa kuwa nitaanguka!
Nabarikiwa sana mtumishi,mungu aendelee kutumia katka kazi yake
Ubarikiwe kwa mahubiri yako mtumishi tumebarikiwa sana
Wow good
Mungu aendelee kukutumia paster
Asante kwa somo hata nimebarikiwa
Ubarikiwe Sana pasteur kwa ushauri mzuri kwa wazazi 🙏🙏
Nashukuru kwa mafundisho mazuri Mr Mbaga ubarikiwe
God bless you pastor,your preaching is from God direct from our Almighty King Jesus.
Amen Jesus's good
Asante sana Mchungaji kwa ujumbe mzuri Mungu akubariki
Mungu akubariki sana Mchungaji wangu, nakuelewa! 🤔🤔
Pastor nakuombea mema kwa Bwana maana naponywa na injili yako hakika ww ni mtumishi wa Mungu
Kweli na kufata sana pasteur
Amen ubarikiwe sana
God bless you men of God
asanter pastor nabarikiwa na masomo yako
Ameen ameen Asante kwa mafundisho
Barikiwa pastor
Pastor ubarikiwe na Mungu mengi mungu kakutumia kutufungua macho yakiroho.
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
Mungu akubariki sana pasta nakupata vizuri
Ameen
Nimebarikiwa sana mchungaji jina LA yesu libarikiwe
Mungu azidi kukuinua. Hakika mafundisho yako yamenisaidia kwa kiwango kikubwa. Kweli wachungaji wengi wamekuwa wapgaji.
Maajabu pastor wakwanza wakisabato anahubir ndoto nawaswas anapigwa Vita Mungu amtetee na alete uamsho kwa wasabato waache udini watu wafundishwe mambo yanayowatesa
Habari za leo mtumishi wa Mungu? Ni udini gani tulionao ndugu? Ni uamsho wa aina gani tunaohitaji? Yawezekana tunaacha boriti katika macho. Tufungue mtumishi wa Bwana.
Together pastor God bless you
Amen 🙏 🙏
Amen
Nmejifunza kitu hapo jmn MUNGU wetu anaweza
Nabarikiwa sana
hii ni yangu barikiwa mchungaji
Amen kenyan from states
Nabarikiwa sana mchungaji from saudia mungu akubariki
To God be the Glory!
Barikiwa mno mchungaj
Haleluyaa
Very educated
Amina
Jamanii sauti haijakaa vizuri
❤❤
Mtumishi ninakuelew lkn Nina swali
Tatizo nifundisho la yesu adim
😂😂YAAN WW MCHUNGAJI NAKUPENDAG SAN ET NAONGEA NA BINADAM AU WATU🤣🤣🤣🤣
Mjungaji Mimi uwa naota napambana na wachawi Kwa maombi uwa na kemea
This is a blessing. Listening from Kenya
Amen
Hi. Why don't you consider joining the seventh day Adventist church for more summons of this nature and even more bless full? May God guide you when reaching a better decision
MUNGU ni mwema wakati wote kwanza namshukuru MUNGU ni mwingi wa rehema na fadhili ama kweli MUNGU ana makusudi yake,, mm nakumbuk kipindi Niko shuleni nikiwa kidato cha tatu nilianza kuota ndoto nikiwa nakimbizwa na mapepo kila siku lkn nilikuw naogopa sana na sikutokea kumwambia MTU yeyote kilichonitokea baada ya miezi kadhaa nilianz kudondoka nilishangaa San na nilikuwa nalia sana ,ninachoomba wakristo wenzangu tulmbeane sana kwa MUNGU
Mm pastor hapo nmepata neno
Hiki ndo kilinitokea pr. Laiti ningelijua mapema ningeokoa ndoa yangu
Tupo pamoja lakini Pastor una chelewa sana ku upload sehemu ya 2
TUOMBEE TUPATE VIFAA NA WATU WA KUTOSHA ILI KAZI IENDE KWA KASI
Amen
@@MahubiriPrMmbaga amen may the lord open the way
Umegusa moyowangu nimebalikiwa saaana .kilasiku naota ndoto mbaa lakini kwasomohili nimefahamu nifanye nini ??? Ubarikiwe malamia.nitaomba kilasiku.
Ubarkiwe mchugaji
Tuna baki hoi
Nashukuru mungu kwa sababu nilikuwa sijuwi lakini nimefahamu, perster naomba unijibu ndoto yangu nimejalibu kufafanuwa lakini sifahamu inamanisha nini? Huwa naota tu Sana nikiwa shule, nasoma lakini simalizi masomo, niko Saudia
Hivi ukiota unasoma ni dalili ya nini
Mimi ndoto zinaniandama sana😢 juzi juzi tu hapa nimeota nimekufa nipo mortuary 😭 Mungu anisadie
faraja andrew hutakufa bali utaishi, uyasimulie matendo mema ya Bwana. Haleluya
Funga na kuombea na kemea hyo ndoto mamy siyo nzuri.
