Ameni Baba ubarikiwe sana kweli Mungu akuinue viwango vya juu zaid kila ninapo fungua kipindi chako au video zako uwanabarikiwa tu na neno nauwa naamin napokea uponyaji yani uwa nataman siku mmoja za uhai wangu nikuone live nipokee neno la mungu kutoka lwako live in Jesus name amen
AMEN.nimebarikiwa vya kutosha na neno hili.kweli limetoka kwa Mungu wa mbinguni kabisa. Ubarikiwe sana apostle kwa ujumbe mzuri namna hii.nipo CANADA QUÉBEC lakini nimejikuta nikiwa nanyi pamoja tanzania kwenye hilo ibada. Mungu awabariki sana.
Mtumishi nimekuelewa. Hakika lazima siku moja ndakaja hapo kanisani nikija Tanzania. Ubarikiwe Mtumishi. Mungu aendelee kukufunulia zaidi maono yasiyo na kipimo
Indeed we r soo foolish have mercy on us God and give us the grace to seek God first and his righteousness and all these other things shall be added unto you.HAALLEELLUUJJAAHH!furaha yangu ni kuwa na Yesu, I beg no more I command,I'm in the kingdom of God oh! this' ideal very powerful
Mtumishi wa Mungu unanibariki kabisaaaaa ktk mafundisho na sijutii muda wa bando langu, video zako NASHARE wengine wapate madini uliyo nayo, namshangaa huyu Mungu muweza akuinue zaidi na zaidi. Karibu Arusha Jiji utuguse wengine huku tujitambue tunakokosea kuomba. Asante sana.
Aha this' my aha moment last night ,today is Nov 9th last night I read mat.6 on seeking God first as I meditated on the verse I wondered how is to seek God first ahaaa nimepata jibu I've been out of the kingdom for a long time but NOT anymore thank you Jesus Christ for answering me.Amen
Asante sana ntumishi kwa neno lako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 namini nimebarikiwa, mungu akushidishie nguvu za kinabi, ili kanisa lipo sehemu gani? nikija Dar es salam nataka nije, mimi nipo Moçambique Mueda.🙏
Nisrme nini juu ya hayo,, Zaidi ya kuomba Rehema na toba kwa MUNGU,, ili niwe mtoto wa Ufalme wa MUNGU,,,,,, Maana nilahisi kujiona kuwa ni mtoto wa MUNGU kumbe MUNGU hakutambui hivyo Eee YESU tuhurumie, tusaidi sawa na Mapenzi yako Ee BWANA YESU AMINA AMINA AMINA
Kuna umuhimu wa kufanya mambo mawili kuhusu Mahubiri: 1. Be careful when paraphrasing/quoting scripture 2. Align logic kwenye content 3. Be careful with context 4. Question what is on plain sight Maana ni kwa namna hiyo ndio tutaweza kuifikisha injili isiyogoshiwa kwa watu wa Mungu. Muwe na wakati mwema watu wa Mungu
Ameni Baba ubarikiwe sana kweli Mungu akuinue viwango vya juu zaid kila ninapo fungua kipindi chako au video zako uwanabarikiwa tu na neno nauwa naamin napokea uponyaji yani uwa nataman siku mmoja za uhai wangu nikuone live nipokee neno la mungu kutoka lwako live in Jesus name amen
Umekua mtumishi wa baraka kwangu Sana,,,umenisaidia kuijenga imani yangu Sana na Mungu katika mafundisho yako,,, thanks and i received in Jesus name.
Amen in 2024 my first time to hear this powerful sermon, let Thy Kingdom come... haleluya
Pastor nakupenda tu bule hufanya nicheke sana
Thank you my lord for this good teaching and a good teacher, amen
AMEN.nimebarikiwa vya kutosha na neno hili.kweli limetoka kwa Mungu wa mbinguni kabisa. Ubarikiwe sana apostle kwa ujumbe mzuri namna hii.nipo CANADA QUÉBEC lakini nimejikuta nikiwa nanyi pamoja tanzania kwenye hilo ibada. Mungu awabariki sana.
Very powerful message from I receive this message in Jesus name amen
What a powerful message with deep teachings & revelation..more wisdom from above..be blessed Apostle Mtalemwa..long life..Shalom!!!!
