UFANYE NINI UKIWA CHINI YA SHAMBULIZI LA KIROHO || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 24/07/2022
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz
Amina sana mwana wa MUNGU, Pastor George
B blessed and Glory be to Almighty High!!!
Yaani hili somo limeekuja kwa wakati thank GOD napona in jesus name
Amen 🙏 mtumishi huu ni ujumbe mzito sana na roho mtakatifu ako ndani ya huu ujumbe ,roho mtakatifu aliye ndani yako ameiokoa nafsi yangu nilikuwa matesoni yenye hayaishi lakini kwanzia leo naamini maisha yangu ya kiroho yamebadilika 🙏🙏🙏hakuna mateso wala kilio 🙏🙏
Amen 🙌🙏🙌 ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa hili neno umerudisha kondoo wa mungu wenye walipotea hallelujah 🙏
Mungu ampemaisha marefu mtumishi wake
Mtumishi natamani hicho kipawa kwa jina la yesu
Ee mungu naomba unifungue na kunitoa huu uzito😭
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Nakupenda sana sana Greatest Man of God Pastor George Mkabwa.......❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Glory kweli kabisa❤❤❤❤❤❤oye ....Niederoesterreich
Amen mtumishi barikiwa kwa neno la uzima
Ubarikiwe mtumishi ,Neno hili n kubwa
Ameen mtumishi
Mungu akutunze mtu wa Mungu,nimepokea jibu la nilichokuwa napitia.Asante saana Yesu Kristo!
amina umenitoa mahari kweli mungu ni mwema
Amen🙏🙏
Ndio maana mungu akitaka kukuinuwa wakati mwingine anakupeleka mbali na familia yako ,maubiri maziri sana nimebarikiwa 🙌🏾🙏🏾.
Mungu akuzidishe Sana napenda mafundisho yak
Ubarikiwe sana pastor kweli umenivusga
AMEN
Mtumishi mungu akubariki huwa nabarikiwa sana na mafundisho yko mungu akubarki
Kwan neno limekua langu, asante Sana mchungaji Kwa kunitoa maali nlipokua 🙏🙏🙏🙏
MWENYEZ MUNGU AKUBARIKI.
UMENIBADILISHA SANA KIFIKRA ZA KIROHO.
Ni kweli kabiza mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana
Amen and amen, lord have mercy on my life and remember my family protected me lord I'm humble before you God asking forgiveness in myself sin, God forgiveness me and my kids show me your wisdom lord 🙏🙏
Amina amina mtumishi wa MUNGU barikiwa sana
Nimembarikiwa sana paster niombee mangojwa yaondoke
Amen mtumishi wa Mungu UBARIKIWE SANA kwa neno
Nimekuelewa sana mtumishi mungu akulinde
Amina
Huyu ni MUNGU atufunuliaye haya wala si mwanadamu, Utukufu na heshima vimrudie yeye mwenyewe.
Qaaaaaaa-
%
Actually it's God
Nashukuru sana kwa mafundisho niko Congo DRC
Asante mtumishi unafundisha vizuri Sana ubarikiwe Sana 🙏
Somo zuri, tumebarikiwa sana mchungaji
KWELI HUU NIWAKATI BWANA AMETULETEA WATUMISHI WAKWELI NIKO MBALI ILA ROHO WA BWANA KANIUNGANISHA HAPA MIMI NINAHUDUMIWA HAPA SASA ASANTE ROHO MTAKATIFU
Nimejifunza sana Kuna mengine hatuwezi kumbe atajapata muongozo nimekuta Kuna kitu kinainuka ndani yangu
Asante mtumishi Kila ninapofuatilia mafundisho Yako yanasema na maisha yangu nakufuatilia Toka malawi
Mchungaji Naomba Uniombee Sana , Ukweli umenisaidia Sana. Naomba Namba ya SIMU yako.
Mungu akubariki najifunza mengi Amen
Ahsante mtumishi barikiwa na mafundisho yako
Babaku wa kiroho hakika umenitoa kizani Vita vikali sana Niko navio najipa moyo mkuuu waushidi
Amina mtumishi nimebarikiwa
Ubarikiwe mchungaji karibu wilayani chunya
Amina na Mimi nipo chunya ananifaliji sana na kunifundisha huyu mchungaji
Utukufu kwa BWANA YESU
Amen past
Mungu ni mwema akupe ngufu
Amina mafundisho mazuri
Amina sana mtumishi
Ameen Ameen Baba kwa mafundisho mazuri ya rohoni nimepata kitu MUNGU akubariki sana
Ni wakati ambapo anaona kilicho mbele anajaribu kukutoa, kukuvuruga, kukuchanganya, kukutia hofu.
Simameni Mungu aweze kututetea.
Mungu akubarik
Amen 🙏 🙏 babaa
Amen mtumishi
Baba Mungu akubariki sana, Mungu anipe neema ya neno kama yako na ata zaidi Naomba Mungu anisaidiye anipe upako ya neno zaidi yako
mchungaji Mungu azidishe piya upako mara dufu sana maana neno ambayo Mungu alikupa inazungumziya maisha yangu vita ninayo pitaya kwa sasa ,kweli Mungu alisema nawe kabisa
Umeniongezea maarifa
Mungu akutangulie katika yote unayotufundish,nabarikiwa Sana ,siku moja najua nitakuja mwanza kanisani
teresiakutokamombasa
Amina.naomba email address Yako na namba yako.mafundisho Yako ni MAZURI Kwa wakristo wote kudumu KTK Imani THABITI.ubarikiwe
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sauti ilkuwa jini naomba kurudia kwa hilineno nzuri la baraka.
❤❤❤❤
Imagine tangu nijue hii maubiri ni miezi mbili sasa lakini imechange life yangu sana.
Mm mwenyewe nina siku moja imani imekuwa kiukweli MUNGU ndo kila kitu
Amen, be blessed pastor,I ask you to pray for me
Baba nimepon
Mbona unaongea na Mimi mungu ni mwema nimechoka kulia Sasa kilio kimepata majibu Amina mtumishi
Naitaji namba zako pastor 🙏🏿🙏🏿
Napenda Sana mafundisho yako na kufatilia nkiwa Saudia eti atanena kihindi nmecheka mm😂😂be blessed 🙏🙏🙏😇
Hakika
Mtmsh napenda ufundishaji wako katka utulivu waroho mtakatifu amen
Nime barikiwa mno mtumishi wa Mungu..shukrani kwa Neno na ubarikiwe sana
Npenda Sana mafundisho yko nkufatilia nkiwa Kenya. Mungu akubariki
Mchungaji naomba namba zako
Naomba namba yako
Natafuta namba ya mch. Niko Dar
Mch namba yako ya simu
Baba naomba namba
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Utukufu Kwa Mungu
Naomba jina la tivi Kama unayo mchg