Hiyo Ni roho ya mauti inakufuatilia kemea Sana.
Yupo Mungu mwenye hatima yako ikemee hiyo ni mipango ya shetani.
Kila mara naota nyama zikiwa zimenijaaa mdomoni kiasi kwamba huwa sijisikii kuwa na amani...sijui tafsiri yake ni nini
wakombi bado Kemea hiyo ndoto kwa jina la Yesu! Mpaka ipotee
Barikiwa Pr kuota upo shule mara nyingi yamaanisha nini?
Hii ina tegemea kama uliishia la saba na una OTA ukohuko ina mana tofaut kama uko chuo Levo fran na hio Levo nayo ina mana tofaut
Imani yako ni haba
Ubarokiwe mchungaji kwa hiyo neno
Pastor mm nimeota wazazi wangu wamefariki inajirudiarudia ila wapo hai nisaidie
Hiyo Ni roho ya mauti, kemea bila kukoma, mpaka utakapo ona imegeuzwa.
Aminaaaaaa pster
Unapatikana wapi jaman nakupataje pastor
Nakumbuka Kuna ndoto alinirudia Mara kwa Mara nikiwa nakula asali " what's a meaning of that"?
Itakuwa ni mafanikio ndugu
@@yohanaanthony3422 alright Glory be God
Sauti haziko clear plz
nliota June this year twice my husband akiniambia kwanzia leo tutakua tunaishi kwa hii nyumba.ilikuwa na moles plus kwa sakafu kulikuwa kumejaa maji then haikua cemented nkaamka nikilia sana nanika mwambia sitaki kukaa huko 2 weeks later, same ndoto ikajirudia tena.as am writing this comment tulifukuzwa due to lack of rent arrears, 80thousands shillings and am currently living in my husband upcountry so lost and weak.i have a very strong faith I'll make it in Jesus name.but his mother is making my life a living hell pastor please advice.
How are you doing now?may almighty remember you and bless you!
Sijui unakaa wapi! Hata namba jamani
Nifanyeje ndani ya siku hizi za hatari?? Muchungaji naomba unisaidie.
Soma NENO LA MUNGU,KUWA MTU WA MAOMBI
Pastor mm ni mhanga wa kutafuta mtoto kwa mwaka 4 sasa ila hua naota kuwa nimjamzito baada ya mda naota nimejifungua nanyonyesha,ajabu nikiamka usingizini maziwa yangu yanatoa maziwa kabisa,hats mwez mzima yanatoka tu,alafu hii ndoto nimeota Mara 3 nimeomba na bado ninaomba,nisaidie kwa maombi pastor
polee hiyo ni roho kamili inayo kufanya usipate mtoto
Mpigie Pastor +255755932283
In the name of Messiah (Jesus Christ) may all the alters of evils be destroyed
Umeolewa najini mahaba nahao watoto unazaa kwenye ulimwengu waroho maisha yako yamefungwa unahitaji deliverance maombi ya ukombozi sio kitoto nakushauri ingia mahubir ya mwakasege utakutana na maombi andika maombi mwakasege itakusaidia
Funga Yesu yupo ..funga sana uombe
Pasta ujambo vipi nyumbani mambo ? Nimebarikiwa zaidi kwa mafundisho zako nimeifata sana na umenibadirisha kwa safari ya kiroho. Sasa nakuomba tu namba zako apana za mahubiri tv apana za kwako. Nimekufata apa Congo RDC
Ubarikiwe! Tumia whatspp +255 755 932 283
Bora uwaambie watu ukweli kuliko kuwafumba
Na please mahubiri ni fupi wakati ni matamu sana.
Pr ubarikiwe, ninaomba Kuna ndoto niliota kama utapata muda unijulishe nipige ni ndefu siwezi kuelezea Kwa kuandika.
God Bless You Man of God
Wasabato kwasheria .... hatukatai kuna wachungaji waongo lkn wapo wakweli namanabii wenyekarama zakufasili ndoto Kama kina Daniel ko msiwafungie watu lamuhim nikuwafundisha waenende kwaroho ili roho mtakatifu awaongoze wakutane nawatu sahihi lkn mkikanusha hvo mnakosea
Watumishi walio wengi ni wadanganyifu ila sijaona sehemu amesema hamna watu wenye karama za kufasiri ndoto
Mimi nimeota Mala mingi nimeolewa but sijawai ona mwenye anioa 'mpaka waleo sijaolewa😭
Tayari una ndoa, ya Nini sasa uolewe? Una mme wa kiroho tayari, angalia maisha yako compare na your sexual life then ull know.
Huwezi manake u are married to spiritual husband mwone kuhani akuombee akutenganishe nazile spirit lasivyo utaishi hvo..... I stand to be corrected
Pastor tunaomba number
Asante kwa somo zuri Mungu akubariki i
Nabarikiwa sana
Nabarikiwa sana