Mbona ootip
Up
Amen nimepata jibu ya kilio nilicho nacho ubarikiwe sana Apostle
Pastor nabarikiwa na mafundisho yako natamani kuwa mmoja wa waumini wako
Asante chief Apostle,, sjawah kukusikiliza nikatoka mtupu,,kila siku unanitoa ujinga na upumbavu, kwa mafundisho yako,,Mungu azid kukuinua,,kwa viwngo vingine,, weng unatuponya
Ubalikiwe sanaa na mungu akubaliki
Mtumishi nimekuelewa. Hakika lazima siku moja ndakaja hapo kanisani nikija Tanzania. Ubarikiwe Mtumishi. Mungu aendelee kukufunulia zaidi maono yasiyo na kipimo
Nakufuatilia sana mtalemwa , by the way I'm blessed alot with what you are preaching
Mungu akubariki apostle nimejifuza jambo kubwa sna.Ufalme wako uje na Mapenzi yako Mungu yatomizwe maishani mwangu
Thank you man of God for this teaching know l know how to pray 🙏🙏🙏 connecting with this channel is a gift.
God bless you so much for your teachings apostle I have learnt a lot .
Blessed be the name of the Lord for Apostle Mtalemwa Glory to God for this ministry I'm truly blessed this Monday morning.shalom
Mtumishi Mungu azidi kukutunza unamafundisho mazuri sanaa
Amen mtumishi
Barikiwa sana mtumishi wa mungu nabarikiwa sana ninapoangalia mahubil yako
Powerful teachings...May The GRACE of GOD be upon me!!
I feel it this is the word of God,I love you pastor.
Indeed we r soo foolish have mercy on us God and give us the grace to seek God first and his righteousness and all these other things shall be added unto you.HAALLEELLUUJJAAHH!furaha yangu ni kuwa na Yesu, I beg no more I command,I'm in the kingdom of God oh! this' ideal very powerful
Ameni Ameni Apostle
Powerful teachings ....feeling blessed
Asante Apostle nabadilisha uombaji wangu kuanzia sasa ubalikiwe sana
Mtumishi wa Mungu unanibariki kabisaaaaa ktk mafundisho na sijutii muda wa bando langu, video zako NASHARE wengine wapate madini uliyo nayo, namshangaa huyu Mungu muweza akuinue zaidi na zaidi. Karibu Arusha Jiji utuguse wengine huku tujitambue tunakokosea kuomba. Asante sana.
Unajua kufundisha. Hadi raha barikiwa Sana mtumishi wa mungu
Asanteeee APOSTLE MTALEMWA. Hakika Huu ni ufunuo Mkubwa mno. Binafsi nilikuwa Naomba Tu pasipo kujua Ufunuo Huu!
I connect and i Receive with my family in JESUS name AMEN
I agree with you entirely this is where the secret it. Thank you very much for that revelation. God bless you Sir.
Aha this' my aha moment last night ,today is Nov 9th last night I read mat.6 on seeking God first as I meditated on the verse I wondered how is to seek God first ahaaa nimepata jibu I've been out of the kingdom for a long time but NOT anymore thank you Jesus Christ for answering me.Amen
I feel spiritual maturity just after this word of God from Chief Apostle, let his Kingdom come and his wishes be fulfilled in Jesus name....amen!!
Kuanzia Leo ctaki maombi ya Julia ntaomba kufata kanuni Amen
Ameen. I connect me & my family. Haleluya. ✋👍💪
Ameeeeeen pastor nabarikiwa sana na pia najifunza
Asante Apostle. Sasa ni mwendo wa Ufalme wa Mungu na Haki Yake... Mengine Tutazidishiwa. Nimekuelewa sana Apostle wangu.
amina mtumishi! ubarikiwe sana
Thanks Apostle Mtalemwa..POWER
Asante Yesu
Amen napokea
Yaaani hua nakuelewa sana Apostle Mungu akubariki sana Baba nakuelewa mmmmnooooo
Asante Mtumishi wa Mungu nimejifunza kitu
Asante pasta leo umenikumbusha wajibu wangu ubarikiwe
Asante chief hii ndo cku niliempokea Yesu kuwa bwana na mwokoz wangu
Amen amen Chief Apostle
Wewe iyo sawa balikiwa sana safi safi safi sana
Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi
Thank you chief for teachings
Asante sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
FUATA Kanuni ndo UPATE! POWERFUL.
Ameeen nimebarikiwa sana nimejifunza kitu muhimu sana maishani mwangu
AMEN, wonderful messages to God be GLORY forever and ever. ❤🙏
Ameni. Mtumishi ubarikiwe
Asante sana ntumishi kwa neno lako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 namini nimebarikiwa, mungu akushidishie nguvu za kinabi, ili kanisa lipo sehemu gani? nikija Dar es salam nataka nije, mimi nipo Moçambique Mueda.🙏
Amen powerful watching from kenya
Thank you my Chief, may God bless you. Sikujua namna ya kuomba hivi thank you Jesus for Chief apostle Mtalemwa
Neno la Mungu linasema jooni kwangu ninyi nyote mliuyo zidiwa na mizigo nami nitawapumzisheni haya nimafundisho ya kimwili umba chochote uwezavyo
Mtumishi imeandikwa make mwema anatoka hivyo lazima mtu amwombe mumgu ampe mke mwena watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mimi pia mchungaji huwa nakuelewasanaaaa ubarikiwesa mtumishi wa MUNGU sijutiagi bandozangu
Asante kwa ibada zuli sana ubarkiwe
I receive in the name of Jesus
More Grace Apostle,so shall I grow spiritual in Jesus name Amen
Amen and Amen Hallelujah Glory be to God
Wakati wa watanzania kufunguka umefika. Shusha Verse Chief! Wataamka tu.
Nisrme nini juu ya hayo,,
Zaidi ya kuomba Rehema na toba kwa MUNGU,, ili niwe mtoto wa Ufalme wa MUNGU,,,,,,
Maana nilahisi kujiona kuwa ni mtoto wa MUNGU kumbe MUNGU hakutambui hivyo Eee YESU tuhurumie, tusaidi sawa na Mapenzi yako Ee BWANA YESU AMINA AMINA AMINA
Thank you Apostle for teaching
Amina Chief wangu asante sana mtumish WA Mungu
Hello...thank you very much..
wow Amen Amen Amen be blessed
Hahahahahahaa dah apostle me sidhan Kama Kuna mtu atasahau mafundisho wako,
Naangaliaga video za huyu mtumishi wa Mungu, Kanisa ili mmebarikiwa sana,, naomba Mumtumie vizuri hakika mtakuwa wa tofauti
Ooh😢 asante baba
I hear you well well Chief Apostle... learnt 🙌🙌🙌
Asante Mtumish wa Mungu nimebarikiwa Sana na mafundisho mazuri.
Nimeona. Mungu akinivusha zaidi kwa kupitia maneno yake yaliotumiwa na Mtumishi
Ameni Mungu azidi kukuinua nafarijika.
Be blessed
Namshukuru Mungu kwa neema hii ya kuwa chini ya Mtume mtalemwa na kulelewa kiroho. Hakika nakua
Oooh yes! Ufalme wako mungu uje utawale maisha yangu
It's turuu chief nakuelewa mno
Thx dady
Amen kabisa nabii umesema kweli ASA mtumisha Wa Mungu
ameen chief
Amen sante kwa mafundisho papa
Amen chief apostle well gotten
Barikiwa sana Mtalemwa
Amina mtumishi nelielewa kabisa lakini suluwali kwa mwanamke akiivaa anakuwa yupo nje ya ufarume maana naona wamevaa sana
Be blessed Man of God for wounderful revelation
Apostle Leo nimepata kitu kipya kwenye mafundisho yako
O my I like this,,
ni kweli kabisa tunapaswa kukua kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine kiroho na hata kimaisha ya kawaida.
Hallelujah 🙏🙏
Powerful message
Sema mtumishi tupone
Ujumbe huu ni mzito sana, Mungu tusaidie tuutafute kwanza ufalme wa Mungu katika maisha yetu.
Oooh kumbe natakiwa kutafuta kwanza ufalme wa mungu na haki yake mengine tutazidishiwa nimekuelewa sana apostle kupitia hili somo
Unaongeya kizungu saana kaka
Amina
Ameeeeen
Good!!!!!
Kuna umuhimu wa kufanya mambo mawili kuhusu Mahubiri:
1. Be careful when paraphrasing/quoting scripture
2. Align logic kwenye content
3. Be careful with context
4. Question what is on plain sight
Maana ni kwa namna hiyo ndio tutaweza kuifikisha injili isiyogoshiwa kwa watu wa Mungu.
Muwe na wakati mwema watu wa Mungu
Nakushukuru sana Nabii ulie tumwa na Mungu,Makuombea kwa Mungu azidi kukupa Nguvu za kinabii zaidi🙏
Ahaaa kumbe kwa kuanzia Ni huku Basi naanza sasa